Kwa mamlaka niliyonayo natangaza marufuku kuziita nyimbo hizi zilipendwa badala yake ZITAITWA ZINAZOPENDWA maana bado inapendwa Sana. Mungu ampumzishe kwa amani mwamba wa muziki wa vizazi vyote.
This song reminds me when I was a young child after have lost my Father,my two sister's &a brother The we left with our mum&two of us,,this was the starting of our woes.........but after little while We came through and overcome it all mum akatoka kwa depression&we got our own home and here we are. Mungu ni mungu.
Ukitaka kujua kwanini Mbaraka alikuwa akiitwa Soloist National.....basi tafadhali sikiliza anavyopiga solo guitar toka 0.47 mpaka dakika 1.03 katika hii nyimbo hapa juu!!!!! With lots of LOVE from England.
Another one of the Golden Oldies loaded with so much meaning. I was introduced to this song by Mr. Nyakalo and Mr. Mwamu, both from Tanzania during our days as graduate students at the University of Nairobi in the early nineties and fell in love with it. Kudos to Mbaraka Mwinshehe! RIP!
Nyimbo ukiisikiliza kwanza inaleta hisia ,inafurahisha masikioni na mafundisho tunapata hapo. Sio za siku hizi hazileti maana Mimi naiyamkia hii nyimbo ,,ila ndizo ninazozipenda sio zile zetu kamatia chiniiiii ukamate nini hapo kwani uhogopi
ujumbe murua kabisa, hizi ndio nyimbo zenye mafunzo na zenye maadili.na sio nyimbo za matusi, eti mara msambwanda, yaani hata hazina maana zaidi ni za matusi huko kucheza sasa mhh, ni balaa, mara mtu ajishike sehemu za siri wanawake nao wenye makalio makubwa watajilaza hapo jukwaani na kufanya mambo ya ajabu na aibu tupu, still watu wanashangilia.06.05.18.
Siye sasa ni mabibi tuko na ndoa zetu mpaka na nyimbo zetu za kizamani tunasikiliza lakini za sasa zinakwisha haraka kama wenyewe wa kidigital kuoana asubuhi kuachika jioni uvumilivu hakuna wala kusameheana
Been looking for this masterpiece for years phweeeks,Happy new year 2025 everyone!
Those days when I was still young..... Wapi likes za zilizopendwa
my all time favourite mmmh!
👏
Helloooooo 2024 nyimbo tamuuuuu haichoshi vipaji halisiiii
2025 but still listening to these golden piece.
In general tanzania had the best educative songs and singers.tanzania hoyeeeee
Hoyeeee..
Kwa mamlaka niliyonayo natangaza marufuku kuziita nyimbo hizi zilipendwa badala yake ZITAITWA ZINAZOPENDWA maana bado inapendwa Sana.
Mungu ampumzishe kwa amani mwamba wa muziki wa vizazi vyote.
2024 naskiliza aiseeeee vitamin music 🎶
😂😂😂😂😂
😊@@mgogobeleko1411
Tuvitunze na tuvilinde walivyo acha wazee wetu, sikia ujumbe huo ✍️
Yeah.. This was the hit.. haven't forgotten the single vinyl label was Polydor. My collection and many more of this guy's hits
No matter how far you go astray.. You still find yourself back here🔥🔥🔥 such a classic hit. Can never get enough of this 💖💖💖
Nyimbo taraatibu za enzi zetu.Zanikumbusha mengi jameni
Huyu bingwa alona mbali sana kizazi cha leo hakifiki hapa ,sokiliza ujumbe ilivyo tulia
This song reminds me when I was a young child after have lost my Father,my two sister's &a brother
The we left with our mum&two of us,,this was the starting of our woes.........but after little while We came through and overcome it all mum akatoka kwa depression&we got our own home and here we are.
Mungu ni mungu.
The more we try to change things the more they remain the same.What he sang aganist in the 70s is still applicable in 2023 and beyond.
