YESU HAJAWAHI KUWEPO NI UONGO WA WAZUNGU WALITUNGA ILI KUIBA MALI AFRIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 193

  • @SalomonK-ic6mw
    @SalomonK-ic6mw Месяц назад

    Amen and amen kweli itabaki kweli asante sana ubarikiwe sana.

  • @JonathanNtauta
    @JonathanNtauta Месяц назад +3

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
    Hakika Yesu yupo nimemuona tena nazidi kumuona

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 Месяц назад

      Alikuwepo, ila wewe kumuona ni uongo

    • @masoud0045
      @masoud0045 Месяц назад

      Tuambie alivyo mrefu mfupi mnene mwembamba mweupe mweusi muonekano wake kwaujumla upoje

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v Месяц назад

    Hongera Mwalimu benison ubarikiwe

  • @MathewTemba
    @MathewTemba Месяц назад +1

    Ushahidi wa kuwepo Yesu ni Yale ayafanyayo maishani mwetu tu hatutaki ushahidi

  • @Alexy-k5v
    @Alexy-k5v 25 дней назад

    Yesi Bwana namwokovu wamaishayetu

  • @HabbySeth
    @HabbySeth Месяц назад

    Asante sana mwana wa Mungu. Ubarikiwe sana sababu leo umenibariki kwa neno lako.

  • @MayungaRajabu-y5i
    @MayungaRajabu-y5i Месяц назад +1

    ❤ kaka mimi nakuelewa mno endelea kuelimisha Jamii MUNGU akubariki usichoke.❤❤❤❤❤

  • @SalomeKiduko
    @SalomeKiduko Месяц назад

    Mwacheni mungu aitwe mungu,haijalishi mweupe au mweusi nafasi yake ya ukombozi itabaki palepale,baadaye utasema mungu hayupo.

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga Месяц назад +2

    Leo nimekuelewa, hayo maswli yakiisilam yatakutesa sana benson wako kimwili sana.

    • @krizofrancisco5310
      @krizofrancisco5310 Месяц назад

      MUISLAMU kaingiaje hapo? Wa Israeli mnaosema ni taifa la Mungu ndo wanasema yesu Bado hajazaliwa, punguza chuki na uislamu

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala Месяц назад +1

      Acha udini,japo mm sio MWISLAMU.

  • @MalakiJoseph
    @MalakiJoseph Месяц назад +1

    Amina amina

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini Месяц назад +1

    Uwe unaweka sana kichwa cha taarifa makini utakua na shida kubwa huenda sehem unapofanyia ibaada

  • @MichaelMaduhu-y6e
    @MichaelMaduhu-y6e Месяц назад +1

    Barikiwa sana YESU yupo hakika yupo na anakuja .Amina

  • @DavidMwakasala-ub9zb
    @DavidMwakasala-ub9zb Месяц назад

    Nakukubali Mwl,bahati mbaya ndani ya Makanisa yetu hatujapata waalimu wazuri ,ila tuna wahubiri wengi.tufundishe tuelewe acha wenye kukupuuza na kukubeza, kuna wakati kweli husimama.

  • @JohnElias-m8e
    @JohnElias-m8e Месяц назад +1

    Mwanzo sikumwelewa mungu hakubariki mtu wamungu

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche Месяц назад

    True, kama vipi hata muhamadi wa mitala hajawahi kutokea Duniani.

  • @ShukuruBaruwani-j6f
    @ShukuruBaruwani-j6f 25 дней назад

    Amen

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg Месяц назад

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Месяц назад

    Mchongo na yesu ni lazima. Hilo jina lina power acha kabisa.

  • @aronjames8686
    @aronjames8686 Месяц назад +1

    Yeshua alikuwepo ila Yesu hayupo, full stop✍️

    • @pastormwamlima8014
      @pastormwamlima8014 Месяц назад

      Ungenyamaza tu kwani unajua maana ya Yeshua wewe

    • @aronjames8686
      @aronjames8686 Месяц назад

      @@pastormwamlima8014 wewe ndo hujui kitu japo ni pastor, wewe unajua maana ya Yesu? Unajua neno yesu asili yake ni wapi na nini? Na kama umeenda shule lazima ujue kwamba jina la Mtu haibadiliki ikibadilika ikawa AKA inabadilisha na uhalisia wa awali. Wewe unaitwa Mwamlima na utakaa unadilike uitwe Mwammto

  • @nofrahblack
    @nofrahblack Месяц назад +4

    Title ilinichanganya ila ujumbe uko sawa 👍🏾

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 Месяц назад +3

    Du hili somo ni MUHIMU Sana.

