AMINA. Wakristo Mungu Akisema tutafanikiwa hakuna mtu atafunga njia zetu. Tukiwa kwa nyumba/hema zetu wageni wataanza kutualika milimani mahali kuna baraka na sisi hapo tutapata utajiri wetu. Tumesaidia na tumebeba mizigo ya kutosha. Mizigo tunaweka chini na maisha ya kulaaniwa yanafika mwisho. Hazina zetu zitajaa mali na baraka. Wakati mwingine tunakosea wazazi wanaongea maneno ya laana na hayo maneno yanaweza kutushika. Ni vizuri kujirudia na kukubali makosa yetu tunapokosea wazazi kwa sababu kama umekubali makosa msamaha hupatikana. Wakikubali kutusamehe tutaanza kubarikiwa kwa sababu yale maneno waliongea wao tu ndio wako na uwezo wa kuyaondoa.
AMINA. Wakristo tukatae roho ya kulaani. Tumepewa nguvu na mamlaka na hayo maneno mabaya tunayaondoa katika maisha yetu. Sisi tumeibiwa na kuporwa mali na mapepo na laana na yale maisha tuko nayo sio yetu. Sote tumenaswa mashimoni mwa shida, laana na magonjwa. Tuko kwa mashimo na tulinyang'anywa mali yetu. Tumefungwa gereza za shida na umaskini. Tumekuwa kama mawindo na hakuna mtu wa kutuokoa. Tumekuwa nyara na hakuna asemaye tuokolewe. Leo Mwenyezi Mungu Aliyeumba watu wa JWM Amesema tusiogope kwa maana Atatukomboa; kwa hayo mashimo Atatutoa na kwa hizo laana Atatung'oa. Tumekosa mtu wa kutusaidia lakini Mungu Atatusaidia.
AMINA. Mzazi wako ni Mungu Wako wa pili na ameshika baraka na laana katika kinywa chake. Anapokulaani hilo neno linafanya kazi. Anapokubariki unabarikiwa. Hata Pastor akikubariki unabarikiwa na akikulaani unalaaniwa. Laana yoyote haina sababu haiwezi jishikilia na haiwezi kushika kama hujakosea.Watu wengi maisha yao ni magumu na hawajisaidii. Hakuna wakati wanaishi maisha ya kicheko, wanaishi maisha mabaya, duni, ya kilio na ya kutaabika kwa sababu mzazi/pastor aliwalaani. Wale wametubebesha hiyo mizigo, wale walituwekelea maneno mbaya, hayo maneno tunayarudisha kule yalitoka. Kuna watu wanajaribu kuinua vichwa viinuke wanashindwa lakini Mungu wa Musa Anainuka.

Pastor uko smart with great word!!!

I receive it
I receive it
Amen
I receive it