Kama hauna kitambulisho cha Taifa hivi ndivyo utavyosajili line yako

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 сен 2024

Комментарии • 222

  • @bethadickson5242
    @bethadickson5242 5 лет назад +33

    Jaman kwa Morogoro kulikuwa na usumbufu hatari sasa wakisema mpk hivyo vitambulisho wengi tutapata tabu saana

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 лет назад +23

    Kwa nn muwazimie cmu watanzania!? Huo ni upuuzi2, eti kisa wanaogopa matapeli wa Tuma ile pesa, anaetuma na yy hazimtoshi utatumaje bila kuhakiki unaemtumia!?

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 лет назад +19

    Mnakela xana tukiwachekea nyie mtatushika makalio zimen tu tumechoka

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 5 лет назад +33

    kweli hii nchi inawanyanyasa wananchiwake mlisema vitambulisho vinavotakiwa ni chakura.chautaifa leseni na paspot yakusafiria.hini unyanyasaji mmekosa lakufanya

    • @devothadonaldsimbi3499
      @devothadonaldsimbi3499 5 лет назад +1

      Pas ya kusafiria sio kitambulisho Hilo liko wazi kabisa Kila sehemu kwa Tanzania yetu.kwani hata uhamiaji wanatoa Rai kuwa hati ya kusafiria sio kitambulisho.

    • @georgephilipo1211
      @georgephilipo1211 4 года назад

      asante san

  • @eliurumalaiza9163
    @eliurumalaiza9163 5 лет назад +6

    Daaah tutapata Tabu snaa mbon. mnatukomoa aise wengine hatuna kitambulisho hizo😓😓

  • @godsonshoo6734
    @godsonshoo6734 5 лет назад +6

    Longolongo sana mimi tangu 2017 badoo sijapata kitambulisho ukiuliza bado havijaja NIDA hawajajipanga kikamilifu full usumbufu

  • @joycelenatus2187
    @joycelenatus2187 5 лет назад +2

    Hajajibu swali husika,mi nataka kujua kunatofauti gani Kati ya kitambulisho Cha mpiga Kura na uraia ktk usajili wa laini?jmn tunaelekea wapi?

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 лет назад +31

    Wengine hatuna hivyo vitamburisho,na tuko nje ya Tanzania

    • @rehemahramadhani3428
      @rehemahramadhani3428 5 лет назад

      jan we acha tuu wengin wakat wanaandikisha hivo viyambulisho tulikuwa shule tunasoma tena ni bodi asa iv wanasajili kwa finga tupo nnje ya tz tunatafuta pesa

    • @hassanidrissa1071
      @hassanidrissa1071 5 лет назад

      Kabla ya kuanza hill zoezi lenu, ingekuwa vzr mjirizishe kwamba watu wote tz wamepata vitambulisho, kwasababu wengi tumejiandikisha lakini adi Leo majina hayajatoka,

    • @gidzblydraj1067
      @gidzblydraj1067 5 лет назад

      Unaweza kwenda NIDA na ukaandikishwa upya

  • @radhemohan7490
    @radhemohan7490 5 лет назад +11

    inamaana amna uhakika na mnachikifanya usajl wa mwanzo na mashart ake mlpanga nyie mkatupangsha foren sana 2009 leo tena mnaleta yaleyale au ndo mirad ya upigaj... pgen kmyakmya sio kutusumbua raia.. maisha yenyewe aya n usumbufu tosha mfumo mliotuwekea!

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 5 лет назад +6

    MWANZA toka tuandikishe ni mwaka sasa hamjaleta then mnataja na mwanza.?

  • @josej9888
    @josej9888 5 лет назад +18

    Wanatusumbua kila siku usaji!! Kwanini wasiende Nida wakachukua hizo fingerprints? Au kwenye makampuni yacm finger c zipo?

    • @rehemahramadhani3428
      @rehemahramadhani3428 5 лет назад

      hawana jipya hao kaka baada ya kuboresha mambo mengine wana sumbua watu wangeshusha bei ya vocha na watoe mb nying angalau mm nipo oman huk kidog mambo ya mb afuu sana

  • @josephellytemu9645
    @josephellytemu9645 4 года назад +1

    mnasema laini ndyo zisajiliwe iyo simu inausianaje sas mbon mnabowa sana mnakuw km watot bnh na sasaiv mtajipigia kura wenyew maan tumewachokaa 😏😏😏😏😏😏😏

  • @melchizedekkidaghoo9294
    @melchizedekkidaghoo9294 5 лет назад +4

    Wagen kutoka mataifa mengine hawataweza kumiliki line, wakiwa tz
    Sasa cjui itakuaje maana hawana NIDA

