Maby-Maisha Yangu(Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 168

  • @OthumaniBailoni
    @OthumaniBailoni 2 месяца назад +6

    Mimi Siyo mpenzi kabisaa wa miziki ila hii nyimbo naipenda sana kila siku nasikiliza hongera sana mdogo wangu maby uko Vizuli 🎉🎉🎉

  • @karanithetourist6258
    @karanithetourist6258 14 дней назад +1

    Hii ngoma Ni hit Kenya mbaya..

  • @BillionairePrince-z5t
    @BillionairePrince-z5t 3 дня назад

    Yaani this is his song 😢 amazing mbona hijatoka vizuri huku Kenya 🇰🇪 this song is hit 🎯

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 9 дней назад

    Hii nyimbo kali mno watanzania njooni tumpe support mwanetu tufikishe like hata 1 million.... Tusitende dhambi kutokuutendea haki mziki mzuri huuu

  • @JAY_P_BOY
    @JAY_P_BOY 2 месяца назад +2

    Mziki mzuri sana kitu kimenyoka nakubali sana bro naomba like japo nimechelew

  • @JannetEdward
    @JannetEdward 3 месяца назад +1

    Yn nakupenda Sana huu wimbo Kwa Kweli 🙌. Chukuwa mauwa yako❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @burningspear8883
    @burningspear8883 2 месяца назад +10

    Kama unapenda hii ngoma niwekee like jameni.
    Leo ni Birthday yangu aki.
    Salamu kutoka 🇩🇪

  • @AustineWamukoya
    @AustineWamukoya Месяц назад +1

    Hii nayo imekubalika👏👏👏

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 2 месяца назад +3

    Imebeba ujumbe wa maana kabisa.

  • @makumiwainaina3771
    @makumiwainaina3771 3 месяца назад +6

    Wimbo wa 2024 ndo huu sasa.
    Tutende wema tuvumishe huu wimbo

  • @sise360
    @sise360 3 месяца назад +3

    Plan yangu sio kiwanja kwasasa... nakubali!!! Hatari

  • @kandidosamweli3194
    @kandidosamweli3194 2 месяца назад +2

    wimbo wa mwaka 2024 tayari umepatikana

  • @bongoswahilimax
    @bongoswahilimax 3 месяца назад +5

    Sasa mbna ngoma haijaenda😢😢 hatumtendei haki huyu jamaa

  • @Yonsaltabademan
    @Yonsaltabademan 3 месяца назад +3

    Byakwetu kwanza 💪 Kaka
    Mabi❤

  • @Vampirediaries-hd9ck
    @Vampirediaries-hd9ck 4 дня назад

    hhi ngoma mi naiskiza kila siku , its a vibe

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z Месяц назад

    Yah! Nyimbo kali shaili zuri ujumbe mzur na unagusa kwawenye maisha ya disign yke...safi sana ila tu tatzo video imekosa ubora na haiendaji kivile na ujumbe ila audio👍

  • @chriskiddo1304
    @chriskiddo1304 2 месяца назад +4

    kuna sisi tumeufahamu kupitia ali kamwe🔥

  • @EdmondNijimbere-r7p
    @EdmondNijimbere-r7p Месяц назад +1

    Ngoma nzuli Sana naipenda sanaa

  • @AmanKasim-od4fx
    @AmanKasim-od4fx 3 месяца назад +2

    Unachelewesha mpaka kero😏😏😏

    • @gilsonmatale9622
      @gilsonmatale9622 3 месяца назад +1

      Support him Bro . pesa ya kufanya video maybe hakua nayo . Kijana Bado ana hustle sana . Siyo rahisi. Ntieni moyo ana pambana

  • @MikeMshindi
    @MikeMshindi 3 месяца назад

    NYIMBO KALIII SAAANA NAKUBALI MWAMBA🎉🎉🎉

  • @kingngoshazephania4344
    @kingngoshazephania4344 2 месяца назад +1

    Good song man.king of reggae music in dodoma Tanzania

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 3 месяца назад +23

    Naiman views lazima ziwe nyingi mkubwa kama.wewe ni m'moja kati ya mashabik wa maby toa like apa bila kushelewa❤🎉🎉🎉

  • @muusmile4419
    @muusmile4419 2 месяца назад +1

    Nomaa sana hii ngoma 🔥🔥🔥

  • @Beatrice-sx8wi
    @Beatrice-sx8wi 29 дней назад

    21/11/24 my favourite song.Inanipa morale ya maisha nashukuru sana.

