Wueh! Andrew Kibe Reaction To Felicity & Thee Pluto's Baby Zoey Face Reveal

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 175

  • @theresiahnyika6117
    @theresiahnyika6117 Год назад +53

    Kwani huyo kibe ni nani kwa maisha ya watu si atoe mtoto wake tumuone, Pluto's family live your life ❤❤❤❤

    • @galaxyqwer7438
      @galaxyqwer7438 Год назад +2

      Ndio mm hushanga aki mi hunimbo huyu kibee

    • @films254
      @films254 Год назад

      Feelings ni ya nn?tulia it's about content nanii

    • @bethnjoki13
      @bethnjoki13 Год назад +1

      Ata Mimi huniboo sana

    • @liahwangari9384
      @liahwangari9384 Год назад +2

      Aseme 2 anawish ni yeye alizaliwa mtoto na fel ,ww kibe utaishi kumezea 2 na kukula kwa macho but fel ni wa Pluto

  • @Jessicabrown187
    @Jessicabrown187 Год назад +23

    Ikifika kwa watoto siongeangi they're are innocent angles

  • @anitahlydia
    @anitahlydia Год назад +20

    That true mtoto anaweza fanana Na MTU wa familia pia

  • @mirabelle5504
    @mirabelle5504 Год назад +39

    Kifee kama anataka felicity aseme tu😂😂😂😂😂😂

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 Год назад +21

    May thee Pluto's live happily ❤️❤️

  • @theeswitcher
    @theeswitcher Год назад +43

    Nadai likes leo 😂

  • @kanzkanguha
    @kanzkanguha Год назад +10

    I really hate kibe na si ety nini 😑 these guy is so mouthy like he doesn't mind his thing lazima tu asumbuliwe na mambo za watu .Bring yours then come talk to us .Kwani huyu mtu hufikirianga na nni coz ni kama kichwa chake ni hang line ya masikio

  • @lylyanefletcher6958
    @lylyanefletcher6958 Год назад +17

    Kibe aachane na innocent child😊

  • @blessleeofficial
    @blessleeofficial Год назад +13

    The kid is innocent pliz

  • @hannahmwangi4830
    @hannahmwangi4830 Год назад +18

    Pluto photocopy ❤❤❤

  • @_._Adrian
    @_._Adrian Год назад +22

    Everything is right until Kibe jumps into it, it's who hurt you club.

  • @janemoraa2528
    @janemoraa2528 Год назад +7

    Aiii hii nayo hapana Zoe anafanana babake that's pluto... Like father like daughter... Kibe kaskie vibaya nauko 😂

  • @selis_doty9604
    @selis_doty9604 Год назад +6

    Najua rafiki yangu alikosana na chali yake juu coz chali alikutana na niece wa dame wamefanana kabisa kila kitu, ni kawaida kwa familia zingine ufanana. Baby Zoey to the world 👏💯

  • @reginaphilip2644
    @reginaphilip2644 Год назад +4

    Pluto is wise enough hawezi bishana na mafala wa midomo tu,,

  • @COFFEEWITHESS
    @COFFEEWITHESS Год назад +24

    At this point, with all the knowledge on guiding what you consume because it directly affects your life its sad that bado kuna mtu anaconsume content ya andrew kibe. How can you proclaim all women ni mapoko na still claim you want to marry a good wife and settle in a successful marriage when listening to Andre Kibe?! This guy and his content is leading you all to your demise, end game ni miserable midlife crisis if you think its all fun now. Start Fixing yourselves and detox from that guy's influence if you really want a different outcome in life compared to him, because as the mentor's life so his students, guok!!

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +7

      The worst part is that there are WOMEN even after him abusing them still laugh and listen to his nonsense

    • @IanMartin-x2e
      @IanMartin-x2e Год назад +4

      An old man abusing people like baha of machachari kina pluto watoto wanafaa kumuita Baba and he has no family to show kama hiyo ndio kua a real man Mimi mtoto wangu akue tu nganuthia/kafukuswii

    • @IanMartin-x2e
      @IanMartin-x2e Год назад +2

      Imagine Baba Kibe na Baba thee pluto,who is proud?

