Damu Ya Yesu Husafisha kabisa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 195

  • @rosesilayo
    @rosesilayo Год назад +32

    Damu ya yesu isafishe kila uharibifu katka maisha yangu na family yangu Kwa jina la yesu Na kuondoa Kila balaa mikosi na kushindwa katka jina la yesuuu

  • @electineoyondi2591
    @electineoyondi2591 4 месяца назад +4

    Damu ya yesu kristo milele imebeba mamlaka na ushindi... Amen

  • @jacksoncharles5411
    @jacksoncharles5411 Год назад +17

    Amen,hakika damu ya Yesu ndio isafishayo dhambi na kustawisha maisha yetu.Mungu awabariki,awape afya ya IMANI ktk kuendelea kuifanya kazi yake,hakika nimebalikiwa san kwa wimbo huu.

  • @chikychiky-v2x
    @chikychiky-v2x 10 месяцев назад +9

    Niko hai leo kwa sababu ya damu hiyo......l was rejected and isolated😭😭😭😭😭 but l am what l am today bcz of that blood that was shed by christ

  • @Guza-TouchingLives
    @Guza-TouchingLives  Год назад +8

    REMEMBER TO LIKE THE VIDEO FAMILY

  • @emmanuelmungono1108
    @emmanuelmungono1108 Год назад +4

    Nimeanza kupenda hi group, Mungu awabariki sana ,we miss these kind of songs

  • @neemaisack340
    @neemaisack340 4 месяца назад +4

    Damu ya yesu safisha kira roho mbaya iliyowekwa juu ya familia yangu❤❤❤

  • @ESTHERNAKHUMICHA-os8hw
    @ESTHERNAKHUMICHA-os8hw 4 месяца назад +3

    Damu ya yesu iliomwagika pale kalvari inasafisha Kila magonjwa yanayojipanga mwilini mwangu kwa jina la yesu 🙏🙏🙏 Kila nguvu za Giza zinashindwa na damu ya yesu

  • @beatricekavemba5647
    @beatricekavemba5647 5 месяцев назад +3

    Amen. I love this song. It lifts up my soul and feel connected with My God through the Holy Spirit. Be blessed

  • @mossespallangyo2345
    @mossespallangyo2345 Год назад +10

    This is the best in my life ever..Sure the blood of Jesus is able to clean everything in your life.Thanks God for this free gift.

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 Год назад +2

    Great song tuoshe Mungu wetu na hii damu takatifu. Amen Amen 🙌

  • @phyllisneema6301
    @phyllisneema6301 Год назад +7

    Aminaaaa 👏..I can testify the healing of God through this song... nilikuwa mgonlwa sana.lakini wakati niliamini kuna nguvu Ndani ya damu ya yesu...nikaimba huo wimbo nilipona kabisa...Thank you God
    🙌🙏

    • @MagrethCharles-ne2ts
      @MagrethCharles-ne2ts 6 месяцев назад

      Binafsi nime experience kama wewe, kuamini bila kuskilizaa sauti ya muovu unaponaa kabisaa!✌️✌️💪💪💪💪💪
      Nguvu za shetani zilishashindwaa kupitiaa damu !😊

  • @saraholuche1117
    @saraholuche1117 Год назад +7

    Damu ya yesu, ndio ushindi wa maisha yetu, inasafisha dhambi zetu, na kutufanya wasafi mbele za bwana.

  • @EuniceDavid-o3w
    @EuniceDavid-o3w Год назад +3

    Very powerful song

  • @RoseBretta
    @RoseBretta 11 месяцев назад +6

    Damu yako yesu iniondolee kila maroho ya kuota na watu waliokufa ndoto mbaya kufanya mapenzi na mapepo kwa usiku..damu yako yesu unisafishe

  • @janemwikalihenguva458
    @janemwikalihenguva458 Год назад +4

    Very true only His blood can wash our sin. Northern blood of goats or forsfheep.ilove your gospel very touching. God bless you. Farom From Namibia 🇳🇦

  • @lindamasitsa4816
    @lindamasitsa4816 10 месяцев назад +2

    1st John 1:7 But if we walk in the light, as He is in the light, we have fellowship with one another, and the blood of Jesus, His son, purifies us from all sin