  • @jumakikobo8077
    @jumakikobo8077 5 лет назад +5

    Ingekuwa bora zaidi mngesema atakae sajiri laini kuanzia sasa asajiri kwautaratibu huo la sivyo mtatuumiza wengi

  • @ThetopDjMarc
    @ThetopDjMarc 5 лет назад

    Mngetumia utaratibu wa kuwafikia wananchi walipo sio watu waende Nida, tengenezeni timu muende nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa, watu wako bize, wanapambana na maisha, wengine ni wazee, wengine wanauguza, wengine wamesafiri na wako mbali, jiongezeni ili kuweza kuwafikia watu wengi zaidi kwa wakati mfupi

  • @mirajimaganga6138
    @mirajimaganga6138 5 лет назад +3

    Wanyonge tunapelekwa wapi?nchi hii inawatanzania wengi sana wanaomiliki simu kwa taratibu zilizowekwa na serikali sasa hili DILI LA NANI TENA! UWIIIIIIIIII SHIDA INAKUJA,TUNAWACHAGUA WENYEWE MNATUNYANYASA WENYEWE ,UWIIIIIIIIIIII.....

  • @sportevents220
    @sportevents220 5 лет назад +13

    Mgeni toka nje ya nchi hatakuwa na line ya hapa tz, 50m-16m= 34 kwa hiyo hapo watazania 34 hawatakuwa na mawasiliano, hapo ni kuharibu makabuni ya simu

    • @godiebaa6994
      @godiebaa6994 5 лет назад +1

      Huu nafikiri ni uelewa Mdogo wa matumizi ya takwimu,
      Fatilia kwamba watanzania wenye simu ni milioni hamsini mpaka sasa? Je watoto wachanga wanamiliki simu pia, maana nao wapo kwenye hiyo hamsini?
      Na je hujui kwamba wageni wakaazi hao nao wanatambuliwa na Nida na kupewa vitambulisho vinavyowahusu? Nafikiri ndo maana serikali inataka tutumie takwimu vzr na baada ya utafiti

    • @joelmasingisa2227
      @joelmasingisa2227 5 лет назад

      @GodieBaa bravo sana

  • @alphoncedaud7976
    @alphoncedaud7976 5 лет назад +1

    Tanzania ina zaidi ya watu 60M unaongeleaje asilimia 20%

  • @edisonmwambokela3364
    @edisonmwambokela3364 5 лет назад +21

    Tunadanganyanya mweshimiwa hapa mmetengeneza pesa kutumia njia ya kuangalia hivo namba ukituma sms jibu alileti iyo namba unaambiwa bado ujakamilisha tunazidi kuliwa sh,100 pasipo na faida yoyote

    • @georggeofrey8687
      @georggeofrey8687 5 лет назад

      Hilo ndilo nalo liona, maana tangu wametoa tangazo kuangalia namba yako ya kitambulisho kwa kupiga ile namba, mwitikio umekuwa mdogo, tufanyeje sasa, wazo likaja usajili wa line maana hapo ni lazima watashikwa wengi, sasa kama umesajiri watu milioni 16,kisha unasema watu milioni 40 waangalie usajili si njama za upigaji

    • @abduldandy3077
      @abduldandy3077 5 лет назад

      ase wamechukua karibu mia5 ase alaf hamn chchte

  • @kimmseinvtz
    @kimmseinvtz 5 лет назад +8

    La muhimu mlitakiwa kwanza kuhakikisha kila Mtanzania anapata kitambulisho cha Taifa. Baada ya hapo ndio yaje hayo mengine. Wewe mwenyewe waziri unakiri kuwa kuna wengi bado hawajapata hivyo vitambulisho. Kama raia amejiandikisha na amepata risiti tangu 2017, kwanini asipewe kitambulisho?

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 лет назад +4

    Nchi ina mambo ya kisenge hii hawa kama hatujawogomea baadhi mambo watatuzingua kila siku kwani si tushasaajili deli tunasajili usenge mtupu

  • @judithmshana937
    @judithmshana937 5 лет назад +2

    Nida walitoa huduma hiyo kwa maringo sana na walitoa kwa upendeleo kwa watumishi wa serikali hivyo tulio wengi ambao si watumishi wa serikali ndio hatikupata vitambulisho tunomba wazunguke tena kusudi na wale tuliotengwa tupate jamani

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 5 лет назад +3

    Hv huyu waziri ana akili kweli?

