RC Mwanri ageukia Bodaboda "Mkong'oto, tikitaka kama Tyson, wodi ya bodaboda"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 267

  • @kelvinkelviny4426
    @kelvinkelviny4426 5 лет назад +35

    kama umeuona mzula wa RC ,,gonga like twende

  • @riphathpeterson6364
    @riphathpeterson6364 5 лет назад +41

    Bila unafiki huyu mkuu wa mkoa ni mzuri anajua kuelimisha wananchi anabusara wananchi wanahitaji elimu Big up babu Aggrey Mwanri

  • @AndrewMugaya
    @AndrewMugaya 5 лет назад +192

    Makusudi makusudi!!!!
    😂😁😅😆 Kama unamuelewa Agrey Mwanri like apa

  • @henrykatamba3679
    @henrykatamba3679 5 лет назад +25

    AMEN MKUU MUNGU AKUBARIKI SANA UNAFANYA KAZI NZR SANA NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA NA ULINZI UKUFUNIKE

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 лет назад +183

    Nani anatamani huyo Mzee angekuwa mkuu wa mkoa wake?? hapo watu wa tabora wamepata kiongozi wa mfano wake.

    • @paulbuchira28
      @paulbuchira28 5 лет назад

      Kombo Omar aisee mimi bro

    • @hamzarumela1784
      @hamzarumela1784 5 лет назад +3

      Binafsi natamani huyu angekuwa mkuu wa mkoa wa kigoma

    • @mararegiononline3457
      @mararegiononline3457 5 лет назад +1

      Me mwenyewe namkubali sana anaishi maisha yake halisi hana time ya kung'aa saana wala kutafuta sifa na kikubwa zaidi anahofu ya Mungu

    • @RobertThomas-kb4ur
      @RobertThomas-kb4ur 5 лет назад +2

      Mimi natamani angekuwa mkuu wa mkoa tanga, maana alieko simwelewi anafanya nini.

    • @jonaskimaro5112
      @jonaskimaro5112 5 лет назад +2

      Asee tabora wamepata kiongozi bora

  • @ibrahimmzee3237
    @ibrahimmzee3237 5 лет назад +41

    Rais wangu ujakosea kumteua huyu baba I real appreciate him# Hapa kaz tu

  • @noahmathew2256
    @noahmathew2256 5 лет назад +57

    kila mkoa unatamani kuwa na mkuu wa mkoa kama huyu Big up sana mkuu

    • @ramadhanpeter3423
      @ramadhanpeter3423 4 года назад

      Xhida inaanziawapi Sema shida inaanzia wapi Dah!!!

  • @wazirigodlisten2908
    @wazirigodlisten2908 5 лет назад +43

    mkuu wakupe nafasi ya kuwafanyia refresher training rc wengine

  • @fizzoboy6137
    @fizzoboy6137 5 лет назад +3

    Ambae anamkubali. Rc mwanri
    Adondoshe like na comment yake

  • @harunamroboto5858
    @harunamroboto5858 4 года назад +3

    wanangu wa Tabora gonga like kwa RC wetu

  • @averinamarco5808
    @averinamarco5808 5 лет назад +24

    Hebu sema shida inaanzia wapi kulike jamani😂😂😂😂

  • @cameroonsekeye1013
    @cameroonsekeye1013 5 лет назад +13

    hakika anayeshastahili sifa apewe unastahili kuwa kiongozi wa kuigwa mungu akujarie afya njema na hekima zaid

  • @aeafilim2025
    @aeafilim2025 5 лет назад +8

    Jamani mm ni mkenya ila n@penda sana kumfuatilia huyu mheshimiwa nimetamani angekua governer wa count yetu ningefurai sana

  • @rajmkonje7149
    @rajmkonje7149 5 лет назад +24

    Hebu sema shida inaanzia wapi 😁😁😁

  • @abuuqaasim4815
    @abuuqaasim4815 5 лет назад +3

    Uongozi ni kukaa na watu vizuri hongera sana mkuu wa mkoa unajua kukaa na wananchi unalugha nzuri na mfumo mzuri wa uongozi

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 5 лет назад +2

    Mkuu mi nakukubali sana yaani kila siku nikirudi kazini naangalia leo umefanya nini hongera sana niko Bedford Bedfordshire England

  • @augustinokileo7076
    @augustinokileo7076 5 лет назад

    Hatari fire mr mwandy Mungu akubariki sanaa uko vizur

  • @teachingtruthmissionafrica9998
    @teachingtruthmissionafrica9998 5 лет назад +39

