"Mawazo" Sehemu Ya 30 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 45

  • @brown24photography
    @brown24photography Год назад +4

    Dr. Ell aisee Mungu akubariki sana

  • @suzannebucyanayandi630
    @suzannebucyanayandi630 Год назад +3

    Uwiteka Aguhe Umugisha Dr. Elie. Uratwubaka Cyane 🙏🙏🙏

  • @brown24photography
    @brown24photography Год назад +3

    Aisee nabarikiwa sana na kipindi hichi Mungu abariki team chomoza

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 Год назад +7

    Daa! Mungu akupe maisha marefu. NATAMANI WENGI WAKUJUE , WAPATE NACHOKIPATA. UKO TOFAUTI, TUNAJENGEKA KWA UCHANYA. ASANTENI.

  • @rosekimario5748
    @rosekimario5748 Год назад +6

    HUYU BABA ANA AKILI SANA. MUNGU AKUBARIKI SANA DR ELLY. UISHI MIAKA MINGI TUENDELEE KUJIFUNZA VIZAZI HATA VIZAZI.

  • @deogratiuslwamboya4032
    @deogratiuslwamboya4032 Год назад +5

    Jimmy!!!! punguza bashasha, kelele, miguno!! unatutoa kwenye uzingativu. tupo darasani wote zuia mihemko!!! sikiliza weka rohoni mwako na upunguze kumshika bega dokta, hapendi japo hakwambii. Nakutakia usikilizaji mzuri✍️

    • @hamidafundi-pw1gw
      @hamidafundi-pw1gw Год назад

      Umeona ee! Kweli kabisa, mara nyingi huwa yuko juujuu sana.

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 Год назад +1

      I wish he could stop that. It is interrupting to the flow of information. Wish he could just keep quiet and listen. It disrupts my concentration😢

  • @هشامسلام-ف7س
    @هشامسلام-ف7س Год назад +1

    Baba i miss you yaan wiki ya pili are you okay? Nimeingia huku mara kwa mara haijapostiwa ya 31 tumekumiss sana baba etu dr

  • @goretzka7912
    @goretzka7912 Год назад +3

    This man of God

  • @BathshebaNyabika
    @BathshebaNyabika Год назад +2

    Amen and Amen powerful teachings mwenyezi Mungu awabariki sana nami Anisaidie kunyenyekea kwa utukufu wa Jina LAKE

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 Год назад +2

    Mubarikiwe mpaka mshangae ,wema wenyu hatuwezi lipa

  • @amalshamis2018
    @amalshamis2018 Год назад +1

    Nyamaaazaaaa Jimmy, halafu unaonekana huwa huelewi kinachoongelewa hapo unadandiaaa tuu banaaaa ahhhhh unatuboaaa😂😂😂❤😂

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw Год назад +1

    🎉 Asante Dokta Elly, pongezi kwa Chomoza. Nimejifunza.

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 Год назад +2

    Jimmy KAA KIMYA DR. ANAPOONGEA. UNABOA HITULII

  • @raphaelmaloya4969
    @raphaelmaloya4969 Год назад +2

    That's so powerful

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 Год назад +1

    Thanks doctor,nmekuelewa sana hapo’watu wana mamlaka gani ya kukufanya uwe hai’!??

  • @SalimHamisi-g3z
    @SalimHamisi-g3z Год назад +1

    Asante baba

  • @kivumbaobadiah4220
    @kivumbaobadiah4220 Год назад +1

    Brother jimmy unatuchanya Sana ndugu yangu

  • @ibraamainaa3324
    @ibraamainaa3324 Год назад +1

    Ubarikiwe baba

  • @Rajabukanyima-fj4js
    @Rajabukanyima-fj4js Год назад +1

    asante baba

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад +1

    Asante sana

  • @officialsaitoti492
    @officialsaitoti492 Год назад +1

    Thanks

  • @user-drIgnacio07
    @user-drIgnacio07 Год назад +1

    Jimmy huwa anaondoka ni vichache Sana’a hapo,Kama s kapa kabisa

  • @godlovemlinge2220
    @godlovemlinge2220 Год назад +2

    Jimmy please balance pressure!
    Try to keep listening please!!! At least keep silently excuse me

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 Год назад +1

    SOMO LIMEISHA? MBONA, 31, 32, HAIENDELEI?

  • @badilikakijana4032
    @badilikakijana4032 Год назад +1

    Mbona amueki muendelezo?

  • @amina.ukweliwamaishasehem287
    @amina.ukweliwamaishasehem287 Год назад +2

    Hellow chomoza, vp kuusu kipindi Cha Dr Elie...?
    Wiki mbili zimepita kimya

  • @stancylousnamula2401
    @stancylousnamula2401 Год назад +2

    Huyo kipara jamani darasani nina hakika alikuwa mshika mkia. Maana hata huyo dogo ana behave vzr kuliko yeye

  • @rogathemaimu1195
    @rogathemaimu1195 Год назад

    thanks for the insight.Tho...the part of "eti international"😂😂😂😂

  • @florianassenga5158
    @florianassenga5158 Год назад +2

    Sorry, ila kiukweli @Jimmy unatutoa sana kwenye concentration. Jirekebishe pls

  • @papadimayo1chanel.747
    @papadimayo1chanel.747 Год назад

    Ukisema biblia, yesu, mungu wa mbinguni ni dini yako Wala cyo sayansi. Na hiyo dini unaiamini wewe wala cyo kila mtu. Na dini ni mifumo inayoanzishwa na watu katika wakati, mahala na mazingira.
    Bblia siyo 'nature' ni mawazo ya watu tena yacyoweza kutawala Kila mahala na wakati.

  • @mambomseto7701
    @mambomseto7701 Год назад +2

    Jimmy umekaa kishabiki sana. Dr haitaji sifa, kaa tulia jifunze na wewe interrupt only when it is necessary.

  • @amalshamis2018
    @amalshamis2018 Год назад +1

    Huyu Jimmyjaman hasomi Comments? Mimi kila mara hucomments kuh hizi interrupt zake yaani mpk DR. Anamtoa nje ya mstari hasemi tuu, sisi wasikilizaji mdo unatuboooooaaaaa

    • @JumaNgasinda
      @JumaNgasinda Год назад

      Inawekana ila tumvumilie tu kila jambo lina muda atakaa sawa ,sore tunajifunza ,kumbuka walalamishi hawakamilishi tuwe wavumilivu ahsante by mw😅

  • @justinwashington823
    @justinwashington823 Год назад

    Ni sehemu ya 30 wapendwa shm ya 29 ilikuwa week iliyopita

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 Год назад +2

    Mtangazaji inawezekana unachombeza kwa Nia Njema, lakini nikushauri, 1. Be realistic, 2. Punguza emotions whether real or fake. 3. Listen more and more kama sam au Evans. (U can interact Dr but kwa Logic zaidi) namna unavyochombeza ingewafaa wahubiri wepesi ila si kwa mtu anayetema madini kama huyo. Sorry ni maoni yangu tuu!

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 Год назад

    Mbegu gani umeiweka, unangoja uivune kwa huyo mtu?

  • @rashidtonda6136
    @rashidtonda6136 Год назад

    Bro Jimmy usigune hivo,that's unprofessional

  • @pearl3696
    @pearl3696 Год назад

    Jamani Jimmy is too fake...kwanini hawambadilishi?