  • @melchizedekkidaghoo9294
    @melchizedekkidaghoo9294 5 лет назад +3

    Kuchua hizo 100. Mmechukua nying matokeo negative mm nasubri tu hiyo plan B

  • @petermhina6535
    @petermhina6535 5 лет назад +8

    Hivi hawa tumewapa sisi kutuongoza au wanajipangia tu kutuongoza? Hivi hapo anaeumia nan?

  • @raageabdi3123
    @raageabdi3123 5 лет назад +8

    Wengine hatujafikiwa na hivyo vitambulisho vya nida

    • @mikelmasanja2522
      @mikelmasanja2522 5 лет назад +1

      umeambiwa utatumiwa number (NIN) ambayo utaitumia kusajilia lain lakin pia itakuwa ndio number yako ya kitambulisho cha Taifa pale utakapokipata shida nini jaman?

  • @قاسممحمد-ص5ت
    @قاسممحمد-ص5ت 5 лет назад +15

    Kazi ipo kuna siku tutaambiwa line zetu twende nazo ikulu zikasajiliwe

  • @kulwasandali2279
    @kulwasandali2279 5 лет назад +1

    Kwa hili bado hamjasem cha maan watu kibao hatun kitambulisho wala hizo namb za nida na ukienda huko nida ni usumbufu tu tafuten njia nyingne ya kutusaidia maan Laini zetu wengne ndio kula yetu maan michongo yote inatok ktk cmu

  • @khafidhsaid7687
    @khafidhsaid7687 5 лет назад +2

    tatizo ni kua hatuna viongozi wenye muono wa mbali
    tusubiri tu si muda mrefu utaskia jengine

  • @Gamba177
    @Gamba177 5 лет назад +2

    Hahahahahaha fingerprint kwa ajili ya kijisimu utafikiri unataka kununuwa ndege duhhhhhh kweli hii nchi inaelekea pabaya na yote hayo ni uwamuzi wa viongozi vichaa wasiyo soma tena tanzania ni nchi ya kwanza kufanya vitu vya ajabu ajabu kama hivyo.

    • @godiebaa6994
      @godiebaa6994 5 лет назад

      Watanzania bwana, huwa tunalalamika tunaibiwa kupitia mitandao, serikali inaleta namna ya kudhubiti napo shida. Kwa nini hatutumii muda wetu kutafiti kwanza badala ya kuanza tu kulaumu?

    • @ototek8037
      @ototek8037 5 лет назад

      @@godiebaa6994 kitambulisho cha kupigia kura kina finga plint kama kawa.. Zile data wameziweka wap au hawazianin? Acha ujinga ww huu ni mladi wa wasenge flan kupiga pesa. Mda wa kupanga folen nan anao na maisha haya.. Kwan wez wapo kwenye sim tu? Mtu kuibiwa pesa kitapeli n ufala wake binafsi

  • @mahrizainobaranchas7589
    @mahrizainobaranchas7589 5 лет назад +2

    Mimi sijui kabisa kiswahili nipo huku ughaibuni, hebu nifafanulieni alichokisema mheshimiwa. Afu mniambie hiyo ni nchi gani?

    • @ednajacob4073
      @ednajacob4073 5 лет назад

      Intelligent Monk Obaranchas ya tz hayakuhusu fyuuu

  • @godigaspatv6146
    @godigaspatv6146 5 лет назад +7

    Bongo bahat mbaya et bado tunajadili maswala y Lain na anaye toa utaratibu hajasoma juu ya maswala ya teknolojia ufunge laini haru tukale kwa baba yako lain zetu ndo zinatuweka mjin

  • @ahmadsayyeed2974
    @ahmadsayyeed2974 5 лет назад +10

    Nyie mkishakushiba mnazaa kila aina ya ujinga lakini tunajua ni kwanini mnazaa ujinga ni kwasababu ya kupata pesa msizozifanyia kazi

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 5 лет назад +2

    lugola bhana,,,watu toka2015 tumeandikisha vitambulisho mpaka sasa horaa

  • @roseafrael5390
    @roseafrael5390 5 лет назад +2

    Kwahiyo vitambulisho ni vya kusajilia laini siyo vya uraia tena ee

  • @mamalakia7157
    @mamalakia7157 5 лет назад

    jamani msilala mike bilakua naelimu yajambo umeambiwa fwatilia kitamvulisho wew fuatilua itafikia umefungiwa sm ndio unaanza kufwatili mm nilipuuzia ikafika siku ninaumuhim wakitambulisho nilipatatabu nikafwatilia nikapata usumbufuupo lakin tii sharia bilashurut

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 5 лет назад +14

    Only in Tanzania line ya simu kwa finger print 😂😂😂

    • @saidbanga
      @saidbanga 5 лет назад +1

      Sio Tanzania tu bali nchi nyingi wanafanya hivyo..!! Kuna nchi haurusiwi kusajili laini zaidI Ya Tatu maisha yako yote..!! Mimi nipo nje ya nchi na nimesajil laini kwa mtindo huo kwenye nchi niliyopo..!! sema Tz inabidi iweke muda wa kutosha kuhakikisha hilo zoezi linakamilika sio kitu rahisi maana Vitambulisho bado havijawafikia wananchi wote..!!

