Sheikh Ahmed Hassan Naomba Allah Akupushe Mbali na Ungojwa Wowote Na akulinde Uumivu wote hapa Dunia Na Ukitangulia Basi Akupe Mwisho Mwema🙏 Nakupenda Na Nta endelea kukuombeya Kwa Allah Mazuli Suudi Kutoka Rwanda 🇷🇼
MaSha Allah TabarakaLlah. Mungu Akuhifadhi Akufanyie sahali na Wepesi. Akujaalie JANNATUL AL FIRDAUS Malipo Yako. Mungu AwaRahamu Wote Waliotangulia Mbee Za Haki Awakundulie makaburi Yao Awatilie Nuur Na Cc Atupe Husnul Khatimah.
Maa shaa Allah ,,, Allah akulipe azidi kukuhifadhi na akujaalie afya njema na mwisho mwema na akujaalie jannah kwa jitihada zako na mapenzi yako kwa mama yako... Tunakupenda sana Tanzania
Mashallah Mashallah mm sina ya ziyada nawaombea duwa mashekh wetu wote Allah awahifadhi awape umrimrefu wazidi kutunufaisha🙏 NA ningeomba sahi aitwe shekh othman malim na shekh nurdin kishki 🙏🙏🙏🙏
Assalaam alaykum warahmatullah wabaraqatuh...MashaaAllah Sheikh..Allah akuhifadhi ''''Kwa atakae jaaliwa ku taka kutoa mchango wake kwaajil ya Allah...kwa . Markaz ya sheikh wetu. .. Tunaomba Mawasiliano Tafadhar...🇹🇿
Laiti ungefanya bahthi ya kutosha na umuulize shehe wetu his struggles towards promoting sunnah and the great debate he had alongside DrMohamed osman and sheikh bahero in mombasa. This is something you can never blindfold ❤
Nakumbuka mukija madrasa yetu Answar siku ya jumamosi na jumapili tukiwa na munaqasha,muhadatha na mutwaraha mukituulize maswali mukitupa motisha ya hali ya juu.
Japo mimi ni mkiristo ila nakiri kusema nimefutilia sana utuba zako kama vile amani ya nafisi dunia na udanganyivu kubabaika na kupanic kimaisha hakika nimejifuza mengi mwenyenzi mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uzidi kutuelimisha
Asalaam aleikum..Thank you for the request...I have attempted to find out how to reach Shk Ahmed but in vain as there is no contact of his given.. Pls, pls provide us with a contact . Ahsante.
imetajwa nchi yangu tanzania nimejiskia vizuri sana ...... ALLAH amtunze sheikh wetu
Sheikh Ahmed Hassan Naomba Allah Akupushe Mbali na Ungojwa Wowote Na akulinde Uumivu wote hapa Dunia Na Ukitangulia Basi Akupe Mwisho Mwema🙏 Nakupenda Na Nta endelea kukuombeya Kwa Allah Mazuli Suudi Kutoka Rwanda 🇷🇼
natamani saaana nionane na huyu sheikh namuona too kwa tv in shaa allah mungu atukutanishe peponi
Mashallah sheikh Hassan Allah akupe uwepesi kwayote unayofanya hapa duniani na kesho Aherah
MaSha Allah TabarakaLlah. Mungu Akuhifadhi Akufanyie sahali na Wepesi. Akujaalie JANNATUL AL FIRDAUS Malipo Yako. Mungu AwaRahamu Wote Waliotangulia Mbee Za Haki Awakundulie makaburi Yao Awatilie Nuur Na Cc Atupe Husnul Khatimah.
