MAITI YA MTUME ILIVYO OSHWA, SHK, QASSIM MAFUTA,

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 64

  • @ZakariaHamad-y6j
    @ZakariaHamad-y6j Месяц назад +1

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 Год назад +2

    allah akulipeni kheri kwa jitihada zenu za kusamba kheri na faida za kidini na ukafanyiyeni wepesi katika harakati zenu za kila siku
    barakallahu fiikum

  • @nurdinjafari1520
    @nurdinjafari1520 Год назад +1

    Alhamdullilah allah ametujaalia kheri nyingi tuna pata faida kubwa Sana allah awahifadhi mashekhe zetu

  • @iddrisakhamis8455
    @iddrisakhamis8455 2 года назад +3

    Mashaallah allah akuhifadh

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 года назад +3

    Allah akuhifadhi sheikh wetu

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  2 года назад +1

      Aminah inashallah Allah atuongoze zote katika haki

  • @aminirashid2833
    @aminirashid2833 2 года назад +4

    Allah akuhifadhi sheikh kassim pamoja na familia yako

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  2 года назад +1

      Aamiyn waiyakah Yaa akhy

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Jee yafaa kumuita Mtume saw ni maiti?. Jawabu. i
      Wala msiseme walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wako hai, lakini nyinyi hamtambui.
      154 Al-Baqara
      *Bofya hapa kutazama surah nzima

  • @habibabuunasruu5683
    @habibabuunasruu5683 2 года назад +2

    Allah akuhifadhi sheikh wetu mlezi 🎤

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  2 года назад

      Amiiyn inshallah

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Jee yafaa kumuita Mtume saw ni maiti, jawabu. i
      Wala msiseme walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wako hai, lakini nyinyi hamtambui.
      154 Al-Baqara
      *Bofya hapa kutazama surah nzima

  • @salimawadh2556
    @salimawadh2556 Год назад

    Baraka Allah fik Sheikh

  • @bakarihote
    @bakarihote 6 месяцев назад +1

    Allah amhifadhi shekhe

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 2 года назад +3

    Jazakallah

  • @abukassim5645
    @abukassim5645 Год назад +1

    ALAAH akupe kila lakheri Sheikh wangu mpenzi hiyo nidiyo zawadi ila dua

  • @abuhamzakisai8007
    @abuhamzakisai8007 2 года назад +2

    Allah akuzindishie

  • @hashimiddi4789
    @hashimiddi4789 2 года назад +2

    Mashallah

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 Год назад +1

    asalam alaykum warahmatullah wabaraktuh
    nilikua naomba ndugu kama ungelikua una weka mihadhara ya sheikh qassim na masheikh wengi mwanzo mpaka mwisho kwa utaratibu wa mfwatano ili kurahisisha kufwatilia darsa za ma sheikh na kuzipata faida za muendelezo

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  Год назад

      Nenda kwenye playlist kwenye chaneli yangu hii utapata muendelezo wote ndugu katika Imani

  • @JimkanaKitambulio
    @JimkanaKitambulio 4 месяца назад +1

    Masuni mna Kaz kwer Ali akumpa Bai sawa kwa sababu ya madai ya Fatima yapi mbon uyataji unaficha ukwer

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 Месяц назад

      Huyu sheikh anasema anayoyapenda na sio inavyotakiwa iwe.

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 Год назад +1

    nataraji itakua bora zaidi kuliko kuweka vipande vipande inakosekana faida ilio timia katika darsa
    lengo la darsa ni kuelimisha na elimu inahitaji ufwatiliaji wa mwanafunzi kwa mwalimu mwanzo wa muqaddima hadi mwisho tamamti ya darasa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 года назад +3

    We ni kichwa na kwa kweli elmu unayo shekh

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  2 года назад +1

      Mashallah

    • @abuunajat4450
      @abuunajat4450 2 года назад +1

      Sema mashaallah

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Jee yafaa kumuita Mtume saw ni maiti, jawabu. i
      Wala msiseme walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wako hai, lakini nyinyi hamtambui.
      154 Al-Baqara
      *Bofya hapa kutazama surah nzima

    • @KasimuChungamtama
      @KasimuChungamtama 7 месяцев назад

      ukisema waliokufa ktk njia ya Allah Inakua Amekufa ktk jambo lipi ili Aesabiwe amekufa ktk njia ya Allah?