    • @mikelmasanja2522
      @mikelmasanja2522 5 лет назад +1

      Nenda nchi zilizoendelea mbona system hii ipo toka muda tu

    • @namisgiggah1571
      @namisgiggah1571 5 лет назад +1

      @@mikelmasanja2522 wewe unaishi nchi Gani kati yahizo zilizo endelea?
      Mimi nishaishi nchi Tatu tafauti na nishakua na laini zaidi ya Tatu kusheria na mpaka Sasa ndio maisha yangu yalipo. Msilete ubishi pasi na provement.

    • @devothadonaldsimbi3499
      @devothadonaldsimbi3499 5 лет назад

      @@mikelmasanja2522 watanzania huwa tunapenda kushuhudia uongo vitu hatujui tunahakikisha tuu mtu akitembea katika mwanza kwenda mpanda havuki mipaka mikubwa ndio maana huwa tunashabikia hata kwa kitu Cha msingi tunaonA tunaonewa.kuelimika sio Jambo rahisi hasa ukiwa mjuaji na ukajiona unajua kumbe hujui.

  • @jacksonmakasi
    @jacksonmakasi 5 лет назад +10

    Wengine tumepiga hadi picha lakini hadi leo picha zetu hazipogo

  • @iddyabdallah3286
    @iddyabdallah3286 4 года назад

    Kwa kweri mzime2 bhn changamoto ni nyng sana mtu unaandikisha Leo nmba zinatoka mwakani

  • @annatariq5378
    @annatariq5378 5 лет назад +2

    Yaani baada ya kufuatilia madawati yalio jengwa jkt yapo yameaakattu hadi yanaozaaa hajaendwa kuchukuliwa kumbuka tumetumia nguvu kuyatengeneza leo mnafukunyua laini za simu ushuzi mtupu

  • @salimually2165
    @salimually2165 5 лет назад +2

    Mmeshaona watanzania ni wakupelekwa pelekwatu hatuna akili chukueni mishahalayenu mtulie mtuache na shida zetu

  • @nyukitv5036
    @nyukitv5036 5 лет назад +2

    Tuache kujizonga iv kitambulisho kinatafauti gn wakati kitambulisho kinajielezea kila kitu kusoma sn kweli mwisho ziro hch kitambulisho kina finger print ss ki2gan

  • @emelykinsindi9439
    @emelykinsindi9439 5 лет назад

    Watufungie tuu maana tunaliwa salio kila kukicha turudi tuu kwenye barua

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 5 лет назад +2

    Ndio mana mm nasemaga bunge lipo kwaajili ya usumbufu kwa raia Na kula pesa za posho sijawai kuona hoja zne zikatupa furaha wananchi

  • @magrethrichard5653
    @magrethrichard5653 5 лет назад +4

    Yan hawaelew tuu nn kinaendelea uku dunian,watu tumepangaa folen kusubil fomu mwisho wa siku fomu zmeishaaa n hakuna utaratibu mwingine wa kupata iyo huduma,et Leo wanatoa siku iv wanajua changamoto zilizopo lkn au ndo siasa tuu,mambo mengine muwe mnaangaliaa bhn

  • @wbdsgamer_
    @wbdsgamer_ 5 лет назад

    Wakumbuke kupata kitambulisho cha taifa ni mpaka kufikisha miaka 18, lakini kumiliki laini ya simu sio lazima kuwa na miaka 18
    Na pia kuna foreigners wengi tu wanaingia nchini watahitaji kusajili laini huwezi kuwadai kitambulisho cha taifa na wao sio watz.
    Hili jambo waliangalie kwa kina sana

  • @josephellytemu9645
    @josephellytemu9645 4 года назад

    ivi nyie mnazingua cna iyo nida wanaringa cna ivi raisi aoni ilo asee. nida wanasumbua fanyeni km vya kura tupate wote mna bowa

