SHOCKING 😯 NEWS SARAH HAS DEMONIC PREGNANCY (MTUME) REVEALED 😭💔😭😭

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 113

  • @rachaelosiche121
    @rachaelosiche121 2 месяца назад +9

    Bonvee mtume akileta ujumbe nyenyekea kwa heshima sio kuchukulia kawaida tu

  • @serahwambuamukuimukui6957
    @serahwambuamukuimukui6957 Месяц назад +4

    Sarah ana imani kabisa akili yake himetawalwa na pepo

    • @saumu7760
      @saumu7760 Месяц назад

      Akili yake inamtuma avae uchi ananikera

  • @elizabethkosgei4731
    @elizabethkosgei4731 2 месяца назад +6

    yaani upeane watoto wako, aky wewe Sarah 😢😢

  • @KaranjaGladys-b3i
    @KaranjaGladys-b3i 2 месяца назад +7

    Sarah manguo hajui kuvaa haombi kuongea tu

  • @rehema-yu1qo
    @rehema-yu1qo 2 месяца назад +6

    Huudem mujinga sana 😢 atokekwamishoni 😢amekata kushikafimbo eti nimoto 😢 hajui kukemea inaniuma sana😢

    • @Scholasticamuiu
      @Scholasticamuiu 2 месяца назад +2

      Ckia ety heri angepeana watoto Fala yéyé 😢😢

    • @rehema-yu1qo
      @rehema-yu1qo Месяц назад

      Natamani angekua kalibu namimi ningemulambakofi harafu nimufundishe kutubu nakuomba

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma Месяц назад +3

    Mwanamke mjinga sana hutaki kufata vyenye unaambiwa umekaliya ujinga unataka kutowa watoto wako iviwewe unaakili kweli.

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma Месяц назад +2

    Uyo alishazoweya mavazi yakikahaba shenzi kabisa kwahayo mavaziyako utapewa mimba namapepo mpaka vumbi ziruke .

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 Месяц назад +3

    Sara n kichwa ngumu sana hasikii kwasababu bado anafaa nguo mbaya na alikatazwa

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 Месяц назад +2

    Bado hajaacha kufaa nguo za umalaya

  • @JacklineNyabokeOsiango
    @JacklineNyabokeOsiango 2 месяца назад +3

    Oooh my God mungu tenda jambo badilisha uyu mama

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 месяца назад +3

    Sara jifunze kuomba na kuvaa vizuri na mungu atakuondolea mambo ya kishetani

  • @Elizabethnzulavoma
    @Elizabethnzulavoma Месяц назад +1

    Nilisema Sarah yuko na mimbi ya pepo

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 2 месяца назад +3

    Mumeambiwa si hoc muende nyumbani mtamkuta solimoni kisha mmpe ujumbe

  • @sheilasheila5615
    @sheilasheila5615 2 месяца назад +2

    Sarah please fall the instructions dear change ur dressing code, pastor, mtume are guiding u but u don't change please tunaomba tu

  • @maulnejumba1128
    @maulnejumba1128 2 месяца назад +4

    Huyu mtoto anafanya nini huku msituni

    • @JocAnt-dn3ci
      @JocAnt-dn3ci 2 месяца назад +1

      Anaitwa junior Ni bro ya solomon

    • @naomiwanjema3133
      @naomiwanjema3133 Месяц назад

      Junior sio mtoto waka wainda ni mtoto emetoka mbali

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Месяц назад +1

    Bonvee jufuzen kuomba story azisaindii kabisa na huyo Sarah aombe kabisa

  • @moraamorash
    @moraamorash Месяц назад +1

    Tafuta riaga hii case amwesi kapisa 🔥🔥🔥

  • @evalyneacheing-ow2ew
    @evalyneacheing-ow2ew Месяц назад

    Sarah mwanamuke shenzi mukumbavu etii watoto😢😢😢

  • @MaurineKhavai
    @MaurineKhavai 2 месяца назад +1

    Iki kimwanamke ni mama hakina akili ATI kingepeana watoi 😢😢😢

  • @MeMbwana
    @MeMbwana 2 месяца назад +4

    Alafu han uruma n watoto wake

  • @gakyjaklin450
    @gakyjaklin450 2 месяца назад +3

    Sara n mjinga mbona anauliza eti uko na nguvu za kufunga na kuomba,Sara kiburi

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 2 месяца назад +1

    Mwapata mtume half bado mwacheza hayawan wew 😢😢😢😢bony mbona huulizi kuusu mtoto jaman umekaa kimya tu