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je Год назад +3

    Damu ya yesu ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️

  • @judyogoti6407
    @judyogoti6407 6 месяцев назад +1

    Damu ya yesu funika familia yangu na Mimi milele katika jina la Yesu

  • @Yunis-t5x
    @Yunis-t5x 5 месяцев назад +1

    Amen 🙏🙏🙏 damu ya yesu isafishe Kila nguvu za shetani cnajaribu kunifuruta nyuma

  • @holyjoemusiq2202
    @holyjoemusiq2202 Год назад +2

    Damu ya Yesu kweli husafisha kabisa....am blessed🙏

  • @lumulajuma6246
    @lumulajuma6246 Год назад +7

    Indeed the blood of Jesus is all powerful

  • @ulderonyango
    @ulderonyango Год назад +4

    Powerful worship

  • @AmosKmedia
    @AmosKmedia Год назад

    Ama Kweli damu ya yesu husafisha kabisa..kwa ajili hii naita hii damu kunisafisha mimi na familia yangu siku zote tukawe huru kutokana na nguvu sote za giza aminaaa🙏

  • @Ishimwejoselyne-m1e
    @Ishimwejoselyne-m1e Год назад +1

    Amen damu ya yesu hunisafishe ❤ unioshe na damu yako baba

  • @janeroseodhiambo9878
    @janeroseodhiambo9878 Год назад +2

    Since I got salvation I DONT REGRET...thank you king of kings for this precious gift. Cleanse me from overlooking at myself and self denial... and help me to forget the past and accept myself. I only focus on my weaknesses..you alone I WANT INTIMACY WITH JESUS..

  • @NeemaEdwinmayemba
    @NeemaEdwinmayemba Месяц назад

    Damu ya yesu ivunje vifungo vya adui katika familia yangu

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe Год назад

    Nyimbo nzuri sana nimeipenda hakika damu ya yesu husafisha kabisa

  • @JoiceMwali
    @JoiceMwali 11 месяцев назад

    Asante Yesu wangu damu yako niifanye Kazi ndani ya maisha yangu hadi familia yangu yote nahitaji damu yako

  • @BensonMiya-l7j
    @BensonMiya-l7j 2 месяца назад

    Damu ya yesu inanena baraka juu ya maisha yangu

  • @scholahdennis9997
    @scholahdennis9997 Год назад +1

    Am blessed this evening 🙏 🙌

  • @juliusmwinzi4426
    @juliusmwinzi4426 Год назад +7

    You keep on blessing me. Keep the good work of the Lord. May Almighty God bless you abundantly

  • @estherjoel4628
    @estherjoel4628 Год назад +3

    I'm blessed through this song... God bless you bro🙏🙏🙏

  • @mercychepkorir6919
    @mercychepkorir6919 Год назад +3

    It is a powerful song..

  • @ESTHERNAKHUMICHA-os8hw
    @ESTHERNAKHUMICHA-os8hw 5 месяцев назад

    Damu ya yesu iliomwagika pale kalvari inasafisha Kila magonjwa yanayojipanga mwilini mwangu kwa jina la yesu 🙏🙏🙏

  • @sarahwamukoya3033
    @sarahwamukoya3033 Год назад +1

    Amen 🙏 nitashinda yote kupitia damu yako Yesu🙏

  • @teodorambegalo8000
    @teodorambegalo8000 Год назад

    Damu ya Yesu ndyo iliyo niosha uovu Wang wote ambao hata wanadam wasingeweza nisamehe 😭😭😭I have a tears of joy Damu ya Yesu husafisha kabisaa

  • @louisekihindo9118
    @louisekihindo9118 Год назад +1

    Asante kwa damu ya yesu,mubarikiwe n'a mungu.

  • @gentillenyirakazungu6055
    @gentillenyirakazungu6055 3 месяца назад +2

    In my friend

  • @susanmuthoni9282
    @susanmuthoni9282 8 месяцев назад

    Damu ya yesu naomba inisafishie kila uharibifu ambao umefanyika kwa maisha yangu na inirenjeshee baraka zangu. 🙏

  • @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE
    @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE Год назад +1

    Damu y yesu inatosha EASTER Friday 🙌🙌 EASTER Monday inasafisha kabisaaaaa🧎‍♀️🧎‍♀️👏🤲🔥👌🌍🙏🙏

  • @HassaniMsulwa-dw8rf
    @HassaniMsulwa-dw8rf 8 месяцев назад

    Damu ya Yesu ndio ukombozi wa maisha yangu na familia na ulimwengu Kwa ujumla

  • @hendrikviktorhaposan3542
    @hendrikviktorhaposan3542 6 месяцев назад

    I am Indonesian. Great song.. thank you Yesus

  • @BonareriDoreen-p8b
    @BonareriDoreen-p8b 3 месяца назад +2

    Damu ya yesu inisafishe na kunilinda hapa uarabuni tunapitia mengi ila mungu anatulinda

