KING WA MADEM |14|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 174

  • @NaomiMwandelile
    @NaomiMwandelile 2 дня назад +27

    Mung awasaidie wotee wanao fatilia movie awavushee mwaka salam🎉❤

  • @Jamila_1996
    @Jamila_1996 2 дня назад +8

    Mission impossible kama za chado masta🎉🎉🎉🎉

  • @NurdinIddy
    @NurdinIddy 2 дня назад +7

    Minacho wakubari mnawahi kutoa kazi hamchereweshi hongereni kwa hilo nawa penda sanaa 😂😂😂😂😂

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 День назад +2

    Kweli uyo ni kijogoo duuh hafai khaa kaka massod umenisahau sna kaka kumbuka ahad Yako ♥️♥️♥️🌹🛍️🇹🇿

  • @AminaMusa-v9h
    @AminaMusa-v9h 2 дня назад +4

    watu tusapotini hii family wanatoa kazi nzuli ❤🎉😊

  • @Stogwa
    @Stogwa 2 дня назад +14

    WA kwanza Leo nipeni ata tano bass

  • @hermanwanjohi1124
    @hermanwanjohi1124 2 дня назад +9

    Mm apa kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wa kwanza

  • @FreddyKayumba-cc1ws
    @FreddyKayumba-cc1ws 2 дня назад +2

    Bhailam kazi yako nzuri la kini ku igiza maneno y'a kitshawi wasivaye vazi y'a dini wanaaribu muonekano wa dini a santé kwa kazi yako🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kharimjohneric5499
    @kharimjohneric5499 2 дня назад +6

    Kijogoo may God give you strength you are very talented brother

  • @ommyhussein4857
    @ommyhussein4857 2 дня назад +8

    Wakwanza Leo from saudia

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 2 дня назад +16

    Yaani kijogoo unadungadunga kweli kwani huchoki jamani 😂😂😂😂mua yako hayo❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @MargaretAwinja-ls7hx
      @MargaretAwinja-ls7hx 2 дня назад +2

      Anatumia kijogoo junior vzuri😂😂😂

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 2 дня назад +1

      @MargaretAwinja-ls7hx atakama amezidi jamani🤣🤣🤣

    • @abujole3992
      @abujole3992 2 дня назад +1

      @@MwanalimaMwalimu-c4m anachoka manamke ndiye hachoki

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 2 дня назад

      @@abujole3992 kama angekua anachoka angewafukuza wanawake 🤣🤣🤣🤣

    • @nyamiziramadhani4232
      @nyamiziramadhani4232 День назад +1

      mbn yalimshinda kwa kistuli 😂😂anqqmbiwa arudie hawezi

  • @dalalimrembo
    @dalalimrembo 2 дня назад +1

    Sijachelewa big up bailam
    U always kill it
    Naomi na hailat tumewamis
    Na uzuri

  • @MShebe-h3d
    @MShebe-h3d 2 дня назад +7

    Wa kwanza kutoka kenya

  • @Nicholas1dd4rs8j
    @Nicholas1dd4rs8j 2 дня назад +6

    Mbwa mganga😂😂

  • @SAFANdaykanza
    @SAFANdaykanza 2 дня назад +3

    Nakubari sana ❤️❤️❤️🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 2 дня назад +4

    Kazi unayo kijogo 😂😂😂😂😂😂

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq День назад +1

    Hhhhhhhh kijogoo kachukuliwa km kishantaa😂😂😂😂😂

  • @MudyMpogolo
    @MudyMpogolo 2 дня назад +3

    Nakukubari sana bhailam

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 2 дня назад +5

    Bhailam mpk Na watoto waganga jaman 😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 2 дня назад +1

      😂😂😂😂ameshindikana

  • @BarakaAbel-mn7vc
    @BarakaAbel-mn7vc 2 дня назад +4

    Mi wakwanza kbs

  • @PapaGahera
    @PapaGahera 2 дня назад +6

    Wakwanza leo

  • @James_Tv..00
    @James_Tv..00 2 дня назад +3

    Nzuri 🎉🎉🎉

  • @josephrwakayonza3654
    @josephrwakayonza3654 2 дня назад +3

    Mmhhh yan dk chache2 watukibao

  • @mariamdennis9576
    @mariamdennis9576 2 дня назад +3

    Wenzetu washachizika sasa😅😅😅😅😅😅

  • @nicholausmwinuka7640
    @nicholausmwinuka7640 2 дня назад +3

    All the ways from iringa here here

  • @AdamsonYaah
    @AdamsonYaah 2 дня назад +4

    𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐣𝐞𝐦𝐚 𝐛𝐫𝐨𝐨 𝐧𝐚𝐤𝐮𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐚𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐟𝐫𝐨𝐦 254