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw Месяц назад

    Wapinga kristo waponwengi sana

  • @academiazsoft
    @academiazsoft Месяц назад

    Sio sahihi kujitambulisha kwa kusema "majina yangu" sio sawa. Na hii tabia siku hiz imekua common sana kwa wakristo.

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 Месяц назад

    Kwenye hili leo namuunga mkono Asilimia 100%

  • @gregorymajenga9072
    @gregorymajenga9072 Месяц назад

    Kumbuka pia wazungu wamepelekewa Elimu na wagiriki waliojifunza kusoma na kuandika na hesabu kutoka kwa wakudistani wa Iraki , wazungu wamejua habari hizi zikiwa na miaka mingi ya kuandikwa juu ya mpango wa Mungu.Mbarikiwe sana

  • @KevineKataka
    @KevineKataka Месяц назад

    ❤Amina

  • @issujar.j.francis3220
    @issujar.j.francis3220 Месяц назад

    Rekebisha kichwa cha habari ndugu. Kwa wanaosoma juu juu wanaweza kukupinga bila kukusikiliza vizuri

  • @mwaminifumwakajinga563
    @mwaminifumwakajinga563 Месяц назад

    Ubalikiwe mtumishi umeeleweka lakini bado wapo watakao endelea kupinga hasa wapangani ambao hawaamini hata uwepo wao

  • @samsonfredricktv
    @samsonfredricktv Месяц назад +1

    Sema haueleweki,, kichwa Cha habari na maelezo Yako vitu 2 tofauti

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад

      Kafanya hivyo ili watu wajilete then afundishe

    • @VenantMshema
      @VenantMshema Месяц назад

      Mwalim Rudi darasan utaelewa ukweli 😂😂😂😂😂

  • @gelardjames2595
    @gelardjames2595 Месяц назад

    Asante 🙏..

  • @MutendelaDaniel
    @MutendelaDaniel Месяц назад

    Umeongea ukweli n'a achana na watuwanao kutusi wameumia naukweli

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 Месяц назад

    1 KOR 1:24-25 , KOL 2:3

  • @polycarplazaro8482
    @polycarplazaro8482 Месяц назад

    CHIXI NA MWALIMU WAO MACHIZI.....MIREMBE DAY...UMEFIKIA KIWANGO CHA KWENDA MIREMBE BOARDING.

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay Месяц назад

    Hajui lolote.Kama wewe unamkubali huyu kuwa mwl,basi wewe hujasoma.

  • @JohnKabuka-o7h
    @JohnKabuka-o7h Месяц назад

    Kuna haja gani ya kujisumbua kujadili yesu alikuwa mweusi au mweupe yatosha yeye ni mwana wa Mungu na ni Mungu tena ni mwokozi wa ulimwengu,

  • @kaiboy2414
    @kaiboy2414 26 дней назад

    Wewe endelea kujifanya mwalimu ukidanganya watu... siku itafika utajua hukufaa kudanganya

  • @EuniceShane
    @EuniceShane Месяц назад

    Hii ni nyakati za mwisho kila mtu ataleta habari zake tafauti..cha muimui nikuamini mungu na kumpenda Zaid kwasababu yeye ndyo kila kitu..

    • @KennedyWasokyeJack
      @KennedyWasokyeJack Месяц назад

      Unamwaminije Mungu lakini? Maana yeye amesema ni kwa njia gani tunaweza kusema tunamwamini yeye, kwamba ni kwa njia ya Yesu Kristo.

  • @josephsiwakwi1215
    @josephsiwakwi1215 Месяц назад

    Yesu kristo ni nguvu kwawanao Amin na upumbavu kwawanao potea

    • @samwelmpomelempomele3049
      @samwelmpomelempomele3049 Месяц назад

      Mwl yesu alikuwa na wanafunzi wKamkuta mwanamke kismani anachota maji.Yesu akafukuza wanafunzi akabaki peke yake na yule mdada.Hakumbaka?

