Kwanini Wanachukia Wanazuoni Walio Tangulia | Al-Ustadh Muhammad Al-Beidh

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @MohammedAli-ud8so
    @MohammedAli-ud8so 7 дней назад

    Kweli kabisa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Месяц назад

    siyo kweli,wanawa waheshimu mno wanazuoni waliopita ,wale waliokufa ktk msimamo wa haki,na wanawachukia mno wanzuoni wa batwili kama wewe ulivyo eneza BID'A!!

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 28 дней назад

    Hakuna Mawahabi kabisaa.Yeye ndio anachuki dhidi ya Ya Ahlu sunnat waljamaa

  • @YusufuMustafa-c5m
    @YusufuMustafa-c5m Месяц назад

    Siku hizi nasikia masufi wanapiga mpaka vinanda na piano

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

    Daaah alama za watu wa bidah ni kuzusha bidah na kuitetea wakipingwa uwakufurisha wale walowapinga ile bidah waloifanya, sasa huyu mzee unasema wahab wanachuki 😂😂😂kisa wqnaoinga ibada zenu za makuburi na ibada za shirki mlizoewa kuwaabudu masharifu katika makaburi ndomana mnawajengea vibanda kabisa hamtaki kuambiwa kweli ueneza kampeni na propaganda zenu wahaby wahaby hakuna dini au dhehebu laitwa wahabi

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 месяца назад

      Hivi huyu mzee yupo hai??

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 2 месяца назад

      Acha uongo chuki na uzandiki hakuna anayeabudu kaburi huu ni uzushi ni lini huyu shehe aliabudu kaburi

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 месяца назад

      Unaongea Unachokijua au mawahab mmerogwa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @@Zuwenamachela kwa mtu mwenye akili timamu hawezi sema wahab wamerogwa kwanza nukutosa ujinga hakuna dhehebu wala dini inayoitwa wahabi pili wahabi jna la Allah katika majina yake, kwakuwa makhurafi ni wazushi mkaona kila kitu sawa, ahlsuna unamuita wahaby unaakili timamu?? Suffi ni watu wa ahli kuburi watu wakuomba makaburi na masharifu kuwafanya ni wanatoa baraka makaburini kuliko Allah na ndomana mnaimba na kucheza na kuruka ruka mabarabarani huku mukipiga vitwari mchanganyiko wanaume na wanawake wengine waanacheza kabisa kama muziki wa bongo flavour mtu mzima mwenye akili huwezi fanya mambo kama yale kwani nashukuru Allah kuniongoza katika sunnah za bwana mtume, sunnah zinamfanya mtu aheshikmike so mambo ya kucheza na dhikri za kunguruma zile mpandishazo masheitwani kama mganga wa kienyeji wanavyo ita majini vile mizuka ya ovyo ovyo kibao mnafanya.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @@mhusinigau3231 munakataa wakati na video mashekh wenu wa kitwarika mombasa wanasujudia makaburi kabisa na kuwaomba maiti na katika shekh miongoni mwao anatetea hilo jambo asema kuomba kutaka msaadda kwa aliyekufa si katika upuzi ndo khurafi mlipo fikia hadi muziki mumehararisha bado pombe tuuh! Si kasi mama juzi yule kijana jahli saidi wa mamluhi akaitetea muziki na sisi na rafiki zenu mashia ndo wapenz wenu mnnao waita mawahab ndo maadui kwenu kwakuwa wanawakataza shirki na uzushi ila mashia maadui zake mtume ndo walomtukans mtume na wakeze ndo mwawapenda kuliko hawo swahaba wanaotukanwa na kukejeliwa na ala fidhwa shia ithna shaaria muzandiki makufari wale adui wa uislamu