Pwani Modern Taarab Kusemwa Semwa Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024
  • The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

Комментарии • 62

  • @samuelwangui7757
    @samuelwangui7757 10 месяцев назад +3

    Mufti kabisa🔥

  • @aminafit9376
    @aminafit9376 3 года назад

    Turudishenii nyumbani jamanii ingawa tushapotea qatar...😘☺☺

  • @seifsalum8208
    @seifsalum8208 4 года назад

    ayanguniiii🙄 zinanikosha htr home sweet home ndni ya zanzibar

  • @mejumwazuzu8928
    @mejumwazuzu8928 7 лет назад +4

    Ndani ndani niki wa ndani ya uropa yani raha paka nafeel niko kenya thanks Rashid simba unatupunga atakama tuko mbali na feel tu niko home

  • @hamisihinzano4595
    @hamisihinzano4595 7 месяцев назад

    Enzi hizi alikua kijana mdogo, lakini saii amekua mzee ingawa bado anafanya vizuri zaidi

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 года назад +1

    Waching from Saudiarabia

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 6 лет назад +5

    Wooyoo R.simba tupe kama zote..ndani saud Arabia.. najifeel niko kayaa..

    • @fofomohammed6253
      @fofomohammed6253 6 лет назад +1

      Mwanamisa Omar wewacha tu stress zote naziacha hamam

    • @mwanamisaomar346
      @mwanamisaomar346 6 лет назад +1

      Unajikuta umemaliza faster bila jasho hapo no stress.😆✌

    • @razorsww2235
      @razorsww2235 4 года назад

      Hata Mimi

  • @mwanatumumwatsumi5862
    @mwanatumumwatsumi5862 4 месяца назад

    Ndani ya k Makkah ❤ pend xn nyimbo zke

  • @mbozder2748
    @mbozder2748 7 лет назад +6

    kaya nkaya hatakama tarabu zetu ziki na accent ya kidigo😅😅😅😅i miss miss home..qatar.moja

  • @yumnacute8079
    @yumnacute8079 5 лет назад +1

    Naona kama yafaa harusini hii nyimbo 😄😄😄 hiyo siku bc inshallah

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 лет назад +2

    Haya haya kumekucha toka sasa tujuane,wapi yulee kuja sasa.

    • @atashaisha8706
      @atashaisha8706 5 лет назад

      Haya nimefika hodi fungua mlango nimefikiria

  • @nikitamarley3933
    @nikitamarley3933 5 лет назад +1

    Miss home..Apri home Swty Swty home..from Oman🇴🇲👌

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 4 года назад +1

    2020 inside Saudi Arabia inshallah will see hme soon

  • @nyawalugo9828
    @nyawalugo9828 3 года назад

    Mwenye albam ya Dole Gumba anitumie

  • @ommydat4776
    @ommydat4776 6 лет назад +1

    fanyeni bidii tuko nyuma bdo bigup

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 лет назад +3

    Shukran sana tuekeeni nyingi plz.Santaaa simba

  • @mwanashasalimu8465
    @mwanashasalimu8465 4 года назад

    Damwaani ,nyi semeni mi namuachia mugu ndo atawajibu yani hadi raha nikiwa ndani ya baharain nayaishe turudi nyumbni bwna

  • @thymathyma7931
    @thymathyma7931 4 года назад +1

    Wow good very nice 👌👌👌👍👍👍 fire fire 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 5 лет назад +4

    2019 from Qatar✔🔥🔥

  • @AliNzaphila
    @AliNzaphila 7 месяцев назад

    Kaka iko sawa hio ngoma

  • @mwanasitihamadizani7091
    @mwanasitihamadizani7091 6 лет назад +5

    Saudia, eeeeeeeee ndaniiiiiiiii

  • @hemedahmed7110
    @hemedahmed7110 5 лет назад +2

    Naaza kaya ayangu

  • @michisalo854
    @michisalo854 5 лет назад +1

    Fireee beibeeee🙌🙌

  • @hemedahmed7110
    @hemedahmed7110 5 лет назад +1

    2019 ndani ya belgium

  • @maryammkassim635
    @maryammkassim635 4 года назад +1

    Corona isha niende nyumbani

  • @ayshamahariq8126
    @ayshamahariq8126 6 лет назад +1

    Naic song pwan Oyeeeee

  • @thymathyma7931
    @thymathyma7931 4 года назад

    Hello Simba good thank you I love you I am from somewhere Nirman karunga lunga Simba fire gam bhare thank you I am like Karen

