Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Ah mzee Mwamnyeto haa molla azidi kukupa nguvu umri mrefu inshahallah mzee ulikuwa mbishi sana watu wakimwita baba Mwamnyeto nimefurahi kumuona
Hongera sana Baba Mungu Akupe Maisha Mema na Mazuri yenye Baraka Njema kwako na family yako
Amina Bakari Nondo Mwamnyeto piga kazi.
Mungu ampatie maisha marefu Mzee wetu
Mungu akujalie maisha marefu
Mzee yuko vizuri
Nice
Nice❤
Mzee mwenyebusara zake!!
Komesho mabawa❤
Nilikua nakupa %70 katika habali zako lakini kwakile ulicho kifanya kwenye geti lauwanja wa jamhuli morogoro nime kushusha hadi %00.
Ahaa Hiyo Nikweli Kwamba Tanga Nijiji au Mji Wa Mahaba..????????????
Nimeuona uzee wa bora.. copy yake imetangulia
Mzee anajua kupiga chenga maswali yanayohusiana na kipato somba kila akijaribu mzee hajai
Allah akulinde mzee wetu
Then meandixhi 🙄🎤🎤 duh ..
Kweli poleni wazazi mpeni moyo
Hahahahaha mwanangu bokaa😂😂😂😂😂😂
Yuko vyema sana ila mkumbuke anamtuma Bacca, yeye anasafisha, kazi anaitengeneza Bacca
Mwanyeto ni kabila gani mdigo au msambaa au mzigua au mbondei???
Mdigo
Mwamunyeto kiswahili ila kisaambaa ni n'gwaamnyeto huyu atakua msambaa
Mkongo😂😂😂
Ni mdigo huyu
Hahahaha uyu mzee nimempenda xana maneno yake ni ya busara then ni mtu wa mpira xana
Vaa kofia ngumu kwenye pikipiki ..unafundisha nn jamii
Alikuwa anacheza lafu huyo hatari
Bakar kafanana na babake mtupu
Mtangazaji unafanana na sopuuuu
Kweli labda ndugu
Kbla ya kosti alichezea timu moja pemba African kivumbi na alicheza ndondo ya kuwania mbuzi uwanja wa mpikatango mkoani pemba
Unanikumbusha mbali sana kijana na huo uwanja wa mpika tango na hyo timu African kivumbi
Mzee baba alianzia majengo ndani ya Tanga
Unaongea sana we mtangazaji
HADI ANAKERA
Alafu mi naisi hii video sio yakweli wanataka kumchafua kijana hii namashaka nayo🎤
Tanga bakar twaita boka