KOLO BY NADIA MUKAMI FT OTILE BROWN Mwana wa sheri toto la mamaye (Nadia...) Verse 1: Eti dera bila tako ni kanzu, bora ata upinde mgongo Hizo style zimeganda gundi, bora upeperushe mikono Mauno ya kitanga na mvita, hayana mwendo yanalegea Sina budi kuazima dera, niwakomeshe wasikie vibaya CHORUS: Kolo Kolola Kolo Kooolo Kolola Kolo.... Oooh Embe dodo jamani yangu Embe dodo Embe dodo tazama yangu Embe dodo X2 Cheza cheza mama weh cheza X2 VERSE 2: Mmmmh nasema brrr bang Nasema mtoto wewe ni mnaughty Hupendi kabeji mtoto unapenda karoti Ulivyo wa Moto umenipiga shoti Twende tukacheze bango Mama it takes two to tangle Niko mwenyewe nami niko jamo Kula moja moja ndo utamu wa karanga.... Kwa Mauno yake ya kanga, mapenzi ya Tanga Ngozi nyororo mtoto wa kidosi Piga picha insta nikuposti Simiti imekauka roboti Basi punguza kimombo nijieleze kiwazi Ninavyocheza kayamba (aii wewe) Kiunoni ana shanga (aiii wewe) Anajua kama danga (aii wewe) Kaniroga Kwa mganga (aii wewe) Embe dodo, jamani langu Embe DODO (X2 CHORUS: Kolo Kolola Kolo Koolo Kolola Kolo.... Embe dodo jamani yangu Embe dodo.. Embe dodo Tazama yangu Embe dodo Kolo kolola Kolo Kooolo Kolola kolo... (cheza mama weh cheza Cheza cheza mama wewe cheza BRIDGE: Ninavyocheza kayamba Kiunoni nina shanga Ninajua kama danga Kaniroga kwa mganga X2
Nadia Hii ni moto kama pasi ya stima.. Video ni league ya Simbaaa.. .. This gal of ours shud me given support.. Kenyans Kenyans Kenyans.. Dodosha likes kwa wingi kama unakubali
Nitaipatia like kwa huwo mtindo wa kibongo.mumetoka mbali na bila shaka mnaenda mbali na mimi kama mkenya mwenzenu namtakia nadia mk kila la heri.umewabwaga wote Africa dada!
Tomorrow Facebook users will be like: Listening Kolo by Nadia Mukami ft Otile Brown with Mr Peace Ke and 67 others. May best Ke🇰🇪🇰🇪 Musicians 💥🔥🔥🔥🔥love you❤💘
It will gonna be lit wapi likes za Nadia and otile the Kenyans favourite Nadia our sugar sukari nipeeni likes only 500 waiting to put on my headphones the whole day💞💞💞💞
This lyrics can cure depression. I keep revisiting this music whenever am stressed. I find myself dancing. Thank you, Nadia and Otile for this big tune.
This is hot of the year!!!!!! African pop star ft otile our 254 jeshi!!!!! Nipeni likes kama!!!!! Waminia!!!!!!! This song gonna hit to the fullest!!!!!
There is a type of music that has you on your feet dancing away and screaming "I am happy". But there is another that has you seated in the furthest corner of the party room nodding away with the thought "oh, Africa is beautiful". This song is a perfect embodiment of the latter type, what a relief. Soothing.
Nadia and Otile are taking Kenyan music to international level. This two are always my favourite in Kenya💞💞💞🎶🎶🎶😍😍🇰🇪🇰🇪🎼🎼💗👌🌷may God continue to bless them🙏🙏🙏
KOLO BY NADIA MUKAMI FT OTILE BROWN
Mwana wa sheri toto la mamaye
(Nadia...)
Verse 1:
Eti dera bila tako ni kanzu, bora ata upinde mgongo
Hizo style zimeganda gundi, bora upeperushe mikono
Mauno ya kitanga na mvita, hayana mwendo yanalegea
Sina budi kuazima dera, niwakomeshe wasikie vibaya
CHORUS:
Kolo Kolola Kolo
Kooolo Kolola Kolo.... Oooh
Embe dodo jamani yangu Embe dodo
Embe dodo tazama yangu Embe dodo
X2
Cheza cheza mama weh cheza X2
VERSE 2:
Mmmmh nasema brrr bang
Nasema mtoto wewe ni mnaughty
Hupendi kabeji mtoto unapenda karoti
Ulivyo wa Moto umenipiga shoti
Twende tukacheze bango
Mama it takes two to tangle
Niko mwenyewe nami niko jamo
Kula moja moja ndo utamu wa karanga....
