Yaani watangazaji wa tz international kwao ni outside the Africa bt hawajui ukitoka nje ya nchi yako ni international tayari......so jifunzeni neno international tu
Wanaume kama kusah wapo jamani mimi niliwahi kusema anti anajielewa mafanikio ya mwamme nyuma mwanamke yupo wengine hata uwabebe hawabebeki ila kusah kabebeka
Nyinyi waandishi wetu wa kibongo mnapenda kutengeneza bifu sana badilikeni. Kusah nimemuelewa sana anajitambua, huna baya kaka
Kusah anaonyesha anaroho nzuri sana tena anajitambua sana
Upo vizuri Mwanangu hongera kwa kuniletea bwana.
Humble boy
Yaani watangazaji wa tz international kwao ni outside the Africa bt hawajui ukitoka nje ya nchi yako ni international tayari......so jifunzeni neno international tu
Kusah anaonekana yuko smart
Kusah unajielewa sana
du Jay anajiaribu kaka
Wanaume kama kusah wapo jamani mimi niliwahi kusema anti anajielewa mafanikio ya mwamme nyuma mwanamke yupo wengine hata uwabebe hawabebeki ila kusah kabebeka
Kusa nakukubal sana