I think senior needs a true spiritual father to mentor n pray for him he's bewitched! This is a spiritual thing mapepo yanakuita usidhani yule mama muuwaji ni a normal woman na wale wengine pia si watu wazuri be very careful. Those around senior should not allow him walk around alone
Jana nimetuma message karibu mia nikisema hio n set up but askii,, shida ya senior Dave ni kichwa ngumu,, haya ameyatimba mwenyewe,, mpaka kuna funs walimwambia uchawi wa nguku wa nguli na Annita inafanya kazi lakini aliwakemea na kusema vile anapenda Annita,,mimi nimechoka na hayo mambo ata siwezi tena changa 😢😢
Dave should wait to be fully recovered before embarking on other mission.. True K is depressed his accounts gone and the events that took place during Dave search can traumatize him and cause a very bad depression. Let's pray for him to be found safe.
God forbid hio ya kichwa kuletwa! Senior is our son n brother asaidiwe na his movements be monitored n above all awe na spiritual father atolewe hio mapepo imempagaa
Hili ni jambo la kushangaza kama huyu jamaa aogopi lakini tunamshukuru Mungu amefanya maajabu yake kama Mungu muhimu Dave ajue Mungu anampenda na pia akue serious na maisha
Kwanza Dave uwa anajifanya anajiamini sana hata vile mwanzo alisema waache wanipeleke nawalimpeleka kweli huyu dave anajifanya mjuaji Sana watu wafupi ndio walivo
Byta senior dave hizi ni maujinga unasikia hadi hyo mtu anasema ama ni toe kichwa na watu wakae rada hata truek akipatika bella be careful thamira yangu imeniambia hata nilikuwa nafeel tuek atachukuliwa na si ati amefanya nini ile mlijaribu kusave dave be prayerful na mimi nko saudi ziko kenya
Senior Dave needs to take advice and prayers, and I wonder those around him , the Pastor and the rest we're they in his company or what advice did they give him ??😢 Senior Dave, what is wrong with you ??😮
Tumetoka kwa kuomba na kufunga tukimlilia Dave, ona ako kwa msitu peke yake kutafuta True K, anasahau goons sio nguku wa nguli, they are armed with weapons, umeona karibu akatwe kichwa na bado hajapona. Mpaka nimejiuliza kwani Dave amerushiwa roho ya kifo? Mungu amemuokoa tena, ako kwa choo ya wenyewe, goons still can trace him, what if mwenyewe atoke kwenda choo. Malaika if you can reach him si umwambie aitishe uber kama hana pesa aseme. Bona aende peke yake kwa msitu usiku? Alisikia yeye alitafutwa na True K peke yake ama hana habari DCI FRED was well armed and two private police?
Thank you malaika for coming out loud senior need s one on one advice we were stressed out when he went missing now he is just walking to evil people’s hands himself.Hii ni maujinga.
Lakini first of Dave akona maadui wengi sana the likes of kasongoree,,nguku wa nguli plus Anita so the best thing nikumuombea pliz this is not the right time to judge kwaza akuwe sawa
Alafu akidnappiwe waanze kusema dave is missing mara kuchange,I give up and tired of this whole drama nkt na tulimwambia kwa live bado hajapona akasema ako sawa.
Hakusema Ako machakos hata, he could be far in any ukambani. Tena amesema ameenda na gari yake akaiacha mahali haingeingia. He actually said atoke Kwa choo akalale Kwa gari. Meaning Iko karibu
Very well said, Malaika. Hii ni ujinga kabisa.
True true MK.sasa senior anabore watu. Ata dci Fred atakasirika
Alishaakasirtika sana.
Surely huyu Dave hawezi saidika,, the way have seen him,,ako na ujinga yakuzaliwa for sure
Kbsa
but if n ukweli mtoto wa wenyewe atahumia
Truth 100%
Yes,,had Fred karibu akufe juu y Dave,,then anarisk maisha hivo😢😢
Is true malaika pia mm nimekasilika sana kuona amenda pekee imgne bila Dcl
I think senior needs a true spiritual father to mentor n pray for him he's bewitched! This is a spiritual thing mapepo yanakuita usidhani yule mama muuwaji ni a normal woman na wale wengine pia si watu wazuri be very careful. Those around senior should not allow him walk around alone
Senior dave nikama amejaa mapepo ya Anita😂😂😂🎉
😂😂😂😂 alialikwa ugali
Jana nimetuma message karibu mia nikisema hio n set up but askii,, shida ya senior Dave ni kichwa ngumu,, haya ameyatimba mwenyewe,, mpaka kuna funs walimwambia uchawi wa nguku wa nguli na Annita inafanya kazi lakini aliwakemea na kusema vile anapenda Annita,,mimi nimechoka na hayo mambo ata siwezi tena changa 😢😢
Mm nimechoka na hizi drama let me sleep 😮
Malaika msema kweli. Hapo kuna ujinga fulani. Mungu ni kweli amekasirika.