    • @khambhai360
      @khambhai360 Месяц назад

      ​@@samwelmpomelempomele3049Kijana acha mzaha.

  • @donardmwasanga5451
    @donardmwasanga5451 Месяц назад

    Mungu akubariki mtumishi

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 Месяц назад

    Kaka umekosea na unahitaji kutubu

  • @johnfungo6224
    @johnfungo6224 Месяц назад

    Kwa bahati mbaya wanaoudhalilisha ukristo na wakristo wenyewe ole wao hukumu inawasubiri. Mwalimu Benson ni mchawi analoga akili za watu, msimsikilize anawavuta kwenda jehanamu ambako tayari amejisajili msimsikilize

  • @bugingondo2349
    @bugingondo2349 Месяц назад +1

    YESU hakuwa mskristo na wala ukristo haujui
    YESU hakuwahi kuingia KANISANI nawala kanisa halijui coz uhaiwa YESU kulikuwa na SINAGOGI(MSIKITI) NA HEKALU ambolo pia sio kanisa
    YESU alizikwa kwa sanda na kila mkristo huzikwa na mavazi
    MWALIM NIELEWESHE KUNA UKWELI GANI JUU YA HIILI🙏

    • @joachimluhamo3042
      @joachimluhamo3042 Месяц назад

      Kwahyo uliambiwa Yesu alikuwa dini gani? Sisi wackristo tunajua Yesu alikuwa wa dini ya kiyaudi ,wakati huo hakuna uCristo wala uislam . Uckristo ulianza baada ya yesu kufa siku ya pendekoste ndio kanisa lilianzishwa , uislamu ulianza karne ya sita ni baada ya miaaka mia tano baada ya kristo kufa

    • @bugingondo2349
      @bugingondo2349 Месяц назад

      @@joachimluhamo3042 kristo ni nani maana yesu mpaka anakufa hakukuwa na ukrisito wala yeye haujui Najuwa ili ninalilisema mwalimu analijia maana ata ukristo ni jina lilianzia antokya na watu tu kipindi yesu amesha kufa na kanisa lilianzia hapo pia yesu pia halijui je kuna jambo gani hapa linaendelea ndiomana nilitaka mwalimu atufafanulie sipo kwa ajili ya upande fleni naitaji kulijuwa hili ki ufafanuzi zaidi

    • @bugingondo2349
      @bugingondo2349 Месяц назад

      @@joachimluhamo3042 mwalimu zungumza kitu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Месяц назад +2

    BENSON UNAFANYA KAZI NZURI LAKINI NAKUSHAURI SIKILIZA
    NA WATAALAMU WA MAMBO YA KALE WANAUJUA MAMBO MENGI KAMA
    BILLY CARSON MMAREKANI MWEUSI NA WENGI WENGINE.
    MTAJUA HABARI ZA YESU NA MAMBO MENGI NJE YA VITABU VYA DINI.

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Месяц назад +1

    ISAYA BENSONI ULIANZA KATIKA ROHO SASA UMEMALIZA KATIKA MWILI😢😢😢😢😢😢😢😢😢 NIMEUMIA SANA MOYONI MWANGU YAANI UMECHANGANYIKIWA NA NINAKUTHIBITISHIA KUWA YESU KRISTO YUPO NA ANATENDA MIUJIZA KAMA HUAMINI MBONA TUKISEMA JINA LA YESU KRISTO MAPEPO YANAKIMBIA YAANI WEWE UMEKUWA MBWA

    • @hassanally446
      @hassanally446 Месяц назад +1

      Nawee muongo 😂😂😂

    • @luthermajoji7300
      @luthermajoji7300 Месяц назад

      HAJAWAHI KUWA ROHONI HATA MARA MOJA

    • @luthermajoji7300
      @luthermajoji7300 Месяц назад +1

      NI MTU WA KUSAKA UPUUZI GOOGLE ANAKUJA KUBWATUKA HAPA.