  • @MVINTERIORDESG
    @MVINTERIORDESG 2 месяца назад +1

    MBONA NYIMBO KOTE KENYA 🇰🇪 KILA KONA ILA VIEWS 3TU !!!😢IT NEEDS 40M VIEWERS AND ABOVE HIIIIIIIT SONG

  • @silver-yv2om
    @silver-yv2om 2 месяца назад +1

    My favourite song it touches every part of life

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd 3 месяца назад

    Sema ili dude umeuwa snaa kaka🎉🎉🎉🎉🎉😂

  • @PaschalShija-yt4ir
    @PaschalShija-yt4ir 3 месяца назад +1

    Big up home boy 🔥 🔥

  • @GenidaMandala-h3n
    @GenidaMandala-h3n 3 месяца назад

    Music nzuri na penda kabisa... Na sikiya kijijine tcha Mozambique

  • @nyasaniofficial
    @nyasaniofficial 3 месяца назад +2

    HATUA KUBWA MDOGO WANGU, PIGA KAZI, NO SURRENDER ✊💯📌🔥🔥

  • @EgideAbdo-w5i
    @EgideAbdo-w5i 3 месяца назад

    Wimbo tunapenda sana kaka nakubali

  • @christophersila4186
    @christophersila4186 2 месяца назад +4

    Bro tafuta collabo na harmonize hii Ngoma itafika 40m views love from Kenya.

  • @Gujay7
    @Gujay7 3 месяца назад

    Nililisubir sana hili gomaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @imuh.
    @imuh. 3 месяца назад

    Nomaa🔥🔥🔥

  • @wilfredonyiego3697
    @wilfredonyiego3697 3 месяца назад +1

    This is a big song. 15k views in 8 days ni mchezo. Hii wimbo ni mtamu sana. Sending love from 🇰🇪🇰🇪

  • @brk4real
    @brk4real 3 месяца назад

    Guud mdogo wangu keep it up bro

  • @UwezoMponda
    @UwezoMponda 2 месяца назад

    🎉oya mh sikuping dadh pamban

  • @gracemwinuka7503
    @gracemwinuka7503 Месяц назад +1

    Umetisha by tin Arthur

  • @bigtimetz
    @bigtimetz 3 месяца назад +1

    Ulikuaga wap maby boy we ni 🔥🔥

  • @chidi_don
    @chidi_don 3 месяца назад +1

    Unajua sana 🔥🔥🔥

  • @alexmasinde2471
    @alexmasinde2471 Месяц назад

    Good job my friend 💪💪💪💪💪

  • @Doma_Tech
    @Doma_Tech Месяц назад +1

    Tuwasiliane ili huu wimbo niupandishe majuu zaidi ndani Ya siku 30 zijazo uwe wimbo bora na views za kutosha. It's a strong strong. 🙏
    #doma_technology

  • @Bshow3596
    @Bshow3596 3 месяца назад

    Nilikiwa nasubir video ya hii ngoma🔥🔥🔥

  • @Iamhartex
    @Iamhartex 3 месяца назад +2

    Maisha n yangu😂😂

  • @saudaamohammed8743
    @saudaamohammed8743 3 месяца назад

    ❤❤❤❤mziki mzuri Hongera sana

  • @b-oneB
    @b-oneB 2 месяца назад

    Nic song bro mie niko burundi niko muimbaji huku burundi nimependa ngoma sana

  • @mrpinken3214
    @mrpinken3214 2 месяца назад

    Kazi poa bro on top

  • @Dicazzi
    @Dicazzi 3 месяца назад

    Fire burn dem 🔥🔥🔥

  • @Selemanrayyan
    @Selemanrayyan 3 месяца назад

    Saa yaja ambapo hutatumia nguvu nyingi sana na vitu vitaenda mjini vyenyewe tuu.

  • @emgeetz4753
    @emgeetz4753 3 месяца назад +1

    MabyJackson 🚀🚀🚀

  • @tjdoss
    @tjdoss Месяц назад

    Underrated song... Total vibe

  • @roslynewawira47
    @roslynewawira47 Месяц назад +1

    Best bongo song ever

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 3 месяца назад

    Kwa wajenga miili wote tuipush ngoma iende wanangu

  • @NyagesoaMary
    @NyagesoaMary 3 месяца назад +1

    Nice song let's do challenge tiktok iwe na wafuasi wengi pia I like it

  • @Hannington-t6o
    @Hannington-t6o 7 дней назад

    Nyimbo ya kutembeza gari nkubwa

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 3 месяца назад

    Huu wimbo mkubwa sana mzuri jitahidi tu promo ufike kila atake usikia sehemu lazima aje huku.

