Kama kwenye maisha tungekuwa tunachukuliana hivi hasa pale ambapo wote tuko kwenye safari ya mafanikio, Dunia pangekuwa sehemu Salama. I love the humility and professionalism of these spokes men. Wanatufundisha kuwa MNAWEZA mkatofautiana na msiwe maadui, mkacheka na kufurahi. 🇹🇿❤️
Nimependa mlivyokuutana na kutakiana heri, ingekuwa mmejipanga kuongelea ubingwa wa timu zetu kisayansi zaidi na hiyo clip ingeleta mvuto Afrika nzima. All the best Tanzania.
NIKIWA CANADA , NIMEFURAHIYA HICHO KITENDO MLIYO TU HONESHA SISI MASHABIKI WA MPIRA. NI FUNZO KUBWA SANA AMBAYO MASHABIKI WAJIFUNZE ZAIDI KWENU.. MPIRA SIYO VITA, MATUSI. BALI NI BURUDISHO TU...
Bravo jpl 9 simba 9 Costa 12 _ mech za mwsho zikichezwa Bravo 10 atapta sare na sfaxen ,Simba 12 Costa anakufa ,Costa 9 _ waliopita n Simba 12 na Bravo 10 ✈️
Hii nimeipenda....na Mashabiki wanaogombanaga kuhusu mpira na kutupiana maneno yasio faa....Mfano mtakuwa mmeshaupata Ukisikia Mtani wa jadi ndo maana yake hii..
Awa wstu ama wasemaji wetu ni Wana sana sema mashabiki tunajizimaga data na kuona kama vile Simba nayanga ni maadui ata wasemaji hawatakiwi kutaniana uso kwa uso😂😂🥰🥰💛💚

Unafaa kuwa kiongozi. Umeongea vizuri sana
Fact
Gusa achia Twende kwao gonga like km unaimani tutashinda
😂😂 mhm mmh!sijui
InshaAllah Tutashinda 2-1 Au 2-0
kila la kheri Tanzania nimecheka sana allykamwe na ahmed ally wakikutana wanapendeza sema Tanzania yetu nzuri sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❣️❣️
Nimependa mlivyokuutana na kutakiana heri, ingekuwa mmejipanga kuongelea ubingwa wa timu zetu kisayansi zaidi na hiyo clip ingeleta mvuto Afrika nzima. All the best Tanzania.
Mungu atutie nguvu nawapenda mkikutana tunafurahi sana. Mungu Tusaidie Team Zetu Yanga na Simba tufuzu Robo Fainali
Sema hii nameipenda sana ❤❤
Utani wa hawa Jamaa mzuri Sana na huu ndio utani wakweli ❤Safi Sana wamba kazi zenu nzuri🎉
❤❤❤❤❤ kazi iendelee poiti 3 muhimu
Yani ali na Ahmed 🎉🎉🎉🎉
NIKIWA CANADA , NIMEFURAHIYA HICHO KITENDO MLIYO TU HONESHA SISI MASHABIKI WA MPIRA. NI FUNZO KUBWA SANA AMBAYO MASHABIKI WAJIFUNZE ZAIDI KWENU.. MPIRA SIYO VITA, MATUSI. BALI NI BURUDISHO TU...
Kweli kabisa
Ya allah jaalia ushindi kwa yanga
Hongereni sana wasemaji nyie maana daaah
point tatu muhimu kutoka kwa al hilal 😍😍😍🙏🙌
It's not over until it's over let's believe in God Every thing is possible.laxima tupate point 3
Duuu jmn Hawa jamaa ni comedians wa kutupwa ni stive na ndaro Tena 😂😂😂😂😂😂
Huu ni utan tu mkuu let be positive hizi timu zote ni zetu,,i declare im a Simba
TRA
Touch
Release
Attack
Maana halisi ya UTANI WA JADI
Bravo jpl 9 simba 9 Costa 12 _ mech za mwsho zikichezwa Bravo 10 atapta sare na sfaxen ,Simba 12 Costa anakufa ,Costa 9 _ waliopita n Simba 12 na Bravo 10 ✈️
Inshaallah M/Mungu atufungulie Njia y mafanikio
all the best inshallah tutashinda❤ ❤ yanga
Bwana ndie mchungaji wetu zaburi 23
Hii nimeipenda....na Mashabiki wanaogombanaga kuhusu mpira na kutupiana maneno yasio faa....Mfano mtakuwa mmeshaupata Ukisikia Mtani wa jadi ndo maana yake hii..
❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu Moja ubaya ubwela nendeni mukashinde inshaallah kheri goli tatu huko Angola kila la kheri mnyama Simba
Kila la kheri timu yangu ya yanga
Awa wstu ama wasemaji wetu ni Wana sana sema mashabiki tunajizimaga data na kuona kama vile Simba nayanga ni maadui ata wasemaji hawatakiwi kutaniana uso kwa uso😂😂🥰🥰💛💚
Kuifunga yanga nikama umeingia pepon ndio maana wote walioifunga Yanga walisheherekea sana kama wamechukua kombe
Hawa ndo wasemaji sasa😅😅 ila kamwe nkama mnyonge hv🤣🤣🤣
Ahmed ni muongeaji zaidi ya ali kamwe
Bro howa haraka sana❤❤❤
Hilo lishabiki la kolo linakula nini😂😂😂😂😂😂
Maongez mazuri tang TZ ianze, jmn simba na yanga wamepat wasemaj wazuri Kwa kweli
Msisemi inawezekana wakabaki na 9 au 10.
Alikamwe ni mmoja tu
mjifunze na mashaniki maaba mna tabu wakati mpira ni upendo
Wanahabari wetu wamekaririshwa maswali, ni yaleyale kila kukicha. Maana yake hawana ubunifu!
Yanga mkitokewa kocha msimfikuze
Nimewapenda mpira cio vita
Gusa achia twende kwao,halaf hatuendi roboo😂😂😂
Yanga isipo chukua ubingwa wa CAF basi naoa
Ila ww isipochukua ubingwa unamuacha😅😅
Hata mm naoa 😂😂
Nitumie kadi mzeee maana unaoa soon.
@@raybaclayz4589 ahahahahah
UBAYA UBWELA UTAFANYA KAZI UKO MAULITANIA
Achen kukaza fuvu hii michuano ni mikubwa ongeen na ibenge na wachezaji mfuzu
Yanga kashafungwa tuu na team ya Al Hilal inshaallah kheri
Kime umana
Huy ali kamwe mseng Ahmed Ally alisem 2020 yey analet habar za 2003 wakat iy 2003 yenyew yey ndo kwanz an miak 3
Yaani mseng ni wewe unatutangazia biashara yako kijanja
Huo n utan na ndo maana ya utan wa jadi kwahyo wanaongea kuitan zaidi af kua na miaka 3 sio kutojua record
😅@@samwelizack7393
Tumuulize usenge umetokea wapi....?
@@samwelizack7393 ww nae kwel kum kun biashar nil kutangazia ap
Tutashinda
wazee wa ramli na hesabu hahahhahaah
Dua yangu Kwa utopolo mfungwe tu hakuna zaidi
Chuki sio nzuri simba na yanga wanaombeana dua sio kuombeana mabaya.
Dua la kuku
Kama hiyo ipo, ipo tu, Mungu akitoa kibali no matter what happens on the way.
Mimi maombi yangu ni bravo awagonge 3 mtungi na hamchomoki pale
Mtoto na baba