BAD STUDENT |2|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 184

  • @kulwanzobe7657
    @kulwanzobe7657 Год назад +38

    Kutoka kwenye malikia sanura bravoo hujaniangusha kabisa hongera Sana tatizo moja tu unachelewa ndo ugomvi wangu Mimi na wew mkuu.

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf Год назад +3

    Ata kama nime chelewa ndio sipat like sawani ila directar bravoo una jua kaka mungu akubaliki sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rajah9328
    @rajah9328 Год назад +9

    Mwakatobe 💯% uko imara gonga like twende nalo tunaye mkubali mwakatobe

  • @farajyassir9822
    @farajyassir9822 Год назад +6

    Big up stairing MWAKATOBE 🎉🎉 & the rest of the team. 🔥🔥🔥 you guys are on Top 👌. BRAVOOOOO to Mr. BRAVOO👊💯🔥🫡

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 Год назад +1

    Bravo hii kazi siielew kabisa et lbd ngj niendelee nitaijua

  • @BenardMalole
    @BenardMalole Год назад +2

    Makatobe bloody your soooo funny 😆 rafudhi zinanipa hamu yakuangalia dairly😅😅😅

  • @pizzongai358
    @pizzongai358 Год назад +5

    Mtoto mweupee ka sembe😅😅😅 mwakatobe❤❤❤

  • @omarjillo2991
    @omarjillo2991 Год назад +17

    Mwakatobe 😂 watching you from Kenya ❤kamroge huyo asumaniiii😂😂😂

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Год назад +9

    Oyah we mih Sina neno kwa wao Kwa sababu najua kwamba kazi wanaijua kabisa 😢😢😢😢... ila shida yangu ni ya like zenu😂😂😂😂😢😢😢

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Год назад +8

    Mwakatobe you made it 😂😂😂😂😂😂😂

  • @willymorgan19
    @willymorgan19 Год назад +6

    William from kenya 🇰🇪 nawapenda sna kwanza ww Sandra na Sophia ❤❤❤❤mwaaaaaaaaa

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 Год назад +6

    mama fey toto hapa ila mwakatobe bhana🤣🤣

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 Год назад +10

    😂😂😂😂😂😅😅😅😅❤❤❤❤😂😂😂😂😅😅😅mula uliwa: nakuti nawe unatii jumla tunatiyana 😅😂😅😂😅😂😅 mwakatobe 😅😅😅😅😅❤❤😂🎉 from 🇺🇸….😅😅😅😅😅

  • @kitunganolw
    @kitunganolw Год назад +4

    mwakatobe on fire again....🙌

  • @chadracknshimirimana4761
    @chadracknshimirimana4761 Год назад +12

    Bi mkubwa nilipo muona mara y’a kwanza nikazani bonge la tajiri kumbe anaishi maisha yake yakawaida sema nini bi mkubwa anajipenda sana hadi nyumbani ye anapendeza tuu 😂🎉❤️‍🔥

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 Год назад +2

    😂😂😂😂mambo ni moto BONGE LA MOVIE HILIIIIII LIENDE MPAKA EPISODE .100 DIRECTOR BRAVOOO

    • @bravoogenius
      @bravoogenius  Год назад +1

      Shukran sana 🔥🙌🏽🙏🏽

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 Год назад +2

      @@bravoogeniusyour the best director 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MicOne-mx5yn
    @MicOne-mx5yn Год назад +3

    Mwakatobe Noma😂😂😂😂🇰🇪🇹🇿💥🔥🔥🔥

  • @DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS.
    @DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS. Год назад

    Dah!! Kwhvyo mganga mwakatobe amekua amkua mhuni w kuhongan hvi ss🎉🎉🎉🎉🎉

  • @adamyazid4562
    @adamyazid4562 Год назад

    Kwanza hongera sana clamvevo kwa kazi nzuri ..
    Ushauli wangu ambacho kinanikwaza ni kitu kimoja huwa humalizi picha mpaka mwisho series moja unaitoa yapili haiji unaleta nyingine mara nyingine tena kwahiyo ushauli wangu kama umeleta picha moja akikisha inaisha kabisa ndo ulete nyingine hata kama ni series tatu ila iishe kabisa wengine unatuchanganya ni hilo tu ...

  • @Frenxionog900
    @Frenxionog900 Год назад +2

    MUNGU KWANZA 🙏🙏🙏
    Seen by Mr walimwengu.

