MZEE FLANI MJUAJI | Oka Martin & Carpoza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 517

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 года назад +10

    Hii video hii Noma Sana Yani naiangalia kila siku,sehemu ya bangi ndio inanimaliza Sana,ntahakikisha unafungwa ww

  • @issayahsudi8653
    @issayahsudi8653 4 года назад +59

    Awa majamaa noma nipeni like zangu jmn hapa kwenye kulala,,, 😅😅😅

    • @tumbually3293
      @tumbually3293 4 года назад +1

      Sasa like za nn kwako wakat wakal ni kina oka acha bangi ww

    • @Playlist_27
      @Playlist_27 4 года назад

      Carpizal na oka nawakubali sanaaa

  • @President-seed
    @President-seed 4 года назад +14

    We nawe kijana...!!
    Inawezekana ikawa kweli
    😂😂😂🙌🙌🙌

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +19

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 *Naona naona mamae dah!!!!!!!!*
    Sasa c uende kama unaona 😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephboniface7506
    @josephboniface7506 4 года назад +9

    Umedhurula Sana juani Mzee,hauna kazi ya Kufanya...

  • @gulledhassan380
    @gulledhassan380 4 года назад +23

    Mko juu sanaa nawakubali
    Lkn kwenye ukuwaji Ktk kila jambo kuna hatuwa lazima mpitie na mda mwingine hatuwa moja inaeza jirudia kwa vipindi tofauti ikiwa ina fanana na ile mlio pitia nyuma (ukaona kama hutakikani kupita tena hapo) kumbe hilo jambo ukubwa wa matokeo utayo yapata kama ukilirudia ni tofauti na nyuma ulivyo pata matokeo wkt ulifanya kipindi ile
    ( wasafi na imani leo hii kama mgekuwa bado mpo! Network ya kusukuma content zenu kubwa ingekuwa mnayo kwenye cm zenu hata kama mgetoka sasa na imani saiv mgekuwa mmefaulu sanaaaa👌👏👏