  • @shakavevo7276
    @shakavevo7276 5 лет назад +3

    Hivi kwa mwanza ofisi za nida ziko wapi jaman

    • @devothadonaldsimbi3499
      @devothadonaldsimbi3499 5 лет назад

      Ikiwa wewe Ni mzalendo ungetambua Kila kitu kinachoendelea ndani ya nchi yako .pole jitahidi kuulizia ukimaanisha la sivyo unaweza kuendelea kutotambua unachokihitaji Kama Ni kweli

    • @shakavevo7276
      @shakavevo7276 5 лет назад

      @@devothadonaldsimbi3499 hujanijibu swali unazunguka sana mambo ya uzalendo yanatoka wp kitu kama hukijui tulia wanaojua watanijibu wewe umekulupuka asante

  • @husseinmagari3245
    @husseinmagari3245 5 лет назад +3

    ukweli Mimi sijapata number wala kitambulisho chw nida mungu Wangu nisaidie maana simu yangu ndiyo kula kwangu katika kazi zangu za kujebga taifa

  • @hassanmjebe4703
    @hassanmjebe4703 5 лет назад

    Nashukuru Raisi wetu akawai kupiga stop,,, sasa muwe mnauliza wananchi bc sio mnaamua kama nchi yenu peke yenu,, pass kupata ni inshu, ukitaka ku renew mpka utume maombi ma pya ya nini nawakati kumbukumbu za mwanzo mnazo???? Au ni mazingira ya upigaji,, kweri bongo bahati mbaya

  • @iddninga
    @iddninga 5 лет назад +2

    Nchi ya ajabu sana,inafaa iwekwe kwenye kumbukumbu ya taifa lenye vituko na siyo maendeleo.

  • @amandusyelyasy6446
    @amandusyelyasy6446 5 лет назад

    Na mgeni inamaana hoto sajiliwa line 😂😂😂😂😂 Tanzaniaaaa.... Nakwenda Zimbabwe🛫🛫🛫🛫 ukifuatilia mambo ya serikali ya Tanzagiza unaweza kufa na presha..

  • @pemdumi
    @pemdumi 5 лет назад +2

    Wamepoteza muelekeo kwenye usajiri wa makampuni na sasa wanakwenda kuwatoa watu chungu mzima kwenye mawasiliano.Makampuni ya mawasiliano yatapoteza pesa na serikali itapoteza mapato.

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 лет назад +3

    Ukweli Uko Tunapokwenda Tutapangiwa Muda Wa Kulala Kwasababu Hii Nchi Niwavama Vingi Sasa Kama Tunaishi Kwa Matamko Ya Ajabu Hii Inatia Doa Kiukweli Kwasababu Serikali Ipo Asikari Wapo Sasa Badala Ya Kutafuta Namna Ya Kuwakamata Watu Wanaotumia Laini Vibaya Nyinyi Mnafunga Laini Hii Sio Msingi Kwa Taifa Huu Mfumo Wenu Wa Kuamka Na Kutoa Maagizo Nyerere Alisema Kweli Sasa Ndio Aya Yanayotokea Tafuteni Namna Ya Kuwazibiti Watu Wanaotumia Laini Vibaya Kwa Kuzinasa Sim Zao Sio Kufunga Laini Sasa Watu Wa Vijijini Vipi Sim Zao Na Laini Zikipotea Amuoni Kama Mmeweka Mzigo Nyinyi Viongozi Atakama Ukipoteza Usiku Laini Asubui Unaletewa Laini Ukiwa Ndani Sasa Msitumie Ulaisi Huo Mkazani Ndio Maisha Tuliyonayo Watanzania Apana Mnatukosea Kutupitisha Mbere Ya Tureni Watanzania Wasiwasi Wetu Nimkubwa Sana Kwasababu Huu Mpango Umebeba Mzunguko Mkubwa Sana Tunaishi Kimarekani Wakati Uku Chini Wako Watu Tunaokota Makopo Sasa Hao Mtu Anaetumia Kilevi Je Amedondosha Laini Wewe Unasema Mpaka Aende Polisi Ivi Uko Polisi Ataenda Kweli Jamani Na Hao Watu Nao Watazamwe Ndio Mana Nasema Huu Mpango Wa Kutoa Maagizo Bila Kujua Ukweli Wa Maisha Ya Watanzania Mtakiweka Njia Panda Chama Cha CCM Huo Ndio Ukweli Halisi Mtakialibu Chama Chetu Iki Chama Cha Wakulima Na Wafanyakazi Sasa Mtatupa Tabu CC Wakulima Wa Vijijini Jamani Serikali Hii Mue Mnachunguza Maagizo Asubui

  • @iddiwilliam5106
    @iddiwilliam5106 5 лет назад +2

    Nyie mnakomoa wanchi wens sasa tusajilije lani hatujapata vitambulisho

  • @polesanakakabenjamini4719
    @polesanakakabenjamini4719 4 года назад

    Haya mambo yanauzi sana

  • @saidndabi2501
    @saidndabi2501 5 лет назад +1

    Miezi sita hatujapata vitambulisho

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 5 лет назад +3

    Kwa hili halijakidhi vigezo.....milioni 40.4 ya watanzania hatuna Kitambulisho kwa hiyo tutaanza kuandikiana barua!

