Wallah kwangu hamkai yani muondoke nyinyi ama mm tena subutu hips zangu zawahusuu 👊👊👊👊👊wifi chapawatu AMA mwamtaka kakayenu yani hata Hdbg sibebi tuone nn kitatokezeaa yani hawa nawarudishaa kwa kwagate dadeki
Ukiwa Na Wadada Hata Wakiwa Michaluko Vipi Lakini Wakikupenda Kaka Yao Na Kukueshim Kuna Raha Yake Mana Kama Mungu Alisema Usizini Na Dada Yako Wa Tumbo Maja Au Kaka Yako Wa Tumbo Moja Itakubidi Ujitaidi Kupambana Nao Kwa Ekima Kuliko Kuwapga Mangumi Nivibaya Sana Dada Mama Kaka Baba Mlioshea Damu Wavumilie Wakizidi Utata Kaishi Mbali Nao Nasio Kuwapga Ukizani Unajenga Wakati Mungu Anajua Nguvu Ilio Ndani Ya Dada Na Kaka Na Mama Na Dada Ao Wako Na Nguvu Kubwa Mbere Za Mungu
Hao kaz yao ndogo,Kama wamekuzarau wewe unawanyea kabisa,ukiwa chumban unafanya mapenz nakaka yao unaria sauti yamahaba mpaka habari inawafikia,mbona watabeba mabegi yao wenyewe 😏😏😏
Liké super damas sneper from cong
Nyie mnao jiita ndg wa mume muachage shobo wkt mwingine kaka zenu wanafichiwa tu aibu
Kweli kabisa
@@khalfanjuma7678 😅😄😅
Hahaha ni kwel
Wanashefua looooooo
Amakweli upele haumpati mwenyekucha🤣🤣🤣 mguu mliokujua mtaondokea
Hahaha napendaga mawifi Wa dizaini hii khaa
Hatakuigiza hamjui Mpo kama watoto wa chekechea au vichaa
Mimi huwezi nifanyia hivi
Inalilah wainailahii rajiun wanawake wenzangu tu muogopen Mungu tunakwenda uchi km wanyama mh Yarab tusamehe wajawako
Ffffffffffffffffffffff
Mmmmmmh yaani hawa wadada mmmmh mawifii zangu popotee walipo mmmmh
aMjuwi hata kuingiza ovyooo sasa hii komedi movie vichekesho My Brother nangalia komedi zako zote Nice ikn hii mmechemsha
Mbona iko safi
Uyo mke wa bigibigi ajui hata kuigiza yani naona kawekwa umo kwaajili ya kalio 😂😂😂😂
mbona unasema ukweli jameni🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa wangekutana na mimi ningewanyoa nywele za upande zote shenzi
Sema mawifi zangu wapole Ila timbwili kama ilo nalitaman
Ao mawifi wangenipata mm wangefrah na show😏😏😏
Hawa wagekutan na mim kak yao agewakuta chogo nyoooo
Jamani mb zangu kilichonivutia iyoo mishepu tu basi lakini akuna fundisho moja sii sasikraibu tena chanel yenu shenzi yenu kazi mbovuu 🤣😂😀😃👍🙏
Yan ningekuwa mm ningewanyosha nyny
Hhhhiiihhiiiii,,,, wangenikuta mm ,,,,bc kaka yao awaoe hao Dada zake ,,,mbwa
Badilishe ataaa nyumbaa basiii
Wallah kwangu hamkai yani muondoke nyinyi ama mm tena subutu hips zangu zawahusuu 👊👊👊👊👊wifi chapawatu AMA mwamtaka kakayenu yani hata Hdbg sibebi tuone nn kitatokezeaa yani hawa nawarudishaa kwa kwagate dadeki
Kwanza skuizi kuna wifi wakuendeshwa ivyoo.
@@chamritaabdul1592 mm hata kwa gate hamuingii
Jmn mawifi
Mawifi wote msiojielewa shenz type
Mawifi kama hawa yaan nitawapiga mpaka wakome yaaan eeeh uwiii
Sisemi sana wifi wa kunikalia kooni hivi atarudi rivers mwenyewe ntampa kichapo heavy mamaake atalia na kujigaragaza
Nawataman hao wanikute mm
Wangenikuta Mimi wangekoma😏
Hahahahahaahhaha nicheke kwanza kwanza apohapo getini mngerudi alfu mngesema nyie ndo mmeolewa au mm
Hawa inabid wapimwe akili nashukuru wf zangu hawapo hiv nawapenda sana
Yaan wangekuwa mawifi zangu wangeisoma namba😂😂
Big vipi hilo sambwanda 😁
Yaani kama ni Mimi ndo Kaka yao basi wataona Moto unavyowaka
Wenda wazimu oleweni nanyie bs
Cku zote mungu huwa hamfichi mnafiki
Duh,,hao mawifi balaa
Hatari jamaniii
Pumbavu mngelikuwa mawifi zangu ningewatembezea ngumi wange nyooka tuu
Ila mr big jitahidi ubadilishe location japo mara moja moja
Htr jmn mawifiii hawa
Mm nimetibuliwa na mtoto mdogo mpk nimechoka🤣🤣🤣
Hao wangekutan na mm 😀😀😀😀😀😂😂😂 wangenyooka
🤣🤣🤣
Yaan nyie mnge kuwa wif zangu ningewakunavipele vyote vya mwilin
Kaka yao nae hana hakili kama dada zake
Weeweeeee😅😅 Hakuna Wif wa kunifanya hivii Never😅😅
Kwakeliii sijamuona pia
Hata kama ni upole dahh
Hata mimi
Sijuwi wanajiona wakina nani
Nimecheka kama mazuri vile
Ma wifi kama nyinyi nawazibuwa kisawa Sawa amutokanyaga tena🤣🤣🤣
umeonaee 👊👊👊
Huyo mkubwa anavyo jimanua manua
@@m.mmarckus6298 cFFSsFddarwśrltq
Mnanibamba sana warembo😂
Mawifi hawa kuvaa hawawez
Mbona wanakula wangeacha
Heheheee... wangepata mtu kama mm hawa wangelijua jiju.