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 2 месяца назад +1

    Huyu Sarah mjinga anaongea sanaa eti ningewapelekea watto lishenzi kbs hata mavazi yako siapendi 😢😢

    • @ShammaShamma-sl5gp
      @ShammaShamma-sl5gp 2 месяца назад

      Unajua yeye anafikiria ako kwa starerehe mjinga sana😂😂😂

  • @muzungunamalwalinet324
    @muzungunamalwalinet324 2 месяца назад +1

    Iyo nguvu unayo ya kuongea ungetumia kuomba ni mdomo perepere tu hauwezi tulia Ata usikilise mutume na mavasi yako badilisha kabisa 😢

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 2 месяца назад +1

    Junior please keep out of camera 📸📸 and don't tell anyone the secret of that fimbo

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 месяца назад +1

    Woiye Mungu abariki pastor yeye hujitolea bila uoga hata kama Hana pesa

  • @OmanJjs
    @OmanJjs 2 месяца назад +4

    Nguo mbaya

  • @rachaelosiche121
    @rachaelosiche121 2 месяца назад +4

    Junior anafanya nini huku leo aki plz keep Junior out of this

    • @RutexNalex
      @RutexNalex 2 месяца назад

      Hujui yeye ni mteule

    • @rachaelosiche121
      @rachaelosiche121 2 месяца назад

      @RutexNalex ooh kumbe ni mteule nilikuwa namhurumia asije akabebwa juu juu😁😁😁😁😁

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t Месяц назад +1

    Uyu Sarah nikama anatafuta mwanaume wakumpenda huko kwa mission maan Sion kitu yamaan yenye anafanya nikiongea kwingi tuh😏😏kazu Yako nihio tuh yakusema muite past ww mwenyew ata hauna Iman kbsa muxhenzi ww nachukia mutu ambye Kila kitu bc Hadi pst niiman yko ndo itakuponya cion past maana pst nimutu kaa ww tuh ata ww unauwezo wakujiponya yaan muko muko tuh hanuelewk hanuombi

  • @moraamorash
    @moraamorash 2 месяца назад

    Mko na mchezo nyie tafuta pastor Joshua aokoe racky Adi Sasa hivi amko serious 😢😢

  • @joanjoan1831
    @joanjoan1831 Месяц назад

    So ulipeana watoto wako😢😢😢😢 mwanamke mjinga na baba ya hao watoto wake ata heri akuuwe tu ju hufai kuishi wewe

  • @lincy4261
    @lincy4261 2 месяца назад +1

    Na Mbona Huyu Dem Nae asivae nguo poa sasa unafaa vitu kama ya malaya kweli wee kaa umeokoka vaa mafazi poa wewe😢🫵🫵

  • @carolwaithaka2223
    @carolwaithaka2223 2 месяца назад +1

    Wow junior umekuwa mbig Sana mungu azindi kukuongeza nguvu af wewe Sarah jifunze kuomba na Imani na uchunge Sana nguo zenye unavaa kwanza ukienda kupingana na mapepo funga kichwa vaa nguo ziko na heshima

  • @solomonimani212
    @solomonimani212 Месяц назад +1

    hapa hakuna mtu mwenye anaweza kushikilia mwingine imani ukiona Bonvee yuko tu, Mwombe na mtafute Mungu sana please hizi vita si za mwili ni za kiroho please tafuteni imani sana.