    Huyu mzee angekuwa mkuu wa mbeya ningehudhulia vikao vyake vyote

  • @michaelmrosso2106
    @michaelmrosso2106 5 лет назад +19

    Huyo ni comred jembe mwalimu hyo kama hujaelewa kwel makusud

  • @uzaohalisi5811
    @uzaohalisi5811 5 лет назад

    Huyu mkuu wa mkoa si bure.kwa vyote anavyofanya huyu kuna sehemu mheshimiwa anamandalia,,kama unakubaliana na mimi gonga like hapaaaah

  • @ramadhanifelix7285
    @ramadhanifelix7285 5 лет назад +8

    Namkubar sana uyu mkuu..anajua kaz sana...kenya bodaboda lazma uwe na bima

  • @saidyusuph4129
    @saidyusuph4129 5 лет назад +36

    Mavazi yake tu! Wala hana gharama

    • @jacksonjastinmpongo944
      @jacksonjastinmpongo944 5 лет назад +1

      Said Yusuph 😂😂😂😂

    • @harounheri6702
      @harounheri6702 5 лет назад

      Hana mbwembwe mzee wa watu sijui tusuti walaa yoyote anajivalia

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 лет назад

      Hivi hao wakuu wa mikoa wako likizo au maana wamwige huyu agrey bc hawaoni aibu mwingine chapa kazi ni ali appy wa iringa nadhani yuko vinzuri ila tungepata wakuu kama mkuu wa tabora hongera sana yaani naangaliaga you tube nikimtafuta mkuu wa mkoa tabora

    • @evelynebwire7684
      @evelynebwire7684 4 года назад

      @@asteriambwei95 hata wa kwetu Geita yupo vizuri

  • @jullyregy3057
    @jullyregy3057 5 лет назад +18

    Na mzula wake kichwan na raincoat hana presha asa alikwa ww hata kwenye birthday utavyojipanga hahahaaaa ni makusudi nyoosha mkono juu kama unabisha hahahaaa ticktaka kama Mohaned nan vile......hahahaaa nahamia mkoan kwako kiongozi

  • @musamahenge8169
    @musamahenge8169 5 лет назад +2

    Daaah aise wakuu zetu wa mikoa wote wako fire sana

  • @methodmahona3546
    @methodmahona3546 5 лет назад +5

    Mh.ubarikiwe 🌎👊🙏

  • @nicholausmakundi2663
    @nicholausmakundi2663 5 лет назад +47

    Me naona Ukuu wa Mkoa wa Dar es salaam unamfaa kabisa.

  • @elisanteshedrack2018
    @elisanteshedrack2018 5 лет назад +45

    Mkuu wa mikoa yote tz

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 4 года назад +1

    Huyu Mzee angekuwa mkuu wa mkoa wa DSM

  • @charlesnyembeke6907
    @charlesnyembeke6907 5 лет назад +2

    Daaah!! Uyu mkuu angekua dar mbon tungenyoka

  • @safaridoni6690
    @safaridoni6690 5 лет назад +1

    Mimi natamani awe rais wa2026 namkubari xana

  • @estherjohn953
    @estherjohn953 5 лет назад +1

    Natamani ungekuwa mkuu wa mkoa wa mara

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 5 лет назад +4

    Good work mkuu wa mkoa

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 4 года назад +1

    Niliona pembe zinaota kata pembe kata pembe
    Magufuri hakukosea kukuchagua mkuu wa mkoa tabora

  • @harunilibangite7205
    @harunilibangite7205 4 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂jombaa kavaa kimeru meru kama mkuruga na hyo boshori 😁😁

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 5 лет назад

    Yaani tumekumisss sana donyomurua, umetufayia makubwa sana siha, nakupenda sana mkuu utendaji wako mzuri sana

  • @vicamarketingelectronics5534
    @vicamarketingelectronics5534 5 лет назад +7

    This guy is very wise

  • @dennisstafford450
    @dennisstafford450 5 лет назад +1

    Mwamri kaipandisha chart Tabora

  • @arnoldnicholaus3835
    @arnoldnicholaus3835 Год назад

    Yuko na busara sana, I want him on my team.