    • @bravoogenius
      @bravoogenius  Год назад

      GOD IS GOOD 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 Год назад +3

    Mwakatobe+ hope 😂😂😂😂😂

  • @chadracknshimirimana4761
    @chadracknshimirimana4761 Год назад +3

    Hata kama ndo roho ya uzazi yani ndo umkute mtu kasimama sehemu umchukue umpeleke nyumbani kwako
    Aah mi siwezi

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 Год назад +7

    Mtu ndo Mtu kweli 😂❤ Bravo 🎈 bravo 🍾 kbsa 🎉 ….❤😂🎉

  • @turnfidennikazo9437
    @turnfidennikazo9437 10 месяцев назад

    😂😂😂😂 ilove 2,3,7 zingine mama mzazi

  • @Immamziwanda
    @Immamziwanda Год назад

    For sure mwakatabe ni brand mpy

  • @aljazzytechno
    @aljazzytechno Год назад +3

    Aiyeee mwakatobe ❤😂😂😂❤❤

  • @saidimwewale7465
    @saidimwewale7465 Год назад

    Hela sio shida zangu big up mwakatobe nikiiona sura yko lazm video hiyo niidekelee

  • @JonaEzekiel-rt7uk
    @JonaEzekiel-rt7uk Год назад

    🤣🤣🤣 unatisha sana mwakatobe🔥✌️

  • @bizzohfilms002
    @bizzohfilms002 Год назад +1

    Bravoo Benga mazee KENYA NAKUFATILIA

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Год назад +1

    Nakutii,Unanitii Jumla yake…!!!!!😂😂😂😂😅😅😅😅😅

  • @swag001beauty4
    @swag001beauty4 Год назад

    Mwakatobe huku Mombasa twakukubali🎉😂

  • @Mon-Mastori_15
    @Mon-Mastori_15 Год назад

    Jaman uyo Sandra mbn mzuri ivo afanan kabsa kuvuta ayo masigara

    • @bravoogenius
      @bravoogenius  Год назад

      Kazi tu ndo imemtaka avute lakini sio mambo yake kabisa

  • @ABASIOFFICIEL
    @ABASIOFFICIEL Год назад +6

    Keep it up 💪💪💯💯

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Baba unahongaa utafikaa mwakatobeee 😅😅😅😅😅

  • @husnaabdullah3009
    @husnaabdullah3009 Год назад

    Mwakatobe 😂hujawahi niacha salama kwa vichekesho vyako ❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад

    Ck zote director bravo huna kazi mbovu big up kwa ilo❤❤❤

  • @praygodisacksalmon7843
    @praygodisacksalmon7843 Год назад +3

    ninakutii + unanitii =😂😂😂

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 Год назад

    Ulipo lala ndio mwamba kamukia mganga Mwakatobe 😅😅😅

  • @HamisiMbwana-vo7ny
    @HamisiMbwana-vo7ny Год назад

    Nakutii ..unanitii jumla....😂hii kali

  • @NasmaSaidy-zt4ly
    @NasmaSaidy-zt4ly Год назад +2

    Mwakatobe 😂😂😂😂 ❤❤❤ 🙌🙌

  • @yassayassini6613
    @yassayassini6613 Год назад

    Mwakatobe 😂😂😂Kila Kona upo umetuweza hawakuwezi😂😂😂

  • @AnethMussa-kn5bw
    @AnethMussa-kn5bw Год назад +1

    Mwiko kukata tamaa n Bora kukta kiuno😅😅😅😅

  • @zaykham155
    @zaykham155 Год назад +1

    Chogo kaa mwiko 😂😂😂 mwakatobe anataka naniliu ety Na pesa yake aloitoa kudundoniiiiiiii😅😅😅😅😅 mwakatobe yaan ata kawaid uko vzr sio uganga tuuh 🥰😘 bad studend ni motooooo🔥🔥🔥director bravoo hunaga mbaya ata kdg nakpnd bureee🎉🎉🎉 enjoy dear❤

  • @chadracknshimirimana4761
    @chadracknshimirimana4761 Год назад +1

    Ungemalizia tu we dada
    Na kutiii na we unanitiii =tunatiiiana 😢😂

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje Год назад

    mwakatobe hahaha mwamba uyu hapa🎉🎉🎉🎉🎉

    • @bravoogenius
      @bravoogenius  Год назад

      Ukimuona tu ujue kaz mmnayo 😂😂

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 Год назад

    Unaend kukoboa chini ungekoboa mavi😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @evelynoscar5104
    @evelynoscar5104 Год назад

    mwakatobe n mbwa ndoige pumbavu zake😂😂😂😂😂

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 Год назад

    Hahaha 😂🤣🤣 mwak tobe

  • @XhxhccVfhhxh
    @XhxhccVfhhxh Год назад

    Nimependa nice ❤❤

  • @FrexMbeunga
    @FrexMbeunga Год назад

    Huyu Director Kenny anajua sana kazi nzuri soko linabidi liwe hivi mawe juu ya mawee