From Tanzania.....Ukaribie tuuu
Maa shaa Allah ,,, Allah akulipe azidi kukuhifadhi na akujaalie afya njema na mwisho mwema na akujaalie jannah kwa jitihada zako na mapenzi yako kwa mama yako... Tunakupenda sana Tanzania
Mashaallah tabarakallah naku fatilia sana napenda sana darsa zako Mashaallah..Allah barik
Mashaallah napenda mawaidha ya sheikh ahmed from nairobi
I love this sheikh for Allah's sake
Ustadh wangu, nimzuri sana, yuko sharp sana! ALLAH AKUZIDISHIE, wewe na Marhemu Mwalim Bwana
Allah azidi kukupa ikhlas na akuthibitishe kwa haqq
Nampenda sanaa uyu shekhe dah
Mashallah Mashallah mm sina ya ziyada nawaombea duwa mashekh wetu wote Allah awahifadhi awape umrimrefu wazidi kutunufaisha🙏 NA ningeomba sahi aitwe shekh othman malim na shekh nurdin kishki 🙏🙏🙏🙏
MASHALLAH
MUNGU AKUPE AFYA SHEIKH
Allahumma baarik huyu shekh mnyenyekevu sana Allah amlipie mema duniani na akhera.kwakweli imetutouch nyoyo zetu
Mungu azidi kukueka mwalimu wetu
Assalamualaikum, mashallah tabarakallah aki sheikh mmi uwa nafaidika sana kwa mawaidha yako
Mashaallah kila la kheri sheikh wetu ,Allah akupe maisha yenye barka
Mashallah Allah amlipe kwa elimu na azidi kuisaidia Jamii yake inshaalah Ameen biithllah
Mashallah tabaraqallah mweyezi mungu akuepushe na kila la shari na akupe kila kheir
Asalaam Alekum warahmatulahi wabarakatu mashaAllah
Maashallah sheikh wetu. Allah akuwafikishe. Karibu Pemba _ Zanzibar.
Allah akuzidishie kila la heri sheh wetu mpendwa
Assalaam alaykum warahmatullah wabaraqatuh...MashaaAllah Sheikh..Allah akuhifadhi ''''Kwa atakae jaaliwa ku taka kutoa mchango wake kwaajil ya Allah...kwa . Markaz ya sheikh wetu. .. Tunaomba Mawasiliano Tafadhar...🇹🇿
Allah akuhifadhi akupe wepesi wa dunia na akhera kama wewe ulivomthamini mama Allah atakupandisha darja
Allah akujaze kheir mamangu si muislam ila mawaidha yako huwa yana mgusa
Ashaallah Allah barak
Laiti ungefanya bahthi ya kutosha na umuulize shehe wetu his struggles towards promoting sunnah and the great debate he had alongside DrMohamed osman and sheikh bahero in mombasa. This is something you can never blindfold ❤
Maashallah ❤
Ma sha Allah Sheikh wetu Allah akuzidishie Zaidi na zaidi In Sha Allah
ماشاء الله
Shk Hassan allaah akwihifazi akupe jaza wewe na femilia yako, khakika wewe ni mwalimu mwema, dawa yako inapenya sana,
Convey message of Islam to all people of the world and to everyone who will come also convey message of Islam to all world leaders...........
Mashaallah!
Allah akupe kila la kheri ustadh wangu wewe na ustadh almarhum Athman shee Allah awalipe kila la kheri fiy din waduniya wal akhera
Nakumbuka mukija madrasa yetu Answar siku ya jumamosi na jumapili tukiwa na munaqasha,muhadatha na mutwaraha mukituulize maswali mukitupa motisha ya hali ya juu.
MashaAllh
As alaikum hata Mimi nikukubali Sana mwlm Allah akubakishen salaama insha'Allah
Mashaallah mashaallah
assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh samahn ndugu mtangazaji naomba japo number za cm za shekh Kwan Ninashida muhimu na yeye
Mashallah
ASalama aleykum
Naomba number ya sheikh..Ahsante
Mimi pia naomba namba ya sheikh hassan
Japo mimi ni mkiristo ila nakiri kusema nimefutilia sana utuba zako kama vile amani ya nafisi dunia na udanganyivu kubabaika na kupanic kimaisha hakika nimejifuza mengi mwenyenzi mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uzidi kutuelimisha
Karibu tuwe Waislamu
Mashallah sheikh wetu Allah akuzidishie zaidi na zaidi inshaallah,ninaombi sheikh naomba number yako please 🙏
Muhimu WA kutumia Visa katika uzungumzaji imekuwa summarised na hii ayah. Surah maida.
قُلْ إِنِّي عَلَىٰ بَيِّنَةٍ مِّن رَّبِّي وَكَذَّبْتُم بِهِ ۚ مَا عِندِي مَا تَسْتَعْجِلُونَ بِهِ ۚ إِنِ الْحُكْمُ إِلَّا لِلَّهِ ۖ يَقُصُّ الْحَقَّ ۖ وَهُوَ خَيْرُ الْفَاصِلِينَ
Asalamu Alaikum Sheikh kindly how can someone contact you!
Naomba namba yako ya WhatsApp ust
Asalamu Alaikyumu Sheikh Ramadan Kareem, we need your number please 🙏
Asalaam aleikum..Thank you for the request...I have attempted to find out how to reach Shk Ahmed but in vain as there is no contact of his given.. Pls, pls provide us with a contact . Ahsante.