    • @danimark3300
      @danimark3300 Месяц назад

      HATA UKISEMA KWA JINA LA "MBUZI" HAYO MAPEPO YATATOKA TUU,, KWANI KINACHOPONYA NI JILA LA YESU AU NI IMANI ULIYONAYO??? laiti jina la yesu lingekuwa linaponya basi kila mmoja angeponya kwa kulitamka tuu,, sasa inashangaza pale ambapo watu sita wanamuombea mtu kwa kulitaja hilo jina ila mapepo hayatoki.
      KINACHOPONYA NI NGUVU ILIYOPO NDANI YA MTU HUSIKA ANAYEOMBA NA NA IMANI ALIYONAYO,, SIO HILO JINAA.
      Kama huamini mtu mmoja ajaribu kuomba kwa jina la mbuzi uone kama mapepo hayatoki.

  • @minjanavigator8552
    @minjanavigator8552 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤

  • @MariamNangali
    @MariamNangali Месяц назад

    Pole ila lpo siku utasimama mbele zake akiwa hakimu na mhukumu. Wako

  • @OssmanesadiqueOssmane
    @OssmanesadiqueOssmane Месяц назад +1

    Naitwa ossumani sadigue nachukua nafasi kukupongeza Kwa kutufundisha ukuu wa mwafrika. Kutufundisha kuwa wazaalendo wa afrika.

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI Месяц назад

    KWENYE UPANDE WA NENOLAMUNGU NA KUPENDA SN SN

  • @zakayoomary2333
    @zakayoomary2333 Месяц назад +1

    Leo Kuna kitu umeongea ....hongera Kwa Hilo...

  • @karimuHamisi-z5h
    @karimuHamisi-z5h Месяц назад +1

    Hakuna dini ya kweli. Acha uongo nenda kasome. Kila dini ina uongo katika concept yake ya Mungu, na katika sources zake.

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c Месяц назад

      Uislam uongo wake uko wapi au umedanganywa wapi

    • @karimuHamisi-z5h
      @karimuHamisi-z5h Месяц назад

      @OmarSalum-y9c Kila dhehebu (mf. Shafi, Malik, Hanafi, Hanbali, Ja'farii, n.k.) linaikhtilafiana na lingine ktk mambo fulani ya Fiqh. Vivyo hivyo, Kuna khilafu za 'aqida miongoni mwa hata hao wanaoitwa wema waliopita. Baadhi ya khilafu zimebaki hivyo mpaka Leo hakuna wa kuzi"reconcile". Je, nani ni mkweli? Mbili zinazopingana zinaweza zote kuwa kweli? Muhammad alifundisha Nini khaswa? Uislamu unaofuatwa Kwa asilimia kubwa ni "maoni" ya maulamaa -- Nini wanadhani aya au hadithi fulani Inamaanisha. Tena baadhi Yao wakakibali vyanzo vipya ikikosekana dalili katika Quran kama vile kufanya qiyaas -- kitu ambacho baadhi ya maulamaa wa zama hizo walikipinga. Wakabuni misingi ya namna ya kufanya qiyaas na wakaikhtilafiana juu ya hilo. Hivyo, jambo Moja lililofanyiwa qiyaas na maulamaa tofauti likapata fat-wa zinazokinzana. Msiba juu ya msiba Kwa umma huu. Kwa kifupi, ubahatishaji unachukua nafasi kubwa kuliko uhakika. Nilikuwa Sunni na niliipenda dini sana. Nilitumia saa nyingi zaidi kusoma dini kuliko masomo ya shule. Lakini kadiri nilivyozama kwenye vitabu vya maulamaa mbalimbali ndivyo kadiri nilivyogundua kuwa "Tunabahatisha". Kabla ya kumaliza form six, nilikwishasoma vitabu na makala zaidi ya 3000 vikiwemo vitabu maarufu katika ulimwengu wa Kiislamu kama vile Swahihul-Bukari na Swahihu Muslim. Quran ndiyo ilikuwa uwanja wa nyumbani, na bado huwa ninaisoma na kuisikiliza. Nimesoma tafsiri zake kadhaa nikitafuta Nini maulamaa "wanadhani" ndiyo maana ya aya fulani. Wafasiri hao ni kama vile Suyutwi, ibn Kathiir, Sayyid Abul-a'laa Mawduud. Ijapokuwa si Kila tafsiri niliisoma yote -- sura 114. Sipo kubishana na watu, lakini nawezasema tu "Tusome tena sana ili tuone Kwa macho yetu". Nimesoma Ukristo pia (Biblia, commentaries, na vitabu vya historia). Mwenye kusoma Kwa umakini, atagundua kuwa anapoteza Muda wake katika mafundisho yaliyobuniwa na watu katika vipindi mbalimbali vya historia Kisha mengi wakayanasibisha Kwa Mungu, Yesu au Muhammad.