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 года назад

    Tulio lud hapa baada ya kesho ndo siku ya kufungua Line tujuane km hujasajili line yako. Km mm

  • @fettamidu2503
    @fettamidu2503 5 лет назад +8

    Tunao nyanyasika ni sisi yaani mnatupeleka kam gari bovu kwa ajili yenu

  • @danielkivuyo7250
    @danielkivuyo7250 5 лет назад +3

    Wale wanao sema tuma kwenye no hii wanatuponza

    • @ackshuba8679
      @ackshuba8679 5 лет назад

      Daniel Kivuyo nakufaaaaaaaa hahaha

    • @hemedjuma8637
      @hemedjuma8637 5 лет назад

      hii mijitu imekosa kazi za kufanya huko bungeni sasa kazi nikusumbua watu mtaenda kusajili wenyewe mapanya nyinyi

  • @abdallahalkithiry9043
    @abdallahalkithiry9043 5 лет назад

    Miaka ya nyuma simu za kunyonga umuombe operate akuungie Namba unayotaka na simu walikuwa wanamiliki watu wachache hivi sasa wanaomiliki simu wameongezeka na matumizi yamebadilika wapo wanaotumia simu vizuri na wapo wanaotumia simu vibaya Serikali inastahili kuzibiti vitendo visivyostahili katika jamii inayoiingoza tutafika tuendako

  • @ezramassawe639
    @ezramassawe639 5 лет назад +1

    wananchi tunanyanyasika mno mno mnataka nini rushwa au

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 5 лет назад +2

    kusumbua tu wananchi hamna jipya upumbavu mtupu kwani usajili wa kwanza unashida gani

  • @peterfrank7938
    @peterfrank7938 5 лет назад

    Alieshiba hamjali mwenye njaa hao nida wenu hawajatupa vitambulisho mnatusumbua cc RAIA

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 лет назад

    mie nashangaa nani kawaambia hatuna hela ya vitambulisho mpaka mnatufanyie bure? matokeo yake kupata imekuwa shida nibora mtutoze pesa lakini tuvipate matokeo yake bure alafu kupatikana shida .

  • @hassanmagadula2755
    @hassanmagadula2755 5 лет назад +1

    Pumba tupu

  • @loveblack8087
    @loveblack8087 5 лет назад +1

    Hizo namba ziko wapi?

  • @ayoubhussein6625
    @ayoubhussein6625 5 лет назад +1

    Lesseni ya driving,kitambulisho cha kura,zoteeee zinatumia finger print sasa iweje Leo wanalazimishia kitambulisho cha utaifa ? Ivi definition ya mnyonge ndo hiiiii ?

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 лет назад +2

    Sasa hao wanaopinga kwa maslai ya nani?

  • @hassanmjebe4703
    @hassanmjebe4703 5 лет назад +3

    Ushauri wangu kwa viongozi wa nchi wapo raia wenye akiri kuliko viingozi bahazi ya viingozi wetu, kwani kila kukicha wana dili na kuwa rostisha wa Tanzania????? Sasa Leo wana hili kesho utasikia tena, lile, kuna mwingine alikurupuka hata ndoa vyeti vya luxuries bila vyeti hakuna ndoa

  • @muntaswiruabdulrazack3153
    @muntaswiruabdulrazack3153 5 лет назад +2

    Wengine tulijihandisha mikoan.. Mfano Lindi mjini ila vitambulisho haviji mwaka wa pili huu.. Vikija eti vitambulisho 54 wakat walihandikisha watu zaid ya mia5 ivi.. Huo si uzrnguzi kwel.. Ebu nida wafanye kwel mbona vitambulisho vya kura ulikua unapata hapo hapo hapa kwa vitambulisho vya taifa inashindikana nini???

