TAZAMA VITUKO VYA JOTI AKIMTANIA ALIKIBA/DOKII ATAKA KUMPIGA/KIBA AMTETEA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 май 2021
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    TAZAMA VITU VITUKO VYA JOTI AKIMTANIA ALIKIBA/DOKII ATAKA KUMPIGA/KIBA AMTETEA
    #Bonatv #Exclusive
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 138

  • @onecycytv3266
    @onecycytv3266 3 года назад +6

    Wallah Kiba Hana kujivuna Ana mu heshimu kilamuta Hajivuni wawatu💖💖🇧🇮🇧🇮

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 года назад +18

    King we utabaki kua king daima hunaga majivuno upo kawaida sana yaani ingekua wenzetu wale apo nyuma full msululu wa mabod gad

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 3 года назад +7

    AliKiba simple world star, kipenzi cha watu 💋🇨🇩🇨🇩✌️

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 года назад +36

    *Tanzania pamoja na shida zetu ila kitu cha muhimu upendo tunao tukiwa pamoja sote huwa ni ndugu tofauti kabisa na nchi zote za africa ukikataa hilo maana yake ww hujatembea nchi zingine*

    • @agneskadzo6105
      @agneskadzo6105 3 года назад

      Mmh matusi tuyaonayo kwa mtanzania na mtanzania...hapa wameficha kucha zao ila hamupendani...?

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 года назад

      Sema na shida zangu, wengine hatuna hizo shida

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 3 года назад

      Upo sawa we are together Tanzania's

    • @adidjayousuf7300
      @adidjayousuf7300 2 года назад

      @@nilansaid2927 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @glorygosbert2659
    @glorygosbert2659 3 года назад +6

    Nimemuona Lemutuz kwa mbali waooo Umoja ni Nguvu na furaha.

  • @hilarimaramsha1633
    @hilarimaramsha1633 3 года назад +11

    Haya maisha ya styl hii raha san

  • @jackierama1817
    @jackierama1817 3 года назад +17

    Kiba mi naomba bodyguard wako😁😁

  • @abdulqareemabdallah2579
    @abdulqareemabdallah2579 3 года назад +10

    Nawapenda sNaa nyiye watu wote mliokuwepo hapo Maan mnafuraisha sNaa utan raha hakun fujo Tim kwa wote wasanii nawapenda bureeee

  • @erickelia9826
    @erickelia9826 2 года назад +1

    Kazi nzur Sana big Gap Sana time nzima

  • @farajafaston569
    @farajafaston569 2 года назад

    Penda sana Ally Kiba🙌
    Sema Joti ni Comedian in nature 🔥

  • @annaanyosisye8682
    @annaanyosisye8682 3 года назад +23

    Ninachompendea king kiba hana mbwembwe za kijingaa yupo vizuri❤️❤️❤️ broo

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 3 года назад +2

      Anajielewa sana

    • @annaanyosisye8682
      @annaanyosisye8682 3 года назад +2

      Ndoo wasanii kama Hawa ndiyo wanatakiwa 🇹🇿🇹🇿c wasanii skendoo z ajabu ajabu wawe km king bhanaaa

    • @ayshaothman3995
      @ayshaothman3995 3 года назад

      Yeeee baba king kiba hana shobo

  • @misigarojeandedieu1865
    @misigarojeandedieu1865 3 года назад +1

    😂😂😂😂 joti weeeeeee wee mkali...sana..nakupenda sana, respect kwa king kiba...

  • @ramsman7083
    @ramsman7083 3 года назад +7

    Kitu kizur cha kuigwa,they spread love

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 3 года назад +4

    Mashaa Allah🔥🔥🔥🔥

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 3 года назад +6

    Na mzee shayo nimemuona🤗

  • @bahihira949
    @bahihira949 3 года назад +3

    Doing great guys 💚

  • @djgmp8140
    @djgmp8140 3 года назад +18

    Kiba ni ⭐ bhn paka mastar wanaomba kupiga nae pic

  • @sabrinapius4562
    @sabrinapius4562 3 года назад +16

    Gonga like km umemwon mzee shayo

  • @braytonyofficially7362
    @braytonyofficially7362 3 года назад +1

    Hili vibe nimelikubariiii xaf sana apa kunachakujifinza kbsaaaa

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 3 года назад +1

    Watu poa hawana makuzi👏👏👌❤️

  • @pascalstephano5512
    @pascalstephano5512 3 года назад +4

    king kama king

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +12

    *Ali kiba mbavu hana* 😂😂😂😂😂😂😂😂 Kajoti Kila neno linalotoka ni pumba

  • @salmaramadhan5386
    @salmaramadhan5386 3 года назад +7

    King kibaaaaaaa

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf 3 года назад +3

    Dah,,ila nampendaga dokii kimapenzi sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 года назад