  • @samsonjacob3365
    @samsonjacob3365 4 года назад +12

    Naona naona mnazidi kuwa hatari, naona naona

  • @noeltesha9075
    @noeltesha9075 4 года назад +50

    Like ya Kwanza comment ya Kwanza......shalauti Sana shalauti✌️

  • @khatibumkungile306
    @khatibumkungile306 4 года назад +11

    Sijawahi ku comment juu ya kazizenu ila hii respect Allah awajaalie mfike mbali

  • @nadyakugenda5496
    @nadyakugenda5496 2 года назад +4

    Mzee umeimba vizuri sanaaaà""HAYAKUHUSU"😂😂😂😂😂

  • @isayasayota154
    @isayasayota154 4 года назад +6

    Mzee ufe tuu naona unatusumbua😂😂😂😂😂😂

    • @alexaiddan979
      @alexaiddan979 4 года назад +1

      Darasaa uyo eti kavuta bangi zikamludisha

  • @kinghunter3350
    @kinghunter3350 3 года назад +3

    Hahahah jua kali sana... Mzee unazurula sana huna kazi za kufanya 😁😁😂😂

  • @stanleyshidrack9785
    @stanleyshidrack9785 2 года назад +2

    You made ma day nyie watuuu...nawapenda

  • @ottonmbona2842
    @ottonmbona2842 10 месяцев назад

    Wa sanii wakuu nawakubali sana

  • @mussakhan26
    @mussakhan26 4 года назад +22

    Sems nyie ndo mabest comedy kwa upande wangu

  • @shuubinty1447
    @shuubinty1447 3 года назад +8

    Mimi msanii wa kizazi kipy
    "Hayanihusu" 😂😂😂😂😂

  • @NeroForte_
    @NeroForte_ 2 года назад

    hahahaa nyie jamaa noma. hii style ipige tenea mazee. Niliwajulia humu

  • @SwahiliTube_
    @SwahiliTube_ 4 года назад +11

    Mmetisha sana wanangu

  • @alfredytemba1744
    @alfredytemba1744 4 года назад +2

    hahahahah
    dah mwamba ni yupo on fire mzee ni
    analeta wenge

  • @nicerecord8291
    @nicerecord8291 Год назад +2

    Yani nimeangalia maranyingi sana still love it

  • @doctorjohn1898
    @doctorjohn1898 4 года назад +4

    1:40 aah kashakufa huyo,😂😂😂

  • @rebeccalucas6346
    @rebeccalucas6346 4 года назад +5

    Hainihusu...eeeh naon...jamaa had unakeraaa...Ila nakukubariii🤣🤣🤣👊👊

  • @pascalskibo1560
    @pascalskibo1560 4 года назад +23

    mzee umeimba kisasaa,, hayakuhusuu 😂😂😂😂😂😂

  • @nancykileo3041
    @nancykileo3041 4 года назад +5

    Nyie oka ni anaimbaaaa😍

  • @felistamlowe6080
    @felistamlowe6080 4 года назад +9

    Sapoting kwa WANYABI jaman

  • @Mussamandanjegmail.comMandanje
    @Mussamandanjegmail.comMandanje 4 года назад +4

    We nae kijana?mhhh inaweza ikawa kweliii😂😂😂😂

  • @ali_ford
    @ali_ford 4 года назад +2

    oka dah kusema kwel nimekubali hii video kuliko zote duh hehe

  • @hassankindemba8002
    @hassankindemba8002 4 года назад +53

    Wakwanza Jaman Naombeni Like Zenu 😊😊😊

  • @mekajamtv9603
    @mekajamtv9603 3 года назад +6

    daah nyinyi watu wa kipekee sana,big up sana

  • @digital21.13
    @digital21.13 4 года назад

    Sijui machoyangu Me naona carposa kafanana na Gwaji

  • @eliaphmaina551
    @eliaphmaina551 4 года назад +8

    hatari sana hii video bro, big up bros from kenya biggest fan

  • @josephnyamhanga1360
    @josephnyamhanga1360 4 года назад +13

    kama unaona nendaaa 😂😂

  • @Barcher4868
    @Barcher4868 4 года назад +2

    Umezurura sana juan mzee hauna kazi ya kufanya😁😀😀

  • @juliankamugisha9886
    @juliankamugisha9886 4 года назад +11

    Kutoboa! Labda utoboe masikio.

    • @gogonta5508
      @gogonta5508 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hatibuathuman5011
    @hatibuathuman5011 4 года назад +3

    Naona naonaaaa naona unavutaga bangi

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 4 года назад +1

    Duh awa mijamaa ni nomaa aise bgp kwao

  • @charlessonso9615
    @charlessonso9615 3 года назад

    Kaz nzur san

  • @istarpc7021
    @istarpc7021 4 года назад +5

    Okay carpoza...... Fireeeeee sana

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻🔥🔥🔥🔥👇🏻
      ruclips.net/video/gxrR9VuSjgM/видео.html

  • @muddyhamis9776
    @muddyhamis9776 4 года назад +4

    Mzee flani mjuaji sana😂😀😂😀👏👏💣💣👍

  • @Muganyizi
    @Muganyizi 4 года назад +4

    hahahha daaah hii combination yenu itafka mbali saan

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +4

    😂😂😂 Mzee umeimbaaaa kisasa,,,,Hayakuhusu

  • @justusaganyilatvonline1417
    @justusaganyilatvonline1417 4 года назад

    Jamani daaaaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyie hapanaaaaa nimesalutiiiiiiiiii

  • @paulnsennah1800
    @paulnsennah1800 4 года назад +2

    Mhh! Inaweza ikawa kweli 😂😂

  • @kadommedia8967
    @kadommedia8967 4 года назад +1

    Natafutaga vijanaa Kama wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naonaa

