13. Mapinduzi Zanzibar

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 51

  • @suadbarwani4117
    @suadbarwani4117 Год назад +2

    Maskini Unguja yetu imekaliwà kwa Uwaduwi tangu hapo źamani mpaka leo, Hasbiya Llah,

  • @gamerabossb1777
    @gamerabossb1777 2 года назад +1

    What happened to Muhammed Shamte Hamdi?

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 24 дня назад

    Pale ZNZ WATU WAKIISHI KAMA NDUGU MOJA

  • @mohammedmbarouk7711
    @mohammedmbarouk7711 3 года назад +5

    Mmefukuza muarabu mtatawaliwa na watanganyika mpaka kiama

    • @msakuzikondo536
      @msakuzikondo536 2 года назад

      Afadhari mtanganyika.Alhamdulillah

    • @jimj8285
      @jimj8285 2 года назад +1

      @@msakuzikondo536 mkundu WEWEEE!!!!

    • @salumsalum7057
      @salumsalum7057 2 года назад +1

      @@msakuzikondo536 kweli bora mtanganyika ndio mana nchi inadidimia chini kwa umaskini na ufukara tulipo taaliwa na muarabu kwanza kulikua hakuna ubaguzi pili zanzibar ilikua inatajika katika nchi zakitajiri duniani zanzibar ilikuemo, soma historia.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Год назад

      Sio waarbu ni wazaliwa zanzibari NA mababu wao walizaliwa zanzibari ni wananchi tu sultani mama yake ni mwafrika wazanzibari walishajitenga NA oman toka zamani ikawa omani peke yake NA zanzibari peke yake sio serekali moja tena
      Hapo ungereza imepata zanzibari uhuru kamili hapo 63 baada ya hapo ikapangwa uvamizi kutoka tanganika kwa ungozi ya okelo NA mjeshi kutamka tanga NA karume NA nyerere NA wangereza ikatekwa nchi nzima chini ya utawala wa nyerere NA nchi ikapotea wazanzibari wenye damu ya kiyarabu hawakuja watu wabaya ni waaslamu

  • @hajimakame1062
    @hajimakame1062 5 лет назад +9

    Muegereza na mmarekani wote maduwi wakubwa was visiwa hivj

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 года назад +1

      Kabisa kabisa wallai

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 года назад

      Ipo siku zanzibari ltakuwa dola peke yake inatambuliwa katika umoja wa mataifa NA mtafaidi mapato wenu maana watu kidogo NA mapatp nyingi itakua kama vile dubai

    • @mansabrawahy2701
      @mansabrawahy2701 2 года назад

      @@alialamoudi9729 siku ya kiama

  • @mozaalmahruqi4252
    @mozaalmahruqi4252 25 дней назад

    Muhimu leadership ya hizbu iliikua imejiamini sana na ilikua dhaifu. Na hii imesababisha yote....

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 Год назад +1

    Mungu mkubwa huyo karume nae yuko wapi msaliti mkubwa na uchu wa madaraka

  • @AllySibila
    @AllySibila 11 месяцев назад +1

    Me naona uzanzibar ulikua mbele tu lakin kikubwa tatzo ilikua ni uislam sababu hta kafiri nyelele kwenye moja ya hutuba alisema uzanzibar na uislamu. Pia Kafiri William lukuvi moja ya clip aliwah kusema uislam Zanzibar ni tishio kwa hyo ni dhulma juu ya uislam

  • @AlawyAlawy-r1i
    @AlawyAlawy-r1i Год назад

    Heee lazima tujue kwa nn wazanzibar watiwe jela ya dodoma

  • @adamdango
    @adamdango 4 года назад

    Mbona hajaendelea baada ya mapinduzi

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 24 дня назад

    V IKIONEKANA KILA NYUMBA ZA ASP

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 4 года назад +2

    Ukoloni uko saivi zanzbar

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 3 года назад +1

    Hivi visiwa ni vya waarabu na mvumbuzi ni muarabu

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 года назад

      Umerogwa!

