Tuliahidi tukibarikiwa kwa njia moja au nyingine tutashukuru❤️❤️❤️ Haya tumebarikiwa🤗🤗 SASA TUSHUKURU🎉🎉🎉 Je ungependa kumshukuru Mungu kwa jambo lipi??😊😊
Huu wimbo unanikhmbusha Maisha yangu yalivyokuwa.Hakika hizo hatua zote nimepitia.Nikapata Shule,kazi,mchumba,harusi,mtoto hakika nashukuru.Katika maombi yoteyawezekana yeyote ambaye amekata tamaa kuwa Na uvumilivu yote yawezekena.Nililia Kwa Io safari Lakini polepole Mungu akatenda Kwa wakati wake haikua rahisi...To whoever may it be get encouraged
Oh my, I thank you God for saving my son on Monday early morning accident, the car rolled n ikaisha hivo but my God Our God saved his life, evrytime I remember how that car is, I just cry n praise God with joy filled in my heart. Words are not enough but Mass is a must🙏🏼
Hongera sana dadangu Mercy🎉❤kwa kweli twapaswa kushukuru Mungu kwa kila jambo🤗🙏kazi nzuri Mungu azidi kukubariki na kukuongoza katika safari yako ya uimbaji ❤❤
Tuliahidi tukibarikiwa kwa njia moja au nyingine tutashukuru❤️❤️❤️
Haya tumebarikiwa🤗🤗 SASA TUSHUKURU🎉🎉🎉
Je ungependa kumshukuru Mungu kwa jambo lipi??😊😊
Very nice ❤❤❤❤
@@SautiTamuthank you ❤
Hongera dada,so nice
@@emeldaakinyi3055 thank you❤️❤️🙏
@@mercymutisomusic anytime mum
Huu wimbo unanikhmbusha Maisha yangu yalivyokuwa.Hakika hizo hatua zote nimepitia.Nikapata Shule,kazi,mchumba,harusi,mtoto hakika nashukuru.Katika maombi yoteyawezekana yeyote ambaye amekata tamaa kuwa Na uvumilivu yote yawezekena.Nililia Kwa Io safari Lakini polepole Mungu akatenda Kwa wakati wake haikua rahisi...To whoever may it be get encouraged
@@paulinemusyoki4197 soo encouraging❤️❤️
Na Mungu azidi kukubariki🙏🙏🙏
@mercymutisomusic amina
Oh my, I thank you God for saving my son on Monday early morning accident, the car rolled n ikaisha hivo but my God Our God saved his life, evrytime I remember how that car is, I just cry n praise God with joy filled in my heart. Words are not enough but Mass is a must🙏🏼
Tena na tena ,najipata nikiutazama wimbo huu nimshukuru Mungu pamoja nanyi ,,,
Kazi safi sana ,,,,
Baraka tele Mercy na timu nzima hii 🎉
Asante sana❤️❤️
Barikiwa 🙏🙏🙏
Hongera Dada mercy mutiso kwa wimbo mzuri sana hakika yapasa Tumshukuru Mungu tunapojaliwa tusisahau kushukuru 🎉🎉🎉🔥🔥🙏
Huu wimbo umeniliza .. Mungu nakushuru...
Hakika nashukuru.🙏WIMBO MTAMU SANA❤
Hongera sana my dear sister...Mercy this is wonderful..been your fan for yrs❤🎉🎉🎉
@@wangai-maestrojose thank you so much🙏🙏 barikiwa❤️
parish mate hogera saaana proud of u. counting u in my prayers
@@josephMutua-gx7oh thank you so much🙏🙏
Gratitude increases Blessings...thanks for this beautiful song full of Thanksgiving 🙏
@@paulinewanjiru1954 You are welcome🙏🙏❤️
Baba nashukuru kwa maisha mema🙏🙏
@@Winnylokong Amina🙏🙏
Huu wimbo Ni mtamu Sana....keep it Mercy
Exceptionally produced! Keep going dear Mercy.
Thank you so much dear❤❤❤
Hongera sana Mercy. Wimbo huu ni nzuri mno.❤🎉
Congratulations Mercy❤❤❤ In spirit of thanksgiving .. May the name of the Lord be Praised ❤
Ameeen🙏🙏
Thank you so much Monicah🥰🥰🥰🥰
Tuliahidi kwa mabo yote tutashukuru,hongera mercy
@@annnzioki3579 asante sana🙏❤️
Indeed it's good to give thanks...a sweet song it is
@@charlienjau7896 thank you so much🙏🙏🤗
nakushukuru mungu wangu Kwa yote ... kazi safi mercy uzidi kupandishwa
@@veromulee2461 Amina🙏Asantee🤗🤗🙏🙏
Lovely song, nashukuru
@@MissPhiMedia23 asantee🙏🙏🤗
Hata mimi Nashukuru.