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 5 лет назад

      Ukienda hapo ulipoandikisha unaweza kupata namba

    • @muntaswiruabdulrazack3153
      @muntaswiruabdulrazack3153 5 лет назад

      @@dastanfussy4898 nimeenda Mara kibao rafiki yangu jibu nnalopewa kwamba wao kila kitu washatuma dar. Tatizo lipo dar haliyakua ukienda dar coz Mara ya mwisho nliwaacha kawe wanakwambia kitambulisho kitatumwa Lindi.. Sa sijui tatizo nini kwanini wasitoe vitambulisho vyote. Dar ukiandikisha mwez mmoja tu unapatiwa kwanini mikoani iwe shida???

    • @muntaswiruabdulrazack3153
      @muntaswiruabdulrazack3153 5 лет назад

      @@dastanfussy4898 nimejaribu kutumia ata ile menu wanayotuma kwenye simu kwamba ukitaka kuangalia namba ya kitambulisho chako mwisho wa siku meambiwa form yangu bado inashughulikiwa sijui. Yan so boring. Vitambulisho tunavitaka ila kuvipata duh.

  • @shuaboymchimbandagu1326
    @shuaboymchimbandagu1326 5 лет назад +2

    Haya mambo ilikuwa waulizwe wananchi kwanza maan nahisi wananchi walio wengi hawana iman na watu waliowapa dhaman ya uongoz

  • @nassamlinda1680
    @nassamlinda1680 5 лет назад

    Mimi naomba kuuliza kwamba kuna baadhi ni wanafunzi walikuwa shule kipind watu wanasajili vitambulisho vya taifa , wakiwemo wanachuo na wanafunz wa kawaida, Mimi ningeshauri upite mashuleni na vyuoni pia

    • @erastosanga6667
      @erastosanga6667 5 лет назад

      MPANGO WA VITAMBULISHO VYA URAIA NI MZURI, LAKINI WASIMAMIZI WA MPANGO HAWAKU JIPANGA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO, ZA KUMFIKISHIA HUDUMA MLENGWA, HADI SASA WATU HATUJAPATA VITAMBULISHO, NIDA WANASEMA INGIZA NAMBA YAKO YA SIMU ULIYO SAJIRIA KITAMBULISHO, KAMA NIMESAHAU? KAMA TCRA NAO WANAKUJA NA MFUMO MPYA WA KUSAJILI LINE, BASI MJUE KUWA SERIKALI MMEAMUA KUTUYUMBISHA WANANCHI WENU, TUENDAKO KILA MTANZANIA AKIWA SAFARINI, ATAPASWA KUWA NA BEGI LA VITAMBULISHO MAANA NI VINGI MNO, TAFITENI NJIA YA KUFANYA KITAMBULISHO KIMOJA KIFANYE KAZI NYINGI.

    • @erastosanga6667
      @erastosanga6667 5 лет назад

      Jaribu kuona hii kero, passport, ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga Kura, bima ya afya, kitambulisho cha uraia, Kadi za benk, reseni ya udereva, line za simu, kitambulisho cha kazi au ajira, vingine nimesahau nikumbusheni, hapo lazima uwe na begi la vitambulisho, duu jamani viongozi haya pia ni mateso, serikali ni moja kaeni mtupunguzie huo mzigo, kitambulisho kimoja kifanye kazi nyingi. Kama lengo ni kutusaidia

  • @kingsay9313
    @kingsay9313 5 лет назад +1

    Nyie wahun tu mnge gawa vtabulisho ndo mkafanya huu umpango sio mnakulupuka bila mandaliz wasom fek mnajua hera tu kwavile nyie mna vitambulisho ndo maana mnalopoka tu mngejua maisha ya sisi wanyonge msinge kua mnapanga mipango bila kutafakar

  • @kasimuyusuph8227
    @kasimuyusuph8227 5 лет назад +3

    Unajua hata sisi wananch tuna akiri msidhani nyie mlioko bungeni ndio mna akili mjue baadhi ya mikoa tumeandikisha lakini hadi Sasa miezi 6 inaisha VITAMBULISHO ni hakuna udhaifu Na unasababishwa Na nyie watendaji

  • @moyolameck555
    @moyolameck555 5 лет назад +3

    Mh.kangi lugola hapa morogoro wengi wa wakazi wa hapa hatujapata hivyo vitambulisho kwa asilimia 70% so kama unataka kujua ukweli njooni morogoro mfanye sensa ya vitambulisho ndio mtajua ukwel

  • @eliasjilanga2320
    @eliasjilanga2320 5 лет назад +1

    Wengine hatuna hata hizo no,

  • @andreymalisa1625
    @andreymalisa1625 5 лет назад +2

    nchiiiii ya hasaraaa hv hamna mty anayetaka kuinunuaa tugawane chetu tujikataeee

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 лет назад +1

    Kimbunga kimehairisha hadi tarehe 1 mei

  • @florangido202
    @florangido202 5 лет назад +1

    Rais Magufuli hebu lione hilo
    Mimi mpaka leo sijapata kitambulisho cha Uraia
    Naambiwa bado bado!!

