CASSIAN NA RAISI SAMIA NI WASABATO WANAITUNZA SABATO YAO EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 15

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 2 дня назад

    Watu wamepotoka kabisa, siku ya sabato wanachukua muda mfupi kwa neno la Mungu, kutoka hapo wanaenda kwa shughuli mbalimbali; wengi hiyo ndio siku wamefanya yakukutana na marafiki, wapenzi na mambo mengi.
    Mungu atusaidie sana tuweze kumtumikia kikamilifu.
    Ubarikiwe mtumishi

  • @MaryBaltazary-o1u
    @MaryBaltazary-o1u День назад

    Asante mtumish wabwana

  • @GabrielBoniface-pe3kc
    @GabrielBoniface-pe3kc 2 дня назад

    Hakika ashukuriwe mungu kwaajili yao

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 2 дня назад

    Amina ubarikiwe kwa kutufunulia ukweli na kutufundisha iliyo kweli

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 День назад

    Kwa kweli sabato ilisahulika. Kila mmoja anajishughulisha na kazi zake.

  • @queenjonsson4179
    @queenjonsson4179 День назад

    Amen 🙏

  • @PatrickCimpaye-bj7df
    @PatrickCimpaye-bj7df День назад

    ❤amen

  • @MaryBaltazary-o1u
    @MaryBaltazary-o1u День назад

    Amina

  • @hadjasandra4163
    @hadjasandra4163 2 дня назад

    ❤🎉🎉

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 2 дня назад +2

    Baada ya kuambia watu ukweli wa neno la Mungu kuusu Sabato ya kweli siku takatifu wewe unaambia watu kama wanatunza Sabato zao, akuna andiko ndani ya biblia inasema jichagulie Sabato yako, Sabato ni moja tu siku ya saba ambayo Mungu aliibarikia, akaitakasa, akuna siku nyingine ilio barikiwa, ambia watu ukweli wapone usije ukadaiwa na Mungu siku ya mwisho.

    • @ryobanchagwa2499
      @ryobanchagwa2499 15 часов назад

      MPUMBAVU HUJIELEWI KABISA

    • @jeanefelix70
      @jeanefelix70 12 часов назад

      @ryobanchagwa2499 Acha makasiriko kubali gisi Mungu anavyo sema ili upone, akuna Sabato ya mtu kujipangia mwenyewe ukijipangia Sabato yako mwenyewe wewe umekuwa mungu mwingine.

    • @emmanuelngunyale3639
      @emmanuelngunyale3639 9 часов назад

      Wakolosai 2:16

    • @jeanefelix70
      @jeanefelix70 9 часов назад

      @@emmanuelngunyale3639 Anaye kuukumu ni nani? wewe unaandika tu aujafuata somo lote hapa? anafundisha kuusu Sabato ambayo ni amri ya inne ya Mungu, yeye anawafundisha kwamba ikiwa mnashika Sabato zenu siku mnayo jichagulia wenyewe muitunze vizuri, sasa kwa mujibu wa biblia akuna andiko linalosema kwamba mtu ajichagulie Sabato yake mwenyewe huo ni uongo.

    • @delickmarco3945
      @delickmarco3945 8 часов назад

      Kwa andiko Hilo kwahiyo inasema hata vinywaji mtu asiwahukum je pombe ulevi nisawa elewa iilo andiko vzr hatuwakumu Bali tunawafundisha ukweli