Kwa Mauno yake ya kanga, mapenzi ya Tanga
Ngozi nyororo mtoto wa kidosi
Piga picha insta nikuposti
Simiti imekauka roboti
Basi punguza kimombo nijieleze kiwazi
Ninavyocheza kayamba (aii wewe)
Kiunoni ana shanga (aiii wewe)
Anajua kama danga (aii wewe)
Kaniroga Kwa mganga (aii wewe)
Embe dodo, jamani langu Embe DODO (X2
CHORUS:
Kolo Kolola Kolo
Koolo Kolola Kolo....
Embe dodo jamani yangu Embe dodo..
Embe dodo
Tazama yangu Embe dodo
Kolo kolola Kolo
Kooolo Kolola kolo...
(cheza mama weh cheza
Cheza cheza mama wewe cheza
BRIDGE:
Ninavyocheza kayamba
Kiunoni nina shanga
Ninajua kama danga
Kaniroga kwa mganga X2
Moto sana
Nadia hii imeweza walai🧡🧡🧡🧡🧡
Always taking Kenyan music out there, big up
Nawapenda sana jamn wasanii wa Kenya, otile brown nampenda pia Nadia jamn I love all from🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wow,amazing looking forward to be the next yu
Nadia and Otile Brown
Are taking kenyan music international
then mnaenda kupost ZUCHU uko kwenu sio? tunawanauo sana nyi Nairobi Gossip Club.
Muwatch pia hii ya Kenya👉ruclips.net/video/Hovy2AAtsxE/видео.html
@@peterndungu1900 they paid hatuwezi wapost hao wabongo for Free
Sio kutuboo na kupromote maalbum za watu WAMETUDHARAU na tumewasupport mda wote.big up kenyan artists to the world🌍
#peter ndungu ati nini Peter😂😂😂
Badmanshivoo 🇰🇪🇰🇪 No one artist is taking Kenyan music to the next level kama ngoma imekubamba chapa like tukisonga
Wewe mfalme mkuu wangu otile brown to the world 👍🙏🏼🥰🙏 I love you Badman shivo ......Vicky PONDIS pia Nani Naree❤️❤️❤️❤️❤️❤️
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Nimekubalii kazi nzuri bosss
Keep up Otile.nice work ,good voice.
ruclips.net/video/PQdSBPWQDBc/видео.html
Dear person that’s reading this, we don’t know each-other but i wish you all the best in life
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Amen
Amen
Thank you..bless you ❤️
All the best
From 🇹🇿 like nyngi kwa nadia
❤❤❤❤
Kenyans msininyime likes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jameni hii wimbo nimeigoja sana i know,its hit
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Thanks manze ..😥😥😥can't even breath .. you can subscribe to my RUclips channel..am an upcoming artist🤞🤞🤞🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
And my friend how did you comment 16hrs ago when the song is just coming out..
@@dallmarsobagah3642 the song was premiering 🤞🤞🤞🤞
Kenyans pelekeni hii ngoma to number one on trending✨🙌🏾🙌🏾🙌🏾... She has nailed it to be honest.. Let's do sth fans of Nadia and Otile Brown
ruclips.net/video/x-r3cir77Nc/видео.html
Ipo trending
number ngapi kenya
@@emariusrush7704 number 2
Sukari inatufanya mambo 😫
Toka TZ naomba like kwa ajili ya Nadia ❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤
Can we take a min to appreciate Nadia's growth, Otile doing his thing as usual and the consistency! This is good! 😍😍
Indeed,Nadia is really showing maturity which is impressive
Nice ruclips.net/video/qRJjgadlKcw/видео.html
👏👏👏👏👏👏 She really is doing great
Otile heavy
Otile is the most hardworking artist. Hit after hit with various artists.
