UKIWA NA MADENI HUNAFURAHA YA MAISHA JE UFANYE UFANYEJE KULIPA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 34

  • @aminamichael1706
    @aminamichael1706 3 года назад +1

    Shukran Sana mwalim wng hakika mimi nakupenda sana kwa ajili ya Allah mpaka sasa nilichokipata kwako si hab a Alhamdulillah Allah akupe Afya na akuzidishiemapenzi ktk Yale aloamrisha na akutilie uzito ktk Yale alokataza ili uzidi kutuelimisha

  • @afric01
    @afric01 3 года назад +2

    Aslm alkm ww.... wow masha Allah!!!! Yassssalllaam, tabarakallah!!!! Sheikh wetu kipenzi chetu doctor 💊 wetu mwalimu wetu kipenzi, masha Allah. Yameingia ndani ya moyo wangu maneno yako. Wapendeza kwa sofa zako Sheikh Othman. Masha Allah. Allah akulinde, akupe mengi mazuri, na mafanikio ikiwemo furaha ndani yake. Tumeelimika vyakutosha Sheikh wetu kipenzi. Allah akulipe Jannah firdaus kwa hili. Twakupenda sana Sheikh Othman. Jazakallahu kheir. Ramadhan mubarak. Usiku mwema inshallah. Masha Allah.

  • @aliidrisahmadhuvavaruu4918
    @aliidrisahmadhuvavaruu4918 3 года назад +1

    Assalam aleykum warahmatullahi shekh Othman Michael masha Allah

  • @zaynabkinana4978
    @zaynabkinana4978 Год назад

    Jazakhallah kheir

  • @maryamngitami2143
    @maryamngitami2143 2 года назад

    Aslaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh . MashaAllah

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv

    Mashaallah Mashaallah

  • @sophiasaid4121
    @sophiasaid4121 2 года назад +1

    Asalam alykum please pray for me as l have loans to pay due to hospital bills and medication for my daughter. I am so stressed as l am scared and worried as l hate loans coz l don't know my last breath

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 Год назад +1

    Allah atuhifadh na atustiri na madeni ya Allah,tuongoze na utusamehe uturuzuqu na ututosheleze na kile unacho turuzuku ,utulinde na tama'a,utupe taqwa ya Rabbi 🤲

  • @mwanakhamiskhamis3115
    @mwanakhamiskhamis3115 3 года назад +2

    Madeni yananinyima raha ya maisha. Natamani nami nifunge mlango wangu wa madeni. Allah aniwezeshe naumia kudaiwa ila maisha mazito

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 года назад

    Barak'Allahu fiiQ wa Jazzaka Allahu kheir

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 года назад

    Mashaallah allah akuzidishie kheri

  • @aishaaisha1495
    @aishaaisha1495 3 года назад +3

    Mm nilishasema HV kumkopesha mja wa Allah kher nimpe hata kdg kulikon kumkopeshana mtu anakuja anashida uumkope ukishampa2 khalas anabadili na lain

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +1

    Naam mwisho wa yote ukiwa na afya njema na unaweza kumiliki mlo wa kila siku we nitajir ALHAMDHULILAH

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 года назад

    Jazzaka llahu kher uwaminifu kweli imekua mtihani mtu kaniomba laki 2 nikampa 5.ili 3 anilipie ada ya mtt wangu kazichukua zote na ni mtu wa dini kaa boarding ya Quran miaka 7 nikamuamini kiiman lakini daah mtihani

  • @agiasaidi5294
    @agiasaidi5294 3 года назад

    MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH

  • @aishaissa2691
    @aishaissa2691 3 года назад

    Masha Allah

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 Год назад

    Allah Akbar, Allah Akbar

  • @fatmamohammed9933
    @fatmamohammed9933 3 года назад

    Shukrani

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад

    Allah atusameh tulipoteleza atuepushie riba hiz zama ZA ftina mtu hatk kujua chumo lake lahalali wala haramu😢😭😭😭

  • @malikahodhiambo2666
    @malikahodhiambo2666 3 года назад

    Asalam alykum warahmatullahi wabarakatuhu

  • @TThany
    @TThany 4 месяца назад

    A.alaykum sheikh baada ya somo zuri la Amana nahisi nimeingia wasiwasi , je sheikh tutatoka kweli? Tufanyeje sheikh na tushaenda mchomo apooo

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад

    🙏🙏

  • @aliidrisahmad5797
    @aliidrisahmad5797 3 года назад

    Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 года назад

    Sadacta uwaminifu ni mgumu siku hizi
    Watu tunavifungia macho vitu vidogovidogo kumbe ndio vinatutoa iman tukafanya mambo mazambi makubwamakubwa
    Allah atuzindue
    Ameen

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 года назад

    Manshallah

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 года назад

    Salallahu Alaihi Wasalam

  • @aishaaisha1495
    @aishaaisha1495 3 года назад

    Wallah maisha ya kukopa co mazur mtu anakopa akale bata