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +2

      @@IanMartin-x2e guys should be going to his page akiongea hizo maujina unweka pause then uncomment mbaya ndio asipate views ni ngombe sana huyo mzee

  • @marykwamboka5663
    @marykwamboka5663 Год назад +18

    Mtoi ni Pluto's photocopy ❤❤❤❤

  • @zainabmahero2758
    @zainabmahero2758 Год назад +4

    kwani kibe alikuwa anatamani Fel?Huyu mtoto anafanana babake a big percentage...na hata hivyo si yeye analea shida iko wapi

  • @bettynimoh8909
    @bettynimoh8909 Год назад +7

    kibe SI useme to unataka Felicity

    • @gidgetalvin3313
      @gidgetalvin3313 Год назад +1

      I think huwa anataka wa break out ndo anyemelee felicity.

  • @rosaliamusila3812
    @rosaliamusila3812 Год назад +7

    Huyu mtoto anafanana na thee Pluto kabisa

  • @annewambui8466
    @annewambui8466 Год назад +5

    Its true about a kid resembling grandparents

  • @ann1092
    @ann1092 Год назад +4

    Kibe doesn't have to say anything, the public can see.
    The child resembles the father who is only known to Felicity.

  • @pamelawanja9470
    @pamelawanja9470 Год назад +6

    Sually mtoto is innocent kibe ni kasia

  • @janemungai
    @janemungai Год назад +5

    Si kibe atuwabie babake inaonekana anajua baba ya mtoto sana

  • @reenwambua9878
    @reenwambua9878 Год назад +2

    Babies are always innocent.kibe kip off

  • @nyampingadjazila4194
    @nyampingadjazila4194 Год назад +4

    Hhhhh comme acheni adrokibe kama anadayi baby zoey si wa pluto mu ambiye kibe azaye wake wakumufanana honestly baby zoey anakaa plot ❤ kibe niwakutafutiya maisha online so sametimes muwe na mu understand❤

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад

      He should not be allowed to do that. Do you know what mental torture is? Its sad that we the society allow that to happen and the fact that he is an old man , he should respect himself. Mavi yeye

  • @GladysgacheriGladoh
    @GladysgacheriGladoh Год назад +30

    Kibe ni hater may thee Pluto's live happily forever ❤❤❤

  • @totobianka6581
    @totobianka6581 Год назад +3

    Ni ukweli juu wangu ni same age na Zoey. Na adi ukamwona anafanana mamagu hanikai na hakai babake and those people who know my mom wanasema ni mtoi wa mum
    Soo kibee acha ufala.
    Kama kibe unataka fel sema uache kwenda long way. Amar kama fel ni crush wako useme uache kuleta maneno ya Zoey na Pluto. Kubafu

  • @ismaildalle6609
    @ismaildalle6609 Год назад +1

    Walai huyo mtoto ana fanana Na Pluto kabisa ❤️

  • @reniesawuor9841
    @reniesawuor9841 Год назад +2

    Kibe ni mjinga sana, Apache madharau nkt

  • @rulieey
    @rulieey Год назад +3

    Kibee 😂 ni ngui sasa kibee ako na miaka 60 anashidania na pluto na pluto nikaa mjukuu wakee

  • @gracekui2000
    @gracekui2000 Год назад +11

    This baby looks like Pluto's mum

  • @marionmelicy-hp2gz
    @marionmelicy-hp2gz Год назад +5

    😂😂😂😂sasa mtoi amekosa nini aki

  • @rozziengina0013
    @rozziengina0013 Год назад +1

    Nyi ndo mnapeaga kibe masifa. Sasa ye n nan ashinde akifuatiliwa vitu zenye anasema kuhusu maisha ya watu....kwan n watu wangapi wanalea watoto so wao hapa nje???

