Alafu ishu ni kuhuza ikianza kuuza chochote hapo umehama mwenyewe kwa Mungu ukajikabizi kwa shetani maana nguvu ya Mungu haiuzwi ....ila vibebea upako Mungu anatumia chochote ila ni bure kwa watu wake na Mungu anafanya hvo kwa ufunuo kwa mtu tofauti kadr anavyotaka yeye...asante barikiwa
@@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi hakuna nabii hapo alisema dar itasombwa na maji na haikuwa huyo nabii wa uongo tu hakuna kweli ila Ibilisi anampelekesha
Hata na Yesu mwenyewe aliwatuma wanafunzi wake wakawapaka watu mafuta...Marko 6: 13. Si kwamba shetani akitumia kitu kuangamiza watu anamuzuia Mungu kukitumia kusaidia watu imeandikwa vitu vyote ni watumishi wake...Zaburi 119: 91 Kikubwa ni kujua uyo mtumishi ni namna gani na utamtambua kwa matunda yake kadr anavyotembea na injili yake ikoje. Ishu cyo mafuta wala vibebea upako Mungu anaweza tumia chochote kwa ajili ya kusaidia mtu na shetan anaweza tumia vifaa hvyo kuangamiza watu. Barikiwa sana mtu wa Mungu.
Alafu ishu ni kuhuza ikianza kuuza chochote hapo umehama mwenyewe kwa Mungu ukajikabizi kwa shetani maana nguvu ya Mungu haiuzwi ....ila vibebea upako Mungu anatumia chochote ila ni bure kwa watu wake na Mungu anafanya hvo kwa ufunuo kwa mtu tofauti kadr anavyotaka yeye...asante barikiwa
Waziri mkuu wa Mbinguni.Musa wa TONGARENI
Hongera kuwa wa kwanza kusubscribe, naekukubali kumsikiliza nabii
@@unyakuotv.1391 nabii uokoke UPYA ,Mungu huna
Amina Nabii wa BWANA
@@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi hakuna nabii hapo alisema dar itasombwa na maji na haikuwa huyo nabii wa uongo tu hakuna kweli ila Ibilisi anampelekesha
@manfordmkinga4080 Unaposema hakuna Nabii hapo, Kuna nini
Hata na Yesu mwenyewe aliwatuma wanafunzi wake wakawapaka watu mafuta...Marko 6: 13.
Si kwamba shetani akitumia kitu kuangamiza watu anamuzuia Mungu kukitumia kusaidia watu imeandikwa vitu vyote ni watumishi wake...Zaburi 119: 91
Kikubwa ni kujua uyo mtumishi ni namna gani na utamtambua kwa matunda yake kadr anavyotembea na injili yake ikoje.
Ishu cyo mafuta wala vibebea upako Mungu anaweza tumia chochote kwa ajili ya kusaidia mtu na shetan anaweza tumia vifaa hvyo kuangamiza watu.
Barikiwa sana mtu wa Mungu.
Ndugu zako walikataa kabisa, ....
Huyu sio nabii mwongo alitabiri dar es salaam itazama haijawa ,
Acha kumsikiliza kama ni muongo, achana nae hujalazimishwa kumsikiliza, KARIBU TENA
@unyakuotv.1391 KWANINI ALISEMA DAR ITAZOMBWA NA MAJI NA HAIJAZOMBWA WEWE NABII WA UONGO HUFAI KUSIKILIZWA KIBIBLIA
NDIO MJUE UISILAMU NI MAMBO YA KUIGA
We Musa ulisema rais aje ni nani ebu tukumbushe kidogo
Endelea kutufatilia, na kusikiliza video zetu zote, fanya kusikiliza video za nyuma utatuelewa