Jamani Location mbona niiyo iyo kilasiku
Umeniwahi mkuu nilitaka kusema hivohivo
Adi kero wazee video Kali Ila hajiongez hapo
@@abdulkarimidrisa9139 😁😁😂😂
Hao ni wachawi
Bigibigi hivi izi ideas mzee 🔥🔥🔥😎😎😎🤔🤔🤔🤔sio poa
Tena makusudi juu ya shida paka chakulla nawanyima
mwisho wa ubaya ni aibu
Hil kaka ni tako kabisaa
Uyo mdada akavae nguo kwanza ana maajabu
Yaani umenyataaa
sana
Yaan mim nawakalbisha kwa hamu nitawachalaza alafu kwangu malufuku weee
Wangekutana na mimi
Aki Bigi Bigi wewe unatupa raha karaha🤣🤣
Akishaondoka awaoe nyie pumbavu
Nguo zangu 😬😬😬😬😬😬😬tunagawana majengo yaserikali
Yani hapa kwangu kama ulikuja na mguu wa kulia utaondokea wakushoto,nyambafu
Huwo mbag unaonekana kabisa hauna kitu
Hao wangekuwa kwangu hata mkononi hawajai
Huyu kaka nayee bwege kweli kwann wasibambue hixo elstplst uone waongo hawa ama mwamutakaa kakayenu mana shembe kweli
Kuigiza gan had nasikia hasra
Ama kweli mawifi ni shida tupu,waongo hao dada zako
Yalinikuta ya kusingiziwa na ndugu Wa mwanaume, kweli ni hatari.
Daaaa pole sanaa
@@joycyulaya8178 Asante dana
Namuna wola miyongo sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiwa Na Wadada Hata Wakiwa Michaluko Vipi Lakini Wakikupenda Kaka Yao Na Kukueshim Kuna Raha Yake Mana Kama Mungu Alisema Usizini Na Dada Yako Wa Tumbo Maja Au Kaka Yako Wa Tumbo Moja Itakubidi Ujitaidi Kupambana Nao Kwa Ekima Kuliko Kuwapga Mangumi Nivibaya Sana Dada Mama Kaka Baba Mlioshea Damu Wavumilie Wakizidi Utata Kaishi Mbali Nao Nasio Kuwapga Ukizani Unajenga Wakati Mungu Anajua Nguvu Ilio Ndani Ya Dada Na Kaka Na Mama Na Dada Ao Wako Na Nguvu Kubwa Mbere Za Mungu
Mkwa hiyo mke hana nguvu
Mnanjaa pia mawifi
Mbavu zangu Rahma
😄😄😄😄😄
Kwanza kajifunzeni kuhigiza
Naww jifunze kuandika
yan mm ninge wanyoxh
Zuuu
Hakuna wifi wa namnahii
Mmmh kam nimm ningembeba na yey
Mawifi wa nafiki hao kama ni Mimi ningewatoa kama mbwa mwitu
big bigiii uko juu bro
Mm nawafukuza ka mbwa koko shenz type
Lovely video this is really hilarious
Mawifi. Noma
Umeonayee kumbe dadako wabayaa 😂😂😂
mawifi wana gubu hawa shenzi type 😅😅😅
II PCF
Weeeeeeee yaaaaan sisemi mengi badoooo sanaaa hakuna WiFi yeyote wakuniumiza kichwa wangetaga mashangingi
Mimi ningewarudixhia getini baada ya ile mizigo
Duuh hilo gauni si shati kabisa hilo jamni yaani yuko uchi
ndio fasheni kwasasa ni mtihani
@@khadijaomari9344 yaaani wanakazi sana
kwa baba ako utard kama ulvokuja unamtaka kaka.ako
Hao hawajakuta na vichaa
Duh sio kila anayenenepa nikula wangine ni kustaamili na kuridhika.... nyie ngekua ndimi wifi yenu ningerudia getini siku ile ya kwanza
Jitahidini ziwe na uhalisia unaoendana nawakati
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mawifi kama mawifi
Asnte
Mapaja yenyewe kama spoko zabaisker
Ak wangekuwa wifi zangu wangekuwa siku si zao,ak tungepelekana Ile hawajawai ona,wangekoma wao
*Wangekufa siku sizao
Mr Bigi😂nakucheki sana
Hao kaz yao ndogo,Kama wamekuzarau wewe unawanyea kabisa,ukiwa chumban unafanya mapenz nakaka yao unaria sauti yamahaba mpaka habari inawafikia,mbona watabeba mabegi yao wenyewe 😏😏😏
😂😂😂😂😂😂😂km ulokuepo
Hawajakutana na wifi kichaa mvuta bangi wange surrender.
Hawa mawifi kiboko
Naangalia ujinga tu
Wow
ninzuri
aisee ninavyojijua ningewarudishia getini kisa cha mawafi kuja kuniletea gubu nn ht awe mkwe sitaki ujinga wala usumbufu niache kuishi kwa amani na mume kisa viwifi dhubituuuu
Yaan ningekuwa mm hata geti siwafungulii wala maji siwapi hawawz kuniendesha hvyo kama gar bovu
Big Kama big
Nilivyo na mdomo malefu 120 na mapana60 sijui kingewakuta nin