  • @williamkitengai3608
    @williamkitengai3608 5 лет назад +1

    Huu usajili ni bure au ni pesa?

  • @man.lule.585
    @man.lule.585 5 лет назад

    Du hiyo namba na kitambulisho cha nida Mimi na wife wangu.atuna na tumejiandikisha tutavipata lini ili tukafanye huo muamala wa kusajili laini zetu? hapo waziri wa mambo ya ndani na waziri wa uchukuzi na mawasiliano sijawaelewa kabisa. haswa wazee na wakulima vijijini atutawaelewa maana hizo ofisi za nida atuzifahamu.

  • @hoseahomanje2383
    @hoseahomanje2383 5 лет назад +1

    Hii Ndiyo Tangagiza

  • @zakaboy1305
    @zakaboy1305 5 лет назад +1

    hapo hakuna kitu kabisa

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 5 лет назад +3

    Ni Tanzania pekee ndio kuna sinema za mataifa yote kila kukicha na kila anayelala akiamka anaota kaja na sinema yake!.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 лет назад +3

    Mzee vijisent nakukubali

  • @sylvestermatinde7527
    @sylvestermatinde7527 5 лет назад

    Mmeshindwa kuleta ID za mwanatanzania tangu mwaka Jana,tunapelekwa WAP?

  • @jacksonsendama9458
    @jacksonsendama9458 5 лет назад +1

    Nchi ya kukurupuka

  • @robertnoel5232
    @robertnoel5232 5 лет назад

    Kuna Sintofahamu kubwa sana wanasiasa mnatuletea , jaribuni kufanya tathmini kabla ya kuja na maagizo kama hayo

  • @adamhajji3563
    @adamhajji3563 5 лет назад

    Je kitambulish cha zanzibar kitakua na kaz gan kwan itakua si cha taif cah uraia

  • @jacobmasunga8180
    @jacobmasunga8180 5 лет назад

    Kwa ufupi hakuna mnacho kifanya haiwezekan vitambulixho vya watu ammekaa navyo afu mnatoa tangazo kama hilo je watakao kua tena baada ya miaka miliwa watu web watakua na umri wa kuweza kumilik cm mtawapa vitambulisho kwa njia ipi kiukwel mi sijaona maana

  • @michaelchilewa6
    @michaelchilewa6 5 лет назад +1

    Apo itakuwaje kwa ambao hatujapata vitambulisho

  • @paschalmaganga1893
    @paschalmaganga1893 5 лет назад +2

    jaman vitambulisho vya taifa huku kwetu hatuna kabisa

  • @fahadalrawahi3708
    @fahadalrawahi3708 5 лет назад

    Sio sio sababu magufuli anahitahi pesa 🤣 🤣🤣 🤣 kasha pora pesa za wastauaf Na ningi na sasahivi wa Tanzania wa kianza kufatiliya vitambilisho vipya lazima kulipiya pesa (ujanja Wa kupora watu pesa )

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 5 лет назад +4

    Wakati mwngne mnakeraaaa ivoo vitambulisho vyenyewe vilitaka kutuachisha kaz wngne kwaajili ya muda leo tena tunaambiwa bonyeza sijui namba gn tena kuangalia namba yako ya NIDA alafu unaambiwa njoo upige picha tena izooo nauli mnatutumia na huo muda wa kuacha kazi za watu unautoa wap????

  • @edinalihedule3421
    @edinalihedule3421 5 лет назад

    Nida morogoro ni usumbufu mkubwa sana.Tumeandikisha mwezi wa tatu sasa hakuna namba wala kitambulisho inakuwaje? Tunachoka jamani🙌

  • @safiasuleiman8472
    @safiasuleiman8472 5 лет назад

    Uzanzibar wachenzi washauchukua margea mkome Hashuo la muungano

  • @mudymakoba5554
    @mudymakoba5554 5 лет назад

    Huu ni mradi wa mtu hv mmeshaangalia Pros and cons ya haya enyi wanasiasa kuna vijana watakosa ajira ,service levy yote ni kwaajili ya kumfaidisha mtu mmoja jamani

  • @saidndabi2501
    @saidndabi2501 5 лет назад

    Watanzania million 50 vitambulisho million 16 ikoje