JITAIDI KUSIKIA SAUTI YA MUNGU NA UMUELEWE KITU ANAKUSEMESHA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 80

  • @InnocentFullMoon-hq3tj
    @InnocentFullMoon-hq3tj 10 месяцев назад +26

    Bwana Yesu asifiwe. Nina ushuda kupiti. Huduma ya nenola. Mungu. Moshi. Uwanja wa mashujaa mamayangu. Alikuwa anaumwasana. Baadae yakwenda. Viwanja vya mashujaa. Kurudi namkuta kashaa poke uponyaji. Nasasa anendelea vizuri

  • @justerkamala3933
    @justerkamala3933 10 месяцев назад +10

    Daah ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa huu ujumbe aisee nilipatà shida sana kukaa kwny guest kwa miez10 kwa ajili ya kazi nasiwezi kuhama kwakuwa ilikuwa nikambi nzima tuko pale ,hee nikaanza MAOMBI pale daah nilivamiwa namijitu ya ajabu nilipatà vita ambayo siwezi hata kueleza lkn nashukuru Mungu sana hakuniacha yaani 😢😢,unakutana na mmiliki anaonesha chuki kabisa naww daah hii nipoint kubwa sana watumishi wa Mungu tukiingia kwny hotel

  • @TabizaAlex
    @TabizaAlex 5 дней назад +1

    Mungu azid kukutunza baba huduma yako ni njema🙏🙏

  • @revinalyaumi8826
    @revinalyaumi8826 9 месяцев назад +1

    Nabarikiwa Sana nikiskia mafundisho yakoo, hakika mwalim NEEMA ya Mungu iliyoko ndani yako Ni baraka kwangu

  • @PablooZambi
    @PablooZambi 10 месяцев назад +2

    Mungu akubariki sana mtumishi …kuna kitu nimejifunza hapo maana kuna saa huwa naomba lakni nashindwa kuelewa niombeje lakni to some extent nimepata mwanga❤️❤️❤️❤️❤️😱😱

  • @genevievesunday
    @genevievesunday 9 месяцев назад +9

    Miaka mingi nimefuatilia mafundisho yako, yamenisaidia. Mungu akutunze pamoja na mkeo na familia yako.

  • @beatriceswai7650
    @beatriceswai7650 10 месяцев назад +5

    Ili somo limekuja wakti sahihi Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @LiciaKiwale
    @LiciaKiwale 9 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu uzidi kutulisha neno lake tuimarike kiroho😊

  • @genevievesunday
    @genevievesunday 9 месяцев назад +1

    Asante sana baba umenifungua ktk hili

  • @ROSEMARYVALENCE
    @ROSEMARYVALENCE 6 месяцев назад +2

    Miaka ya nyuma nilikua Arusha nilikua nakuja sana kwenye kutaniko pale viwanja vya relin sasahv naish dar es salaam mungu azdi kukupa maisha marefu yenye baraka

  • @lymsannouncement2321
    @lymsannouncement2321 10 месяцев назад +1

    Dah Asante Mungu nimesaidika Leo

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 10 месяцев назад +1

    Asante mtumishi wa mungu roho wa mungu atusaidie

  • @ErnestSaileni
    @ErnestSaileni 3 месяца назад +1

    Ubalikiwe mtumishi wa BWANA...

  • @ErnestSaileni
    @ErnestSaileni 3 месяца назад +1

    MUNGU akubariki mtumishi...

  • @AjuaLupembe-px2rb
    @AjuaLupembe-px2rb 10 месяцев назад +2

    Amen mtumishi wa Mungu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @yudithmwamaso7438
    @yudithmwamaso7438 10 месяцев назад

    Asante Mtumishi Kuna jambo nimejifunza hapa

  • @EliataroseSirima
    @EliataroseSirima 10 месяцев назад

    Asante sana baba haya maarifa yamekuja kwangu wakati muafaka

  • @kingdom_of_God7
    @kingdom_of_God7 4 месяца назад

    Thank you Jesus Christ for Christopher

  • @lgmwanzagarrisonymwanza7184
    @lgmwanzagarrisonymwanza7184 10 месяцев назад +1

