TATIZO MIMBA 😭❤️ Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 215

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 Год назад +52

    Leo watatu mimi naomba likes kama 20 hivi jamani please. Sijawahi kuwa tatu bora leo daaaaah Safi sana.

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Год назад +13

    Baadh ya wanume mnajisahau sana kama vitu vingine nivyakupita tu dunian haikai milele sasa Brawn ulijuwa Vick hatozaa atakaa na mimba miaka mia 🤣🤣🤣🤣good job 🔥💯

  • @MayadaBayser-ex1gn
    @MayadaBayser-ex1gn Год назад +4

    Safi sana victoria nimependa wew ni hodari unajua ninakupenda sana hongera jamani ni mim munaa kutoka daressalam

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Год назад +18

    Victoria umenikumbuka ile life nimepitia jamani 😢😢😢😢😢😢Allah atujalie nguvu singles mothers tulee watoto wetu inshallah 💖

  • @DorcasAlii-eu9vu
    @DorcasAlii-eu9vu Год назад +5

    Mafunzo mazuri xana,,,,tinah na Victoria good job

  • @SwaibaAmry-fk8no
    @SwaibaAmry-fk8no Год назад +25

    Jamaniii Tina apewe maua yakee mi naanz jaman❤❤❤❤❤

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 2 месяца назад +2

    Wanawake tunaweza mbona hongera daa Vicky 🎉🎉🎉❤

  • @habibuhanifa1090
    @habibuhanifa1090 Год назад +4

    Ila hongereni kwa funzo wengi Wana hizi tabia zakukataa mimba

  • @SaumuRuwa
    @SaumuRuwa Год назад +6

    Kweli kabisa dada victoria unasema ukweli❤❤❤nakupenda sana

  • @GershomWekesa
    @GershomWekesa Год назад +3

    I'm happy the way madam Vicky how you demonstrate your principle of deciding to remain assertive with your pregnancy and leave brown congratulations Mungu akuinue 🎉🎉🎉🙏🙏🙏

  • @husnahibrahimi
    @husnahibrahimi Год назад +5

    Safi saana vick umemkomesha brown maana wanaume ni mbwa tena heri ya mbwa ni mashetani kabisaaaa kazi nzuri sana vick na tina

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 Год назад +4

    Wow wamesikia hio ina wafaa sana wakwende mbali kabsa

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Год назад +7

    umenifuraisha Victoria ukomwisho lazma tuengangari wanawake😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Год назад +4

    Maichallah ongela zenu dada Victoria & tina mafunzo mazuli na amaadhili mema brown kuna wanaume kama ww wengi wajifunz kutoka kwako❤❤❤

  • @Zabibu-v7v
    @Zabibu-v7v Год назад +8

    Victoria kazi nzuri sana ata mm nlipokuwa na mimba nlifanywa kama ww jamaa kanitumia 10k ati nitoe mimba bt pesa ile nlinunulia nguo mtoto kbla sjazaa sai wangu yuko 4yrs na sjali napambana mwenyewe wanaume mashetani atar

  • @KABERE17
    @KABERE17 Год назад +12

    Kumbe Vicki waweza ongea kama Radio 📻 jameni 😂😂😂😂❤ nakupenda sana

  • @sadockyekonia6486
    @sadockyekonia6486 Год назад +2

    Tumpe maua🎉yake huyu mama jasiri

  • @EuniceJoel-m9i
    @EuniceJoel-m9i Год назад +4

    waoooooo Vicky naendelea kufurahia msimamo wako 🎉🎉🎉 Mungu azidi kuwa na ww kwenye maisha yako na kazi yako ya sanaa

  • @PhilipinerMawondo
    @PhilipinerMawondo Год назад +12

    Weee pole vicky ni uchungu but uvumilivu ni mzuri.umenikumbusha niliachwa na mimba na nikawekwa block yani huongei na yeye kabisa na baada ya kujifungua nilipata twins boy and girl na baadae alinisumbua anataka watoto weee mnafanya kazi nzuri mi nilikataa na watoto wangu saii wako 10 yr mimi ndie mama na ndie baba but Mungu pekee ndie anasaidia coz machozi kila siku ukikumbuka .