God bless you DCI Fred u r a good man
😅😅😅😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣my sweetheart malaika nakupenda bure my love❤❤❤❤❤❤❤❤ you're speaking 🔊 loudly 😅😅😅😅😅😅
Ama tuachane na Dave aaaaa tumekasirika
Awache ujinga
Senior needs a lot of prayer 🙏🏼 coz si kawaida
Ni kama Dave anacontroliwa na remote control 😢😢😢😢😢
@@Bossie-y8o 😆😅😅😅aki ni ukweli umeona vile ametoka kwa choo akimbia mbio kufika katikati tena akarudi kwa cho mbio
@HellenNgugi-m9t eeeh imefinywa back 😂😂😂
😂😂😂
@Bossie-y8o 😂😂😂😂😂
Dave hatujafurahia kabisa 😢😢😢 true k is your friend bt look your condition first before you risk acha Dci afanye kazi ile umfanye not good at all
Dave should wait to be fully recovered before embarking on other mission.. True K is depressed his accounts gone and the events that took place during Dave search can traumatize him and cause a very bad depression. Let's pray for him to be found safe.
Malaika ingue Ngoma 😂😂😂😂
Dave ako NaTABIA YA NGURUE❤😂
😂😂😂
Yes tunakusikia mum❤❤❤
Dave ni kichwa ngumuu aki,anaitaji maombi kabisaa
Ukipata time Dave umpe advice please ❤
Yeah uko loud and clear mtoto wetu
Hta mm nimeshangaa aki bona haende pekeeake, Dave sasa ameanza kutupea pressure tena
God forbid hio ya kichwa kuletwa! Senior is our son n brother asaidiwe na his movements be monitored n above all awe na spiritual father atolewe hio mapepo imempagaa
Hili ni jambo la kushangaza kama huyu jamaa aogopi lakini tunamshukuru Mungu amefanya maajabu yake kama Mungu muhimu Dave ajue Mungu anampenda na pia akue serious na maisha
Uko sawa kabisa.
Senior is controlled by waganga na wachawi juu for Jay Junior alisema kale kamzee ka pastor Nancy kako after Jay kanataka kumuua Jay
Dawa ya Dave ni Fred,vile Fred alingangana kumuokoa halafu ameanza hii ujinga😢
Malaika wacha kukach ma feelings. Hizi vitu zote ni acting.. bona unajisubuaga. Pole mama Kama hujui...
Kwanza Dave uwa anajifanya anajiamini sana hata vile mwanzo alisema waache wanipeleke nawalimpeleka kweli huyu dave anajifanya mjuaji Sana watu wafupi ndio walivo
Asant dci Fred kwa kutu up date, Dave Yuko safe, barikiwa Sana umetusaidia mioyo.lakini jameni ni uchawi.
Ata sio mapepo pia Mimi wangu ako na ujinga Sana juu mnaomgea vizuri but akitoka anafanya vitu tofauti na ukifanya wamwsahau
Uko sawa
DAVE NIKAMA AKO JINI YA UJAWE KABISA. NIKAMA DAVE ANAKUA CONTROLLED NA NGUKU WANGOLE.
Ee Mungu tupatie another chance juu ya Dave you are able!
Yes uko sawa
Uko sawa dear
Hii si uchawi ni comedy tuendee kuwatch
😂😂😂😂😂devi apana kwakweli
Tuna kusikia kipenzi❤❤❤😂
It's not normal pls huyu Dave ni kama amerogwa.Anaendaje ku recover mtu usiku bila company na hana silaha . Lets pray for him.
Hio haikai normal malaika. Huyu Mtoto wetu Dave ni kama kuna mapepo yanamsumbua. Anahitaji maombi ya nguvu.
Na alisema tu ni kama setup....no money tunaenda xmas
Byta senior dave hizi ni maujinga unasikia hadi hyo mtu anasema ama ni toe kichwa na watu wakae rada hata truek akipatika bella be careful thamira yangu imeniambia hata nilikuwa nafeel tuek atachukuliwa na si ati amefanya nini ile mlijaribu kusave dave be prayerful na mimi nko saudi ziko kenya
😂😂😂😂malaika kikale ulitoa wapi leo😅😅😅
I want to ask one question how can u be beaten ukirecord aje??????
Cheza chini😂😂😂😂
@@LoiseJohn😂😂😂
Malaika pls continue praying 4 SD CZ these isn't normal .Bad spirit iko ndani ya sd kurushiwa so HAJIELEWI.