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 месяца назад

    Sarah prayers na imani starts with you acha kutegemea maombi ya wengine😢😢😢 b prayerful please

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 2 месяца назад +2

    Sara could touch The fimbo the pepo couldn't reach her. But she sound rude haki. It's high time she change her attitude even Bonvee be careful with Mtume words

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 2 месяца назад

    Wewe Sarah kufaa kwako ndio kunafutua mapepo kwako then mdomo na huombi Kwan watoto ndio hawasikii ujungu???

  • @jacklinerudisi5116
    @jacklinerudisi5116 2 месяца назад +1

    Wewe Sarah ni nduru tu ndio unajuwa hujui kuomba, hujui kuitisha Jina la mungu, wewe nenda upate deliverance uambie mungu akupe Neema ya kuomba, shida ni nini huyu mwanamke hata kukemea balaa ni kuongea mambo mengi tu. Sarah what's wrong with you ulilaaniwa ama nini eti mmmh.. Mmmh.. Badala ya kuitikia kieshima. Omba Sarah ombah...

  • @lenismokeira5056
    @lenismokeira5056 Месяц назад +1

    Sarah anaminia hizi matako yake sana kuliko maombi

  • @BkrDjalo
    @BkrDjalo 2 месяца назад +1

    Mavazi ya Sara siniwengi wa kristo wanapenda va nguo fupi nimakosa Ila wanabishaga Eti mavazi ayatakubeba mbinguni ok ila Shetani anakukamatiyaga kwaizo nguo Na izo nwele

  • @PhillarineChepkwemoi
    @PhillarineChepkwemoi 2 месяца назад +1

    Uyu mjinga mwenye anaitwa sarah hata hajui kuomba, yake ni kutuvalia manguo haiko apa, starehe n mombasa si kwa mission

  • @MuthamaMacelina
    @MuthamaMacelina Месяц назад

    Sarah ulikanywa kuhusu mavazi ila huskii. Kitakuramba

  • @priscillamakena3884
    @priscillamakena3884 Месяц назад

    I'm not understanding what is going on huku😮...

  • @Fadhila0-x7c
    @Fadhila0-x7c 2 месяца назад +1

    Nķt sauti iko chini😢

  • @eunicefaida8977
    @eunicefaida8977 Месяц назад

    Huyu bony inatakikana mtume amunyoroshe na viboko ndio atajua kuomba

  • @JacklineNyabokeOsiango
    @JacklineNyabokeOsiango 2 месяца назад

    Leo mtume amekasirika juu ya serah

  • @جواناالكيني
    @جواناالكيني 2 месяца назад

    Roho ya umalaya uache uliambiwa uvae madura husikii 😢

  • @NofelaJaco
    @NofelaJaco 2 месяца назад

    Sasa sarah mbona hausikii maneno uliambiwa uvae vizuri uko na kiburi😢

  • @RisNya
    @RisNya 2 месяца назад +1

    Yani Sarah labda aombe gki na ww unaboo

  • @Scholasticamuiu
    @Scholasticamuiu 2 месяца назад

    Eeeh île cku aliekwa mimba na wale mapepo

  • @MourineOkech-zf7sz
    @MourineOkech-zf7sz Месяц назад

    Sara anaogopa kufa lakini watoto wake ndiyo vizuri wakifa akona akili sawa kweli?

  • @VeronikaMwampashe
    @VeronikaMwampashe 2 месяца назад

    Sikiaga uchungu badala uombe

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 2 месяца назад

    Kitu gani umefaya nakati mavazi bado yana kusumbua😢😢😢😢

  • @GraceChege-lg6mk
    @GraceChege-lg6mk Месяц назад

    Sara Hana Imani kuongea kwingi badala ya kuomba kwa saa mungekuwa mnanjua kuomba na kushikilia imani

  • @GoeffreyKuria
    @GoeffreyKuria 2 месяца назад

    Mungu wape nguvu

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi Месяц назад

    Sarah hio mdomo yakusema utawapea watoto watahakikisha umewapea juu badala yakuomba wewe ni duru na kulia