  • @sheryl027
    @sheryl027 Год назад +6

    Kibe si anakuanga mjinga 🚮🚮🚮🚮🚮

  • @valentinefaith
    @valentinefaith Год назад +2

    Uyu mzee Hana adabu

  • @LydiaOjiambo
    @LydiaOjiambo Год назад +15

    Pluto the photocopy ❤

  • @jackychelimo2453
    @jackychelimo2453 Год назад +7

    Sometimes nyinyi content creators mnapenda ku spread information kuhusu family ya watu sana,si sometimes muwache negativity za kibee kwa channel yake

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +2

      Thank you. Wako kama yeye..tamaa ya pesa bila Kujali feelings za wale wanaongelea

    • @kerubo7103
      @kerubo7103 Год назад

      Very true

    • @MitchelleMwanza-in5tt
      @MitchelleMwanza-in5tt Год назад

      As if kibe amemtuma.hawa ni bure kabisa

    • @ruthsteve1066
      @ruthsteve1066 Год назад

      commentator ipo siku yake itamfikia tu pia,tutaona kama atakuja kutuupdate hapa shenzi sana... kitakuramba pia

  • @bancynjega1251
    @bancynjega1251 Год назад +1

    Plutos photocopy,kibe akakufe na huko kwao

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 Год назад +3

    Kibe ako na roho nyeusi kweli😂😂😂😁

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +1

      Na mdomo kama mkundu ya punda pia

    • @doricecyprian7246
      @doricecyprian7246 Год назад

      @@j.j3601 aki anaeza fanya mtu ashikwe na pressure buree ata katoto kadogo anakaongelea 😁😋😋

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +1

      @@doricecyprian7246 can you imagine..and all this is after aseme ana crushia Fel, ukiskiza story zake huwa anaingilia wasichana wadogo wenye anatamani. Enda kwa mungai eve channel Ali interview that lady Anyango or something..usikie vile kibe alikuwa anamfuata

  • @CandyCrush-dc7pz
    @CandyCrush-dc7pz Год назад +2

    Kibe ni content tu hutafuta...otherwise ye huongea tu ujinga.if you know the plutos mom ...I feel like wanafanana na zoey

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +2

      But it's sad that a grown old man should be allowed to talk nonsense. If there is a way they can sure this man mimi kibe hunikalia akili punguani

  • @risperkandie4560
    @risperkandie4560 Год назад +3

    Mimi najua masikio ya zoey inafanana na ya pluto, hizo zingine sijui sasa😅😅😅

    • @kamenecate1921
      @kamenecate1921 Год назад +2

      This comment about masikio is all I'm looking for mambo ya kufanana sitaki kujua😹😹👐

  • @ritahmbeyu6057
    @ritahmbeyu6057 Год назад +3

    Saa kama Zoey c wapluto ,,shida ya kifee ni nn😢

  • @Margaret_Nyambura
    @Margaret_Nyambura Год назад +2

    Kibe wherever you're at your age it always good kusema kitu yenye uko na uhakika,Pluto is like son to you,it's always to respect other people's business especially mahali Kuna innocent kid ni hayo tu

  • @jacklinekarimi3658
    @jacklinekarimi3658 Год назад +1

    Mbona asemi Sky si wa pluto...?this baby resemble to her grandparents

  • @cikukariuki7888
    @cikukariuki7888 Год назад

    Zoey looks like fel saaana ,,,kiasi tu Pluto kama tumacho ,,,,,thts there kid ,,,, cute totoo

  • @annewambui8980
    @annewambui8980 Год назад

    Thks mjukuu wake papa kwa hii chai moto,but as for me I see baby zoey look like dad pluto

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon Год назад +6

    Home of all trending News and entertainment 🔥🔥 keep them coming 🔥🔥

  • @Dorcamoraa-v5y
    @Dorcamoraa-v5y Год назад

    Let that kibe confirm the eyes of Pluto and the baby eyes ,kibe wapi watoto wako

  • @itscarolh
    @itscarolh Год назад +2

    Mambo imechemka 😂😂😂

  • @daphnemoraa9440
    @daphnemoraa9440 Год назад +1

    Kibe aende afight na hakina nyako aachane na baby zoey

  • @havilajunie8370
    @havilajunie8370 Год назад +8

    Mtoto anafanana Na Pluto bt ako na lips za fel❤❤❤

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +1

      Well said🎉 very true

  • @milkanyabuto6305
    @milkanyabuto6305 Год назад +3

    This is what kibe does for a living tushamzoa

    • @gidgetalvin3313
      @gidgetalvin3313 Год назад +1

      True.Anatafuta pesa na kuharibia wale wengine jina.Harafu kuna wale wajinga wanamwamini