Nice voice, message and the video is on Point
Thank you so much🙏🙏🙏🙏❤
Nice song my sister 🙏🙏
@@jacintandeti4728 thank you🙏🙏
Wimbo mtamu Sana Aiseeh 🙏 hongereni saana waimbaji na Mtunzi Piah Mungu Apewe sifa🎉🎉🎉
@@MARIAGORETHDIHOMBO Asantee🙏🙏
Hongera Mercie kwa nyimbo safi🎉
Asante sana Martin❤❤
Amina nimebarikiwa na wimbo huu, hongera sana
@@esteradam437 asante sana🙏🙏
Thank you God for all that you have done in my life. Ubarikiwe sana Mercy kwa kutukumbusha the act of thanksgiving.
@@mikemusic254 Amina🙏Thank you so much 🙏🙏❤️❤️
@@mikemusic254 Amen🙏
Thank you so much🙏❤️
Congratulations 👏👏 mercy for the talent 🙏...sweet song.....keep it up and going far indeed
@@winfidepurity3401 amen🙏 thank you🙏❤️
Hongera sana @MERCY for this nice piece. We're here to support you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana🙏🙏❤️❤️❤️
Congratulations 🎉🎉🎉wimbo mzuri ❤😊
Asantee sana❤❤❤
Asante kwa wimbo mzuri. Shukrani kwa Mungu kwa kipaji kya uombaji❤❤❤
@@SagesseMwira Amina🙏🙏
Asante sana dada❤️❤️
I love it 😍😍🎉 the song is so sweet, God bless you ❤❤
@@makelinarichard1543 Amen🙏
Thank you so much❤️❤️
Wooow, Congratulations Mercy, such a beautiful Song
Thank you so much❤❤
Hongera Sana. We should be grateful to God in everything. Keep up the fire burning.
True💯💯
Asante sana❤❤
Ubarikiwe sana my dada. Nakuombea kila wakati
@@AlphonsoDofunzo-ys6pg Nashukuru sana🙏🙏❤️
Naipenda sana...
What a nice song!Congratulations Mercy.Twakushukuru.
@@benjaminnzioki18 thank you🙏🙏🙏
Congrats mercy nice song,we must be grateful for everything hapa duniani
True
Thank you so much ❤❤
Congratulations the song is very motivating🎉
Woow in love with this song❤❤❤have listen more than 5times ❤❤❤❤congratulations mercy 🎉
Thank you so much❤❤❤❤
Share widely🙏
Wimbo umenigusa sana❤ Dada Mercy umejua
Tumshukuru Mungu❤❤❤
Congratulations @mercy for the good work of spreading the gospel through your voice❤❤❤❤❤❤❤❤
Thank you❤❤
We thank God🙏🙏
Keep it up mercy, wimbo una mafunzo.
@@gorretnjuguna8087 asantee🙏🙏🙏
Kazi safi sana ujumbe mzitooo aisee ❤❤
@@polycarpmwongeela3787 asantee sana🙏🙏❤️
Hongera Mercy.Kazi nzuri
Asanteee❤❤❤
Mengi mwenyezi ametujalia hatuyaezi kuyahesabu Wala kulipa.
Tuje mbele zake tumtolee shukrani.
Asante siz Mercy kutusaidia kumshukuru barikiwa
Ni mengi muno🎉🎉🎉
Asantee Daniel❤❤
Karibu Mercy ❤❤
Can't get enough of this ❤❤🎉🎉
Hongera dada mercy,kazi njema hii,kwa yoote tunashukuru mungu wetu kwa wema wake 🙏
Amina🙏🙏🙏🙏thanks🎉
I want sing this song this week and this year for what I have been praying for
Aaawh❤ praise God🎉
Hongera kwa wimbo msafi..you did it well..🎉
@@PrinceMuk1 Thank you so much🙏🙏❤️
Asante kwa wimbo mzuri Sana wa shukrani❤❤❤
Karibu❤❤❤
Kazi poa teacher
@@Dorothy-x7y thank you🙏
Moto Moto hongera dada!!!