  • @frbm1729
    @frbm1729 Месяц назад

    Umekaribia kufa

  • @St_Segea
    @St_Segea Месяц назад +2

    Neno la Mungu ni lipi!?
    Huyo Mungu ni nani?
    Na yuko wapi?
    Acha kupotosha umma

  • @zacharianyanda5424
    @zacharianyanda5424 Месяц назад +2

    Wewe inatafuta kulaaniwa na Mungu.

  • @sebestianbaha7945
    @sebestianbaha7945 Месяц назад

    Pia Binadamu na vitu vyote ni matokeo ya kazi ya Mungu Basi tumpende kama alivyotupenda ,Mwa1:27'Yn3:16 na Yos24:15

  • @mwansasungafumbwa9116
    @mwansasungafumbwa9116 Месяц назад +1

    Naam NAOMBA JINA la YESU alilo tamka malaika GABRIEL kwa bikira Mariam kwa lugha ileile

    • @nofrahblack
      @nofrahblack Месяц назад

      kwanza unaelewa maana ya jina Hilo?

  • @jameskileo5292
    @jameskileo5292 Месяц назад +2

    WAJOMBA WAMWALAFYALE MMEKUWA LANGO LA INJILI TANZANIA YA WOLOVU ILA MNAKUA PIA LANGO LA UHARIBIFU WA INJILI

  • @transloopfxfx97
    @transloopfxfx97 Месяц назад

    Jamani mwakilembe. Tafadhali rekebisha kichwa cha video hii..

  • @JakoboKazilo
    @JakoboKazilo Месяц назад

    Mwalimu Benson uko vzr, chukua Pepsi hapo nakuja kulipa

  • @naomibikani7315
    @naomibikani7315 Месяц назад

    Yaani huyu mtu ni mjinga sana kazi yake ni kupendua injili na maandiko ,,,malengo yake ni kupeleka wanadamu jehanamu

  • @paschalmwamwezi8668
    @paschalmwamwezi8668 Месяц назад +2

    Tupo pamoja kaka

  • @StanfordShombe
    @StanfordShombe Месяц назад

    Biblia haiwezi kupotezwa kwakusema hivyo ni sawa na kusema shetani amemshinda Mungu biblia inalindwa na Mungu .mwenyewe . "Neno langu ladumu milele"

  • @annachachage4931
    @annachachage4931 Месяц назад +1

    Tatizo watu mnasoma,kichwa cha somo,mnaanza kutukana,maliza story nzima,ili umuelewe mwalimu.

    • @mochemba
      @mochemba Месяц назад

      Mtanzania toka lini akasoma kitu hadi mwisho na baadae akaitafakari kwa umakini? Kwanza wengi sio watafiti mtu kazaliwa kaikuta hajui hata chimbuko lake Lkni anavyotoa povu Sasa,

  • @NyarushihaNyarushiha
    @NyarushihaNyarushiha Месяц назад +1

    Wewe ni mpubavu haswa

    • @JonathanSimon-k5r
      @JonathanSimon-k5r Месяц назад

      Kama ni nimupumbavu wewe ni mshenzi tena shetani😅

  • @titomkeya1828
    @titomkeya1828 Месяц назад +5

    Nakuelewa Sana Mimi najua binadamu wote ni watoto wa mungu alafu eti mkiristo anamuona muislam Kama ni mtenda maovu na muislam anamuona mkristo ni adui na mtenda maovu ...Kama yesu au mhamadi ndo mitume kusingekuwa na mivutano ya udini

    • @FarouqNnanguje
      @FarouqNnanguje Месяц назад

      Sorry mwenyeezimungu Hana mtoto

    • @nofrahblack
      @nofrahblack Месяц назад +3

      ​@@FarouqNnanguje Hatuabudu Mungu mmoja... kama wenu hana wa kwetu anao

    • @boanergeministrytanzania8522
      @boanergeministrytanzania8522 Месяц назад +6

