Ngeli ya Ki Vi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Vimilikishi-changu-chetu,chako-chenu,chake-chao
    Kijiko kimoja-Vijiko-viwili

Комментарии • 10

  • @innocentnzeyimana
    @innocentnzeyimana 4 года назад +3

    Vijiko vinachomeka
    Viyoo Ni vichafu
    Vitambaa vinaoshwa
    Viberiti vina maji

    • @SwahiliwithMariana
      @SwahiliwithMariana  4 года назад +1

      Vizuri sana Innocent!
      Ni vyoo ila si viyoo.
      Natumai umefurahia somo hili la leo

  • @jamesnyumu
    @jamesnyumu 4 года назад +3

    Kitabu hakijaanguka
    Kitabu hakikuwa changu
    Kiti si cha mama
    Kisogo chake hakikuumia
    Kinywaji hiki hakina chumvi

  • @onegrey
    @onegrey 2 года назад +2

    Vitabu vimeanguka

  • @abdikeeneemohamud4660
    @abdikeeneemohamud4660 3 года назад

    Nashukuru

  • @onegrey
    @onegrey 2 года назад +1

    Vitabu vinikua yangu

  • @ngmnarutogokumeliodas4506
    @ngmnarutogokumeliodas4506 3 года назад +2

    Kijiko kinachomeka =Vijiko vinachomeka
    Kioo ni chafu =vioo ni chafu
    Kitambaa kinaoshwa =vitambaa kinaoshwa
    Kiberiti kina maji =viberiti vina maji
    Kijiti kinaanguka=vijiti vinaanguka