  • @eunicemuema7257
    @eunicemuema7257 Год назад

    The baby looks like his dad, ,,kibe anaeza vibaya sanar,,

  • @berenahkwamboka2376
    @berenahkwamboka2376 Год назад +1

    Kwan yy ndiye alimzaa?? Aache umavi yaan mpka mtoto innocent plus mtoi n pluto tena shidake n gan

  • @Wanairobi
    @Wanairobi Год назад +1

    Mtoi ni photo copy ya Thee Pluto's mum. She even has the same eyes as her uncle Dela Gatta. Kibe ana wivu sana

  • @marymulwa6235
    @marymulwa6235 Год назад +1

    Kwan huyu kibe ndo nan azae wake tumwone ..bullshit ..mtu hana ata familia ...

  • @partypulsetv
    @partypulsetv Год назад

    Dope❤... nifikisheni 1k subscribers,niko na mix kalii🔥🔥🔥

  • @dialinPauline
    @dialinPauline Год назад

    Kibe Ako na udaku mwingi

  • @florencemanasseh9949
    @florencemanasseh9949 Год назад +3

    Sasa mbona huweki hapo kenye Kibe amesema bwana Comme chai nusu hatupendi nawe aaah 😂😂

    • @Stellakeff
      @Stellakeff Год назад +1

      Aki unapenda udaku😂😂😂

  • @judywamboi3371
    @judywamboi3371 Год назад +1

    Kibe ako na ujinga sana😏😏😏😏 uyu Mzee badala angeng'ang'ana na life yake uko mayuu analete ujinga uku

  • @narahmasete-we8ge
    @narahmasete-we8ge Год назад

    Kibe aache kutafuta Kiki kwa mtoto innocent she's still young stop throwing words to this angel

  • @jedidahmuyuka8395
    @jedidahmuyuka8395 Год назад +1

    Kibe anapenda kuhara kila mahali tumemzoea hivo .

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад +1

      Tusizoee he should be told yeye ni ngombe

  • @dennyosoko8075
    @dennyosoko8075 Год назад

    Adrew Kibe said it this baby is not for Pluto for real this baby resembles the father who came on Wanjiku snd Johncena kuna mwenye alijitokea yeye is the one who pregnanted Felister juu this baby zii si Pluto

  • @favoured2463
    @favoured2463 Год назад

    Kanafanana na mama ya Pluto

  • @Sophi25444
    @Sophi25444 Год назад +1

    Why push this story. Pluto is a young man like yourself. The baby is innocent. One day you will have ur own and kibe will be on your case. It’s really not funny at all.

  • @gracekawira-wx6nr
    @gracekawira-wx6nr Год назад

    I don't know why people can't mind their own business mtoto awe wa pluto asiwe shida ni ya nani🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @officialrozie
    @officialrozie Год назад +1

    🔥🔥🔥 so amekubali sio wake ama?😂😂😂

  • @marionowira4912
    @marionowira4912 Год назад

    Kibe aseme tu anataka fel, fel ni mrembo sana pluto lazima apewe pressure ndo aache na fel , inshot kibe nikama ako tu na beef na pluto ile tu ataki kusema thats y anataka kuaribia pluto marriage

  • @dennyosoko8075
    @dennyosoko8075 Год назад

    That baby of Ex wa Pluto is the real daughter to Pluto tmbut this of Felicity no Big No for Pluto

  • @K.userdait
    @K.userdait Год назад +1

    Kibe ako na ufala ajab

  • @mammitotebby
    @mammitotebby Год назад

    Me naona Zoey anakaa manzi wa Meru 😂 ekeni likes tukisonga😂😂

  • @jadee.302
    @jadee.302 Год назад +1

    Kibe ni kipiii alitendwa saa anaonanga kila mtu ni kama uyo bibi yake alimtenda

  • @blessedone4406
    @blessedone4406 Год назад +4

    Kefee is just working whoever takes him seriously is doomed😂😂😂

  • @ann1092
    @ann1092 Год назад

    DNA is the only solution.