  • @PhilesOngono
    @PhilesOngono 2 месяца назад +1

    Huyu hako na spirit ya umalaya

  • @lucykurii8069
    @lucykurii8069 2 месяца назад +1

    Huyu Sarah ni ngombe Sana ety apeane watoto wake huyu anastahili kutadikwa Sasa ajue mpaka kuvaa

  • @apa3276
    @apa3276 2 месяца назад

    Sikia hii ng'ombe ati ipeane watoto🙄

  • @SarahPetro-w6o
    @SarahPetro-w6o 2 месяца назад

    Onaalivyo vaaa nguo zake tahira na bado utadugwa mpaka kichwa

  • @hffalkurbi3812
    @hffalkurbi3812 2 месяца назад

    Huyu dem n mjinga sana

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 2 месяца назад

    Sara badala muombe munaanza kulizavmaswali Anita saidie muombe Sara tafadhali mdomo

  • @leeedayuo6080
    @leeedayuo6080 2 месяца назад

    Sijawahi penda huyu mdada,yaan anaongea sana alafu tena hajui ata kusema jina Jesus yaan kwake maombi ni shida😮😮😮😮

    • @ReemaM-i5t
      @ReemaM-i5t Месяц назад

      Ww nikama mm nakuchukia mungu niansamehe San nakuchukia juu hajui kuomba alfu awezi nyamazam kama mutu anaongea anawapea watumishi wamungu wakat mugumi San ata xijui huwa anakuja kufata nn uyu amenisinyas

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 месяца назад

    Mm huchukia mtu hupiga kelele wakati mtume anapeana ujumbe😢

  • @SaidaAwour
    @SaidaAwour 2 месяца назад

    Sara nyenyekea unkaaje fala huskiii

  • @Faith-ou1nb
    @Faith-ou1nb 2 месяца назад

    The voice from mtume weaw

  • @doctersalmini9704
    @doctersalmini9704 2 месяца назад +1

    Huyu mwanake ana heshima 😢

    • @rachaelosiche121
      @rachaelosiche121 2 месяца назад

      Kimemramba kwa mara ya pili😂😂😂😂😂

  • @JacklineNyabokeOsiango
    @JacklineNyabokeOsiango 2 месяца назад

    Mbona boni uulizi maswali kwa mtume,

  • @Imeldaikoha
    @Imeldaikoha 2 месяца назад

    My sister Sarah jifunze kuomba jisingire na damu ya yesu ujue wamejua you are weak in faith

  • @maulnejumba1128
    @maulnejumba1128 2 месяца назад

    Sarah omba dadangu

  • @WeddyKathambi-b6g
    @WeddyKathambi-b6g 2 месяца назад

    Sarah huna nguo zingine please? Better uvae trousers

  • @PhilisAndeyi
    @PhilisAndeyi 2 месяца назад

    Sarah mavazi tutaongea mpka lini nkt

  • @RachaelRachael-m6t
    @RachaelRachael-m6t 2 месяца назад +2

    Huyu mtoto ndio nani ametoka wapi

    • @rachaelosiche121
      @rachaelosiche121 2 месяца назад +1

      Huyu ni Junior bro wa Solomon

    • @conniekerubo8325
      @conniekerubo8325 2 месяца назад

      Ni junior alikuwa anatumika kama mtume na ni brother ya Solomon

    • @RisNya
      @RisNya 2 месяца назад

      Uyo kijana kuna siku aliokolewa kutoka kwa clitonton show

    • @manisobblowi8894
      @manisobblowi8894 2 месяца назад

      Huyu ni bro ya solomon

    • @RachaelRachael-m6t
      @RachaelRachael-m6t Месяц назад

      Ooh!

