Watu wanahitaji kumfahamu kristo kuliko uchawi. Mungu atupe hekima ya kutoka katika mtego ambao shetani ameweka kwa kanisa, limefika mahali linamfundisha shetani kuliko kristo. Imefika mahali watu wana elimu kubwa ya adui kuliko ya Mungu aliye hai. Mungu unisamehe kama nimekosea kusema hili
Ni bora ufunfishwe mbinuna siri zilizo katka ulimwengu wa vita wa kiroho (spiritual Realm) kuliko kakaa ukasema una Yesu alafu wachawi wanakuchezea ,, waefeso 6:12 kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyamba ; bali ni juu ya Falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili , juu ya +Majeshi ya pepo wabaya katka Ulimwengu wa roho ni kwa jinnsi nilivyo ongozea na roho
Nitaongezeka sitazuiwa na kamba kwa jina la Yesu
Ameen
Amee
Mtumishi hizo habari za wachawi,,,zisioendi tufundishe neno la MUNGU,,,,ila barikiwa tu
MUNGU Atukuzwe
Amen 🙏🙌
Amen
🙌🙌🙌
Watu wanahitaji kumfahamu kristo kuliko uchawi. Mungu atupe hekima ya kutoka katika mtego ambao shetani ameweka kwa kanisa, limefika mahali linamfundisha shetani kuliko kristo. Imefika mahali watu wana elimu kubwa ya adui kuliko ya Mungu aliye hai. Mungu unisamehe kama nimekosea kusema hili
😢😢😢😢😢

amen