  • @JohnJohn-ec5wz
    @JohnJohn-ec5wz 5 лет назад +1

    ASIE KUWA NA BIMA SUKUMA NDANI 😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @anselemimichael5453
    @anselemimichael5453 5 лет назад

    nice mkuu,God bless u mkuu wng

  • @alcadkasanu666
    @alcadkasanu666 5 лет назад +3

    hatarii sana vizurii rc

  • @kuryaphotography8838
    @kuryaphotography8838 5 лет назад +1

    Hebu sema tunaachana👏👏👏

  • @abellucas7392
    @abellucas7392 5 лет назад

    Mungu akulinde mzee wa kichaga✊✊

  • @rajabngunga9530
    @rajabngunga9530 5 лет назад +1

    Kama umesikia utapigwa pembe weka like yako hap

  • @edmondmwanyanje2787
    @edmondmwanyanje2787 5 лет назад +1

    Sukuma ndani

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 лет назад +1

    Natamani wakulete kagera mkuu

  • @manjimfungo3789
    @manjimfungo3789 5 лет назад +1

    Natamani siku moja nikushike mkono tu ndio ndoto yangu unajua sana mheshimiwa mwanri

  • @lazarohonest3120
    @lazarohonest3120 5 лет назад

    mkuu wew n shida unapiga kazi kama kijana bigup

  • @silverjoseph4577
    @silverjoseph4577 5 лет назад +1

    Mmmmmmmh ooooh sawa:sawa kabisa nimecheka hii mwongo muongozo 😂😂😂😂😂😂😂😂😁ilo koti nimecheka balaaaa

  • @annamsemwa1946
    @annamsemwa1946 5 лет назад

    Haahaaa.makusudiii!makusudiii. Kuvaa mzura na raincoat makusudiii. Unanifurahisha sana mzee MUNGU AKUPE MIAKA ELF

  • @kambonamajaliwa4677
    @kambonamajaliwa4677 5 лет назад +1

    Hivi waomba like huwa mzazifanyia kazi gani? tabia hii ni ya kiboya

  • @nurusheha2342
    @nurusheha2342 5 лет назад +1

    Mzee wa sukuma ndani level yako n ya kuwa WAZIRI kwa kweli,ww n zaidi ya kiongozi

  • @giftmushi6088
    @giftmushi6088 4 года назад +1

    Nishida

  • @manganamanganamanganamanga7313
    @manganamanganamanganamanga7313 5 лет назад +1

    Uko sawa mkuu

  • @brunompolle1404
    @brunompolle1404 5 лет назад +18

    Usipo mwelewa huyu kafie mbele

  • @sheikhaalmandhari125
    @sheikhaalmandhari125 5 лет назад

    Nakupenda sana mkuu wangu wa tabora

  • @justusgration8695
    @justusgration8695 4 года назад

    Big up my daddy RC TABORA

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 года назад +1

    Kama anajikuna mzee

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 5 лет назад

    soma hiyo nasema soma hiyo good job watu wanaelewa viongozi wenye busara namna hii

  • @michaelrashku867
    @michaelrashku867 5 лет назад

    Namshauri aliy api ajifunze hekima kwa huyu Mzee

  • @patrickpaschalmanumbu1145
    @patrickpaschalmanumbu1145 5 лет назад +3

    Makusudi makusudi ....makusudi @#🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪👏👏

  • @frenklubago5748
    @frenklubago5748 5 лет назад +1

    Yupo kikazi hana MDA na masuti good

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 5 лет назад +1

    Mzee Mungu akubariki,hawa ndo viongozi tunawahitaji ktk taifa linalozungumza lugha moja,tamaduni moja..siyo unapewa madaraka muongo mzima unafunguzana na watu flan flani tu polisi..sijui mkamate huyu diwani ajae 72hrs ndani. Tanzania inatakiwa watu kama hawa.

  • @khatibalamin401
    @khatibalamin401 5 лет назад +4

    Anaongea na waendesha baskeri 😂😂😂

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 5 лет назад +1

    Arusha

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 лет назад +11

    Yaani namuelewa kinyama huyu kamanda.

    • @mathazakayo288
      @mathazakayo288 5 лет назад

      namkubal sana mkuuu huyu hakika yuko sawa

  • @mrcan21
    @mrcan21 5 лет назад +1

    Jamani mimi nitasema liwalooo na liweeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 5 лет назад +1

    Nampenda huyu mkuu wa mkoa wa tabora mpk naumwa

  • @ombenimshana9162
    @ombenimshana9162 5 лет назад

    Mkuuu upo vizuri yani wewe ni kiongozi wa kuigwa

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 4 года назад

    Natamani sana huyu mzee angekuja hapa dar (bongo) pangenyooka makonda naona analeta ushamba tu hapa bongo