    Mungu alie yote katika yote akibariki wewe na kizazi chako

  • @HelariaShimwa
    @HelariaShimwa 22 часа назад

    Mungu anisaidie kusikia sauti yake

  • @GaudensiaMethod
    @GaudensiaMethod 10 месяцев назад

    Amen somo zuli mtumishi wa mungu❤❤

  • @EliudLulind
    @EliudLulind 10 месяцев назад

    Mungu wangu na akutunze mwenyewe ilisha nipaga shida Sana hiyo

  • @WitnessKamuhabwa
    @WitnessKamuhabwa 17 дней назад

    bwana yesu asifiwe mtumishi ninaomba uniambee niweze kupata mtoto wa kiume

  • @lucymlelwa1626
    @lucymlelwa1626 10 месяцев назад

    Amen mtumishi ninakuelewa baba

  • @Elizabeth-bk1wy
    @Elizabeth-bk1wy 10 месяцев назад

    Amina bab hakika nimejifunz kitu hap

  • @SAIDIMUSA-k9v
    @SAIDIMUSA-k9v Месяц назад +1

    Hii imenitokea mahali niliajiriwa nikawa naomba ofisin mara Kwa mara Kuna wakati ac zinapasuka, dro inabomoka muda huohuo na kabati hii Iko spiritually

  • @IreneNgowi-wg2rp
    @IreneNgowi-wg2rp 10 месяцев назад

    Amen sasa nimepata kitu cha kunisaidia baba

  • @DeboraShirima
    @DeboraShirima Месяц назад

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @adventurio-co4ro
    @adventurio-co4ro 10 месяцев назад +1

    Ameni Kwa mafundisho mazuri

  • @GaudensiaMethod
    @GaudensiaMethod 10 месяцев назад +2

    Amen somo zuri❤❤

  • @LeahJoel-q6c
    @LeahJoel-q6c 7 месяцев назад

    Amen mwalimu

  • @EliaMmary-y9p
    @EliaMmary-y9p 5 месяцев назад

    Nabarikiwa Sana

  • @AlaphatSophia
    @AlaphatSophia 13 дней назад

    Amina

  • @jovitaulomi8752
    @jovitaulomi8752 10 месяцев назад +1

    MUNGU aliyehai akubariki Sana baba

  • @BeatriceKimambo
    @BeatriceKimambo 9 месяцев назад

    Amina Sana

  • @NEEMATV44
    @NEEMATV44 10 месяцев назад

    Nabarikiwa nikiwa madhabahu ya MUNGU ndani ya NEEMA YA YORDANI

  • @annamaryArley-ol6ef
    @annamaryArley-ol6ef 18 дней назад

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri Mimi nimekuwa kwenye mawazo mengi nimekuwa natafuta kazi muda mrefu nawaza kufanya biashara lkn sauti ndani inaniambia nitapata kz nahitaji naona umri unaenda nifanyaje ?

  • @SuzanaLema-w6m
    @SuzanaLema-w6m 9 месяцев назад

    Bwana kupitia madhabahu hii asaidie shamba letu lipate mtu mdogo wangu apate ada ya chuo

  • @MariamMkenka
    @MariamMkenka 15 дней назад

    Wapendwa nauliza seminar dar ni mwez huu kesho j mos au mwez ujao anae jua nieleweshe

  • @Jepha-f9l
    @Jepha-f9l 10 месяцев назад

    Asante sana mwalimu wangu.

  • @rahelynocha642
    @rahelynocha642 10 месяцев назад

    ✍🏾✍🏾✍🏾
    Powerful

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад +3

    Kweli baba
    Asante Yesu Kwa ajili ya haya maarifa
    Barikiwa.
    Kwakweli nashukuru Mungu Kwa maarifa haya naombea napolala tu,kitanda nk!
    Mengine hayanihusu!
    Ila hii baba alifundisha wapi mbona sijasikia Kwa style hii!?

  • @ROSEMARYVALENCE
    @ROSEMARYVALENCE 6 месяцев назад

    Kristo mwlm l mwakaesege usiku wa Jana nmeota ulikuja kwangu ukanambia nitazaa watoto mawaziri neno ulinambia Nitulie ndoto ikaishia hapo

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 7 месяцев назад

    Hallelujah

  • @NeemaKussaga-ig5dj
    @NeemaKussaga-ig5dj 14 дней назад

    Tar 30 kesho

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 10 месяцев назад +1

    Ee Mungu nisaide kuweza kuisikia sauti yako na niweze kuitii

  • @ShedrackEstomih-ol9sr
    @ShedrackEstomih-ol9sr 5 месяцев назад

    Amen

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 10 месяцев назад

    Wafundishe sasa inakuwaje mpaka usikie sauti ya Mungu.