What exist will forever exist
26/09/2020 nani anatii hii sauti ya ninga
Ukitaka kujua kwanini Mbaraka alikuwa akiitwa Soloist National.....basi tafadhali sikiliza anavyopiga solo guitar toka 0.47 mpaka dakika 1.03 katika hii nyimbo hapa juu!!!!!
With lots of LOVE from England.
He plays the Guitar so well
Joyce AKINYI MICHAEL natural loving hakuna ndumba MKE WANGU HALALI
It reminds me of Christmas 1973
Hakika aliifanya morogoro kuwa juu kimuziki, mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Alipafanya morogoro pawe panatosha kwa wote.
Msanii mkongwe nyimbo zake mpaka leo zinafundisha laaa pumzika baba
This song gives me very fond memories of my late Dad, Mr. Maurice Wanyama Barasa. This was his ice cake, Wa!
Same with my LATE daddy Mr Mwakavi Mbuvi... especially Christmas holidays RIP
Same here i swear May My my loving daddy rip
Mbaraka Mwaruka Mwinshehe was just in own class: a superstar extra ordinary, a legend!
This is why the guy is very far from recent bongo artists , he made his name through his work but not you tube and other social media platforms
Had to pass here....I recall them days when I was a kid kbc lunch time music..much love from the lake side city of kenya.
22 Nov 2024. Bado nazisikiliza.
Mapenzi na madawa hayaambatani kamwe. Dawa ni penzi kwa penzi= penzi. Dr. Ogeto International
Another one of the Golden Oldies loaded with so much meaning. I was introduced to this song by Mr. Nyakalo and Mr. Mwamu, both from Tanzania during our days as graduate students at the University of Nairobi in the early nineties and fell in love with it. Kudos to Mbaraka Mwinshehe! RIP!
P
Lrpr
Nyimbo ni muda mrefu sana lkn bado inatoa madunzo kwa sisi vijana wa leo..All the best Mubaraka Mwinshehe kutuachia uosia maridadi.
Nyimbo ukiisikiliza kwanza inaleta hisia ,inafurahisha masikioni na mafundisho tunapata hapo. Sio za siku hizi hazileti maana Mimi naiyamkia hii nyimbo ,,ila ndizo ninazozipenda sio zile zetu kamatia chiniiiii ukamate nini hapo kwani uhogopi
Evergreen and a good voice. Mbaraka songs are very sweet
Where are my colleagues.The likes of Benedict Nawade.hakuna dawa ya mapenzi kabisa na waliofanya Ivo wameachwa makiwa nyimbo tamu saaaana
Timeless music. Asante sana. Mola ailaze roho ya Mbaraka mahali pema.
ujumbe murua kabisa, hizi ndio nyimbo zenye mafunzo na zenye maadili.na sio nyimbo za matusi, eti mara msambwanda, yaani hata hazina maana zaidi ni za matusi huko kucheza sasa mhh, ni balaa, mara mtu ajishike sehemu za siri wanawake nao wenye makalio makubwa watajilaza hapo jukwaani na kufanya mambo ya ajabu na aibu tupu, still watu wanashangilia.06.05.18.
Miriam Fritsi...hapo sasa! Disemba 30th 2018.
hakika huu ndo mziki unaingia mpaka basi
🤣🤣🤣🤣 umenichekesha🤣🤣🤣 ni kweli kabisaaaa🙏🙏
Ukweli tupu. The all great music for ever
Naunga mkono hilo swala.19.09.2020
The soloist national TZ has ever produced the Legend.!
Tik those days sai ni God tu
Nyimbo imebeba ujumbe mzito Kwa jamii
When music was music kudooooos
He was my classmate in 1965
safi kweli ujumbe murua
Yimbo za Karezilikuwana mafunzo sisawa na Sasa
Very interesting I love it
Nakumbuka radio za mbao
mafunzo mingi sana na elimu. Nyimbo za kitambo huleta ukumbusho katika kila enzi
Surely timeless. The young grow up away from them but as they come of age they find their ways back to them
True
True...this is dawa ya mapenzi so nice it soothes 😍🥰💙💚💕❣💞💛💜
❤❤❤❤❤❤❤💖💖💖💚💛
Asante Baraka Mwishehe Nyimbo Zako Zenye Mafunzo
Swadakta kabisa aliimba kweli Zaman kulikuwa na vitu adimu
Can these be compared to any modern song? No way
No
None. It's just classic; out of this world.
one of my all time favourite hits by Mbaraka
back memory lane,having been looking for these song for years.thanks so much
Dawa ndio mambo yote, bila dawa hakuna mapenzi Africa
Hahahaha miti ifanye kazi
Zilizopenda na bado zinapendwa.
