Ninafurahi sana kwa kusikia na kuona ujumbe hii ninakumbuka mwalimu wangu alifundisha mimi kidato cha tano na cha sita ktk mwaka wa 2023 Mungu akubarike Mwalimu wangu mpendwa Edith
Hii ni hadithi ya kubuni, iliandikwa na mgiriki mmoja anaitwa Sophocles. Sio story ya kweli. Tatizo msimuliaji ameshindwa ku-acknowledge na hajasema hii story imeandikwa na nani.
Inashangaza sana kuona mnaita historia. Hiyo si historia bali story. Yani kwa Kiswahili zinaitwa paukwa. Ni hadithi za kutunga kuelezea maudhui mbalimbali za kifasihi.
Tunajua kazi za sanaa s lazma uwe ukwel but how you organize that kind of story you have to persuade your audiences hapo ndipo unafeli bila unafiki wala ishabik
@@rweenysamuel8146 Ndugu yangu naona umeenda mbali sana. John Nzao alipokwambia kuwa ni fiction alimaanisha 'hadithi ya kubuni' Hivyo unapaswa kuelewa kuwa fiction hazifanani na biblical stories. Mwandishi wa hii story alikuwa anaitwa Sophocles, sasa we ukisema ni ya kweli wanafasihi tunakucheka
It is rather a myth than a mere fictional story. Philology goes after all these myths. The same way you see great nations today like the US, UK, FR, RUS, CN, GER, etc. Greece was just like that BC. Call them fictional, I'll tell you to dig deeper in history. I'm ukiambiwa hata Demokrasia ilianza way before Christ, utakataa.
@@kedyjohn1848 You are probably not a student of literature. Yeah, it is a myth but 'it is fictional'. We have gone through many of Sophocles' works, as we have many of Plato's and those of Aristotle. Go and read more about Greek drama.
@@pauljoseph1800 You had to conclude "not a student of literature" just because of your insufficient summary: I stated "not a MERE fictional rather a MYTH". Raise your skills in nailing keywords.
Ninafurahi sana kwa kusikia na kuona ujumbe hii ninakumbuka mwalimu wangu alifundisha mimi kidato cha tano na cha sita ktk mwaka wa 2023 Mungu akubarike Mwalimu wangu mpendwa Edith
Co amaizing!!! Antigone pleasee!!! 1:59
daaaaah Oedipus the King,,, nishafanyia paper hii play ,,,, guuud sana mtangazaji
Umesimulia ukweli kama ulivyo,mimi nilisomea fasihi (aka literature) udsm 2006 - 2009
Mfalme Edipode nimesoma kilichotafsiriwa kwa kiswahili na cha kiingereza. Hadithi ya kigiriki ni hadithi haina ukweli. Umeisimulia vizuri
Sea seen kaswida zanzibar
Oedipus the king 🙌👐
Nice
Inapendeza sana kaka
Inamafunzo pia Hasante kwa hi story tamu
Nimefurahi kusikia historia hii kwasababu nakumbuka mwalimu wangu wa hesabu alinisimulia kidogo juu juu Sana
Historia hii ni ya ukweli mtupu
Mwalimu wako anaitwa nani na umesoma shule gani?. Maana the same na mimi nimesimuliwa na Mwalimu wa hesabu miaka mingi imepita
Anaitwa mwalimu Issa Magembe
Hi ilikuwa story Kama za shigongo na sio ukwel
Hii ni hadithi ya kubuni, iliandikwa na mgiriki mmoja anaitwa Sophocles. Sio story ya kweli. Tatizo msimuliaji ameshindwa ku-acknowledge na hajasema hii story imeandikwa na nani.
Inashangaza sana kuona mnaita historia. Hiyo si historia bali story. Yani kwa Kiswahili zinaitwa paukwa. Ni hadithi za kutunga kuelezea maudhui mbalimbali za kifasihi.
Ahsante sana kwa taarifa nzuri kama na hii yenye maana na ya yenye kuelimisha!
Hii ndo destiny duh!! Nimeipenda msimuliaj upo vzr
Vipi dada!
nice simuliz Jmn is so 😋
Hebu lete vitu realistic aise achana na story za Wagiriki hiz za kufikirika tu
Kwanini Oedipus haukumiwe tangu tumboni mwa Mama yke, kwanini awe n hatima mbaya
Hizi ndo myths, hadithi za kufikirika za zamani.
Ni kama simulizi zilizofanywa zamani sana nzuri sana sema nizakufikirika tu.
Ts kind of sad thou!!
Destiny
@@theodosiaromanus7726 why yye tu ndo awe n destiny mbya
Hiyo ni nguvu ya unabii.... alitaka kujua yajayo lakini hakutaka kujua mamna ya kuyaepuka akajikuta katumia akili zake
Dah hadithi hii ni nzuri mno
tuletee play ya King Lear na play ya oresteia ,pleaz,, zote hizi ni ancient Greek play
Sawa mkuu,tutalishugulikia hilo
Baba unaharaka ya nini unatangaza au unasoma
Tulijifunza udsm hiyo narration hata Julius kaisali.
Carantine ya Coronavirus imenileta hadi huku
dah,yaani nimeirejea mara tatu ndo nikafaham wapi kamuua baba na vipi alimuoa mama
Pole san mbon siple 2
Wewe si wakuelewa kwa urahisi?
Labda uwe si msikivu !!!