Okwonkwo msee
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
@@iamkoko5786 so I s NADIA
@@Habibtay 💪💥💕💕 much love for nadia
Mmh,Tz🇹🇿 wa kwanza ku view wakenya like zenu
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
❤❤❤❤❤
ALUTA CONTINUA...
My all time comedian mkiwa na mwalimu tom😂😂
Gotea cartoon mwambie alipe deni
Sammy kioko....My all time comedian..Ata like😒😒😔
Sweet moyo
Mtoto wa muuza kuni
All the way from 🇹🇿
❤❤❤❤
This is a collabo between the best male artist and the best female artist in kenya, no doubt about that
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
@@iamkoko5786 ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
True
Otile's vocal...just something else,unexplainable.Never disappoint.Nadia is versatile
Hapo kwa otile 👌👌❤😘
@@mercynaima885 ,Otile vocals always awaken me from my sleep,you feel deep hadi kwa nerves
@Future Future ,big tune ,tuwape support tu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Si Hii ngoma ipige mita in 24hrs ka ile ufala ya #kumpasukari...
@@slimtrends2375 ,254,we never support our own
Number one to comment.. Wapi likes zangu
Tumekujia ngoma unapiga kelele
Likes za nn sasa
Likes ukule ama😂?
Ac
ruclips.net/video/Jxl_XVdw5Oc/видео.html
This song should have 10 million views already!
I agree
Sure.
You know some of our people
Watch it 10 million times basi
Jameni wakenya mwanyimana likes kwenye comment section al the way from zanzibar twampenda Otile na nadia
❤❤❤❤
Otile is something else. His vocals are maaajor. Good job guys
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
Nana amenileta uku😘😘😘
This guy is a beast bro.....
Nadia Mukami is our national treasure, should be protected at all cost. 🇰🇪
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
agreed
Dera bila tako..volyoom iko sawa mid ipande kidogo
Everyone reading this may the blood of Jesus cover us.
Amen
Amen
Amen
What's a Jesus person doing here. Amen though
Amen
Like, za otile nipewe apaa otile never dissapoint. ❤️💯
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
Me shabiki yako namb moja 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nyimbo nzuri pia imechangamka na otile brown katisha kinyama yan 100%
❤❤❤❤
Tumekukubali wapi likes za Otile 🔥🔥
Nadia Hii ni moto kama pasi ya stima.. Video ni league ya Simbaaa..
.. This gal of ours shud me given support.. Kenyans Kenyans Kenyans.. Dodosha likes kwa wingi kama unakubali
Nakupenda bure aiseeee nimejikuta kukushabia 🇹🇿🇹🇿 tanzania
Tanzania mzininyime like jaman twende p1 nadia uko vzr dada yetu ♡♡
Otile makes this song a whole vibe 😍😍😍😍😍😍😍anajua kama danga
He is so underrated aky
Otile is the best despite being underrated
😍😍😍😍😍😍Thanks
I like it👍👍👍👍👍🤞🤞🤞
Nadia and otile are really taking our music to another level , please don't deny me likes za two lions 🔥 🔥
Lion and the lioness 🇰🇪 🔥🔥🔥
Nani amegundua otile ni zaidi ya diamond 💥💥💥Huyu jamaa yuko na talent yenye inagrow daily
I know aky he is talented
@@dorcassolomon3555 more than a talent
Kenya nipeni like from🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤❤❤❤
Nice song otile hapo umecheza ka wew ,,,,lap iko njuu
KAMA UNAMPENDA HUYU NADIA GONGA LIKES TUKIENDANGA
Colabo poa
ruclips.net/video/fIHmvplubzs/видео.html
Love
😘
Nadia unatesa my dear
Kutoka Tanzania 🇹🇿 ❤ 💖
Kama umeskia dera bila tako ni kanzu gonga like tukisonga🔥
Viewers 2024 mko wapi❤
Tupo hapa😅
Nadia is a true queen. She deserves more support from Kenyans as she will fly our flag in many nations
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Nadia hutaki mchezo...this is the power of a determined woman!