  • @Riziki.AliSalim
    @Riziki.AliSalim Год назад +4

    Kazi zuri sana ina mafundisho makubwa sana waume wenye tabia hii muache

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x Год назад +2

    Mafunzo mazuri Asanteni sana ❤👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @chidzodunda
    @chidzodunda Год назад +6

    Asanteni sana Victoria na Tina mafunzo n mazuri sana❤❤❤❤❤

  • @charitykatuveemutheu8056
    @charitykatuveemutheu8056 Год назад +3

    Hii nayo imenifuza sana yaani mwanaume akisha jua umejifungua mtoto amekuwa dio utaona mpuu anadai mtoto iyo nayo nasi mama na victoria mwanaume kaa uyo unamwambia una mtoto wake kipidi icho chite alikuwa wapi ❤❤❤ much love you daa victoria

  • @مسعودة-و5ي
    @مسعودة-و5ي Год назад +5

    Baba hiyo kwiyo😂😂nawapenda kinoma ❤❤❤❤

  • @FatmaMwinjuma-p5u
    @FatmaMwinjuma-p5u Год назад +4

    Nawapenda sanaaaa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Pauline-y6t
    @Pauline-y6t Год назад +4

    Umenifurahisha victoria❤❤❤❤🎉

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Год назад +3

    Tina congratulations snaaa nakupenda sana Allah awajalie kwa vipaji vyenu inshallah 🙏

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 Год назад +2

    Duuuh wanaume wa hvi wapo kwakweliiii mauw yenu chukueni 🎉🎉🎉🎉

  • @linetthoya6844
    @linetthoya6844 Год назад +6

    Congratulations Victoria dadangu wewe unastahili kuitwa mke kati yawanawake

  • @Daestoto
    @Daestoto Год назад +2

    Safi sana napenda ulivyomjibu

  • @Munezeroyvette
    @Munezeroyvette Год назад +3

    Kabisa Victoria umeshauli vizuri wanawake,mwanaume akikataa mimba wewe rea tu✅✅💕💕🇧🇮🇧🇮

  • @mkasihamad7225
    @mkasihamad7225 Год назад +4

    Ila Victoria unapenda kulia😢😢❤nakupenda sana❤❤

  • @abdullahsuleiman7601
    @abdullahsuleiman7601 Год назад +1

    Asanteeee Victoria funzo moja kali sana nimependa wababa lazima waelewe tuu😂😂

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru Год назад +2

    Uko sawa viki ❤❤❤kwenda kabisa mwanaume mpumbavu

  • @FredrickOuko-vp6io
    @FredrickOuko-vp6io Год назад +3

    Nawapenda sanaaaaa....❤

  • @vivi-laurentinevital4107
    @vivi-laurentinevital4107 Год назад +1

    😅😅😅 Vic umeamua kuongea kbx kumbe unaweza?? Hongera sana na Tina nimempenda sana

  • @زهرةكيني-ث3ل
    @زهرةكيني-ث3ل Год назад +6

    Safiiiiiii sana ❤❤❤

  • @faithnyambura-fo7fm
    @faithnyambura-fo7fm Год назад +4

    Hongera sana dada Vicky na Tina hakuna kupembeleza wanaume hii sambuli ya Brown❤❤❤❤

  • @MirandaYurica
    @MirandaYurica 7 месяцев назад +1

    Safi Sana Victoria❤🎉

  • @hellen5544
    @hellen5544 Год назад +2

    Hongera Victoria wanaume kama hao hawajitambui😂😂😂😂pole xana brawn

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад +4

    Victoria nakupenda sana 😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️

  • @khudraalihamid2329
    @khudraalihamid2329 Год назад +4

    Hongera snaaa Victoria kwa kaz nzuri ❤❤❤❤❤ bila kusahau na daa tima hongera sna kwa mafundish yenu maua kwa tina❤❤❤❤❤