  • @beatriceogweno1656
    @beatriceogweno1656 Год назад +1

    Hafwnani na baba wala mama

    • @j.j3601
      @j.j3601 Год назад

      Gweno anafanana na baba yako sawa? Juu hata/wewe hufanani na yeyote kwenu

  • @Eunicenjeru-m2w
    @Eunicenjeru-m2w Год назад

    Huyo Ana kitu ya kufanya he better leave zoey alone

  • @elizabethmoses3975
    @elizabethmoses3975 Год назад

    Kibe wants problem

  • @mariamwanjiru2114
    @mariamwanjiru2114 Год назад +1

    Shida yake ni gani akondeshwe na yake 😏😏kwani lazima afanane wazazi

  • @samanthaadongo3034
    @samanthaadongo3034 Год назад

    Kibe mwenyewe ni sura ya kiatu ye atulie azae wake nkttt

  • @gracekawira-wx6nr
    @gracekawira-wx6nr Год назад

    I don't know why people can't mind their own business mtoto awe wa pluto asiwe shida ni ya nani🇰🇪🇰🇪🇰🇪??????

  • @ioicemauda4604
    @ioicemauda4604 Год назад

    Na mbona uweki kwa kibee 😅😅😅😅😅aki comee weww😅😅😅😅

  • @immaculatenight2098
    @immaculatenight2098 Год назад

    Hamjui kuangalia nyinyi huyu mtoi anafanana na Fel

  • @madamboss8758
    @madamboss8758 Год назад

    Khaaaaiiii aki kifee 😂😂😂😂wueeh filter iko 😅😅😅😅😅

  • @felicitykathiri9059
    @felicitykathiri9059 Год назад +7

    I always feel kibe is just a bitter soul 😂so anakuja kumislead watu online ndio atoe bitterness... kuingilia these young people si fun hata 😢that maaaan aaaargh😏🚮

  • @ZariRotich
    @ZariRotich Год назад +3

    Maskio ya zoey n za pluto

  • @tiff7212
    @tiff7212 Год назад +3

    Kibenten a bitter soul

  • @shilocmyre5247
    @shilocmyre5247 Год назад

    I think kibe n brother wa Cain sio Abel,aliachiwa curse ya matusi,that why ako na iyo show ya kuingilia other people business, what abt his life! Shame on him🐕‍🦺

  • @thejirmas3104
    @thejirmas3104 Год назад

    Mtoi macho ni ndogo kama ya mama...but mtoto anaresemble babake

  • @bramwelwafura182
    @bramwelwafura182 Год назад

    Bro big up good job man

  • @Njeri20
    @Njeri20 Год назад +4

    Sasa kama si wake shida ya kifeee ni gani muache kuu ingilia family za watu kundeshweni na yenu mscheew 😏

  • @elizabethatieno718
    @elizabethatieno718 Год назад

    Kibe ofuwo kachieth

  • @theeswitcher
    @theeswitcher Год назад +3

    Mm wa kwanza

  • @najmaabdijellenaju1470
    @najmaabdijellenaju1470 Год назад

    😮uyu nae shida yake ni nni zoey resembles her dad en mum too❤

  • @wangarimugweru7473
    @wangarimugweru7473 Год назад

    Kibe is overated. He should respect families. Thank God for Plutos family maturity.

  • @janewaithaka8913
    @janewaithaka8913 Год назад

    You are support to ashamed yourself koz hii si kitu ya kuentertain nkt! Ama pia unatafuta views na hii stori ya innocent kid!!? Sometimes mnafaa kufukiria before mkuje kutupe udaku...

  • @monalisalily
    @monalisalily Год назад +1

    Ama kibe alirape fel 😂😂

    • @jayn7490
      @jayn7490 Год назад

      Enyewe juu mbona kibe ana insist

  • @Beckyofficiall
    @Beckyofficiall Год назад

    Kibee akojoe alale😅 he is overworking na si poa health yake😅

  • @Purity268
    @Purity268 Год назад

    Udaku zone❤

  • @thegloal
    @thegloal Год назад

    BUT uyu mtoto hafanani na any of them

  • @puritymutheu1360
    @puritymutheu1360 Год назад

    kapluto kadogo