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
Otile am here because of you, wapi likes za Otile🔥🔥🔥
The duo is putting us at our rightful place on the continent. Big up guys
I actually started liking the song after hearing Otile. Then Nadia too started making sense. I like the shoot too. This is nice
Me and you same wozzap
Same here, at first I was like mmm🤔then boom. Hahah
Challenge is out
ruclips.net/video/hQEcPVx0NIM/видео.html
@@lavenderokoth9678
ruclips.net/video/hQEcPVx0NIM/видео.html
Challenge
She has always been making sense😅
🔥🔥🔥kali sana.Nadia mukami ft Otile brown salute to you..likes za Nadia n Otile zipitie hapa 🤛🤛👍👍👍👍👍💪💪💪🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇿🇦🇿🇼
🔥🔥tushakubali pia wewe uko ndani
🇰🇪 moving to international song Nadia ft Otile 💯🔥... MC FLAMOK nishakuona...
2021 🔥🔥 Nadia katembe flamok pia you present today..🇰🇪 song on top
Tuko juuuu sana 🇰🇪💯🔥🔥
Kolo fine 2021 from 🇺🇬 give me likes below... MC flamok I also need 1 like from you as your fun.. just like 1 only
"Ati Dera bila tako ni kanzu" piga like kwa wenye wameiskia 😂😂😂
pia utamu wa dera ni tako
Yaani hapo kaongea ukweli ,,dera bilatako nisawa na kanzu😂😂😂
This girl is fast running She wants a seat in the E/african music industry🇹🇿
Nani Ako hapa bado nipee like konkii
Nadia you are simply the best thing that has ever happened to kenyan Music...
Nipeni likes za Binti kisura Nadia AKA Africana Lit-Starlet...
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
I knew this cannot disappoint😍😅Kenyan love all the way 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
Finally...this is the jam to displace Sukari from trending at no.1
Let us trend it
This song was playing at Carrefour Junction today, I was so excited they are supporting Kenyan music!
Unatoka Carrefour junction ama
@@hillaryshaykes8983 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@rosemakena5860 😂😂😂
Grd
@@hillaryshaykes8983 I was shopping
likes za nadia as the african queen
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Nadia and Otile should be in the BBI.
😂😂😂
🤣🤣
😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🙌
Nipeni likes tukingoja kolo from our queen and king 👑
kindly watch and subscribe to my channel
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Wimbo mzr sana najirudia tu kuusikiliza
Like waoo this two will eventually make us proud one of the finesse days guys ni time tusupport artists wetu joh#no hate kwa any artist whatsoever
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Ata ukue hater aje the fact remains that this lady is hardworking... volume iko sawa ama niongezee
Is no one going to talk about the visuals here
Nitaipatia like kwa huwo mtindo wa kibongo.mumetoka mbali na bila shaka mnaenda mbali na mimi kama mkenya mwenzenu namtakia nadia mk kila la heri.umewabwaga wote Africa dada!
❤❤❤❤
Tomorrow Facebook users will be like: Listening Kolo by Nadia Mukami ft Otile Brown with Mr Peace Ke and 67 others.
May best Ke🇰🇪🇰🇪 Musicians 💥🔥🔥🔥🔥love you❤💘
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
we are waiting for this guys,lets do it international way wanyumba
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
Sijaipata likes kwa comments zangu zote..🙄🙄..wapi like za Nadia..??😻😻
Hii ngoma kali aisee.. kitu babkubwa... Otile moto sana..
Wow! Wimbo mzuri
Aisee chalii nimkali
Now this is talent ❤️❤️ piga like kama unataka more collabos from this two
Two of the hardest working artists in Kenya. Initially i wasn’t a fan of Otile’s rapping but the way he switches up is just so smooth🔥🇰🇪🕺🏾🙌🏾
From The Gambia 🇬🇲
this song is a stress reliever.
Team Nadia fan club...
🤡🤡🥰🥰
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
It will gonna be lit wapi likes za Nadia and otile the Kenyans favourite Nadia our sugar sukari nipeeni likes only 500 waiting to put on my headphones the whole day💞💞💞💞
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
This combination is dope. What I ever waited for. OTILE. my all time favourite artist in kenya.
This lyrics can cure depression. I keep revisiting this music whenever am stressed. I find myself dancing. Thank you, Nadia and Otile for this big tune.