Nice
Bonge la movie iko vizuri
sphinx ni sanamu la misri.... mnyama mwenye mwili wa simba na uso wa mwanamke ni God of war (egyptian god)...
Kwa hiyo
We weka g ndogo , G kubwa inamuwakilisha Mungu wa mbinguni tu Muumba Mbingu na nchi na vyote vilivyomo duniani
Nice one
big up broo upo vzl
Dah ningeiona hii kabla ......🤔
hii ni riwaya sio si Hadithi ya kweli
deo del dosa ww ni muongo, sio riwaya ni drama / tamthiriya
@@oscarsimon2951 ok nlikosea ni tamthlia ya tanzia
@@deodeldosa2670 😆😆😆
This is what Sigmund Freud described as Oedipus Complex in psychology
Indeed
Jamaa Ni muongo huyo Freud
Safi sana
Hizi ni baadhi ya Stori za Uongo.
Jina 'Oedipus' halitamkwi hivyo ndugu msimuliaji. Linatamkwa /I:dipəs/
paul joseph transcription on the fleek
Anajua basi😂😂😂
Anajiropokea tuuu
Tuma voice
@@nestormloka8399 Kwa waliosoma Linguistics wanaelewa hizo alama nilizotumia hapo. Mwambie Justice nyagali akueleweshe
Yes
wagirik waongo sna n stor zao za vtabu n za utunzi na kufikirika tu
Nzuri sana
Wagiriki walikuwa waongo sana
Xx
Best story ever
Ndio shida bora wangemuua wenyewe kuliko kumkabidhi mtu mwingine
Hiii story ni nzuri sana ila ni fupi
Tunamba mutusimulie history ya wafame wa Roma
Story nzuri
Jaman hamna muvi za hizi story zinaitwaje
Good
Duh nimejibia mtihani kwenye European literature mwaka wapili chuo
Oudipous the king ancient greek drama
Yaaa oedipus the king tam sana hiyo
IKO VIZURI
Waooooh nimeipenda
😃😃😃😃ooohhhp
Mambo za mashetani, Greek mythology
Ali kuwa mlevi
Broooooo uko fasta
Uonevu huu
Ugonjwa huo ni corona
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Unatisha sana
Tuletee hadidhi ya budha wa india
NKT
Ushetani huo
Myth,habari za kusadikika tuu kama za akina apollo n.k
Hatar
Big up bro
Wee nawe Ni mkali Sana. Katika wasimuliaji Bora upo wewe, Mtiga,ananias na davista mata.
Namkubali saana huyu jamaa hajapotosha hata kidogo, tulijifunza udsm,pia Julius Caeser,Malcom X nkz big up bro.
Story umeipambanua vzr mkuu
Hii mbona kama story yakutunga
nimeikunani
Myth and legend
Tunajua kazi za sanaa s lazma uwe ukwel but how you organize that kind of story you have to persuade your audiences hapo ndipo unafeli bila unafiki wala ishabik
Dunia inamengi kikweli
Why he do that
Ah mnaiga
Duh!
Nomaa ww mtu dah
Hadith hadith tam kolea..
Story ni nzuri ila tatzo lipo kwa msimuliaji. Msimuliaji hana kipaji cha kusimulia, hebu nenda kwa Mtiga Abdallah ukapate course
kama ujamkubal kaaa kimya tabia ya kulinganisha watu acha
Kila mtu ana ladha ambayo mwingine hana ulichonacho wewe mimi sina na nilichonacho mimi wewe huna.Usifananishe watu brother.
Hizi mambo ni za mashetani.
Daud Habona kabisa
Kwel
Kaswida zanzibari
hafidh
Sea
Sema hio proverb ndo ilinipa shida sana
Matango pori hayooo
picha za kuchora zote
Story za uogo
Haina uhakika kama ni ukweli au uongo ndio maana zinaitwa MYTHOLOGY
@@BONGOFASTA Jitahidi usome vitabu ndugu. Hii ni story iliandikwa na Sophocles ikafanyiwa dramatization kwenye stage
Oedipus complex
Hapana
Fate...
Oedipus rex
Hi ni fiction story, ya ancient Greek sio true story
@@rweenysamuel8146 Ndugu yangu naona umeenda mbali sana. John Nzao alipokwambia kuwa ni fiction alimaanisha 'hadithi ya kubuni' Hivyo unapaswa kuelewa kuwa fiction hazifanani na biblical stories. Mwandishi wa hii story alikuwa anaitwa Sophocles, sasa we ukisema ni ya kweli wanafasihi tunakucheka
It is rather a myth than a mere fictional story. Philology goes after all these myths. The same way you see great nations today like the US, UK, FR, RUS, CN, GER, etc. Greece was just like that BC. Call them fictional, I'll tell you to dig deeper in history. I'm ukiambiwa hata Demokrasia ilianza way before Christ, utakataa.
@@kedyjohn1848 You are probably not a student of literature. Yeah, it is a myth but 'it is fictional'. We have gone through many of Sophocles' works, as we have many of Plato's and those of Aristotle. Go and read more about Greek drama.
@@pauljoseph1800 You had to conclude "not a student of literature" just because of your insufficient summary: I stated "not a MERE fictional rather a MYTH". Raise your skills in nailing keywords.
@@kedyjohn1848 Not a place where we can talk more about drama unfortunately
Apo chacha!!!
Wazungu...
Mm mm mm mm!!!!!!!!
Aiseeeh
Mtiga wp umsaidie huyu mtu
Asante kwa kujali na kututafutia msaada.
Acha zarau