Allahu akbar alhamdulillah khusnul khaatmaatan yarrabih nisamehe mimi nawaislam wenzangu walo hai nawalotangulia mbele ya haki....msamehe mama angu familia yangu na ummat Mohammad wote yauma yaqamul Hisaba 🤲
YaaRabby tujaalie mwisho mwema na utujaalie Ummat Mohammad tuwe miongoni mwa waja wema na aturudhuku Jannat firdaus .... wazazi wetu, cc pamoja na vzazi vyetu
Yarab wasameh wazazi wng wote wawili waondolee Adhab yakabri uwape kalu thabit uwajaalie miongon mwawaja wem wa peponi uwatanulie makabri yao yajaalie nuru makabri yao uwajaalie makabri yao yawe miongoni mwa viwanja vya bustani ya peponi uwajaalie pepo iwe makaazi yao uwasameh waislm wot walitangulia na ss utupe khusnl khatma.Amiin🤲
Allah wasamehe wazazi wetu waliotangulia na jambo ya waislamu wote kwa jumla na utusamehe sisi n vizazi vyetu utupe na husn hatima indalmaut. Ameen.Sheikh umetukosha. Jazakka Allah kheir.
Ya Rabbi Msamehe baba yangu na adhab za kabr YaAllah naumuonee huruma kama alivyonione huruma nikiwa mtoto mdogo YaMarki uwasame pia waislam wote waliotutangua mbele za haki
mungu atufanyie wepesi ndani ya makaburi yetu yawe viwanja ktk viwanja vya pepo wala yasiwe mashimo ktk mashimo ya moto allahhuma minali faizina ya rabbiy
Allah Akbar Allah Akbar ..ya Rabbi niongoze mema na kizazi changu na jamaa zangu utuepushe na shari za Dunia ya rabbi wasame wazaziwangu ya rabbi filli dhunia walli Akhera wajalie Firidhausii iwe makaz mema yao 😭😭😭🤲🤲iYa Allah,,muzidishie umbri wamema shekhe wetu othimani maalim jamazake nakizazi chake..Allahhumma Amiin Amiin ya rabbi Allah Amin Amiin
ALLAHU AKBAR. Yaa ALLAH Tuzuruku husnul hatimah katika mauti yetu,Tuepushe sisi na wazee wetu walio hai na waliotangulia na adhabu za duniya na adhabu za kaburi,Tufanyie sisi pamoja na wazee wetu na jamii islamu wepesi katika maisha yetu ya barza na Utujalie Jannah tul Firdaus kuwa makazi yetu. Ameen.
Wallah nilidowload haya mawaidha kwa sauti bila video, nikavutiwa sana nimuone sheikh huyu aliyebadilisha sana, kumbe ni video ya toka mwaka 2002 leo hii naangalia nikiwa kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 2020
Allah atufanyie wepesi ndani ya makaburi yetu yawe viwanja ktk viwanja vya pepo wala yasiwe mashimo ktk mashimo ya moto allahhuma minali faizina ya rabbiy
Ya Allah msamehe baba yangu mzazi na baba yangu mdogo wasamehe madhambi yao na uwaondolee adhabu ya kaburi na uwape kauli thabiti mbele yako ya Allah..hakika ww ndyo unajua makosa yao na mema yao.Allah akbar
Ya Allah waepushe wazazi wangu wawili na adhabu ya kabur nauwasamehe madhambi Yao nauwajaalie kauri thabiti ya Allah nauwajaalie pepo yako wazazi wawili kwa rehema yarabi nasisi nautujaalie mwisho mwema ya Allah
Maa shaa llah shekhe wangu nakupenda kwa ajil.ya Allah kwel watu twatoka mbalii kam s yy hyu shekhe othman maalim
Allahu akbar alhamdulillah khusnul khaatmaatan yarrabih nisamehe mimi nawaislam wenzangu walo hai nawalotangulia mbele ya haki....msamehe mama angu familia yangu na ummat Mohammad wote yauma yaqamul Hisaba 🤲
Wenye kudeslike ni wenye wivu ma hamtofaulu shekhe twakupenda sana kwa ajili ya Allah
Wasamehe wazazi wangu wawili mke wangu pamoja na waislamu wote waliotangulia mbele ya Allah (s.w)
Allahumma aamin thuma aamini Yaa Rabby taqabal dua 🤲🤲
Kifo kinatisha, Mashallah shukran sheikh Kwa kutukumbusha
ALLA AKULIPE KILA KHER AICHUKUWE ROHO YAKO AKIWA AMEKURIDHIA AKUJALIE MAAKAZI MWEMA KESHO KIAMA👏
Masha allah barraka allahu feek sheikh wetu wa jazakkallahu minkully khery yaarabi atujaalie mwisho mwema
YaaRabby tujaalie mwisho mwema na utujaalie Ummat Mohammad tuwe miongoni mwa waja wema na aturudhuku Jannat firdaus .... wazazi wetu, cc pamoja na vzazi vyetu