    Nawapenda sana 😍😍😍😍😍😍😍

  • @amanisalumumercus7308
    @amanisalumumercus7308 2 года назад +1

    Kibaga tuna kukubali congo

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 3 года назад +12

    Aliii kipenzi cha watuu yani hajali kabisa anajua n ndugu zake wote kweli ana enjoy

    • @officialbntrasool5223
      @officialbntrasool5223 3 года назад +2

      Wala han mabodguard

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 года назад

      Kiba hajikwezi

    • @subiraboi9397
      @subiraboi9397 3 года назад +1

      Haina shida sabbu hakuna anae jiweza ila kwa amri ya mungu sabbu nna iman n kijana mpambanaji

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 года назад

      @@subiraboi9397 sio kujiweza Subira ni kujikweza. Ni tofauti

    • @subiraboi9397
      @subiraboi9397 3 года назад

      Ok nimekuelewa amemlea malezi mazuri mmake masha Allah

  • @yussufkansela8118
    @yussufkansela8118 2 года назад +1

    HADI RAHAAAA

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 3 года назад +2

    Safi sana

  • @mwambodzemwangongo3884
    @mwambodzemwangongo3884 3 года назад +1

    Napenda umoja wenu..

  • @agathasule2143
    @agathasule2143 3 года назад +11

    Hahaha nawapend buree

  • @allynurdin6785
    @allynurdin6785 3 года назад +3

    Sawa

  • @bizimanaomar3932
    @bizimanaomar3932 2 года назад +1

    Napenda sana

  • @husseinhuseni9349
    @husseinhuseni9349 3 года назад +8

    Mfalme wa music tz Al kiba

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 3 года назад +13

    Joti anachekesha lakini anauliza maswali ya muhimu

  • @abdicamel7571
    @abdicamel7571 3 года назад +1

    Pamoja sana

  • @joshuaprincess7832
    @joshuaprincess7832 3 года назад +2

    Kingsmusic4life

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 3 года назад +1

    Salama jabir mmh

  • @kelvinmbwanje3171
    @kelvinmbwanje3171 3 года назад

    Mind your step

  • @fashionkillernerob636
    @fashionkillernerob636 2 года назад +1

    Nakubali

  • @kimrudiger4454
    @kimrudiger4454 3 года назад

    Joti stole the show.........too hilarious

  • @chidyboy748
    @chidyboy748 3 года назад +1

    kibaaaaaa💪

  • @manfredmwitwa8942
    @manfredmwitwa8942 3 года назад +6

    Asas team🤫🤫

  • @omanomana3958
    @omanomana3958 3 года назад +2

    King Kipenzi Cha Watu

  • @siaminsilwimba6959
    @siaminsilwimba6959 3 года назад

    Vzr sana

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 3 года назад

    Kitu na Salama maanduje jamaniking kibao rudisha koti la Bi Amina hehehe love you all

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 года назад +2

    Good

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 3 года назад +3

    Nimempenda joti

  • @kamakarizona5189
    @kamakarizona5189 3 года назад +6

    👑👑👑👑

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 года назад +6

    Kiba mbona uzuri unazidi jama hadi unatia uroho 😋😋

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 3 года назад

      Ohooo😂😂😂 kimeumana 🍆

  • @saidzak9976
    @saidzak9976 3 года назад

    Swafiiiii sanaaa

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 3 года назад +4

    Joti ni star ⭐️ sana 😂😂😂

    • @naimaislam552
      @naimaislam552 3 года назад

      Yaaani hajatumia hta nguvuuu lkn watu tumechekaaa

  • @sophiamahanyu3056
    @sophiamahanyu3056 2 года назад

    Yan joti wew maswali yakingereza tupo

  • @omaramina3421
    @omaramina3421 3 года назад +6

    Mimi nimemhona Hakika Reuben tu hapo🤣🤣

    • @Allyjully98
      @Allyjully98 3 года назад

      kama mimi tuu kumbe 🤣🤣🤣

  • @mzeemohamed9286
    @mzeemohamed9286 3 года назад +6

    Joti fwala sana 🤣🤣

  • @wardamzuka3997
    @wardamzuka3997 3 года назад +3

    Salama j andunje

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 года назад +1

    Uyu joti kashindikana wallah

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 года назад +2

    Uzuri wa AliKiba hana dharau kama Sadala na Mende wake

  • @gretarobert17
    @gretarobert17 3 года назад

    Uyoo s dokiii

  • @salehhassan2006
    @salehhassan2006 3 года назад +2

    Zaidi ya upendo 💯💯💯💯💯💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ub3cn8wl4e
    @user-ub3cn8wl4e Год назад

    Yupo salama jabir, maufundi ,anko zumo, ila joti na kiba nyinyi ndio munachangamxha yan hatar

  • @yebabatz1776
    @yebabatz1776 3 года назад +2

    Kingkiba

  • @alijunijohn1454
    @alijunijohn1454 3 года назад

    Hahahahaaaa daaah joti jamn umenifurahisha

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 3 года назад

    Hakika Ruben kafurahi sana kukutana na king

  • @mwajumajumanne5307
    @mwajumajumanne5307 2 года назад

    King king king

  • @benomdaile7271
    @benomdaile7271 3 года назад

    Joti bhanaa daaaa!