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 5 лет назад

    Hongera Sana kiongozi

  • @youngdady7901
    @youngdady7901 5 лет назад +2

    Asiekua na bima sukumaaa ndaniiii😂😂😂

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 5 лет назад +1

    *Makusudi makusudi makusudi kuowa wake wawili makusudi kuowa mke mmoja makusudi kunyosha mkono makusudi*

  • @rajmkonje7149
    @rajmkonje7149 5 лет назад +6

    Kata pembe kata pembe. kata. Pembe

  • @miriamkarata7495
    @miriamkarata7495 5 лет назад

    Mungu akutunze mheshimiwa,tunaelimika huku tunatoa stress

  • @mfalmegideon
    @mfalmegideon 5 лет назад +11

    Muongo,Muongoze 😆

  • @youngdady7901
    @youngdady7901 5 лет назад +1

    OK sawa sawa kabisaaaa😂😂😂

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 5 лет назад +6

    Hili ilicha linaakili mpaka zimemwajika una akili nyingi sana mungu nakuomba mpe huyu baba miaka 1000

  • @johnodongo110
    @johnodongo110 5 лет назад +1

    inafurahisha sana

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 5 лет назад +4

    kweli banah tabora oyeeee

  • @davidkatigulajr2212
    @davidkatigulajr2212 5 лет назад +1

    Bos yuko vizur aisee

  • @thomaschambala1475
    @thomaschambala1475 5 лет назад +8

    Mzee simple anavaaa simple anavutiaaa

    • @teddyklex6618
      @teddyklex6618 5 лет назад +1

      Thomas Chambala naona kofia imekuvutia kama wale chalii wa R

    • @thomaschambala1475
      @thomaschambala1475 5 лет назад

      @@teddyklex6618 hahahaha atareee

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 лет назад +1

    Mzeee kala ngei unajua kabisa km mzee wa kazi

  • @hermankoba4970
    @hermankoba4970 5 лет назад +1

    Mwenzenu mm nataman angekuja kuwa mkuu wa mkoa wa kibaha pwani

  • @officer1208
    @officer1208 5 лет назад +1

    😂😂😂nikiona pembe zinazidi..kata pembe! kata pembe!

  • @tausiyusuph7282
    @tausiyusuph7282 5 лет назад +1

    Kimuyeye 🤣🤣🤣nakupenda BABA

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 лет назад

    si mfatiliaji wa mambo ya siasa ila wewe nakukubali sana big up

  • @Thuon_
    @Thuon_ 3 года назад

    Asiekuwa na bima, *sukuma* *ndani*

  • @jafarsalum8656
    @jafarsalum8656 5 лет назад +1

    mzee wetu Leo kapiga mzura na overall makusudiii

  • @teddyklex6618
    @teddyklex6618 5 лет назад +2

    makusudi makusudi?👊👊

  • @adenihalisi4218
    @adenihalisi4218 5 лет назад +1

    Mwongo mwongoze😁😁😁😁😁

  • @mabebyb6427
    @mabebyb6427 5 лет назад +1

    Mzee baba heshima kwakoo

  • @leonardp.bundala6989
    @leonardp.bundala6989 5 лет назад +1

    Si muda tunafika kwenye Nchi ya Ahadi, Ee Mugu wape afya njema Viongozi wetu. Tanzania itafika.

  • @abbyjma7355
    @abbyjma7355 5 лет назад +1

    Ndingi nakuelewa saana

  • @victorreds9325
    @victorreds9325 5 лет назад +1

    Kuna mzee hapo ana mijidevu sijui imemshinda kunyoa!!

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 лет назад +1

    Uyu Mzee kama kaishi Toronto maana Haya mavazi Ni mtihani.

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 лет назад +1

    Mshikaki ni kawaida2 kwa mtu mmoja mmoja hailipi vzur,

  • @yohanamuumbe4628
    @yohanamuumbe4628 5 лет назад

    Nakuelewa sana mkuu wa mkoa Tabora, na huku Dar inatakiwa iwe hivyo ndugu zetu wa bodaboda na bajaji hawana ustarabu wa kusima sehem sehem salama wao ni popote kituo

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 5 лет назад

    Mh Magufuri tunaomba umwamishe Mh Aggrey Mwanri aje mwanza hata kwa miaka miwili tu,arekebishe changamoto za mwanza,ni mmoja ya wakuu wa mikoa wanaojua majukum yao,na sio kukaa maofisin tu.

  • @mosesmkoma6882
    @mosesmkoma6882 5 лет назад +1

    Tikitaka kama Tyson 😂😂😂😂