  • @salomenjerii2002
    @salomenjerii2002 5 месяцев назад

    Tamu ya yesu nisafishe.nipiganie kwa maadui nitakaze nizingire 🙏🙏

  • @BakarNondoz
    @BakarNondoz 4 месяца назад +2

    Damu ya yesu inasafisha ilanaiyo wei yakichwani itoe Mana nyimbo nzuli wei yako ayiendani na nyimbo

  • @phyllisneema6301
    @phyllisneema6301 Год назад +1

    This is my daily worship song 🔥👏👏👏. powerful 🙏🙏🙏

  • @LawrencebarakaNyaoke
    @LawrencebarakaNyaoke 7 месяцев назад

    Damu ya yesu safisha kila kitu katk maisha yangu magonjwa uchumi mbaya vita ya uchumi magonjwa kila mara katika maisha yangu

  • @jecintaotieno4541
    @jecintaotieno4541 Год назад +1

    Powerful song mbarikiwe

  • @samwelkeino9058
    @samwelkeino9058 Год назад +1

    Thank you so match God bĺòod wash

  • @DariaAyiera
    @DariaAyiera 9 месяцев назад +1

    So powerful worship

  • @pshiruw
    @pshiruw Год назад +1

    Most precious blood of Jesus, save us and the world🙏

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 7 месяцев назад

    😭😭😭😭 Eeee Mungu wangu na baba yangu nirehemu na unisafishe uovu ,dhambi, na fikra ,mawazo yangu potofu .

  • @millicentakongo-wc9fk
    @millicentakongo-wc9fk Год назад +2

    Love you Jesus without you I'm nothing

  • @aughstusmasila8673
    @aughstusmasila8673 Год назад

    Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen

  • @SabinaBomani
    @SabinaBomani Год назад

    Aminaa mtumishi maana kuna nguvu katka damu ya Yesu,nanisiraha tosha

  • @teresiamajuma4285
    @teresiamajuma4285 Год назад

    Hakika damu ya yesu husafisha kabisaa.,.Nisaidie Mungu wangu

  • @gracemdugo5446
    @gracemdugo5446 4 месяца назад +2

    Naita Damu ya Yesu isafishe dhambi zangu Na kunikomboa Katika makandamizo Na mateso ya ibilisi shetani.

  • @felixoyoo789
    @felixoyoo789 Год назад

    Thanks for inspiring me when I listen to the song I feel blessed.

  • @goodluckjoseph3540
    @goodluckjoseph3540 Год назад +2

    Hakikaa Kuna nguvu ndani ya YESU

  • @mildredkhavayi6033
    @mildredkhavayi6033 Год назад

    Hakika damu ya Yesu husafisha kabisa🙏🙏🙏🙏hakuna Cha kushinda damu ya Yesu 🙏🙏🙏

  • @PhilisKabarika
    @PhilisKabarika Месяц назад

    DAMU YA YESU HAILINGANISHWI NA HAITAWAHI KULINGANISHWA NA KITU CHOCHOTE 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @RuthAntony-m8x
    @RuthAntony-m8x Год назад +1

    Amen God bless you for good work

    • @RuthAntony-m8x
      @RuthAntony-m8x Год назад

      Amen Jesus blood cleanse all of us, may God bless you and give you good healthy all the time,,

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 Год назад +1

    For sure, without blood of Jesus Christ, i couldn't be here now....am blessed 🙏 this morning 🌄 hours

    • @AngelIbrahim-mc8hs
      @AngelIbrahim-mc8hs Год назад

      Hakika damu ya Yesu ndio inayosafisha dhambi za aina zote naipenda sana damu ya Yesu imenitakasa amen😢

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Год назад

    The song is touched me feeling to be in prayer thank you lord jesus to clean me through your blood

  • @francissivitali9417
    @francissivitali9417 Год назад

    I like the song it's blessings song

  • @yaredmdabuko
    @yaredmdabuko 10 месяцев назад

    Mungu naomba ulinzi wako wa roho na mwili kwa damu yako Yesu

  • @Audreyprince-001
    @Audreyprince-001 6 месяцев назад

    Trully the blood of Jesus cleanses❤❤❤

  • @andreamutekulwa1092
    @andreamutekulwa1092 Год назад +2

    Amen kubwa sana

  • @hartietugume2008
    @hartietugume2008 4 месяца назад

    I adore The Precious Blood of Jesus.