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 2 дня назад +8

    Doooh kila mtu wa1😂😂😂😂😂

  • @SaintPatrick-fp1ix
    @SaintPatrick-fp1ix 2 дня назад +2

    Kijogo akikisha mwisho umuowe feti

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 дня назад +1

    Duuh ukipata wanaume kama huyu kwakweli unakufa tu mapema juu ya pressure😅😅😅🎉🎉🎉

  • @jacktons8614
    @jacktons8614 2 дня назад +2

    "Mguse nikuchanechane na viwembe, unataka kufanya nn we kishanta nn? Mikazo zero? Gari lako halikai silence?" 17:02
    😂😂
    Oya bailam huyu mwamba anajua sana, mpe Scene nyingi asee😂😂🙌

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 2 дня назад

    Kazi nzuri bro bhailam Naomi Mzee simba Mzee masuod big up sana kazi nzuri

  • @deprodigy9815
    @deprodigy9815 День назад +1

    🎉🎉 mission impossible kama chado masta

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 2 дня назад +2

    Kazi nzuri 😂😂😂

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v День назад

    😂😂😂😂😂 Feti amenifuraisha kweli amezindukana eti kinyokoooo kijogo ametekwa na kenge. Kwa mzee simba pale amefika namuamini kwa siasa zamafya mziki anao kijogo nikuski zaumalaya Ndio zitamponza

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 2 дня назад +1

    Masudi ww kiboko lkn waaaah umewaonea sana 😂😂😂😂😂😂😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 дня назад +5

    Kijogo nauliza Naomi yuko wapi mbona kaptea tangu kwenye move ya mutoto wa shehe tume mu miss alikua vizuri unataka umupoteze kama Recho usitufanyiye ivo😢

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 2 дня назад +1

    FATUMA lala😂😂

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 2 дня назад +6

    WA KWANZA KUANGALIAA KUTOKA DAR ES SALAAM NIPENI LIKES ZANGU

  • @dimpohzbekah-co5vh
    @dimpohzbekah-co5vh 2 дня назад +2

    Kijogoo ameyatimba 😂😂😂

  • @everdhekay4924
    @everdhekay4924 2 дня назад +2

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 2 дня назад +3

    Kijogoo wewe hau choke nama demu😂😂

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 2 дня назад +4

    Ila kijogoo cjui hachokiii😂😂😂😂😂

  • @yolentakabilas
    @yolentakabilas 2 дня назад +7

    Like zangu tafadhar😅

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 часа назад

    😢😢😢😢😢uzi imefanyaa looo ndugu wawili machizi kisa mwanaume..huyu kijogoo nayee bado anawabadikisha kama chupi yandani.wachamxee simba akukomeshee tu

  • @Chrisroy-im
    @Chrisroy-im 2 дня назад +2

    Haujuwiii

  • @NimbonaUdhaifa-jw2lo
    @NimbonaUdhaifa-jw2lo День назад

    Watu wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tujuwane bas kwenye liké ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MaulidUbaya-d7v
    @MaulidUbaya-d7v День назад

    Uzuri mama mganga anamjua kijogoo vizuri alf anamtuma binti yake kwisha habari yake

  • @slokidog
    @slokidog 2 дня назад +1

    duuuh kijogo shida sana

  • @QueenJane-x3m
    @QueenJane-x3m 2 дня назад +3

    Kwahiyo kijogoo yeye hafanyi kaz yyte zaidi ya kulala na wanawake

  • @ZedekiaSisso-b9q
    @ZedekiaSisso-b9q 2 дня назад

    Kwel kuigiza kichaa inahitaji moyo kaz nzul sana

  • @Officialrockzompa
    @Officialrockzompa 2 дня назад +3

    Kaz nzur

  • @BarnabaaAmissi
    @BarnabaaAmissi 2 дня назад +1

    Akii kijogo ndie rada wa mademu hahaha

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga День назад +1

    Ché machude haujui 🇲🇿😎💪

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 2 дня назад

    Bora ao majambaz wengekuja upo na yule mtoto wa mganga engekua afadhali😂😂😂

  • @BarnabaaAmissi
    @BarnabaaAmissi 2 дня назад +1

    Kijogo ni muongo😅😅😅😅

  • @LomeoPhiri
    @LomeoPhiri 2 дня назад +2

    Nimewahi kabisa

  • @nkurikiyearodiedavid6255
    @nkurikiyearodiedavid6255 День назад

    Kijogoo ni kuchovyachovya tu,hachoki duuu,jamani😂😂

  • @chadiairakoze2287
    @chadiairakoze2287 2 дня назад +3

    Hello naomba like kwa mara yakwanza

  • @PascharMiraji
    @PascharMiraji 10 часов назад

    Bhailam kazi nzuriii sana

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 День назад

    Kijogoo anala hadi mtoto wa mganga😂😂🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @InnocentConseillerernest-mk4mz
    @InnocentConseillerernest-mk4mz 2 дня назад +1

