PATANISHO: ‘Mimi sikutaki hata sikupendi!’ Trizah amfokea Chris (Episode 7, December 2020)
HTML-код
- Опубликовано: 25 ноя 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
Subscribe RUclips - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Wapi like za TRIZAH🤗🤗🤗🤗♥️♥️♥️🎉🎉
This is the most favourite radio station one can enjoy listening to.
I love the way gidi tells someone the truth❤❤
Kusema tu ukweli Ogidi na Ogosti nyinyi no watu wamaana saaana haha Kenya. Nasema Mungu awabarikie na miaka muishi Sana.
🤣🤣Hiyo part ya skupendi imefanya nkarewind hii patanisho, God give me courage kama ya trizah aki!!!
Ochieng atieno Lilian jaber koro
Haki Mulee anacheka anacheka hadi makasiriko inaisha
😅😅😅
Ochieng atieno Lilian xx
Iko 2 sawa
😭😭😭🙆♀️Am not the first one again!! People are jobless aki kazi ni utube, tiktok, ig, fb etc nipeeni likes ndiyo Nimemaliza kazi mimi,
Pole sana
😂😂😂punguza volume unachoma😏😏😏 kwani umeniona 🤔🤔
Mimi nararanga kwa you tube🤣🤣🤣🤣🤣
@@bettylizermugoh3291 kwa hivyo iko jobless corner 😂
Kumbe tuko wengi..🤔
Hii radio station inakuwanga ya waluhya but I love it
Mimi ni mluhya lakini hawa watu wako na ujinga mingi.
I really love this show every morning must listen to patanisho 👍👍👍👍 and it usually intresting when listening
TRIZAH my name shake 🤣😂hatupendi ujinga
Wapi like sa ghost, ukiambiwa sikupendi it means sikupendi waja kulasimisha vitu kwa ground
Mi sikupendi ata, c ulinichapa c ulinichapa hahahahah I keep on rewinding this part but I can't get enough of it, Trizah you are a comedian in nature.
The best station ever and like gidi .na gost
Naomba number ya kumtumia gidi message naomba
Nilianza kuwasikiza nikiwa class 5, saa hii ninawatoi 2 bado nawasikiza, congrats kwenu mnado job poa
If she doesnt want you its not a must forget about her
Ulitoroka mwenyewe hujafika mahali ulikuwa unatorokea ama nini kimefanyika kwenye ulitorokea ,tembeza kubwa kubwa Chris
Radio jambo kwa kweli mnasaidia watu sana napenda ushirikiano wenu sana
Wapi likes za kicheko ya ghost😅😅😅😅💕💕
God bless me with a faithful woman like this one day
You wll get her bro keep on praying
U
Amen
To@@catherinenaliaka1125
Nko apa
@@snaidaachingwa6769 😂😂😂kuja
radio jambo ufanya kazi mzuri sana,so congratulations jambo,keep the spear burning
Chris arudie mpango wa kando tu roho safi. Mwana Dada ako tu sawa
Hehe good advice
Wanawake mna shida gani makosa ukuwa ndio kwamaana tuna omba msamaha
Nano kama gidii na ghost, marvellous!
Trizah nakupenda bure🥰🥰🥰
Ata Mimi imagine nakupenda ivotu
Chris.. Thie ukiumaga!!!! Triza you are a woman of principles. Hongera sana. 👋🏿💃I wish you a wonderful happy life..huyo Chris apambane na hali yake 👏🏿
Aaaiii wee athieku
Nawapnda sana gid na ghost
Aki hizi mipango za kando zinavunja ndoa anasema anapenda bibi n anamhanya nkt
Amesema tu uqweli 😂
Trizah nakupenda yangu yote.
Uko na mpango wa kando na ukishikwa unachapa bibi why? Na ni wewe ulikosea Chris.
Just imagine
Trizah is a legend
Still Niko 2019 na triza!