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад

    Mganga wa taifa mwakatobe mze wakunengeneka 😂😂😂

  • @senkondosaid9322
    @senkondosaid9322 Год назад

    Mnachozingua hammalizi movie mshaingia ingne asee.. mnatutoa mchezon

  • @PeterMulehi-tc8oe
    @PeterMulehi-tc8oe Год назад

    Mwakatobe my best Comedian

  • @DiamondPlatinumz-i8f
    @DiamondPlatinumz-i8f Год назад

    Mwakatobeeeeee❤

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Ushapigwa za usoooooo mamae

  • @AbelKithuka
    @AbelKithuka Год назад +3

    Kweli mula huliwaa😂😂

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Chogooo kama mwikoooo😊

  • @neychuchu_love966
    @neychuchu_love966 Год назад +1

    😂😂nacheka na vingi 🎉🎉❤

  • @saumukhamis8433
    @saumukhamis8433 Год назад

    Hakika wew ni brovoo kwel upo vzr broo❤❤❤❤

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Год назад

    mwakatobe anajua sana

  • @joslayabumba5967
    @joslayabumba5967 Год назад

    Mideko umechaa kweli kipenzi changu

  • @simonfrancisjr6591
    @simonfrancisjr6591 Год назад +1

    Mie wa mwisho kukomenti na wala ctak like😅 tusifien Kaz na kasoro ndo muhim xna

  • @MichaelTangishakaGervas-pm6dc
    @MichaelTangishakaGervas-pm6dc Год назад +1

    Tumeumiss uchawi wa mwakatobe

  • @jamessaimon5439
    @jamessaimon5439 Год назад

    😂😂😂😂uyuu makatobe jmn khaaaa shikamoo

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Год назад

    Bravo no1 unaweza san bro from 🇧🇮 nakupenda San ❤❤❤

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 Год назад

    Mwakatobe mwamba nakumbuka Kibacha sec, Same Kilimanjaro ulikuwa n vituko mzee

  • @raymuziqofficial
    @raymuziqofficial Год назад +7

    From kenya naombeni likes zangu
    Mwakatobe

  • @AkimHarerimana
    @AkimHarerimana Год назад

    Nakubali mwakatobe

  • @yusuphsammysammy7424
    @yusuphsammysammy7424 Год назад

    mwakatobe master

  • @delovelygalHope
    @delovelygalHope Год назад

    Mwakatobee na ndotoo zakee😂😂😂😂

  • @BintyRama-b1r
    @BintyRama-b1r Год назад

    Mwakatobe umetisha hongeren from Sharjah

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 Год назад

    Mwakatobe moto

  • @Paschalmachang
    @Paschalmachang Год назад

    Namkubalisan mwakatobe pongezisan

  • @komlaakomlaa7465
    @komlaakomlaa7465 Год назад

    Mama muchawi leo umependeza

  • @eddopaul18
    @eddopaul18 Год назад

    Mwakatobe 😂😂😂

  • @atuganilendomba6701
    @atuganilendomba6701 Год назад

    Aya classmate wangu hope😅🙌👌

  • @Dianaf774
    @Dianaf774 Год назад

    🎉kazi nzuri 😅😅

  • @barakamlelwa2417
    @barakamlelwa2417 Год назад

    👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥

  • @delovelygalHope
    @delovelygalHope Год назад

    😂😂😂😂 student anazidi kuvurugaaaa,,,,

  • @KaroliCharles
    @KaroliCharles Год назад

    nakubali sana bwana braavo

  • @FadhiliKihendo
    @FadhiliKihendo Год назад +1

    😂😂😂😂😂

  • @sumabiggy
    @sumabiggy Год назад

    Kazi nzur

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Mwakatobe 😅😅😅

  • @shamtv2342
    @shamtv2342 Год назад

    Unantiii nami nakutii jumla??😅😅

  • @adammnyenyelwa5996
    @adammnyenyelwa5996 Год назад

    Mwakatobe unatupa afya sana

  • @MwanetukijhaMabulu
    @MwanetukijhaMabulu Год назад

    Mwakatobe love you from drc Congo

  • @SanaanJuma
    @SanaanJuma Год назад

    Mwanamke anaeza kukufilisisha😂😂chobo kama mwiko

  • @williamlaizer6498
    @williamlaizer6498 Год назад

    Big up more Mr bravo

  • @jumasadiki141
    @jumasadiki141 Год назад

    Mbn juma jicho hayupo make anapendezea akiwa anamsumbua sandra

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Tunat8anaa😂😂😂😂

  • @Neema_officialy1
    @Neema_officialy1 Год назад

    pls muendelezo basi👍👍👍🦋

  • @chuselwazi26
    @chuselwazi26 Год назад

    Aluwatan Mwakatobo

  • @LaulianLucas-yc6og
    @LaulianLucas-yc6og Год назад

    Nskutii na we unanitii jumla==

  • @belitomanuel6240
    @belitomanuel6240 Год назад +1

    Mwakatobe

  • @rashidynyaksoma1994
    @rashidynyaksoma1994 Год назад

    Kaz nzuri

  • @joelnyaga1985
    @joelnyaga1985 Год назад

    MLA pia uliwa

  • @ndayisengaamissi6102
    @ndayisengaamissi6102 Год назад

    Hela inatolewa kwenye "AMADI KIBINDONI"

  • @Seranto880
    @Seranto880 Год назад

    Kitu kipo safi sana

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 Год назад

    Hahaha 😂😂😂 mwakatobe

  • @JOHAREHfilms2023
    @JOHAREHfilms2023 Год назад +1

    💥💥