  • @princessfathamy9787
    @princessfathamy9787 4 года назад

    Who’s watching this in august 2020

  • @ayshaayush8539
    @ayshaayush8539 7 лет назад +1

    Hapo hapo simba semeni sana mkichoka mtanyamaza

  • @fatimaali3928
    @fatimaali3928 5 лет назад +2

    Yani apo ata muarabu akasema nn....Wee aumuelewi akili iko kwa Rashid simba😂😂😂

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 лет назад +1

    Na pombe ndani

  • @mwanalimamwanundu2850
    @mwanalimamwanundu2850 6 лет назад +1

    Tuongezee zengine baba

  • @thymathyma7931
    @thymathyma7931 4 года назад +1

    My name Mama Amar ❤️❤️😍💕 main mama mama song Bangla Amla kharab good very nice 👌👍 fire 🔥 🔥🔥💪💪

  • @razorsww2235
    @razorsww2235 4 года назад

    Ndani ya Jeddah Saudi Raha na Simba

  • @fofomohammed6253
    @fofomohammed6253 6 лет назад +2

    Yani rahaa tu maumivu yakusugua hamam akuna

    • @mwanamisaomar346
      @mwanamisaomar346 6 лет назад +1

      Tena hapo unaosha hamna mankini xanaa

    • @faridarashidi2036
      @faridarashidi2036 5 лет назад +2

      SWADAKTA DEAR NAKUBALI HAPO YAANI USIADAIWE NA NYIMBO SIKIZA MDUNDO NAMI PIA NIKO NDANI TUKO PAMOJA RASHID SIMBA 😂😂😂😂😂

  • @hadijamatano6687
    @hadijamatano6687 7 лет назад +2

    nikiwa Qatar

  • @zondomariam228
    @zondomariam228 7 лет назад +2

    Sitaki pia mm kusemwasemwa ndani ya gulf masive

  • @nabwamzeeloo8863
    @nabwamzeeloo8863 6 лет назад +2

    viuno vizuri

  • @saumhajj4452
    @saumhajj4452 4 года назад

    Ndani ya Qatar

  • @saumhajj4452
    @saumhajj4452 4 года назад

    Home sweet home

  • @mwanajumakatana578
    @mwanajumakatana578 6 лет назад +1

    maana wanezoa hao kinafulani

  • @faridarashidi2036
    @faridarashidi2036 5 лет назад +2

    KUNINGUA MAUNO TUU HADI CHEE YAANI RAHA TUU MPAKA BASI PATAMU HAPO RASHID SIMBA 😂😂😂😂

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh Год назад

    💓🥰👌

  • @Mwanaidi-b5x
    @Mwanaidi-b5x 10 месяцев назад

    👍👍👌💋🙏

  • @hadijafundi8924
    @hadijafundi8924 2 года назад

    Rashidi simba

  • @esharashid655
    @esharashid655 2 года назад

    nice

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 4 года назад

    Yani raha hadi basi. Najiona nimo ndani tu nikilisakata hata sikumbuki hio hammam ya mwarabu. Mwili ndani ya Saudi Arabia ila nafsi kaya nala ngoma. Rashid simba hoyeee

  • @naimahassan4858
    @naimahassan4858 3 года назад

    👌

  • @mwanajumakatana578
    @mwanajumakatana578 6 лет назад +1

    naminia rashid simba wapekichapo chao

  • @nyukimpole1998
    @nyukimpole1998 Год назад

    Rashid simba yuko sw

  • @Mwanaidi-b5x
    @Mwanaidi-b5x 7 месяцев назад

    🎉❤❤👌👍🙏

  • @Mwanaidi-b5x
    @Mwanaidi-b5x 6 месяцев назад

    👍👌👌❤️🙏😍🎉