Hivi ndivyo miche ya nyanya inavyohamishwa kwenda shambani wakulima wengi wanakosea hawatumi starter

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 7

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g Месяц назад

    Hizi tray zinauzwa wapi?

  • @jameslyatuu95
    @jameslyatuu95 3 года назад

    Habari, hv kwenye kupiga hyo foliar miche ikiwa bado kwenyw trey ni kwanzia umri gani?

  • @najimseven1230
    @najimseven1230 3 года назад

    Naomba kuuliza, miche ikiwa kwenye trays, unahitaji mbolea kiasi gani au mbolea aina gani

    • @kilimosmartprojectsksp
      @kilimosmartprojectsksp  3 года назад

      Miche ikiwa kwenye kitalu inahitaj foliar fertilizer mbolea za majan na unapulizia Mara kwa mara hadi miche inapofikia hatua ya kuamishwa .... Polyfeed starter inafanya vzr zaid

    • @najimseven1230
      @najimseven1230 3 года назад

      @@kilimosmartprojectsksp nilikuwa sijui ilo ,yaan asante sana ,ntafatilia hii project hadi mwisho, usiache kupost maendeleo

    • @kilimosmartprojectsksp
      @kilimosmartprojectsksp  3 года назад +1

      @@najimseven1230 Usijali tuko pamoja Sana🙏