@@assumptermwende5284 asante sana🙏❤️
Am so blessed 🙏 barikiwa sana
@@bridgitkatele Amen🙏🙏🤗
🎉🎉🎉🎉❤aaaaaw am about to misuse this sound congratulations mercy🎉🎉
Hongera sana dadangu Mercy🎉❤kwa kweli twapaswa kushukuru Mungu kwa kila jambo🤗🙏kazi nzuri Mungu azidi kukubariki na kukuongoza katika safari yako ya uimbaji ❤❤
Amina🙏🙏
Asantee sana dada🥰🥰🥰
Kudos 🎉🎉🎉 nice song there 👏👏
@@crisphyngari Thank you🙏🙏
Hii imeweza❤️❤️🔥🔥🔥🔥🎵 keep going my girl ❤️❤️👏
Thank you so much my darling ❤❤🥰🥰
Hongera sana 🔥 Mercy ❤,,, hakika Tumshukuru Mungu katika kila jambo na nia
Asantee❤❤❤🥳
Hongera Sana Mutui.. Beautiful song
Woow❤❤❤I love this mercy....hongera sana
Thank you Mary❤❤❤
Hongera sana jaman wimbo mzuri Sana ❤
@@AnnaPaschal-s8r Asantee sana🙏❤️❤️
Kazi safi dada mercy
Tuzidi kumshukuru Mungu kwa yote 🎉❤
Congratulations 🎊,a good reminder to always say asante to almighty God for the many blessings. Hongera sana
Thanks a million🙏🙏🤗
Hongera Dada yetu,
Perfect message👌👌👌❤❤❤
Nashukuru sana🤗
Mbarikiwe❤❤
Hongera sana dada with your team🎉. Mungu aendelee kubariki talanta yako🎉🎉🎉
Amina🙏🙏
Nashukuru sana🎉
Well done 🎉❤...Kazi safi
Thank you so much ❤❤
I love everything about Mercy 's songs!
Thank you so much 🥳🥳🥳
Such a wonderful song congrats my sister..Nitakushukuru Kwa kila jambo
Kushukuru ni jambo la muhimu❤️ asantee🎉
Loving every bit of it🥰. Kazi safi🔥🔥🔥
Thank you so much 🥰🥰🥰🥰
Congratulations dear mercy 🎉🎉🎉
This one ni 🔥🔥🔥
Thank you so much ❤❤❤🙏🙏
Congratulations my class mate
@@donatamasyuki8659 thank you so much 🤗❤️
Wimbo tamu🎉
Hongera sana Dada Mercy Kwa kazi nzuri
Hakika nitakushukuru🎵🎶
Asante sana🎉🎉
Safi sana namesake 😊 Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo💃
Mmmmmh a very good and sweet song,,, congratulations 🎉🎉❤
Thank you ❤❤❤
Hongera Mercy and team👏👏
@@kamuyamary thank you🙏🙏❤️
Sasa Nakushuru a ni song keep going ❤❤❤ your smile 🥰🥰🥰
Thank you so much ❤❤❤❤
Amina nakushukuru Mungu kwa yote. ❤🎉🙏
❤❤❤❤🎉
Kazi nzuri sana dada, mbarikiwe nyote❤
@@PaulineKinyua-up7zs amina🙏🙏❤️❤️
Wauh wauh wauh. Its good to say thank you everytime for everything God has done to us
Yes indeed❤❤❤
Amazing my friend❤
Congratulations Mercie❤️.. Tulikuwa tumekumiss sana🔥🔥
Nipo hapa sasa😊 asantee🙏🙏😊😊
Wimbo mzuri 👏
Yah , nliahidi nikifanikiwa nakushukuru ❤ . Mercy this is just a blessing and a encouraging too . Personally i feel blessed.
I’m glad you got nourished 🙏🙏
Thank you 🙏❤️
Pongezi. Mungu Akubariki ❤❤❤❤
Hongera Mercy. Wimbo mzuri na mtu
Thank you so much ❤❤
kazi nzuri dada yangu,,,,, 🥰❤❤
Asante kaka❤❤❤
Great song Mercy, keep it up.
@@brianmukeku-s3q Thank you so much🙏🙏
Hallo ❤❤ wimbo mtamu sana be blessed 🙏 mercy
Thank you so much ❤❤
Thanksgiving spirit 🎉itutawale
@@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya kabisa🙏🙏🙏
What à good song?
Sasa nakushukuru.
Good one Mercy & Team.
Including very Able Tr.Moses
Thank you so much 🙏🙏🥳
Nyimbo nzuri sana mbona❤❤❤❤ keep growing and keep going
Asante kaka❤❤❤❤❤
Maneno yenye hekima na busara. Amani ya kristi izidi kuwa nawe kila wakati unapoendelea na hio KAZI ya utumishi. Amina.
Amina
Asante sana Leonard🙏🙏
@@mercymutisomusic most welcome mercy.
Wimbo mtamu sana 🎉🎉🎉
Nashukuru ❤❤
Helping many to thank God.
Nice song. All the best, Mercy
Thank you so much ❤❤❤
Ni tamu sana🎉🎉🎉
Hongera Mercy and team❤❤❤
Asante sana Trizah🥰🥰🥰🥰🥰
You always amaze at every release, very nice composition!
Many thanks!❤❤❤
Congratulations my sister❤🎉🎉beautiful Thanksgiving song ,,keep going ,,you are a blessing to many ,,if humility was a person!!!!❤❤
Thank you so much my sister❤❤❤❤
Asante Kwa wimbo Bora.Mungu Akibariki.
Congratulations mercy 🎉 wimbo mzuri ❤
Thank you Sylvia❤❤❤
Ishi milele dadangu ❤❤❤
Nice song....keep it up❤
@@jamesmbatha515 thank you so much🙏🙏🤗