      Mwenyez Mungu wako Allah aliyetambulishwa katika Quran,ndo hana mtoto, ila Mungu aliyetambulishwa na Biblia yeye ana mtoto wapekee aitwaye Yesu kristo.ambaye ni Mwokozi wa WOTe wenye mwili,pia anawatoto wengine wengi ambao nisisi wakristo ambao tume muamini Mungu kuwa alimtuma afe kwaajili yatu,kwasababu hakuna ondoleo la dhambi bila kifo yaani kumwagika kwa damu,ndomana ndani ya torati kipindi cha Musa dhambi iliondolewa kwa sadaka ya wanyama nikimaanisha kifo kumwagika kwa damu kila mwaka,yaani kafara,sasa Mungu amebadilisha coz damu ya wanyama huwa ina expire kila mwaka ndomana kila mwaka walitakiwa kutoa kafara ya damu ili dhambizao zifunikwe,sasa Mungu akahitaji damu imwagike maramojatu kwa milele damu ya mtu asiye na dhambi yaani Kristo Yesu kama kafara y milele,kwaajili ya utakaso na ondoleo la dhambi kwa wte wenye mwili,kwakuwa Yesu ni mwana pekee wa Mungu asiye na dhambi,nasisi tunafanywa kuwa wana wa Mungu kwakumuamini Yesu,kuwa alikuja akafa akazikwa akafufuka akapaa mbingini,nakuliamini jina lake.hatuwezi kuwa katka imani moja never,kwasababu Issa siyo Yesu na Yesu siyo issa,Allah siyo Yahweh,hata vitabu viko tofauti hatapepo ziko tofauti,mfano:Wahai au ufunuo wakuoneshwa pepo ilivyo ,nitofauti kabisa sasabasi hatuwezi kusema tunamuabudu Mungu mmoja noooo,siyo kweli,mfano pepo ya Waislamu wameahidiwa wanawake 70 bikra mahurulaini huo nifunuo wa mtume wao Muhamad wakati ufunuo wa Yesu kuhusu pepo watu Hawaoi wala kuolewa wanaishi kama malaika,kwa ushahidi huo niwazi kuwa hatuabudu Mungu mmoja,nikweli kuwa kila mwenye mwili aliumbwa na Mungu mmoja,lakini ukweli wakumtambua Mungu huyo itategemeana na mtume wako aliyepata wahai au ufunuo,akakuaminisha kuwa huyo Mungu yukohiv navile,haposasa itategemena na akili yako ya kupambanua,kujua nani mkweli,maana kuna manabii walio wahikutokewa na Mashetani walio jibadilisha kuwa kama malaika wa Nuru wakasema tumetumwa na Mwenyez Mungu kwako uwe mtume,wakashusha na baadhi ya maandiko au aya zauongo,nawakaielekeza imani hiyo katika usafi ili aliyetokewa asielewe kuwa huyu si Mungu wa kweli ni ibilisi,ndomana kuna Dini zaidi ya miamoja Duniani na hakuna hata moja inayofundisha uovu,ila kiukweli hawakupewa ufunuo au wahai au uvuvio na Mungu wa kweli bali nidini za Shetani.😂😂😂😂😂😂😂😂,kunawatu wamepotea nakupigwa na ibilisi kwakuwa mitume wao walitokewa na ibilisi aliye kufanya malaika tena Dini zote,kasoro dini mojatu.Dini ya kweli ni mojatu,dini hiyo Ni Yesu.asiye na amini Yesu amepotea totoro kwishaa

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 Месяц назад

      @@boanergeministrytanzania8522 sasa mzee kama yesu alikufa na dhambi . Mbona bado maovu yanaendelea na watu wanauana bado

    • @MankaTansaniya
      @MankaTansaniya Месяц назад

      ​@@boanergeministrytanzania8522Asante..

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Месяц назад

    We jamaa sikuelewi kabisa

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 Месяц назад +1

    Huyu bwana aliniuzi tangu alivyo ongea kua Hamas awakuvamia Israel Tar 07/10/2024 kua ni uongo Israel walizusha.

