I feel touched whenever when listening to such songs. Lengo langu ni kufikia kiwango Cha juu Cha kucheza kinanda tulivu kama hicho. TZ the heart of catholic songs. #From Kenya Onesmus#
Sauti tamu MNO ka za Malaika, hongereni sana wanakwaya msichoke na kumtukuza mungu, KUIMBA NI KUSALI MALA BILI. MBALIKIWE SANA from Kenya but niko Qatar.
Holy Spirit works with you always never disappoint him despite our human weakness your are really blessed all of you singers of the mercy of Almighty Father. Amen
Nimshukuru vile vile mpiga kinanda kwa kutenda haki kwenye nyimbo za utulivu, na kichagua kinanda Bora Cha nyimbo kama hizi. Kama angetumia technics isingekuwa mtamu hivi
❤❤for the first day nmesali changombe . NmeusiilikiA. Wimbo feeel difernt sana . Mungu mwaminifu. Mbarlkiwe😊😊
Pongezi Kwa wimbo Bora.Mola Awabariki.
Hongera sana,mtinzi kwa kweli aliongozwa na roho mtakatifu katika utunzi wa wimbo huu
Muziki Mtakatifu sana
Mzee Bwagidi ana tungo nzuri
Waimbaji mmeimba vizuri sana
Hongereni sana sana
asante sana mtumishii karibu sana na sana t.
Hongerani wapendwa kaI nzuri kisha naomba nota zate
Hakuna lile la kumficha Mungu. Yeye anatuonea mbali, kazi nzuri sana
Nyimbo nzuri Sana watu wa Mungu ,naomba flashi yenu
Tafadhali pokea ombi langu hili. Upload muziki wa huu wimbo tunaomba kuipata
Hongereni na asanteni kwa sadaka kubwa ya wimbo mzuri
Love the song one of the best congrats mwalimu..from kenya naomba kupata nota
Hongereni sana wanakwaya wenzangu kuimba n Raha tuish yale tunayoyaimba Kwa msaada wa Mungu❤❤
Muziki umeshiba vizuri to, Mungu awabariki na utume huo wa kuimba
Hongereni Kwa utume
Hongereni Kwa utume ulio bora @mariana .
These Catholic melodies makes us Kenyans see TZ as an Hallmark of clean hearted people
Hahahaaaa
Kenya tuna kukurukakara za nyimbo
@@georgeowidi5449jamani mbona nanyi mpo njema tu
That's It, Utunzi wa Mzee mwenyewe, Hillary B.Bwagidi , huyu jamaa pamoja na Ernestus Ogeda, nawakubali sana kwenye tungo zao
I feel touched whenever when listening to such songs. Lengo langu ni kufikia kiwango Cha juu Cha kucheza kinanda tulivu kama hicho. TZ the heart of catholic songs. #From Kenya Onesmus#
Mungu akujalie uwezo huo, kwa hakika utaweza, weka nia na ongeza juhudi, hakuna lishindikanalo kwa Mungu.
@@aidanvincent708Amina
Mmetisha sana
Sauti tamu MNO ka za Malaika, hongereni sana wanakwaya msichoke na kumtukuza mungu, KUIMBA NI KUSALI MALA BILI. MBALIKIWE SANA from Kenya but niko Qatar.
Asante sana mpendwa, nawe barikiwa sana
The best song ya sadaka how can I get nota for our director aki I love the song keep it up mwalimu🎉
Hongera sana Organist Kisso Shija
Safi wimbo mzuri na mmeutendea haki.
Tungo nzuri sana na melody yake hubaki akilini kwa muda mrefu
Very nice song indeed have enjoyed it.
Wimbo mzuri sana. Kuna uwezekano wa kupata Nota. Naomba.
Yes
Bila Shaka. Wasiliana na walimu utapata.
@@St.FrancisXavierDSM pia mm naomba nota ....
Hongereni sana🥰
Waooo, very sweet song. Hongera waimbaji na mpiga kinanda
🙏🙏🙏
You have never dissapointed me, never!
I always love how you guy's sing, your wonderful. May God keep blessing your work.
Utunzi mzuri mno, sauti tamu na kinubi kimepigwa kwa ustadi wa hali ya juu ......safi sana , huu ndiyo ukatoliki sasa....tafakari ya hali ya juu
🙏🙏🙏🙏
Mziki mzuri na uliotukuka kwa kweli mungu anawapenda wale wanaomtumikia kwa dhat yo moyo ❤
Mungu awatie nguvu kwa utume wenu
Hongereni sana sana Kwaya yangu ya zamani Mungu awabariki nakuwapa hitaji la moyo wenu
Asante sana Kwa maneno ya faraja
Saizi unaimbia kwaya gani?
@@St.FrancisXavierDSM ni wimbo mzuri tunaomba nota tafadhali
Tunamshukuru Mungu kutuwezesha kufanya utume huu. Kazi ni njema.
Nawapenda sana...kutoka Ununio😍😍😘
We love you too
Bwana atubariki sote
Hongereni
Holy Spirit works with you always never disappoint him despite our human weakness your are really blessed all of you singers of the mercy of Almighty Father. Amen
Mbarikiwe sana wapendwa Kwa kuimba vizuri.
Amina Amina Amina
Hakika ni tungo nzuri sana hii, Mungu azidi kumbariki Mwl. Bwagidi, na ninyi waimbaji kwa kuutendea haki wimbo huu
Asante sana Baba🙏🙏🙏🙏
Mziki umetulia unagusa roho yangu kisha mzheza kinanda kacheza jinsi inavyotakiwa hamna mbwembwe hongera Kaka
Wimbo mtamu sana
Wonderful job Mwalimu Bwagidi, let's continue worshiping God in such good melodies🙏🙏
namis duce my church, wonderfully performance 2023
Yapendeza hatamb mbinguni malaika wanafurahi pi
Nice!
Good job my team
thx soo much
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Sound engeneer check the voice again
Naweza pata nota za wimbo huu
Nikuepo leo
Nice song
Wonderful voices
Mbarikiwe kwa uimbaji uliotukuka mmeimba kwa unyenyekevu
Naomba nota ya wimbo huuu
Blessed 🎉
Safi❤❤
Nimshukuru vile vile mpiga kinanda kwa kutenda haki kwenye nyimbo za utulivu, na kichagua kinanda Bora Cha nyimbo kama hizi. Kama angetumia technics isingekuwa mtamu hivi
We! Technics ndo machine mzee, labda hujui kuiset. Acha kabisa kubeza hicho kinanda utahukumiwa vibaya!
@@gaspartheophile4838 Hujui unachoongea, kwa sauti ni Yamaha, labda ngoma kavu na zenye nguvu ndio technics
Hongereni Kwa wimbo huu mtamu uliojaa vionjo murua bila kumsahau organist Kwa utulivu
Mbarikiwe kuenjilisha Kwa wimbo wenye maudhui.
mnahudumu misa ya ngapi??
Ya Pili
🔥🔥
❤️❤️❤️❤️❤️
❤
❤️❤️❤️
🙏
Hongereni Sana tusapotiane kwa kusubscribe
Amina. Karibu sana nawe
Mungu awa bariki sana waimbaji.
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
🙏🙏🙏