Sikutaki na sikupendi.hahaaa
Huyu Cris ame confess washasumbuana for long..its open amemsumbua msichana wa wenyewe. Anapatikana na makosa instead anaslap wf..then anamwondokea..men pliz..think before u act. Lv is so painful for both of us.
Trizah the great woman
Giddy na Ghost ningependa kuwaomba muchukulie serious hii mambo ya fine kwa story za mipango ya kando. Imetuchosha pia ss
Beatrice Karisa exactly
@@maxlove2668 yes we need to hear something new sio mipango ya kando tu
Ukweli
Kabisa
@@bekathiongo359 Ama vipi Beka...mwiba wakujichoma hauambiwi pole
Wapi like za namba1
Wapi likes za ghost
Ikoo shwariii
Maggie Njeri mmmmmh
Iko ✊
Kicheko galore !
Ghost kucheka tu. Nikama analipwa kucheka 🥵🥵😆😆😀
haaaaa aki gidi na mulei nlikua nafikiri nyinyi ni wazee xaana keep it up like ridio jambo so much 9 yrs back
Ghost yaani unachekanga mpaka unafanya mii nicheke pia🙏🇰🇪
Ghost laughter makes the show fun and at the same time can make you give up
Haaaahaa triza fire 🔥baby👐👐
Aki gost wewe nilikua nime kumiss sana.😂😂😂😂😂😂 hongera sana.Grece ukweli uweka mtu huru.🙆🙆🙆🙆..
hongela sana jambo nawapenda mfike nahuduma mpaka tanzania
Trizah ;m ckupendi ata....
Ghost ; 😂😂😂😂😂😂
Ghost God is watching you
🤣🤣🤣
Nyinyi hyo n ujinga mtupu mnafanya,mpatanishi n Yesu peke.si wanadamu wenye asili ya kidunia na tena mnawacheka waasiriwa.
waaah Triza hataki mchezo""sikupendi hata""
Aty akaacha nyumba na kutoroka.....anyway team kujiamini mnipee likes
Me sikupendi hta sikutaki si ulinichapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️❤️❤️❤️Hio mtamko ya sikupendi na sikutaki imenibamba
Team mafisi naona inawakilisha leo
The lady anaongea softly sikujua atajibu shit hivyo. Pole kaka
Mr gidi you're doing a good job waaa keep it up lil bro 👊👊👊👊
Mi sikupendi hata likes za trizah
Team kujiamini mpo
Tupo kama kawa
@@carosmwongela2823 😍😍😍
@@agneswanjihia1383 😍😍👌👍
tupo tupo
@@yahabibiyahayatiyahayuni7339 poa dear
Sikupendi hata..😂😂😂😂
Si ulinichapa hata sikupendi😂😂😂😂 team hammam piteni huku mipango ya kando krb nipate heart attack acha nisugue hammam😡😬
😃😃😃😃😃😃😃
Tuko apa
Lydia🤣🤣
@@fabyscarl unasugua hammam ukiwa wp mm niko Doha Qatar😂😂😂
@@lydiaaruba6670 pia mm doha
If only gng would invoke a sense of guide and counseling. Hamkusaidia Chris in any way
"Mimi hata sikupendi"
Hupendeki bwana
I love gid na ghost
ghost hki wewe huwa unacheka mpaka kwa Radio ,na mimi huwa nacheka nalia machozi ukiangua kicheko 🤣🤣🤣🤣
Heeeee ilikuwaa hatarii
Lakini c amwache tu
Hahaha pole umetosheka Na mpango
😂😂
I love #Radio Jambo. Gidi n Gost
Trizah ako tu sawa
Chris uko roho juu, haupendwi na bado unasema anakupenda #mjinga wewe.
😁
Chris wewe ni fala Tu wacha kujifanya ng'ombe pls trizah hakupendi wala hakutaki trizah has moved on pls
Mluhya kamili hafichi maneno hata kama aliua husema ukweli na iishe sisi Nyongesa ni talkative but mpango ya kando nayo Ghost hiyo homa imekuharibia starehe za kicheko ni ukweli kama umekubali??????