    • @MankaTansaniya
      @MankaTansaniya Месяц назад

      Na yeye anaangalia faida kwa upande wake anajua akisema hivyo atapata washabiki wengi

  • @BarakaNjamasi
    @BarakaNjamasi Месяц назад

    Ww mwanzoni ulikua ukifundisha kwa usahihii Ila kwa sasa umetekwa nashetan unamtumikia lusifer

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 Месяц назад

    Huyu Benson hataki watu wajifunze anachosema kwa kuwa anaandika hovyo vichwa vya hoja zake

  • @JoakimMarko
    @JoakimMarko Месяц назад

    Kichwa cha somo ndio uwa kina beba ujumbe wa somo.. asaa huyu katupiga kwenye kichwa kilicho beba ujumbe wa somo

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 Месяц назад

      Kwa hoja zake alipaswa kichwa cha Habari kiwe kwa mtindo WA swali vinginevyo kichwa cha Habari kisipovuta hisia watu watapuuza na kuiacha Habari yako

  • @GeraldMalima-t8n
    @GeraldMalima-t8n Месяц назад

    Asanteee kupata mafunzo ya biblia.je yesu alikuwa mwislam?.mzee wa upako ndio kaisema iyo je tuamini vp?

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Месяц назад +1

    NATAMANI NIKUPASUE KICHWA LAKINI MUNGU ATAKUJIBU

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f Месяц назад

      Hahahahahahahaa acha bana hasira, Mungu hapendi hivo!!

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini Месяц назад

    Were hua unatoa taarfa tofauti na kichwa cha habari

  • @gregorymajenga9072
    @gregorymajenga9072 Месяц назад

    Unajua ujinga siyo kazi kipimo cha ujinga sasa kimekithiri,Hivi ni nani watu hawa kawaambia hayo wakumbuke kuwa mambo haya matakatifu yalifanywa na Mungu na yamefanywa kati ya Irak ,Israeri,siria ,Misri, uturuki sasa wazungu wako wapi hapa.

  • @AmaniMmbaga
    @AmaniMmbaga Месяц назад

    Shalom mwalimu,.... habari za leo naomba kuuliza kuna uhusiano gani kati ya huduma ya kinabii na ufalme?

  • @YohanaJulius-j8p
    @YohanaJulius-j8p Месяц назад

    Mdomo kama umepakwa mafuta ya P DIDDY

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f Месяц назад

      Acha kumtukana, acha kabisa. Mwache tu, kama anakukosea bac atahukumiwa na Mungu. Ucjali kabisa!!!!

  • @StephenKingwaa
    @StephenKingwaa Месяц назад

    Dhibitisha yesu ni mwafrika kivip ila waafrika inasemekana wamelaaniwa

  • @DaudiOkey
    @DaudiOkey Месяц назад

    ACHA KUPOTOSHA WATU WEWE MIMI SJAKUELEWA NAKUONA MUONGO TU

  • @nanyangahustler4305
    @nanyangahustler4305 Месяц назад

    Mwalimu bado
    DINI inakuendesha

  • @SokratesStallin
    @SokratesStallin Месяц назад +1

    KWELI KABISA YESU HAJAWAHI KUWEPO PIA HAKUNA MUNGU WALA MBINGUNI + KUZUMU

  • @maketegospel1150
    @maketegospel1150 Месяц назад +1

    Wengi wanabisha tuu bila fact sasa hawatajua ukweli

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад

    Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu na ufal😂me wa mbingu ni Mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu sasa kama yesu hakuwepo alikuwepo babu yako tutajie jina aliitwa nani na Mungu anafanya kazi yake kuwatumia wanadamu na watu wema aliowaridhia pamoja na malaika zake yaani mpka mwisho wa dunia hutakaa unue kwanini kuna dini na hautapata muafaka usipotoshe watu na wazungu si ndio walikuwa wa kwanza kutika matongotongo😂wakati africa hamjanawa uso

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 Месяц назад

    hivi mbona unaniudhi mimi jè yeyeje

  • @josephoguwi4035
    @josephoguwi4035 Месяц назад

    Mimi nakuelewa sana lakini Bado kunahitajika kudadavua vizuri hasa kuhusu aina ya biblia na biblia hii ya vitabu 66 amabayo iliapia mwaka wa 1611 ya king James
    Ingia ndani zaidi ili uweze kunyosha sentesi zako

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Месяц назад

    We e!, tumefundishwa kuwa Waafrika tulikuwa Nyani wenye mkia

  • @AhmedMohamed-zj8hi
    @AhmedMohamed-zj8hi Месяц назад

    Je kuna ushahidi wowote katika biblia ukionesha kuwa Yesu ambae ni Mtume wa Mwenyezi Mungu aliwahi kusali katika kanisa lolote? Naomba kujibiwa. Asante

