Hii nyimbo nilikua kila nikiingia kutafuta USO wa Mungu naiplay Boomplay sina kwenye playlist yangu Ila ulikua na bado inanihudumia ,Mungu kanionyesha wema wake wingi ata nikiwaza kumuacha ,najikuta nayatafakari ni mengi aliyonitendea na Ni Mwaminifu sana,ile nyimbo yako ya mwaminifu ni kama umeelezea yote vile Mungu ametenda kwangu ,Yesu nakupenda kwangu sijaona upendo wa namna unipendavyo,kaka Mungu azidi kukutumia zaidi.
I remember listening to this song some 6years ago when I was a nothing but a mere cleaner, nobody took me serious. Ilistened to it always and said God I only have you and He did it for me. Sitakuacha Yesu.
hongera Dr kwa kupatika na Mungu maana anatafuta wamwabuduo hongera nyenyekea tu kwa bwana I love to sing by spirit like that nyuma ya uimbaji kwako naiona nguvu Mungu akuinue....;;:@
uu wimbo unanigusa sana Dr mungu alinionesha mema kwa kukuza karama yangu ya uimbaji pia kunifaulisha katika magumu na kumponya mama yangu kisukari huu wimbo hatuchoki kuusikiliza hatutamwacha bwana,uzidi kuinuliwa na kubarikiwaa
Simple lyrics , but well to point .Awesome be blessed tena sana Kweli huyu Mungu sitamwacha . Well arranged instruments Drums are greatly played ,voices well synced . Kazi njema
,great brother,, i cant wait for the next time to hear this song again and again, i wish i had my sound system in my ears so that this will be praying all day long
I glorify God for giving u such an amazing gift that you use to lift his name up.I love all your songs coz they feed the spirit and you can listen to them over and over again.They are great.Continue serving God .I praise God for you.Be blessed.

Sitakuacha will be 1year tomorrow
The Song Is Blessing Broh MUNGU azidi kukuinua🙏🙏
kwa utukufu wa Mungu asikuache.akupe miaka mingine mingi mingi na akufunulie tena nyimbo nyingine nzuri zaidi.See you at the top... dr
Great song be blessed
Dr Ipyana amen
@@innocentmolla4299 h
rzj
s¹
Sitakuacha YESU wangu kwa WEMA WAKO KWANGU HALELUYA🙌🙌🙌🙏
I remember listening to this song some 6years ago when I was a nothing but a mere cleaner, nobody took me serious. Ilistened to it always and said God I only have you and He did it for me. Sitakuacha Yesu.
Dah MUNGU azidi kukuinua Dr... Ipo saa nayo inakuja wamwabuduo halisi watamwabudu BABA katika roho na.kwelii,,,Amen.....
Amazing worship.
Huduma hii ikufanye kuwa kielelezo(prosperous) in God's great Glory & honor. #God_overtake_the_Glory#
One of my all days song "SITAKUACHA"
am loving your ministry Dr ipyana kibona
Most of my time natumia kuskiliza nyimbo zako unani inspire sana dr.I love you much much be blessed man of God!
prophet joseph Usiache kumpenda Mungu endelea kukaza mtu wa Mungu asante kwa kutuandikia
hongera Dr kwa kupatika na Mungu maana anatafuta wamwabuduo hongera nyenyekea tu kwa bwana I love to sing by spirit like that nyuma ya uimbaji kwako naiona nguvu Mungu akuinue....;;:@
My favourite among ur's
God bless you.
yeaaaaaa................SITAKUACHA MUNGU WANGU
Its a blessing and spiritual moving song ....BE BLESSED Dr.
uu wimbo unanigusa sana Dr mungu alinionesha mema kwa kukuza karama yangu ya uimbaji pia kunifaulisha katika magumu na kumponya mama yangu kisukari huu wimbo hatuchoki kuusikiliza hatutamwacha bwana,uzidi kuinuliwa na kubarikiwaa
Ameen mtymishi ubarikiwe kwa ujumbe wa wimbo huu mungu akubariki zaidi ya unavyonibariki Dr na pia akuinue zaidi katika huduma zako❤❤❤
Simple lyrics , but well to point .Awesome be blessed tena sana Kweli huyu Mungu sitamwacha . Well arranged instruments Drums are greatly played ,voices well synced . Kazi njema
What a blessing song from Dr..... Be blessed so much
ubarikiwe Endelea kudumu Katika Mahusiano NA MUNGU KIKWELI KWELI UNA KITU CHA ZIADA ZAIDI YA UIMBAJI MUNGU AKUSAIDIE KUTIMIZA MAPENZI YAKE KWAKO
U r so spiritual Dr this song is my favorite may God keep using u
Wimbo wa ibada...Mungu azidi kuwatumia dr ipyana &the favoured...so blessing
mungu aendelee kukutumia, nimebarikiwa sana
Munguu akubariki kaka
Powerful worship song Bro .Dr.....trully Sitamuacha Yesu .God bless you
+DrIpyana
This is Heavenly beautiful brother!.!