Mapenzi hayana dawa ila upendo wa ukweli. Hii dunia yetu watapeli wa mapenzi ndio wengi. Mbaraka sema nasi.......
Qweli
Mbaraka unajua enzi zako ulitisha
Awesome 🇰🇪❤️.
Mbaraka had a very wide range of beats to sample from
nan yuko apa 22/12/2019???
Asante mjomba
Mashallah hakuna dawa ya mapenzi zaidi ya ulimi wako
Fatma Unji kabisaa
Alikuwa ni Mbaraka Mwinshehe,Jerad Nangati, Razaro Bonzo, Suli Bonzo na wengineo basi mambo yalikuwa motomoto.
Hizi ndio zetu zilikuwa ziko na sitakuwa.
Good songs with inspiring messages
Mike akiwa Juja anakumbuka mengi tulivyokuwa tukizikatika hizi enzi zile
Very educative
Mtanzania mwenzangu
Ageless.
The make me remember When I was joining primary school
I used to hate this songs when they were being played in KBC but for now naezakosana na mtu akijaribu kuibadilisha kama inaendelea kuimba
Kweli kabisa hakuna dawa ya mapenzi duniani,na kukataliwa ni kitu kibaya sana
Old is gold one of my favourite songs. ..kwa zilizopendwa
Sawa kabisa kaka.
Tamu kweli. ....natural luv is gud
taking us way back, back in the time
Taking us way back home
Muziki ulishapigwa zamani sasaiv hakunatena mziki
This was for our leaders but they are dead. But there foundation n lives on
The guitar....oh my God.Mbaraka was a gem.
Hakuna dawa kabisa ya mapenzi duniani, na sasa hiyo uitafutayo ni ya kumuua mpenzi wako.
What a music. Of all times. RIP Mwinshehe
Kabisa
Relevances. Hakuna dawa kabisa ya mapenz duniani
His music spoke to generation after generation. Alot of teachings to the youth and the old who think they can get love using charms and witchcraft..
Cette chanson m'avait retenu le souffle déjà à l'âge de 8 ans.
Ah, radio Rwanda avec Serushago bi nestori, que des souvenirs.
Song of construction
For Sure I'm Feeling Happy About These Songs
asante Sana Kwa hi
Hakuna dawa ya mapenzi ukweli kabisa
Best songs
Timeless classic
Hakuna kweli, dawa. Kila mwanamke amezaliwa na elimu hiyo. Just to know how to excise
Nipende nitakipenda nieshim nitakueshimu hakuna dawa nyingine
Safi sana
Muziki ya wakubwa hiyo
Nyimbo yanikumbusha mbali sana
Back to back time ya gramafone
Old artist were singing real things not now artist are looking only for money sio ujumbe
Siye sasa ni mabibi tuko na ndoa zetu mpaka na nyimbo zetu za kizamani tunasikiliza lakini za sasa zinakwisha haraka kama wenyewe wa kidigital kuoana asubuhi kuachika jioni uvumilivu hakuna wala kusameheana
Alot to learn,a legent.
jiulize mbona hupendeki kabla kutafuta dawa ya mapenzi
😢😢😢😢😢😢😍😍😍😍😍Hatari
Legends edition of the world
Asante sana nyimbo zenye mauzui
Memories,continue dancing with the angels mateche muyekho
Ukweli dawa haisaidii😁😂😂
Uligundua aje? ☺☺☺☺
He was a great musician I ever loved
Irealy like this one