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 года назад +2

    Raha

  • @temelesenior0039
    @temelesenior0039 2 года назад

    Nimependa sana joti hana nyongo wala nn

  • @jimmyapostle3435
    @jimmyapostle3435 2 года назад

    Kiba

  • @johnaloyce9947
    @johnaloyce9947 3 года назад +3

    Kukamua kwa mkono au mashineeee hiyo dah! p
    Jot we kiboko

  • @chollejr_
    @chollejr_ 3 года назад +1

    Ivi joti mlishindwa mkata mitama🤣🤣🤣

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 3 года назад +1

    Jot fala

  • @agaaah6697
    @agaaah6697 3 года назад +2

    Joti akili huna

  • @nurdinsaid4432
    @nurdinsaid4432 2 года назад

    Hahahahah jot unajua

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 года назад +6

    Jotii fala snaa😂😂😂ety anakanua gombe maziwa na mkono analia aaaaaaooooh🤣

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 года назад

      ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 года назад

      Zennah♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @carolynemkutano8086
    @carolynemkutano8086 3 года назад +1

    Joti maswali yako yamenifurahisha kweli, wewe ulikua mwanafunzi bora darasani 🤣🤣🤣

  • @nadegehakizimana2146
    @nadegehakizimana2146 3 года назад

    Ivi joti zipo kwel😅😅😅😅😅😅🇧🇮

  • @mudyking8282
    @mudyking8282 2 года назад

    Uyu jamaaa sikasema ataki bodygady leo hii uyu nan choko kwel uyu

  • @sospeterkaponoke3789
    @sospeterkaponoke3789 3 года назад +3

    Joti atamua kiba si kwa kumchekesha huko

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 3 года назад +2

    Aka kabwana joti mbona kasumbufu ivi 🤣🤣🤣eti kukaamua kwa mkono na kwa mashine

    • @roi2554
      @roi2554 3 года назад

      Msumbufu coz mfupi😆😆😆

  • @devotangoda4112
    @devotangoda4112 3 года назад +3

    Nani kamuona kiboga

  • @burudaniextra8643
    @burudaniextra8643 3 года назад

    😂 😂 😂 😂 😂

  • @omarmzee758
    @omarmzee758 3 года назад

    Kiba akiwa na wana maeneo

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 года назад

    Maufundiii..

  • @shebizo4769
    @shebizo4769 2 года назад

    Asee jot ww nikisanga😆😆😆😆😆😆😆

  • @Hashdough
    @Hashdough 3 года назад

    WHAT IS THIS?????????

  • @wilbertthomas8357
    @wilbertthomas8357 3 года назад +1

    🤔kwani hili shati alilovaa Ally kiba sio la kijeshi hilo na wenyewe hawajaona au habari za kuvaa nguo za jeshi imeludi alivuliwa diamond jukwaani

  • @zaynahmoh5149
    @zaynahmoh5149 3 года назад +2

    Jaman kumbe joti mfupi🤣🤣

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 года назад +3

    Hilo koti la kiba vipi,sikuhizi kawa afande nani?

  • @mercemlondani7910
    @mercemlondani7910 3 года назад

    NimSana

  • @ramakimolo125
    @ramakimolo125 2 года назад

    Ufallaa ya jot

  • @ismailabdulrahman7216
    @ismailabdulrahman7216 3 года назад

    Joti kawafunika wasanii wote

  • @misapinamiswi5751
    @misapinamiswi5751 3 года назад +1

    Kwani mwarabu fighter yuko na kiba

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 года назад +1

    Joti mfupi kuliko wote

  • @allynurdin6785
    @allynurdin6785 3 года назад

    Nkbli

  • @akilihabibu4203
    @akilihabibu4203 3 года назад

    alikiba kwa kk hizo unatisha maana copying umekomesha nimemuona mwarabu

    • @sophiasophia9713
      @sophiasophia9713 3 года назад

      Wote hao ni mabalozi wa asas, unakurupuka tu 🙄,

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 года назад

    Maziwa ya Mbuzi tumekunywa kabla yao sisi kizazi jeuri hatar

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 3 года назад

    ❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 года назад

    😂😂😂

  • @salmamusa9085
    @salmamusa9085 3 года назад

    Joti mpe shughuli tu haaribu kitu