Glory to Jesus
Samuel Mboya Thankyou bro
Glory to God bro
Amen.... SITAKUACHA.... Great song
Glory, glory, Glory! Sitakuacha, umenionesha wema wako!!!
,great brother,, i cant wait for the next time to hear this song again and again, i wish i had my sound system in my ears so that this will be praying all day long
I glorify God for giving u such an amazing gift that you use to lift his name up.I love all your songs coz they feed the spirit and you can listen to them over and over again.They are great.Continue serving God .I praise God for you.Be blessed.
Sitakuacha umekuwa wimbo wangu wa kila Siku, Mungu akubariki doctor
Safi sana Dr. Good work indeed. Mungu amekupaka mafuta maalumu kwa ajili ya kuwaongoza watu wake wamuabudu yeye katika Roho na kweli
Powerful Message....May God Bless You And Keep Blessing You With More Messages In The Way Of Praising Him And Worship His Might Name.
God bless you brother for such uplifting music grace upon grace be multiplied upon you.
I'm also happy to be the first to comment! what a blessing!
Tenx sana bro, kumbe hata wandali hatupo nyumaaa, we shall preach the words of GOD and I am proud of u, dr kibona,
this song is awesome,, may God feel you with his spirit to make other his servants through your songs, be blessed
Mungu akubariki nasi tumebarikiwa kupitia Wimbo hakika hatuta mwacha Mungu be blessed Dr.
More grace brother!! Such a blessing song with great anointing. Be blessed!!
Mungu akupa kipawa cha kumtumikia endelea kumweshimisha atakuheshim Barikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi kwa viwango vingine mungu akuinue kihuduma
Be blessed man !! Keep inspiring us and out leash that which is inside of you for others !!
concert uliyoalikwa jana i couldnt stop crying when. u sang this song ilikuwa so spirit filled
I am so moved with this song
congrats brother stay humble more will come.
barikiwa sana brother Dr. Ipyana Kibona
Mungu azidi kukuinua ktk huduma hii.. This is really a prayer. Bless u
Jmn wimbo mzr
Powerful song
being a DR.. with GODLY anointing ....be blssd much ...
Blessed. Thank you MOG🙌
so anointing song may God bless you dr......
Very good arrangement and anointed work
Mungu akuinue kwa viwango vyake....A blessed song..
This so powerful song, be blessed Dr.
A blessing song...be blessed Dr.
tumebarikiwa kupitia wimbo,, be blessed
Be blessed alot dr. ipyanaa u alwys bless my heart
Asante hizo codes zinamshusha Mungu na uwepo wake hapa nilipo oooh sitakuaaàach. You bless my Saturday bro
What a powerful song.
MUNGU AKUBARIKAI SANA ..
NYIMBO ZAKO ZINANIBARIKI SANA
My favourite among ur's!
God bless you.
OOOhooo Lord sitakuachaa😢😢🙏
I Real appreciate what God has granted u, keep it up
daniel tilia
Glory to God
Thanks god for everthings in my life never i can't walk alone we being together in my life GOD
Mungu aendelee kukupa maono ya nyimbo nyingine
Witness Munisi Amen in Jesus name
you are blessed rafiki...keep serving the True God... hatakuacha
Amen dada Gladys Yonah
no one like him sitatakuacha YESU
Glory to God the most high hongera sana Doctor sitakuacha wimbo WA season
wimboooo huu unanibarik mnooooooh
sintokuachaa🎶🎶🎶🎶🎶barikiwa dr ipyana
Glory to God for you truly worship Him... through this song. It is so powerful!
Mara ya kwanza kuskiza huu wimbo
Amina, ubarikiwe
So nice doc. Kweli kabisa ametuonyesha wema wake Hatutamuacha
barikiwa sana Doctor
God at work
Mungu akupe kufka mwisho wa iman yko bro
Amen kaka
Hongera Dr. uko vizuri sana
joyce Mgalla
kwa utukufu wa Mungu
MAY GOD BLESS YOU
Be blessed brother
Be blessed ma brother
Wow......amazing
umebarikiwa
Glory to God
Mungu akubariki sana Brother
Sitakuacha bwana
HALLELUJAH
I love live recording
🔥
Amen
Please change the title from "umenionyesha"(onya) to "umenionesha" (ona)
Kaka ubalikiwe mungu azidi kukutumia
Glory to God
Glory to God