    Kula na muganga😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉

  • @CAPTAIN_GALAXY13
    @CAPTAIN_GALAXY13 2 дня назад +3

    Haya tuendelee au tupumzike ,kidogo likes hapa 😹😹😹😹

  • @RabisiusiBerenado
    @RabisiusiBerenado 2 дня назад +1

    Kaka we kwenye filam una Dunia yako

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 День назад

    Kijogoo umeanza kupelekea moto na mazombi mamae😅😅😂

  • @JoshuazNgoir-e2x
    @JoshuazNgoir-e2x 2 дня назад +5

    wakwanza mm

  • @SophiaNdayishimiye
    @SophiaNdayishimiye 2 дня назад +2

    From Burundi 😊

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 День назад

    Yaan hyu kijogoo ananikumbusha mshkaji wangu yaan yy kutwa nzima mademu hta akipiga kimoko demu asepe sawa

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 2 дня назад +3

    Wa 4953 like zangu

  • @suzanathobias8567
    @suzanathobias8567 2 дня назад +2

    Maskinikidawa anataka kupewa azabu bola alufi kwa shabanitu

  • @CareenAkida
    @CareenAkida 2 дня назад +2

    Bhailam hakomi jamani

  • @SaidAyub-u3y
    @SaidAyub-u3y 2 дня назад +3

    Kwanza jaman like hata 10

  • @AbuuRuzo
    @AbuuRuzo День назад

    egongaa badilisha iyooo buktaa😂😂😂😂😂unatisha lakn

  • @haycaly
    @haycaly День назад

    Kaziii nzuriiiiiiii ❤

  • @witnessmaturege2944
    @witnessmaturege2944 2 дня назад

    Kijogooooooo hicho kibunoo khaaaaaaaa 😂😂😂 ila Masood unarohombaya duuuuuuuuh

  • @HandexIlambo
    @HandexIlambo 2 дня назад +4

    Wa 4 leo jameni ata like moja tuh

  • @edwinongera-l6z
    @edwinongera-l6z День назад

    ❤❤ From 🇰🇪 yaani 🐓🐓 unadunga kudunga,

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 2 дня назад +1

    Nice movie ❤❤❤

  • @abdanchama3022
    @abdanchama3022 2 дня назад +3

    Kubabakeee watoto wa ntwara tuna fujooo

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 2 дня назад

    😂😂😂😂 mguse nikuchane chane na viwembe

  • @SophiaNdayishimiye
    @SophiaNdayishimiye 2 дня назад +2

    Lete muendelezo

  • @KijaPatrick
    @KijaPatrick 2 дня назад +2

    good job

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha 2 дня назад +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 6 часов назад

    Unachomolewaa nyuzi yanguo hatahujui 😢😢😢😢😢

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 10 часов назад

    Kijogoo utakuwa unakojoa povu sasa😂😂

  • @idrissanaseeb528
    @idrissanaseeb528 День назад

    Na wowoooooo🎉🎉

  • @jacktons8614
    @jacktons8614 2 дня назад +2

    " 10:33 Tumle kwanza ndo tumlete"😂😂

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei День назад

    Na kweli wwe kijongoo ni bububu kushomeka shomeka kwako do raha duuuh jamani natokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nipe tatu like nawapenda sna🎉🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 часа назад

    Bora unuie tuuuu kuliko huu uchizii aise😢😢😢😢

  • @alolajames7614
    @alolajames7614 23 часа назад

    Kichaaa anachekesha akiwa atoki kweny ukooo wenu

  • @MaryamAlmandhari-e5m
    @MaryamAlmandhari-e5m 2 дня назад +1

    Mlet naomiii bhna

  • @JanethMkilangamili-t6r
    @JanethMkilangamili-t6r 2 дня назад +1

    Masudi sijapenda

  • @ShannieSambi
    @ShannieSambi День назад

    Yaan mpaka wachawi😅😅

  • @SangaliPower
    @SangaliPower День назад

    Twataka mission impossible kama za chado masta

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 День назад

    mtt wa mganga kashavurugwaa😂

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z День назад +1

    Ama,sim

  • @AgnesMasoud
    @AgnesMasoud 2 дня назад

    Ila hii kazi sio rahisi jamani yaan uigize kama chizi

  • @aromedavid
    @aromedavid 2 дня назад +2

    Wa mia leo😂❤ nipate likes zangu😅

  • @dianavictor6861
    @dianavictor6861 2 дня назад +1

    Kijogoo uchoki

  • @kenyatoday9256
    @kenyatoday9256 2 дня назад

    Support from kenya

  • @MashBebz
    @MashBebz 13 часов назад

    Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