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 года назад +2

      Ni kweli lakini wasioupenda uislamu walifanya Kila mbinu mpaka Sasa hivi wanaendelea tena Kwa kutumia nguvu , Inshallah Mola mueza wa yote atainyoosha Zanzibar Na kuikomboa

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 3 года назад +1

      Mpumbavu mkubwa ww

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 года назад +2

      @@jamesmbata8542 hata ukituita wapumbavu ukweli utabaki kuwa ukweli tu , kutukana au kutamka maneno machafu sio kama inaondosha ukweli , la pili ya Zanzibar hayakuhusu shughulikia ya kwenu Tanganyika

    • @malikajohnson8897
      @malikajohnson8897 3 года назад

      @@jamesmbata8542 unaumia nini ni Zanzibar ni ya Wazanzibari? Wenyewe hawaoni shida ya waarabu. Siye Watanganyika ndo tunakunywa panadol kwa maumivu ya jirani. Mi naona Zanzibar iko huru kutawaliwa au kushirikiana na wamtakaye. Na najua hawatutaki Watanganyika tuwatawale. Sijui kwanini tunawalazimisha. 🙄. Tuwaache huru ubaki ujirani mwema.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +1

    Hayo yote Mungu alisimamia na yakaenda vizuri Sasa tujenge taifa lenye umoja upendo na mshikamano tusibaguane. Sote ni waja wa Mwenyezi Mungu.

    • @AnnoyedDivingBoard-ep1wf
      @AnnoyedDivingBoard-ep1wf Год назад

      Kaka unahekma Allah akuongoze Ila bado hicho unachokitaka hakijapangwa Kwa upande wa tanganyika

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv 2 месяца назад

      Mungu hawezi kusimamia uovu na mauaji na dhulma fikri sana hayo maneno yako na umuombe msamaha kwa Mola wako

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 3 года назад +1

    Yaani wazanzibar tumefanyiwa hasadi na waingereza wakishirikiana na ndugu zetu watanganyika, nawatu kutoka mataifa mengine ya Africa.. kwa kweli ina sikitisha sana ila Zanzibar itakuja kupata mamlaka yake lkn ni muda mrefu utakuwa ushapita huwenda mimi na wewe tukawa hatupo.tena duniani

    • @mussammsaji1110
      @mussammsaji1110 8 месяцев назад

      Lakn mjilaumu wenyewe maana mlichokifanya ezizile mungu mwenyewe ndio ajuae

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv Год назад

    Wewe mshenzi wacha kumzuilia Marehemu katika Mambo haya je kama ni baba yako ungalifurahia mpaka leo bado unao uchungu na maiti lol umezidi

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 года назад

    Hakuna yeyote katika hizbu a lijua kuwa kuna mapinduzi Leo

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 4 года назад +1

    Leo kweli nimeamini seifu sheriff ana tumiwa warabu ili alete mapenduz zanzibr dhidi wana Afroshiraz ss watu weusi mapinduz daimaa mbele

    • @salummzee9739
      @salummzee9739 4 года назад

      Ina kuwaje aseme karume ni mtwana ww na mm na ww ndio watwana kwaio tosha warabu wabaya wana ubaguz na watu weus istoshe km wana tupendi anagaliya tunapo kwenda uarabu kutafuta maisha watu dhalilisha kufiria dada zetu na wanaume kuwasi ume yote yanatendwa huko jee mwarabu sio mtu mwema mtu walitaka kumuwa hao

    • @jumaalhamid5242
      @jumaalhamid5242 3 года назад

      Ungelikuw muunguj kweli ungejua ukweli kaa n ujing wako karume kaf kw kuchukuw make w mtu c kw sababu y siasa hakun ubarak

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 года назад

      Ulikuwa hujui?

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад +1

      Acha ujinga you hujijui uendako Wala utendalo munatiwa sumu na kuamini tuh pole

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад +2

      Sasa tuone wao waliokua siyo waarbu ambao makafiri waendelee kukutawala ikisha kamjibu mungu Ivo ivo mtume saw alikua muarabu up uislam umefikaje Zanzibar bila ya waarbu Basi saivi ndo tunatawaliwa na so muwatakao na muendelezo wa makanisa unaendelea uyo sefu sharifu si kashakufa Tena hemu muacheni tafuteni mwengine