  • @EstherWanjiku-bs3kz
    @EstherWanjiku-bs3kz 2 месяца назад +1

    Sarah nunua dela kadha

  • @livehappy5810
    @livehappy5810 2 месяца назад

    😢😢😢😢😢

  • @SarahPetro-w6o
    @SarahPetro-w6o 2 месяца назад

    Sara akili huna Tena pumbavu kabisa kazi Yako kuongea tu tahira wewe akili huna pumbavu kabisa mshenzi wewe hujui hata kuomba

  • @rachaelosiche121
    @rachaelosiche121 2 месяца назад

    Huyu mwanamke hawezi tulia nyumbani KAZI ni kuzurura huku msituni na tunguo twake twa kumkaba

  • @LydiagathoniGithinji
    @LydiagathoniGithinji 2 месяца назад

    Huyu ni mteule si mtume

  • @rachaelosiche121
    @rachaelosiche121 2 месяца назад

    Hakuna huruma na huyu sarah msiba wa kujitakia hauna pole hata mtume amesema ,nawe usipobadilika mambo bado huu ni mwanzo tu

  • @maureenstuvel6205
    @maureenstuvel6205 2 месяца назад

    Huyu sarah hajui kuomba pia hana imani yakutosha na pia nikelele tu

  • @karanjagladys1827
    @karanjagladys1827 2 месяца назад

    Sarah kwnai hana ma longi avae bona adi waleo anavaa hivi

  • @kabiangahospitalityclass2074
    @kabiangahospitalityclass2074 Месяц назад

    Wewe content zako ni za ujinga sana kuiba Pesa za watu mkiwa na huyo daktari wa uwongo that's why hauna views mshenzi kabisa

  • @vanicemose9889
    @vanicemose9889 2 месяца назад

    Njinga eti angepeana watoto wake. Remember kuna nguvu kwa matamshi... chunga ulimi jinga ii

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 2 месяца назад

    Jonia watakunyanganya kijiti usiseme mahalo nguvu iko Sara asiki mdomo too awezi kuomba maswali ya kijinga upeane watoto

  • @userkemmy
    @userkemmy 2 месяца назад

    Akun mtu mjinga km sarah unaambiwa ushike fimbo unsem ni moto umbwa zako

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 2 месяца назад

    Sara wewe ni mjings usiki utulie na maswali ya kijinga tafadhali jaribu kuomba mdomo wacha

  • @rebecarael-t9i
    @rebecarael-t9i 2 месяца назад

    Nasikia kupiga huyu demu madondi🙄🙄Mjinga kama mattercore bandika,hakina adabu,domo tu bila kutaja yesu,stare ndio ndoto zake na mavazi ya kimalaya,,jifunze kuomba wee mdada na hizi nywele refu pia za kuvutia mapepo tu, kweli msiba huu hauna kilio ila pole sana

  • @jerrycaroline7330
    @jerrycaroline7330 2 месяца назад

    Mbona Sarah hangeshika fimbo anaka mnjinga

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 месяца назад

    Sarah prayers na imani starts with you acha kutegemea maombi ya wengine😢😢😢 b prayerful please

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 месяца назад

    Unaonyesha mapepo mapachavutaokolewaje😢

  • @Maggykiongo224
    @Maggykiongo224 2 месяца назад

    Sarah nipee hao watoto kuliko upatie pepo

  • @emilynyaboke9525
    @emilynyaboke9525 2 месяца назад

    Mbaka mtoto mdogo anamwambia sika fimbo anasema inachoma mbona sarah usikii maneno ww mujinga sana

  • @solomonimani212
    @solomonimani212 Месяц назад

    Sarah wacha kutaja mambo na kutoa watotot, itakungarimu sana

  • @marymary8313
    @marymary8313 2 месяца назад

    Huyu Sarah ako na yake sijawai ona akitamka ata jina Jesus na mbona amekataa kusika fimbo ati inachoma,huyu Sarah ni mchawi aky ama ako na giza fulani

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 месяца назад

    Unaongeaje sarah kama mjinga utapeana watoto aje qwani wewe ni wa shetani

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 2 месяца назад

    Masetani walisema wanataka watoto wawili mungu amuokoe

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 2 месяца назад

    Na wewe Sarah kwani manguobyako Niya kukushika tu , si uliambiwa ubadilishe kufaa ama hio spirit yako ni natural huwesi change????