  • @ministerfilbertsangule2799
    @ministerfilbertsangule2799 4 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @barakayohana5685
    @barakayohana5685 10 месяцев назад +24

    Nilikodi shamba la kulima mpunga ekari 2 siku ya kupanda nikaomba kuzunguka mara saba matokeo yake mpunga ukaota na baadae ulisombwa na maji niliumia sana ila nikamshukuru Mungu

    • @dwashiedward8692
      @dwashiedward8692 10 месяцев назад

      Neno la mungu kutoka kitabu gan?

    • @WBJ121
      @WBJ121 10 месяцев назад

      Semina niliikosaaa BT yoteee aminaa

    • @odickngondya5694
      @odickngondya5694 10 месяцев назад

      fuatilia somo lote
      ​@@dwashiedward8692

    • @StellaJohn-dz6gv
      @StellaJohn-dz6gv 10 месяцев назад

      Pole sana mpendwa

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 3 месяца назад +1

      Kuna kitu Mungu alikuwa anakufundisha.

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 4 месяца назад

    Nimepona nilikuwa naombea wafanya byasha wenzangu nakuta kwangu panakuwa pagumu nikawasiuzi

  • @Songoaelifredrick
    @Songoaelifredrick 10 месяцев назад +1

    Kumbe hata wapangaji muda mwingine tunakosea kuomba.

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 10 месяцев назад

    Ameen

  • @easymapetv
    @easymapetv 10 месяцев назад

    Amen

  • @GraceRichard-fn3yk
    @GraceRichard-fn3yk 10 месяцев назад

    Emeenii baba

  • @joelkipilipili7976
    @joelkipilipili7976 10 месяцев назад

    Amina 🙏

  • @genovevamihayo244
    @genovevamihayo244 10 месяцев назад +1

    Yesu nisaidie kusikia Sauti yako

  • @samsonnangai1286
    @samsonnangai1286 10 месяцев назад +1

    2nd to comment

    • @josephk90
      @josephk90 10 месяцев назад

      Hivi huu ujinga huwa unawasaidia nini?

    • @samsonnangai1286
      @samsonnangai1286 10 месяцев назад

      @@josephk90 wewe kuandika hivyo imekuongezea nini?

  • @MaryMeshack-x1i
    @MaryMeshack-x1i 10 месяцев назад

    Nifanyeje niwezekujua kuomba kwa roho nakweli

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 10 месяцев назад

    Nifanye je ? ili nisikiye sahuti ya Mungu?

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 9 месяцев назад +1

    Mnafiki Wewe acha uongo

    • @hellenlugano6627
      @hellenlugano6627 8 месяцев назад

      Mmh jamni tumetofautiana Kwa mafundisho haya Kuna uongo duu Mungu pekee Akusamehe

    • @stellaedward5767
      @stellaedward5767 Месяц назад

      Achana nae anajua anachokisema watumishi wote wa shetani wanamuogopa huyu baba, wanakesha kuomba kazi yake isifanikiwe ​@@hellenlugano6627

    • @DeborahWarioba-k3s
      @DeborahWarioba-k3s 8 дней назад

      Siyo wewe ila kuna madhabahu imekushikilia .inakinzana Na neno la MUNGU ...ikate hiyo roho siyo nzuri kaka neno la MUNGU linasema mpingeni shetani naye atawakimbia

  • @ErnestSaileni
    @ErnestSaileni 3 месяца назад

    Ubalikiwe mtumishi wa BWANA...

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 5 месяцев назад

    Amen

  • @McTabasam
    @McTabasam 10 месяцев назад

    Ameen

  • @lucymwasenga2916
    @lucymwasenga2916 10 месяцев назад

    Amen

  • @MonicaWambura-i3n
    @MonicaWambura-i3n 3 месяца назад

    Amem

  • @daudisilomadaudisiloma
    @daudisilomadaudisiloma 10 месяцев назад

    Amen

  • @ElizabethLyandala-s4f
    @ElizabethLyandala-s4f 4 дня назад

    Amen