Yaa Allah waajalie waislam wote waliotangulia wawe miongoni mwa watu wema In shaa Allah🙏🙏
Atujalie nasi khusnil khatwiima in shaa allah 🥺🤲🤲
Yarab wasameh wazazi wng wote wawili waondolee Adhab yakabri uwape kalu thabit uwajaalie miongon mwawaja wem wa peponi uwatanulie makabri yao yajaalie nuru makabri yao uwajaalie makabri yao yawe miongoni mwa viwanja vya bustani ya peponi uwajaalie pepo iwe makaazi yao uwasameh waislm wot walitangulia na ss utupe khusnl khatma.Amiin🤲
Yarabbi nakuombaaa mama yanguuu ukooo alipooo upunguziee na adhabuu za kaburiii na siku ya kiama awe miongoni mwa kuiyonaaa pepooo yakoo
Allah awarehemu waliotangulia nasi Atupe mwisho mwema Ameen
shekhe maalim maneno yako yanachoma katka nyoyo nakwamaneno yako yaukumbusho Allah kanijalia nibadilike mungu akuzidishie kher nyingi
Allah akupe kheri shekhe wetu na atujaaliee tuwe pamoja na bwana mtume saw kesh akhera inshallah
Ameeen ya,Rabiii
amin
Allah tujaalie mwisho mwema
Mashalaah shekhe Allah akupe maisha marefu upate kutupa nasaha
Mungu akupe umri mrefu wenye amali njema ndani yake na mwenyezimungu atuepushe na adhabu za kali za kaburi
Mashaalah mzee wetu Rais ALLY HASSAN MWINYI Alikuwepo ktk Darasa.......
Napenda Sana mawaiza yako nakuombea dua m mungu akupe maisha malefu uweze kutukumbusaha ss na vizazi vyetu ishallha
Yarabbi,,tujalie waja wakipa mgongo dunia tuchumema ...ya Allah,,Amin Amin ya rabbi Allah Amin Amin
Allah wasamehe wazazi wetu waliotangulia na jambo ya waislamu wote kwa jumla na utusamehe sisi n vizazi vyetu utupe na husn hatima indalmaut. Ameen.Sheikh umetukosha. Jazakka Allah kheir.
Pembezon hapo namuona Rais mtaafu mheshimiwa Ally Hassan Mwinyi mungu akulinde mzee wetu
Allah akulinde na fitna za dunia na akupe mwisho nwema.Tunakupenda kwa ajili ya Allah.
Mawaiddha mazuri mungu tujalie mwisho mwema yarabi utujalie kauli thabiti insha allah
Mashaallah ALLAH amzidishie she he wetu kilalililo lakheri na ampe mwisho mwema Amin
Mwenyenz mungu atupe mwisho mwema
Mmungu Akubarik Sheikh Othman. Khutba yenye maana sana hii. Mmungu atupe Khatima njema Aamin. Atujaalie tuwe katika Waja wake wema. Aameen
Shekh uthumani mungu akupe na akuongoze na yale yote yenye kheri isha,allah
Ya Rabbi Msamehe baba yangu na adhab za kabr YaAllah naumuonee huruma kama alivyonione huruma nikiwa mtoto mdogo YaMarki uwasame pia waislam wote waliotutangua mbele za haki
Allah atupe mwisho mwema
Mashallah, Allah atusamehe madhambi yetu tunayoyajua na tusiyo yajua, atujaalie mwisho mwema na atupe shifaa kwa maisha ya kaburini. Amin
Amiina yarraby 🤲🙏
mashal shekhe mwalim mungu akuinuwe daraj dunianaakher yarrbi atupemwish mwem
mungu atufanyie wepesi ndani ya makaburi yetu yawe viwanja ktk
viwanja vya pepo wala yasiwe mashimo ktk mashimo ya moto
allahhuma minali faizina ya rabbiy
Allah Akbar Allah Akbar ..ya Rabbi niongoze mema na kizazi changu na jamaa zangu utuepushe na shari za Dunia ya rabbi wasame wazaziwangu ya rabbi filli dhunia walli Akhera wajalie Firidhausii iwe makaz mema yao 😭😭😭🤲🤲iYa Allah,,muzidishie umbri wamema shekhe wetu othimani maalim jamazake nakizazi chake..Allahhumma Amiin Amiin ya rabbi Allah Amin Amiin
Ya allah tupe mwisho mwema na uyajaalie makaburi yetu yawe miongoni mwa mabustani ya pepo AMMIN
ALLAHU AKBAR. Yaa ALLAH Tuzuruku husnul hatimah katika mauti yetu,Tuepushe sisi na wazee wetu walio hai na waliotangulia na adhabu za duniya na adhabu za kaburi,Tufanyie sisi pamoja na wazee wetu na jamii islamu wepesi katika maisha yetu ya barza na Utujalie Jannah tul Firdaus kuwa makazi yetu. Ameen.
