Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Kwa kila shina utavuna nanasi 3 hadi 4 kwa kila mwaka. Unaweza sasa kuchat na kupata ushauri bure kupitia chat kwenye tovuti hii : www.aje-farms.com Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII 🙏🏿
Tunapatikana Kagera na Geita. Unaweza kuwasiliana nasi kwa WhatsApp 0757 757 968 ili kutumiwa VITABU VYA KILIMO NA UFUGAJI. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
ruclips.net/video/bmwctZj-4WY/видео.htmlsi=LFJD8xmBZDTH1PZ9
Nawakubali mno Aje Farms.
Asante sana.
Karibu
Mimi naulizwa ni wakati gani utavuna nanasi tatu kwa mti mmoja?
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
Kwa kila shina utavuna nanasi 3 hadi 4 kwa kila mwaka.
Unaweza sasa kuchat na kupata ushauri bure kupitia chat kwenye tovuti hii : www.aje-farms.com
Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII 🙏🏿
Nimepiga hesabu kulinganisha gharama na mapato naona mwisho naishia kupata hasara ya 220,000. Hebu nifafanulie zaid
Tafadhali fuatilia Vipindi vingine ili kujifunza zaidi
Vipi kuhusu upatikanaji wa miche ya nanasi?
Ndio Miche ya nanasi inapatikana. Bei ya mche shambani ni TZS 300.
Tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi kutoka mashambani kwetu.
Mnapatikana wapi
Tunapatikana Kagera na Geita.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa WhatsApp 0757 757 968 ili kutumiwa VITABU VYA KILIMO NA UFUGAJI.
Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
Je kilimo hichi kinahitaji drip irrigation system kwa mkoa wa pwani?
Kwa mikoa yenye ukame ukifunga drip ni bora zaidi. Ama matumizi ya matandazo ili kuhifadhi unyevunyevu