This is what we call good music👌👌 kanadia katambe ❣️Tanzania have zuchu we have Nadia they have Diamond we have our one and only Otile❣️
Proud of our Romeo and Juliet,micasa sucasa,Moto🔥🔥🔥🔥
This needs the most views and support from is Kenyans,this is dope.
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
ruclips.net/video/mRJCSG50YDA/видео.html
Yes let's go
Kenyans ata hatunanga bundles ....
Nadia Mukami na Otile Brown mfanye kazi zenu mwache kuiba kazi ya Diamond Platinumz. U have stolen a lot from Salome
Lazima NANDI wa TZ ameshituka do! NADIA fire👊👊👊👊👊
This song should be with over 200K views right now.. Na si tafadhali🙌🙌🙌🙌
ruclips.net/video/gxVu8LfGilo/видео.html
I rate Brown as the best Kenyan artiste, man he's on another level. He needs to do more collabos with African artistes to grow his fan base!
Nyash
This is hot of the year!!!!!! African pop star ft otile our 254 jeshi!!!!! Nipeni likes kama!!!!! Waminia!!!!!!! This song gonna hit to the fullest!!!!!
Nadia🥰 Kama umerudia hii ngoma More than 3times nipewe likes
Iko fiti
Now we gonna act like Nadia didn't say DERA BILA TAKO NI KANZU
🤣🤣🤣🤣
Damn😂😂😂
😂😂😂😂
Lol!
😂😂😂😂
Otile Brown amefika another level ngoma🎶🎶🎶🎶kali sana yaani ❤❤❤❤💪💪💪💪
Nadia is pure talent full of God's blessings.
ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html
Kula moja moja ndio utamu wa karanga otile
Hio video ni moto... Hamjatuangusha,,,,,,
Let's share this guys.... 2million plus this week....au sio
who agrees with me tht this are the only top artists from kenya apparently???
They are among the top not the only top...😊
😃😄
Among the top
currently the best male and female musicians in kenya,hongera kazi nzuri nadia na ortile🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I wish everyone watching nadia's music a happy life and super blessings.Appreciating our own🇰🇪🇰🇪❤❤
Wueeeh finally ngoma Mejja hayuko😂😂😂😂😂😂💔
😂😂mrazi roho Safi🤦
Ndio maana sikali😂😂😂
Best collabo in kenya now wapi likes ya nadia watching from germany
Ihi nyimbo ingekua ya tz au uyu toto angekua tz nyimbo kubwa sana ingepasua sana
❤❤❤❤
Likes kutoka kenya jamn huyo dada ana fluent kiswahil hongera kwake tz na afrca tumemuelewa kuonyesha culture good song nice...
Mara nyingi huwa mnasema Nairobi lugha yao Ni sheng hiyo Ni kolabo ya pwani vs bara...
There is a type of music that has you on your feet dancing away and screaming "I am happy". But there is another that has you seated in the furthest corner of the party room nodding away with the thought "oh, Africa is beautiful". This song is a perfect embodiment of the latter type, what a relief. Soothing.
Feel you 100 percent
Nadia and Otile are taking Kenyan music to international level. This two are always my favourite in Kenya💞💞💞🎶🎶🎶😍😍🇰🇪🇰🇪🎼🎼💗👌🌷may God continue to bless them🙏🙏🙏
Otile thank u.... From 🇹🇿
❤❤❤❤
The best female artist we in Kenya ...Nadia for life. Otile naye ni dawa .
From deep of my heart Africa nzima moyo wangu umetokea kumpenda Sana #Nadiamkami tena sio kwa mziki wake yeye mwenyewe
Karembo ketu kutoka 254 na kupenda tena sanaaaa
Drugs 0%
Guns 0%
Cocktail 1%
Jealousy 100%
Addiction 100%
Pure talent 100%
African Beauty 100%
African culture 100%
Kenyans swags 101%
Hii imeweza zaidi ya kuweza
Chris brown wa kenya..obeezy never dissapoints likes zake...💯💯💯
She never disappoints, the real African pop star, ka Nadia katambe.
The bad thing about this song is that it ENDS😔😔
I thought I was the only one,I felt like there should have been more!
Hahahaaaaa
Thts true