  • @raphaeljoseph8855
    @raphaeljoseph8855 4 года назад +4

    Hatar Sana mzee mjuaji 😄😄🤞

  • @shakuromary3260
    @shakuromary3260 4 года назад +6

    #wanyabiii cypher ni nomaaaa 🔥

  • @kibawamwambalebongoodkakao5761
    @kibawamwambalebongoodkakao5761 2 года назад +2

    Mungu awa bariki sana

  • @kazwanabulabo4402
    @kazwanabulabo4402 4 года назад +5

    Nawakubali sanaaaaaaaaa

  • @generali278
    @generali278 4 года назад +1

    carpoza 😂😂,oka atakumaliza na kuona 😂😂😂😂😂

  • @onlineerrands2649
    @onlineerrands2649 3 года назад

    Mko juu banaa. #Maupendo kutoka Kenya

  • @mustafamnyate7905
    @mustafamnyate7905 3 года назад

    Yan oka jaman unajua kunikoxha,,huez kutoboa

  • @ddaddytz
    @ddaddytz 4 года назад +7

    sema oka una saut ya kuimba

  • @lilianmnyazikaililian446
    @lilianmnyazikaililian446 3 года назад +2

    Martin nakupenda mimi kutoka kenya aki moyo wangu ulikupenda sana unavyo act

  • @joachimdaud5020
    @joachimdaud5020 4 года назад +1

    Naona..!naona...! Huwez kuwa kijana ww😂😂

  • @lahimumhelela2551
    @lahimumhelela2551 2 года назад +3

    nawakubari sana ndugu zangu

  • @NzigeHR
    @NzigeHR 4 года назад +2

    qall wakuu nyabiz

  • @leeskillz3734
    @leeskillz3734 4 года назад +3

    Carpoza: Mziki utanitobolesha
    Oka: Naona naona 🤪🤪

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻🔥🔥🔥🔥👇🏻
      ruclips.net/video/gxrR9VuSjgM/видео.html

  • @bestinerblessy35
    @bestinerblessy35 3 года назад +1

    Nainua mikoni mamaaaa kitambala cheupeeee

  • @brianmwami765
    @brianmwami765 2 года назад

    Ila Hawa jamaa aah hakyamungu walahi 😂😂😂🖐️

  • @nasrahkhamis4788
    @nasrahkhamis4788 4 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣mmh inaweza ikawa kwl

  • @nicquejoseph1104
    @nicquejoseph1104 4 года назад +5

    Eeeh me msanii wa kizazi kpya 👆😂😂😂

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      🙏🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
      ruclips.net/video/1hE1LyqyX10/видео.html

  • @tamuafrikastudios6251
    @tamuafrikastudios6251 4 года назад +4

    Hivi na wewe nkijana😂😂😂😂😂😂😂

  • @neptunesperdo9060
    @neptunesperdo9060 4 года назад +8

    Anafuta sehem yakufia uwaaa😂😂😂😂

  • @ontrending9760
    @ontrending9760 4 года назад +3

    Naonaaa baba naonaaaa

  • @chidistar1944
    @chidistar1944 4 года назад +10

    Huyo rapper hamna kituuuu 🤣🤣🤣🤣

  • @evanskiptoo3872
    @evanskiptoo3872 3 года назад +2

    🇰🇪🇰🇪is watching oka and carpoza

  • @bonifacesanga8024
    @bonifacesanga8024 4 года назад +4

    Nawakubali san wadau

  • @piusmwanakatwe6061
    @piusmwanakatwe6061 Год назад

    😂😂😂 huyu mzee huyu😂😂

  • @isaacphenihace7548
    @isaacphenihace7548 4 года назад +4

    Hatari nyie watu

  • @michaelrobert1333
    @michaelrobert1333 4 года назад +5

    First viewer

  • @fadhilabubakar2983
    @fadhilabubakar2983 4 года назад +1

    Safi sana iooo

  • @janethyodos368
    @janethyodos368 3 года назад +3

    Nawapenda sana

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 4 года назад +3

    Eti fid q,pindi anaimbaa hakukuwa na msanii🤣🤣🤣🤣

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      🙏🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
      ruclips.net/video/1hE1LyqyX10/видео.html