  • @benedictobonifasi
    @benedictobonifasi 3 месяца назад +1

    tunasubili huo mzigo uko vizuli sanaa

  • @diani_berry
    @diani_berry Месяц назад

    Kali🔥🔥🚀

  • @AnthonyShirima-z6v
    @AnthonyShirima-z6v Месяц назад

    Nafarijika sana nikickia huu wimbo

  • @nizzlekalipto7140
    @nizzlekalipto7140 3 месяца назад

    Oyaa🙌🙌🔥🔥🔥

  • @mirajiselemani6184
    @mirajiselemani6184 3 месяца назад

    All the way from kawe 👊🏿

  • @pangani_agrovet_services
    @pangani_agrovet_services 3 месяца назад

    Keep going familia 🎉

  • @ChrissJoel-t1c
    @ChrissJoel-t1c 3 месяца назад

    Bonge la ngoma aseee

  • @Niite_Takee
    @Niite_Takee 3 месяца назад +1

    Niite takee seen it ❤❤❤❤

  • @BizeddOfficial
    @BizeddOfficial 3 месяца назад +1

    wa kukayaaaa?!!;

  • @kbronthisone5445
    @kbronthisone5445 3 месяца назад +2

    Maby nitafute

  • @Fikiri6Seph
    @Fikiri6Seph 3 месяца назад

    Good song for sure ❤❤❤❤❤❤

  • @timonmjema8122
    @timonmjema8122 3 месяца назад

    Vipesa kidog mikakati mingi 😂😂😂😂 Jenga mwili wewe

  • @DurahRich
    @DurahRich 3 месяца назад

    Maby 🙌🙌🙌

  • @MichaeliFidelisi-mv2wb
    @MichaeliFidelisi-mv2wb 3 месяца назад

    Jamaa fundi sana

  • @ShaabaniKhamis
    @ShaabaniKhamis 3 месяца назад

    Nyimbo iko vizur sana

  • @CosmartSmartboy9480
    @CosmartSmartboy9480 3 месяца назад

    Nice sound from Tanzanian nakukubali

  • @Johvanny
    @Johvanny 3 месяца назад +4

    Too Much LOv❤❤❤❤❤

  • @happyvoicetz
    @happyvoicetz 3 месяца назад +1

    Tuondokeeeee

  • @mfalmepharao
    @mfalmepharao 3 месяца назад

    ❤❤❤Ngoma kali sana hi❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @LEVISADOLF
    @LEVISADOLF 3 месяца назад

    Bro this video is insane 🎉☠📌🎯✌

  • @josephatdickson6618
    @josephatdickson6618 3 месяца назад

    Ghost the baddest

  • @YohanaElias-ub6nf
    @YohanaElias-ub6nf 3 месяца назад

    Many🔥🔥

  • @YohanaElias-ub6nf
    @YohanaElias-ub6nf 3 месяца назад

    Maby🔥🔥

  • @benedictobonifasi
    @benedictobonifasi 3 месяца назад +1

    kazi imekamilika

  • @peterpeaceke
    @peterpeaceke 3 месяца назад

    Kubwaaa🎉

  • @Kudema41
    @Kudema41 3 месяца назад

    Ila jamaa. Kafanania jay praizah saaaana

  • @RukundoHamdan
    @RukundoHamdan 3 месяца назад

    Mzigo ni mzuri sana

  • @remmytz9869
    @remmytz9869 3 месяца назад

    Unatisha sana blood

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 9 дней назад

    Huyu dogo hatokei solid ground family?

  • @IssaRashid-x2u
    @IssaRashid-x2u 2 месяца назад

    Jamaa anajua nampa maua yake

  • @PRIMOGENITOWEST
    @PRIMOGENITOWEST 3 месяца назад +3

    Remix ft ibraah auu rayvany take visualizações

  • @charleswangwe9711
    @charleswangwe9711 3 месяца назад

    Noma sana

  • @MwaniPh
    @MwaniPh 3 месяца назад

    tisha sanaana

  • @NasibJunior-j2e
    @NasibJunior-j2e 3 месяца назад

    One of da best song kaka

  • @malulashytv594
    @malulashytv594 3 месяца назад

    Nakubali home boy

  • @zakiurachide3703
    @zakiurachide3703 3 месяца назад

    Reto musica 😂😂😂😂😂😂😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥💯

  • @ken_tafari2
    @ken_tafari2 7 дней назад

    How this song hijafika ata million?

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 3 месяца назад +1

    Tunaenjoy utamu Beach resort,,,,na maby song

  • @LucasMusimo
    @LucasMusimo Месяц назад

    wimbo mzuri

  • @NyagesoaMary
    @NyagesoaMary 3 месяца назад

    Weuh i like the song an trying now and then

  • @jaydanprince
    @jaydanprince 3 месяца назад +1

    Mkuu❤❤

  • @davmsechu5341
    @davmsechu5341 3 месяца назад

    Kila atua Dua blood....

  • @StellaJohn-w3r
    @StellaJohn-w3r 3 месяца назад

    Rahaaa tu tupo waot

  • @chokybeats
    @chokybeats 3 месяца назад +2

    🔥🔥🔥