Gidi n Gost you really make my morning
Your shows are awesome
Dec 2020 ama mimi ndio niko mashada😂😂
Daktari anunue iphone nataka kumskiza vizuri
Aiiiii, hiyo ni moto, haupendeki bwana
Mimi mambo na mipango ya kando na simu woiyee please nunua line ya mpango wa kando piga Maliza switch off ukienda kwa bibi yako nugu.. huu ni ugonjwa simu simu simu ...
Giddy unacheka as if mtu ajakataliwa🤣🤣🤣🤣🙌🙌
waa!!!!!! shida yetu wanaume ni gani can the ladies help me please??
Haaaa akuna kupendwa
Ndio maisha ya sasa ,wajana na mpango wakando bwana chunga familia
Eeeeii Gost homa imekutesa pole
Yes bwana look 4 me one lady who is below 23 yrs and who is brown kiac
Pole hiyo ni noma
🙆♀️🙆♀️🙆♀️boishaud trizah sikutaki sikupendi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
@@RoroRoserororo arundi kwa side chick
Hii mambo ya mpango wa kando ooooh
Team hamam mko wapi? Mens are like ma3 you loose one u gate another, so no worry
It's men not mens
Thanks to Gidi na Ghost.
Nimekwama hapo kwa sikupendi Na sikutaki
Nimewamiss doooh !!
😅😅😅daktari alizaaa akiwa primary
December 2020 haijafiki Gidi change the month
Two actors surely hata "sikupendi"
Trizah 👏👏👏MTU akitoroka kwa nyumba, na makosa ni yake acha atembeze kiatu.move on
Hiyo driza oyee
Roro17758 Rose 17758 rororo hapo sawa 😂😁
Nakumbaliana nawe yy ndiye mwenye makosa.atafute tu mipango ya kando.
Dorry mutheu yes aende kwa huyo mpango wa kando
Choices have consequences.
Ushatemwa na mkeo jipagea na mipango nyakado
Gidi na Ghost nawapenda sana
M ckupendi ata😂😂😂😂
Ghost hiyo kicheko inaweza fanya mtu ashikwe na hasira akate simu
Waluhya na wanawake! Hawa wengi ni wao, na hawatosheki kabisa!Kuna maradhi basi.
like ya the first viewer
Napenda patanisho yenu
26 yrs daktari alisoma lini na watoi alizaa lini?!
😂😀ama ni team Mugo Wairimo
mwendapoleee this yr niwangapi walimaliza form4 na 15yrs pliz, mhesabie kutoka hapo miaka ya college from thea kuajiliwa, n may be first born alipata akiwa pr sch u never know
Maybe nurse
@@loisegitau4897 na kweli ata nurse ni daktari kwanza vile anaongea si daktari!
Labda alizaa akiwa shule, tena ni twins wawili
Number one
Ghost bhana hicho kicheko 😁😁😁nawapenda toka Tanzania
That's my namesake for you
Alioa kama ako under age now she is 26 and wamekuwa ndoa 9years so ameoa kama ako 17
Walai c hii station iko sawa
Iyo ilikuwa moto kama pasi
So she is 26 n married for 9years🥴🥴🙄?? She was married at 17??
Ww ndio uko na makosa sasa wataka kupatanishwa nini?enda kwa huyo mpango wa kando.
Aachane na Trizah, aende kwa mpango wa kando
Aende huko
Bibi ako na miaka 26...na wamekua kwenye ndoa kwa miaka 9. Chris ulioa mtoto akiwa na miaka 15.?!
Ghost unacheka mwenzako sana
Ghost 🤣🤣🤣🤣💃💃💃🤸🤸🤸 sikupedi ata na sikutaki🤣🤣🤣💃😂💃🤸🤸
Gidi iyo kalamu joo☺️
Gidi na Ghost mmefika Dec 2020 kwani😂😂😂😂😂