Amin yarabi
Allahumma aamiin yarrabih aamiin 🤲
Ya Allah muepushie babangu na mamangu adhabu ya kabri na uwasamehe madhambi Yao wanayo yajuwa na wasoyajuwa....Tujalie mwisho mwema Ya Allaah
AMIN YAARAB
asya tamimy amin
Amni thuma amin
Amiin allha awaja lie wazazi wetu ya rabby awaondolee adhabu ya kabuli
@@ramadhaniomari4199 amen amen amen Allah swt awasamehe wazazi wetu
Mungu atujalie mwisho mwema na kauli ya mwisho ktk vinywa vyetu lwe ni Shahada Yetu Ameen ya Rabby
Mashaa Allah Mwezi MUNGU atulinde na Adhabu za Kaburi na Atulinde na Adhabu za Moto wa Jahnaam na Atujaalie Mafanikio Duniani na Akhera
Yaa Allah tupe mwisho mwema na utuepushe na adhab ya qabri..Allahumma nsurnaa minal khaasirin..
Yyaarabbi tujaalie wepesi wa kufanya ibada mm na wenzangu insha allaah
MASHAALLA NAMPENDA HUYU KAKA KWA AJILI YA MUNGU MUNGU AMZIDISHIE KIPAJI ANAITUMIA ELIMU YAKE INAVOTAKIWA NA KUTUKUMBUSHA TUENDAKO
mashallah mwenye zimungu atustiri atupe kauli thabit siku ya mwisho
Mashaalla
Amin
Ya Allah msamehe baba yangu na adhabu ya kaburi na ulifanye kaburi lake liwe bustani kati ya bustan za peponi Inshallah
mungu atupe mwisho mwema yarabi.atujaliye jannah yarabi.awasamehe na wazazi wtu na jamil islam yarabi mola wtu takabal dua ztu
Yaarabi Tustyr nz Machafu nife kama mama yangu na shahada ishaallah.
Allahum amin
Wallah nilidowload haya mawaidha kwa sauti bila video, nikavutiwa sana nimuone sheikh huyu aliyebadilisha sana, kumbe ni video ya toka mwaka 2002 leo hii naangalia nikiwa kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 2020
Sahi all na account yake ya RUclips endelea kumfatilia Masha Allah mungu amueke na ampee mwisho mwema
@@najmaawadh1359 Ameen
Ya ALLAH wasamehe wazazi wangu makosa yao Kaka zangu wadogo zangu wtto wetu woooooote inshallah
Allah atujarie dunia hii iwe mikononi mwetu na akhera iwe kwenye nyoyo zetu.alahu akbar
Oooh mashallah hapa shekh alikuwa bado kiteenager. Allah akupe umri mrefu utusomeshee wtt wetu. Amiin
yarabi walipe jannah ma ustadh ztu wanao tufunza nakutukumbusha tunao ya juwa na tusiyo ya juwa yarabi ameen
naila najim faidazasura
Rabb tujalie tuwe na mwisho mwema. wa dunia na tuwe na mwanzo mwema wa akhera tuwe miongoni mwa waja wema ishaallah
Juma Lee Mngano amin ya rab
Allah akulipe inshallah
Ya Rabi wajalie wavyele wangu pepo na uwaswameh kwa mabaya wanayotenda kwa kjua na kutojua
Allah akulipe shekhe wetu kwa elimu unayotupa
Masha Allah mwenyezimungu atuepushe na adhabu ya kaburi kwa aliye islam
hana ali amin
Allah Akbar
Amin yarabi
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Ukumbusho wenye Mafundisho na Mazingatio makubwa sana.