Ni nguku wa nguli na Anita wako kazi😢😢😢. Na yeye senior dave anapewa advice hasikii😂
Kwanza alisema mtaje bb yake huyu alikaliwa ugali
Aki ya mungu,,,this is serious,,,,waaaa sina ata la kusema
Amerogwa huyo,alilala kwa choo😢😢😢alafu to make it worse ako pekee usiku machakos msituni
Hakuna kurogwa senior hackiagi
Hata hajapona, dave ni waximu😢😢😢kabisa
Luck of knowledge is very bad.start again raising money to rescue him.nonsense
Yes loud and clear
Malaika, unafanya nicheke waah
Yaaak enyewe sasa Senior anasumbua na ni ukweli vile unaongea Malaika ju fans ata tunashindwa shida ya Dave ni Nini
Yani huyu Dave kama mjinga
Anasiraha yoyote tumechoka na mambo yao
Watafute suruisho
Senior Dave needs to take advice and prayers, and I wonder those around him , the Pastor and the rest we're they in his company or what advice did they give him ??😢
Senior Dave, what is wrong with you ??😮
Tumetoka kwa kuomba na kufunga tukimlilia Dave, ona ako kwa msitu peke yake kutafuta True K, anasahau goons sio nguku wa nguli, they are armed with weapons, umeona karibu akatwe kichwa na bado hajapona. Mpaka nimejiuliza kwani Dave amerushiwa roho ya kifo? Mungu amemuokoa tena, ako kwa choo ya wenyewe, goons still can trace him, what if mwenyewe atoke kwenda choo. Malaika if you can reach him si umwambie aitishe uber kama hana pesa aseme. Bona aende peke yake kwa msitu usiku? Alisikia yeye alitafutwa na True K peke yake ama hana habari DCI FRED was well armed and two private police?
Tunakusikia vizuri sana
Thank you malaika for coming out loud senior need s one on one advice we were stressed out when he went missing now he is just walking to evil people’s hands himself.Hii ni maujinga.
Dave aombewe labda amerushiwa mapepo😭😭😭😭😭
Kweli malaika senior Dave kiburi ndiye mingi aki
Uko sawa kabisa
Aki mh naona its like davi ametumiwa roho ya confusion
Aki senior Dave anatubor sana sasa
Niukweri hawatu tunawapenda rakini wanatuchosha simu iko on Bona wasimutrak
Mimi nimeona kama hii ni comedy TU 😅
Kindly ongezea na Dave .kwanza afanye deliverance
Ongea
Aki senior Dave hayuko serious hadi anatuogopesha sasa
Yea uko sawa
Malaika mm pia nilishangaa mm ata nilikasikika sana though maybe be ni mauchawi sielewi infact nililala karibu nipatwe na stress imagine
Mimi ninaona hii sasa ni biashara.
Siongei sana but senior dave anataka kuwacha mamake akiteseka, DCI fred akisikia ataudhika sana ju ya vile aliteseka akimtafuta
True Malaika ❤
Ata mimi malaika, nashangaa na senior dave. Juzi tu amekua rescued......
Mm hapo sitaki kujuwa himambo inaninya
Sound and clear
Walia Davi is not serious at all how can he go with our security surely
Yes Malaika we can hear you.
Sauti Iko sawa
Malaika usikasurike Dada niuchawi nikimuombe plz tunaomba mungu amusaidiye asingeyenda Bila wao
The sound is very clear
Dave like showoff na kusifiwa hiyo ni ujinga ya Hali ya juu Dave should be very careful
Alafu anatuambia anita kumbafu zake Mani anaona anataka kumnyanganya hio ngorilla take
uko sawa
Kwishon mark????????
Tunajua anampeda truek bt hawezi kueanda pekee yke hta machana au usiku.
Lakini first of Dave akona maadui wengi sana the likes of kasongoree,,nguku wa nguli plus Anita so the best thing nikumuombea pliz this is not the right time to judge kwaza akuwe sawa
Malaika jalibu kuongea na fred amuendee juu hayuko save
Imagine Senior Dave ako kwa Choo mafichoni.. 😭😭😭 Asaidiwe aki..
Atasaudiwa aje hata anafanya life akiwa kwa choo ya wenyewe na light ya simu on.
Alafu akidnappiwe waanze kusema dave is missing mara kuchange,I give up and tired of this whole drama nkt na tulimwambia kwa live bado hajapona akasema ako sawa.
Akh kwanza mm aliniudhi kwa hiyo live hata nkasema wacha tu akufe nikalala nkt
Tunakuskia kabisaa
Aki fred pia jamani atakasirika jamani sd amefanya vibaya kabisa ,yes Jay ni rafikiyake lakini angetuma watu wengine😢
Pia mimi kwenye hizi stories zimefika, nimekuwa mpendwa mtazamaji
Malaika...annita hajalala na mauchawi zake..na huyu .mjinga hafikiri..haiyaii!
Hakusema Ako machakos hata, he could be far in any ukambani. Tena amesema ameenda na gari yake akaiacha mahali haingeingia. He actually said atoke Kwa choo akalale Kwa gari. Meaning Iko karibu
Akiongea na ako kamzee alikauliza kakasema ni machakos
Tumechoka😢😢😢😢
Tunakusikia Malkia,,,yes
Hakua na mtu yoyote alisema yupo pekeyake alikua ana shuti mwenyewe akuaona mtu kwa balabala ndo akaomba ashike kamera
Please talk to him if he's talking to you ni uchawi 😢😢aki