  • @jacksonlucas9322
    @jacksonlucas9322 2 года назад +1

    Hiii ni moja ya Kali yenu

  • @kbrown8ight7even87
    @kbrown8ight7even87 2 года назад +1

    This is one my fav yani mumeuwa big time 😂😂

  • @fadhilikademba3468
    @fadhilikademba3468 4 года назад +26

    Sasa km unaona nenda 😀😀😀😀

  • @amanelard7652
    @amanelard7652 4 года назад +1

    Naona naona naona

  • @nzeyimanaabdallah131
    @nzeyimanaabdallah131 4 года назад +1

    Naona naona.... mhum inaweza ikawa ni kweli🤣🤣🤣🤣

  • @amanelard7652
    @amanelard7652 4 года назад +1

    Nawakubali ile mbaya mnatisha hatari

  • @elnabilbentaleb7008
    @elnabilbentaleb7008 4 года назад +10

    WE NAE NI KIJANA 😂😂

    • @ayshamanjonjo1227
      @ayshamanjonjo1227 4 года назад

      Inaweza ikawa kweli 😂😂😂

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      🙏🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
      ruclips.net/video/1hE1LyqyX10/видео.html

  • @samwelmshana2262
    @samwelmshana2262 4 года назад

    Naona kbs like

  • @Playlist_27
    @Playlist_27 4 года назад

    Carpozal na oka nawakubal sana

  • @arenthegreat4417
    @arenthegreat4417 4 года назад +2

    Nyie atar yaaan

  • @jacobkinyambu5267
    @jacobkinyambu5267 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣 hawa wasee bana wanavunja mbavu kweli

  • @UTALIITV1
    @UTALIITV1 4 года назад +7

    Kwa habari za Entertainment kutoka Arusha subscribe channel yetu #oka #carpoza #nomamazeeeeee

  • @RazackSuleiman-b5x
    @RazackSuleiman-b5x Год назад

    Umetisha😂😂😂😂😂

  • @Kingtali98
    @Kingtali98 4 года назад +2

    Mmetisha sana aa

  • @leonardmganda5106
    @leonardmganda5106 4 года назад

    Jamaan nyie ni fire

  • @kharidisheickhy8597
    @kharidisheickhy8597 4 года назад +4

    Makin sana

  • @veronicachaless6005
    @veronicachaless6005 2 года назад

    Hapo kwenye nachana kama basta daaaaaah

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +2

    Unaimba kama Diamond
    Harmonize
    Alikiba
    Jux naye anaimba imba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kutsetseraaliy1067
    @kutsetseraaliy1067 4 года назад

    Kali sana umeimba kisasa😂🤣🤣🤣😂

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻🔥🔥🔥🔥👇🏻
      ruclips.net/video/gxrR9VuSjgM/видео.html

  • @allyfaally212
    @allyfaally212 3 года назад

    Mkovizur mazee

  • @NgomwasaidiNgomwa
    @NgomwasaidiNgomwa Год назад

    Daaa. Nimecheka. Sana. Jamani.

  • @ahmedmuhamed5408
    @ahmedmuhamed5408 4 года назад +9

    Miyayusho mshaanza😂

  • @saidijuma9386
    @saidijuma9386 4 года назад +1

    Naona naona

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 года назад +2

    Mko vizuri Sana......

  • @rachelexaut387
    @rachelexaut387 3 года назад

    FdQ katoboa kwasababu wasanii hawakuwepo hahaahaaa oka 😂 😂 😂

  • @triplejsportstv9411
    @triplejsportstv9411 4 года назад +2

    Kama umeona weka like twende sawa

  • @drizzlesly6009
    @drizzlesly6009 4 года назад

    Iyo nyimbo aliyoimba oka..mtu anipe jina lake na jina la msanii