Inatakiwa matukio kama haya serikali iweke adhab Kali sana, ukikamatwa wekwa hadharani pigwa risasi, sabab inakuwa km mchezo vile watu wanafanya wanajua nitaenda nitarud.
Hii dunia ina mambo mengi mungu aingilie kati aya mambo yanatisha mara watu wanauliwa wanawekwa kwenye machemba kongo vita zinaendelea vita mbaya mungu atuongozee jaman 🙏
Mungu saidia sikia kilio chetu ya allah huyo mtoto aweze kukamatwa tia nguvu ascari waweze kumpata huomtoto hata kwa mtu yoyote ule aweze kumpata huwo mtoto ya allah
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Mungu tulindie watoto wetu peke yetu hatuweziiiiii😢😢
Inatakiwa matukio kama haya serikali iweke adhab Kali sana, ukikamatwa wekwa hadharani pigwa risasi, sabab inakuwa km mchezo vile watu wanafanya wanajua nitaenda nitarud.
Pole mama mzazi huu ni mtihani in shaa Allah M mungu atafanya wepesi
Da jmn mtt mdg Sana mungu amlinde hyo mtt na atarud salama kabisa amen🙏 kwa uwezo wa mungu aliye hai
Aminn
Jaman hamna huruma kuiba mtt wa mwenzio
Allah ajalie aonekane kwa uwezo wa mungu
Hii dunia ina mambo mengi mungu aingilie kati aya mambo yanatisha mara watu wanauliwa wanawekwa kwenye machemba kongo vita zinaendelea vita mbaya mungu atuongozee jaman 🙏
Allah amlinde hapatikane akiwa salama
jamani Mungu atilindie watoto wote huku ukonga kunamtoto alipotea wa miaka 5 kesho yake akakutwa mtaani wapili huko akiwa kwenye shimo na amefariki 😢😢
Eee mungu mlinde mtt aonekane akiwamzima
Mungumlinde mtt huyo arudi.akiwa mzima
Mwenyezi mungu atamrudisha
Dada pole sana Mungu akupambanie umpate mwakanao.udhuria Maombi nenda Kawe kwa Mwamposa
In shaa Allah M mungu atamhifadh yarab
Eeee mwenyezi mungu tunakwenda wapi maana kila kukicha majanga tuu
Mungu saidia sikia kilio chetu ya allah huyo mtoto aweze kukamatwa tia nguvu ascari waweze kumpata huomtoto hata kwa mtu yoyote ule aweze kumpata huwo mtoto ya allah
Mungu ampate akiwa hai Amni
Mw mungu mlinde mtoto huyu
Jamani kwanini binadamu tunakuwa ivo lakini mungu Amjalie apatikane
INAUMAAAA 😢😢
Naomb selikali m2 saidie jamani watoto awana makosa
Jamani ivi Dunia inaelekea wapi kila siku majanga tu😢😢
Pole sana
allah kareem atamlindq kwahilo
Jamani ni juzi tu hapa watoto wawili juzi mtoto wa miezi 7 leo wa mwaka na nusu serikali jamani adhabu zitolewe na hili swala likomeshwe
Lmn Tena hebu tupumzisheni sisi tuna kwenda lebar
Allah ajalie apatikane
Jamani
Sasa huyo mpumbavu amemchukua huyo mtoto anampa mtoto shida bure .mwenzake anateseka yeye anafurah
Mtoto wanaowataka wanatoa KAFARA
MUNGU BABA