Allah atujalie kauli ya mwisho iwe Laa illah illaih Mohammed Rasuul Allah
Shukran sana sheikh Huthuman
Mashallah mungu akupe kila lakher na afya njema amiin
Allah atusameh dhambi zetu sisi ma wazazi wetu na vizazi vyetu😭😭
Allah Akbar Allah Akbar....yarabbi atuongoze mema waja wako na vzazi vyetu...Amin Amin Amin ya rabbi Allah Amin Amin
درست يا شيخ، وأخذت كثيرا من المواد. uko vizuri, وجزاك الله خيرا .
ahsante sana sheikh othman Allah akulipe jannatul firdaus
Inshaallah: Allah atuongoze njia ilio sawa
Shukrani shehe othman maalim mungu akuweke uzidi kutupa elimu inshallah
Mungu akuzidshie ilimu
Eee mwenyez Mungu warehemu baba na mamangu na wengine pianasi utnu suru siku zamwisho
Mola atujaalie makaburi yetu yawe mabustani ya peponi. Amiin
Shukra sheikhe Mungu atujalie mwisho mwema
mashaalah nakuombea uwe miongoni wa watu wa peponi
Allah tujaalie Kufuata yote uliyoamrisha na tunaomba Mwisho Mwema, Aamiin.
kila muislam ambae kasikiliza MAWAIDHA Aya kama Akubadilika basi Atobadilika tena. Na ajiandae Na Adhabu y kabri.
Shukran sheikh mawaidha mazuri umenibadilisha sana Allah akuifadhi
Mashallah ur words are touching.....Mashallah allah I barik
nakuombea uwe miongoni mwa watu wa peponi inshaalah
Mamb
@@fatumamuhamad8135 powa
Mayasa kitambwa
In.
Be
Ukristo ni Bora kuliko chochote
Tears rolling down from cheeks ,mungu atupeleke pahali pazuri peponi
Allah atusamehe sisi na vizazi vyetu
Shekhe inshaallaah yarabi akujaalie uweMmojawapo katika watu wapeponi namm ya Allaah anijaalie nafamiliayangu tukumbuke kutendamema inshaallaah
Allah akupe maisha marefu na mwisho mwema
Maryam seif lashidi
Mungu atusamee dhambi zetu inshallha
Mungu akupe mwisho mwema Mzee wangu
INSHAALLAH Allah atupe mwisho mwema
Maashallah Allah akujaalie kheri
Othmani maalim Allah akuongoze kwa kila hatua uvukayo Kwan unatuelimisha mno
Mashaallah Allah akuhifadhi shekhe wetu
Allah atufanyie wepesi ndani ya makaburi yetu yawe viwanja ktk viwanja vya pepo wala yasiwe mashimo ktk mashimo ya moto allahhuma minali faizina ya rabbiy
Ya Allah msamehe baba yangu mzazi na baba yangu mdogo wasamehe madhambi yao na uwaondolee adhabu ya kaburi na uwape kauli thabiti mbele yako ya Allah..hakika ww ndyo unajua makosa yao na mema yao.Allah akbar
Ya Allah waepushe wazazi wangu wawili na adhabu ya kabur nauwasamehe madhambi Yao nauwajaalie kauri thabiti ya Allah nauwajaalie pepo yako wazazi wawili kwa rehema yarabi nasisi nautujaalie mwisho mwema ya Allah
Allah akujaalie maishamazuru akhera na duniani nasisi sote aamin
Allah atujaalie mwisho mwema na atupe nuru katika makaburi yetu
mashallah jazakallah khair sheikh othman Allah akuhifadhi
Mashallah Allah atuonyeshee njia njema kabirini
Allahum amiin yaa Allah utupe mwisho muzuri kwa umauti wetu
Mashaallah sheikh Othman .jazakhaallahu khair.Mawaidha mazuri.
Ali Shaffi
Ali Shaffi
Ali Shaffi nzuri
Ya ALLAH tup mwisho mwema hapa duniani na Akhera InshaaAllah
JazakAllahu khayraan sheikh Othman. Allahuma bariik
mashallah othiman maalim kwa ukumbush mzr kwa mweny akili napenda sn kufatilia mawaidh yako mungu akueke na akupe mazur dunian na akhera
NAHDA SAID amin yarabiy
Abdi2018@gmail.com barakalahu fikum
Allah akujalie heri umri mlefu wenye afya njema na mwisho mwema inshallah inshallah tunakupenda sana Sheikh Othman
Allah atujaalie mwisho mema wa hapa Duniani.
Ayub Salum Aaameeen Yaa Allaaah.
Ameen
Allah tupe mwisho mwema na waxazi wetu waepushe na adhabu za kaburi
Naam shekh 2nakupenda sana kw ajili ya ALLAH
Ewe mwenyez mungu nipe mwisho mwema mm na femilia yangu
Tunatakiwa tumshkuru Allah kwa kutujalia tumezaliwa kwenye uslam
Mungu akuzidishie duniani na akherra shegh othumani.
yaa Allah tusamehee madhambi zetu jinsi ulivyosamehe manabii
salma hadija,mwenyezi mungu atupe kheri inshaallah
Shekh otmani Allah akuridhie pepo ya firdausi bila hesabu
Shukran sheikh kwakutukumbisha
Subhana Allah Ya Rabby warehumu walio tangulia mbele za haki
Shukran.Ya Rabbi tupe mwisho mwema