  • @AzizAziz-le1pj
    @AzizAziz-le1pj Год назад +2

    Wewe Acha uongo Mtume ameswaliwa na kuzikwa na maswahaba wasiozidi 10 , Sayyidna Abubakar RA na Omar RA walikuwa SAQIFA baanusaida kumchagua KHALIFA baada ya Mtume hawakushiriki live katika Kumuosha kumswalia hadi kumzika MTUME ,Mafuta Acha uongo pepo YA Mola kwako MTIHANI KWA UONGO WAKO

    • @abdallahmoussa614
      @abdallahmoussa614 Год назад +1

      sasa umekosowa nini apo

    • @official_Yssalia
      @official_Yssalia Год назад +1

      Naomba nikuulize ivi IMAAN za maswahaba kwa Allah ni sawa na Mimi na wewe? Na kama wangekua wanafiq Mtume sw hakuweza kulijua Ilo? Na kama amelijua Ilo kwanini alikubali kuswalishwa na mnafiq! Pia kwanini Mtume alisema anaindoka akiwa amecha dini imekamilika does it mean hakuweza kujua kama Kuna tatizo kuubwa limemzuka?!? So many questions ukitaka kufafanua jambo hili kwa kutumia akili Yako timam... Allah akuongoze

  • @alshamsitz3961
    @alshamsitz3961 Год назад +1

    Kweli mafuta ni mpotofu wa history ya uislam,ila ukweli upo wazi huwezi kuuficha ww

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis 5 месяцев назад

      Hhhhhh umeona eee uyu mpotoshji tu hajuwi kitu mafuta huyu

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 Месяц назад

      Ukweli sahihi ni upi?

  • @maundumwingizi8027
    @maundumwingizi8027 Год назад +1

    Mwanzo umesema, baada ya Abubakar (ra) kuwahutubia watu kule msikiti, waislamu wote walimridhia (hakuna hata mmoja aliyempinga). Halafu huki mwisho unasema wako Waislamu wachache (kama wawili watatu hivi) wali-taakhar. Tuchukue lipi hapo sheikh wangu?

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 года назад +2

    Huyu jamaa anazungumza pumba tu.Hajui chochote kuhusu historia ya kiislam. Hizo anavyozungumza sivyo jambo lilivyo kwenda

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  2 года назад +2

      Haya ebu zungumza wewe ilivyokuwa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      @@Hud_hud_Salafiy ukweli nikwamba Abubakar na Omar hawakumzika mtume kwasababu walikuwa wanapigania madaraka zaidi.ukinipa ushahidi kuwa Abubakar na Omar walimzika mtume,yani walihudhuria mazishini nitakupa laki moja

    • @jaykinho8234
      @jaykinho8234 2 года назад +1

      Hakuna mwenye tamaa na hela yako sisi twaitaka pepo ya allah

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      @@jaykinho8234 Huwezi kuipata pepo kwa ujinga na propaganda

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Jee yafaa kumuita Mtume saw ni maiti, jawabu. i
      Wala msiseme walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wako hai, lakini nyinyi hamtambui.
      154 Al-Baqara
      *Bofya hapa kutazama surah nzima

  • @fatmadamasi6880
    @fatmadamasi6880 Год назад +1

    Na kesho mbele ya allah ukaseme hivyo hivyo unaficha historia wakati ipo wazi mtume s. a. w ameondoka kila kitu alikiweka wazi vitabu vinavyoaminika wameandika ww unajitafuna meno

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 месяцев назад

      Ww ni mshia nini nini? Maana mashia ndo maadui wa mtume afu ndo wakwanza kujifanya mmevaa vazi la kummpenda mtume kumbe mmeficha ukafiri na kumtukana matusi mtume na swahaba zake

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 2 года назад +1

    Kumbuka mtume alivyofariki maswahaba wangi walikuja kuwa walevi mbona hili amsemii hii dini aijitambui

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  2 года назад +1

      We una uhakika na hizo kauli unazozisema

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Waliacha ulevi kabla Mtume saw kufariki kama alivyoacha yedu ulevi kabla hajaokolewa na Allah sw akapaishwa mbinguni

    • @official_Yssalia
      @official_Yssalia Год назад

      He's qafir! No questions about that 😂

  • @alshamsitz3961
    @alshamsitz3961 Год назад +1

    Siamini kama sheikh mkubwa kama ww unapotosha na una unatohoa baadhi ya mambo ya sakifa yaliyojiri hapo

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 2 месяца назад

    Kwanini USIELEZE HATA ZAID YA MWAKA ..KWA VILE WADAI LIKITENGENEA HILI LA KHALIFA MENGINE YATAKAA SAWA.
    AMA MDA WENU ZAIDI KUKUZA MAKUNDI