    • @HildaPaul-hm4jk
      @HildaPaul-hm4jk Месяц назад +1

      Wee nawe kisa sule anavyobwabwaja😂😂

  • @EmmanuelHaruni-rl1rb
    @EmmanuelHaruni-rl1rb Месяц назад

    Sometimes unakuwaga na akili kumbe

  • @XhebbyMandevu-u1h
    @XhebbyMandevu-u1h Месяц назад

    🙏

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Месяц назад

    Vp na yule mungu wa Jordavi wa Arusha? Je ni Yesu? Hapa yaani ulinikwaza kweli.

  • @nanyangahustler4305
    @nanyangahustler4305 Месяц назад

    Habari za yesu ni story tu hajawahi kuwepo huyo mtu

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Месяц назад

      😂😂😂😂asingekuepo asingekua maarufu Dunia nzima, mbona unaamini vita vya Kwanza na vya pili na haukuepo? Kenge weww

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 Месяц назад

      @@francisjoseph1074 😁😁
      Utumwa wa kifikra

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 Месяц назад

      @@francisjoseph1074 kawa maarufu madenge na kipepe

  • @danielmgalla558
    @danielmgalla558 Месяц назад

    Kwanza naomba nijue umesoma theology mpka level ya ngapi?

  • @ephraimwadaudi2867
    @ephraimwadaudi2867 Месяц назад

    Hivi kweli watu na akili zenu mnamsikiliza huyu mwendawazimu hadi leo mi nlishasema tangu mda huyu kichwa chake sio kizima anahitaji akamatwe apelekwe akapimwe akili anafundisha vitu visivyo na kichwa Wala miguu mara aseme hakuna Mungu huwezi kusema hakuna Mungu wakati tunaona miujiza yake mikubwa ni wewe ndio haupo sio Mungu

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Месяц назад +2

    Punguza sifa ww itakugalimu

  • @shortverses1604
    @shortverses1604 Месяц назад

    kama unaamini hayo basi dini hizi mbili zote ni za kughushi maana hata koran inamkiri kristo ALIKUWAKO! na kama huamini basi likemee pepo kwa hilo jina utaona linatoka. kwenye koran yupo na kwenye bible yupo na waarabu ndiyo wa kwanza kuingia hapa na ndiyo wa kwanza kueneza dini hapa ya kiislamu ambayo inamtambua au inatambua uwepo wa masih issa bin mariam ambaye kwa kiswahili ni yesu. YESU ALIKUWEPO, YUPO NA ATAKUWEPO HIVI KARIBUNI. me nahisi hakutakuwa na mwaka 2100. wanajua shughuli za huyu mtu na ndiyo maana taasisi ya mapepo inatumia gharama kubwa ili kuhakikisha wanaondoa kabisa imani ya yesu kati yetu ili dunia isiponyeke. hii ni hatari!

  • @KENETHANDARSON
    @KENETHANDARSON Месяц назад

    Huyu huwenda anamtindio WA ubongo.

  • @LoytonWorldman
    @LoytonWorldman Месяц назад +5

    Usiseme tuli sema nili ,,usisemee nafsi za watu unaposema tulikuwa wagonjwa,,ulikua mgonjwa na nanani? Alaf usifananishe habar za uwepo wa yesu na uwepo wa mababu zako,,uwepo wako ww ndo unaonyesha kuwa alikuwepo babu yako ,,je uwepo wa nani unoonyesha uwepo wa yesu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila Месяц назад

    Unashid

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini Месяц назад

    Hujui kuweka kichwa cha hatari na sijui una kua anataka nn title na maelezo ni tofauti natafutaga manini

  • @danielmgalla558
    @danielmgalla558 Месяц назад

    Isaya Kuna vitu unachanganya...

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu Месяц назад

    Kibaraka wewe acha unafiki

  • @DanstanMushobozi
    @DanstanMushobozi Месяц назад

    Sijaona kama kuna kitu ulichokifafanua. Maana jina lako la ukweli ambalo linakutambulisha ni mwakilembe , hayo mengine ni ya kikoloni , je jina yesu ni jina linalomaanisha nini?