  • @Prosperousfanuelmillionaire
    @Prosperousfanuelmillionaire Месяц назад

    DAMU YA YESU USHUHUDA WANGU KUWA I HAVE ESCAPED ALL INFIRMINITIES AND CIRCUMSTANCES

  • @LydiahMoraa-c8n
    @LydiahMoraa-c8n Год назад +1

    Damu ya yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪

  • @joymakena8024
    @joymakena8024 Год назад

    Ameen, I'm blessed forever through this song

  • @elizabethkitheka6139
    @elizabethkitheka6139 Год назад +3

    You are a blessing to me...may the good Lord bless you also

  • @dennissanya8542
    @dennissanya8542 Год назад +1

    Heaven bound worship
    God bless you @Powell and team

  • @murekwasimon8914
    @murekwasimon8914 Год назад

    Damu ya Yesu usafisha kabisa kweli nikweli Asante sana.

  • @franciscahnzaphila-6900
    @franciscahnzaphila-6900 Год назад

    Oooh lord i need ur help without u im nithing😢🙏🙏

  • @elizaberteustard
    @elizaberteustard 10 месяцев назад

    indeed christ's blood is powerfull above all around universe

  • @Rendoma
    @Rendoma Год назад +1

    AMEEEEEEEEEEEEN

  • @sergddr9663
    @sergddr9663 Год назад +3

    Thank you God for the blood of your son Jesus may it speak for me my kids brothers sisters mum and our entire family.blood of Jesus cleanse us from unclean spirits witchcraft activities and curses we believe in your blood Jesus Christ amen 🙏

  • @jastinmollel9592
    @jastinmollel9592 Год назад +1

    Kweli damu yesu ina guvu sana

  • @immaculatemutio9486
    @immaculatemutio9486 Год назад +1

    The Precious Blood of Jesus . good worship ,God Bless you all.

  • @janetachieng-lv8qz
    @janetachieng-lv8qz Год назад +1

    Amen 🙏, blessings my brethren.

  • @JAPHETSAID-l1b
    @JAPHETSAID-l1b Год назад

    Jesus's blood it put to be cleaner,,, be blessed "

  • @ImaliConcepta
    @ImaliConcepta 6 месяцев назад

    I am protect by the precious blood of Jesus Christ

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 Год назад +1

    Damu ya Yesu huondoa kila lisilofaa

  • @drtobias_
    @drtobias_ Год назад

    Kwa niaba ya Team nzima ya DR TOBIAS TV,Tumebarikiwa sana na wimbo huu,Kweli kabisa Damu ya yesu husafisha kabisa!!

  • @festoswai1955
    @festoswai1955 11 месяцев назад

    love this song ❤❤

  • @emahclary5155
    @emahclary5155 Год назад

    Powerful cleansing Blood of Jesus

  • @PaskalinaPanga-px3gu
    @PaskalinaPanga-px3gu Год назад

    ❤i lik this song ❤🎉

  • @EvaLoka-kr8rx
    @EvaLoka-kr8rx 7 месяцев назад

    Amen may the Lord bless you people, the blood of Jesus Christ is the only one

  • @MarcoSimpulis
    @MarcoSimpulis Год назад

    Amen so am blessed

  • @assaniassani4515
    @assaniassani4515 Год назад

    🎉amen damu ya yesu usafisha kabisa

  • @mosesmurioki9576
    @mosesmurioki9576 Год назад +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏

  • @mauricesikuta6352
    @mauricesikuta6352 Год назад +1

    Wonderful

  • @estherabraham2220
    @estherabraham2220 Год назад

    Naiita Damu ya Yesu kwa mwanangu Noah ikamletee uponyaji
    Amen

  • @Salomenjoroge-x7w
    @Salomenjoroge-x7w Год назад

    Precious blood of Jesus cleans all our family sins

  • @josephmuthembwa4328
    @josephmuthembwa4328 Год назад

    Waoh,,,,inagusa roho sana

  • @sammylivingstone3536
    @sammylivingstone3536 Год назад

    Amen Amen And Amen 🙏🙏🙏

  • @UrbanusKatiwa
    @UrbanusKatiwa 3 месяца назад

    Damu ya yesu iniongoze kwa ninayoyapitia