  • @Mwanajumanassoro
    @Mwanajumanassoro Год назад +3

    Hongera sana dada vick

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 Год назад +5

    Brown Mimba sio kilema baba ss single mother ndio tupo 💪💪

  • @LetisiaNgoitanile-m3l
    @LetisiaNgoitanile-m3l Год назад +2

    Viki kazi nzuri nimeipenda

  • @KlopiFg484
    @KlopiFg484 Год назад +2

    Funzo nzuri dada Victoria ❤❤

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Год назад +1

    Funzo kwa kweli big up xna team brown ❤❤❤❤❤

  • @madazee4251
    @madazee4251 10 месяцев назад +1

    Congratulations ❤Vicky respects to all mom❤

  • @SergeKambale-mz5tn
    @SergeKambale-mz5tn Год назад +2

    Hongera sana da Victoria mungu akupe maisha marefu

  • @SarahEregwa-yd8rs
    @SarahEregwa-yd8rs Год назад +2

    Wee ee!! Movie nzuri

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 Год назад +3

    Mnamafunzo... Mazuri. Sana🎉❤

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Год назад +2

    Mashallah mtoto mzuri aki nawapenda kwa ajili ya Allah exactly 💯

  • @FrançoisJustin-e5n
    @FrançoisJustin-e5n Год назад

    Nawapongeza ôté kwa kazi munao ifanya asanteni

  • @AshaMalekela-o7t
    @AshaMalekela-o7t 10 месяцев назад +1

    Kaz nzur

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Год назад +3

    Awamu hii tinna Safi sana roho ya kipekee ❤❤

  • @fearful254
    @fearful254 Год назад +4

    Brown ujuwe nampenda victoria saaana usimsumbue

  • @silviaamakweliukweliutajul8395

    Ahsante victoria kwa ujumbe mzuriiii

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض Год назад +4

    Pongez san mama Victoria ❤

  • @TeresaBarasa-k4i
    @TeresaBarasa-k4i Год назад +1

    Tina Leo nimuziri sana nimekupenda tu bure❤❤❤❤❤

  • @agnesisilwimba4927
    @agnesisilwimba4927 Год назад

    V hongera Sana endeleeni kuelimish jamii

  • @FatoomahMohammad
    @FatoomahMohammad Год назад +4

    Nawapenda sana Victoria na tinah ❤❤❤❤

  • @eminadanieli5473
    @eminadanieli5473 Год назад +7

    Ndiyo dada Viktor chukua maua❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @RehemaAlly-h6x
    @RehemaAlly-h6x Год назад +3

    Nakupend xan vick wang ❤❤❤❤

  • @mlongo1170
    @mlongo1170 Год назад +1

    ❤❤❤💯wanaume wa siku hiz eeeeeeh

  • @Getrude-h3b
    @Getrude-h3b Год назад +1

    Mwanaume kimekiramba, lesson learnt

  • @SelineKwamboka-h5h
    @SelineKwamboka-h5h Год назад +4

    You ask a good question Victoria because kaa na yeye mamake angeitoamimba time alikua tumbling sai asingelikua hai ❤❤❤❤

  • @husnaharoun9812
    @husnaharoun9812 Год назад +1

    😂😂😂najikuta hasira inanivamia 😂😂 nimpge uyo brown kumbe ni movie

  • @NuruNdegwa-yg2bm
    @NuruNdegwa-yg2bm Год назад +1

    Wow Kaz nzuri watu wangu 🎉🎉❤❤

  • @NiyokindiSolange
    @NiyokindiSolange 4 месяца назад

    Umefanya sahii Victoria movie nzuri sana❤

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Год назад +2

    Next part ikuje harka please guys hii movie tamu xna na iko na mafunzo ❤❤❤

  • @annamnyazi8206
    @annamnyazi8206 Год назад +4

    Good job

  • @mobastian5050
    @mobastian5050 Год назад +2

    😂😂😂safi kabsaa

  • @paninah7195
    @paninah7195 Год назад +2

    Victoria nice❤❤❤❤

  • @lulumpeta6338
    @lulumpeta6338 Год назад +1

    Victoria kumbe ni mkali 🤔🤭,but big up vicky you're strong woman .

  • @EliasSangila
    @EliasSangila Год назад +3

    Good kamanda🎉🎉🎉🎉

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Год назад +3

    Umeweza vick ❤❤❤

  • @Thepoulfamily
    @Thepoulfamily Год назад +3

    Funzo nzuri dada Viki ❤

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز Год назад +6

    Tina naye kawa mtu mwema jamani mungu mkumbwa na pewe sifa

  • @hxjdjhxjdjdj2564
    @hxjdjhxjdjdj2564 Год назад +1

    ❤❤❤❤hongera mama

  • @toshaelias7138
    @toshaelias7138 Год назад +2

    Jamani kila siku mnanifuraisha

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 7 месяцев назад

    Kenya Watching, twapenda.

  • @matihassanmwachigutu-hq7ei
    @matihassanmwachigutu-hq7ei Год назад +1

    Hongera daa Vick nakupenda bure❤

    • @IreneRaban
      @IreneRaban Год назад

      Da. Vicki. Kuwa. Na. Musimamo. Huo. Huo. ❤❤❤❤❤

  • @84vero
    @84vero Год назад +1

    Hongera sana Victoria na brawn ❤❤❤

  • @RebeccaYacobo
    @RebeccaYacobo Год назад +2

    Nawapendaa bure jaman❤❤❤

  • @harosicharo2736
    @harosicharo2736 Год назад +1

    😢😢😢 kumbe wengi mungu atutie nguvu hongrra vicky❤❤

  • @CharityMulwa-nz4hw
    @CharityMulwa-nz4hw Год назад +1

    Vicky penda ww sana❤❤❤

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange930 Год назад +2

    Mi nampenda vicky

  • @EmmakulataElias
    @EmmakulataElias 7 месяцев назад

    Pole sana kaka angu ila usitegemee Victoria arudi katika maisha yako

  • @johnmakao7643
    @johnmakao7643 Год назад +1

    Safi sana mmeweza aisee

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Hongera Tina Kwa ushauri unaompa Vicktoria nmekupa maua❤❤❤❤

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 Год назад +7

    Brown jamani kila mtoto ana bahati yake. Utajuta kakangu.

  • @FaithKerubo-b6d
    @FaithKerubo-b6d Год назад +2

    Mafunzo mazuri🥰🥰

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr Год назад +5

    Victoria super woman

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Vicktoria mungu Yupo atakusadia Hyo kazi mnayo fanya Na Tina msichoke Moyo Mungu atampa rizik yenu

  • @faridahally6314
    @faridahally6314 Год назад +2

    Nmeona tina n Chizi kumbe n hali y maisha😂

  • @habibuhanifa1090
    @habibuhanifa1090 Год назад +2

    Yani kipindi kile hukumuitaji kwa ile mimba Leo hii Kawa mtamu 😅unatamani mtoto mmmmm ni kweli Victoria unapaswa kuwa namsimamo na huyo mwanaume 😅

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Год назад +2

    Bron majuto yamekua mujuku kumbe mtoto ni mutamu et ulivyo mutelekeza leo kikowapi😂

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 Год назад +1

    Kweli kabisa ❤️❤️❤️

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +3

    Vicky acans naye uyo mtotoni wa Mungu❤❤❤❤

  • @NashMary
    @NashMary Год назад +2

    Nzuri sana❤❤🇰🇪