NATASHA LISIMO ft OLIVINE FURAHA - Yesu ni Mshindi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 129

  • @officialmadamnica
    @officialmadamnica 6 лет назад +3

    Tangu mwanzo nilikwambia Mungu atakuinua sana.., we endelea kunyenyekea kwake utauona ukuu wa Mungu, be blessed

  • @reshmasaleeyu9754
    @reshmasaleeyu9754 6 лет назад +1

    Nimependa sana wimbo kama na ww umeuwelewa like hapa

  • @petermawope4921
    @petermawope4921 6 лет назад +32

    Like kama unamkubali natasha❤ God bless

    • @jepherally6472
      @jepherally6472 6 лет назад

      Jomooon am so much blessed with u natasha

  • @natashalisimo2075
    @natashalisimo2075  6 лет назад +19

    Habari, wapendwa wangu kutoka Kenya nawaomba sana mnipigie kura kwenye Xtreem Awards kwa kutuma 49M kwenda 22176. na Mungu awabariki sana kwa ukarimu wenu.nami nawapenda sana.. Pia wengine kutoka nchi nyingine nitawaambia utaratibu namna ya kunipigia kura asanteni sana

  • @sumamwamalekela1069
    @sumamwamalekela1069 5 лет назад +1

    Nakupenda dada katika Imani.ubalikiwe dada Mungu mwazilishi wa safari yako hata kuacha njiani.

  • @mhinajohn1548
    @mhinajohn1548 5 лет назад +4

    Natasha nimesoma comments mtu kasema umeimba sehemu moja nyimbo tatu eti hutoboi utarudi ulikotoka Mimi nakwambia wewe huduma hii imekuita utatoboa Mungu haangalii madhari anasikia kile unachohubiri kupitia uimbaji wako nakuhakikishia utatoboa matobo mengi hayatahesabika kama neti. Mungu akuinue zaidi ktk viwango vya juuu yani juuu zaidi. Barikiwa sana mtumishi

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 5 лет назад +1

    Nakupenda Natasha Mungu akubariki zaidi

  • @hadijainzari3601
    @hadijainzari3601 6 лет назад +2

    Kweli ufungu umeupataa dada c kwa kubarikiwa hukoooo 🙏🙏🙏🙏

  • @salamakasumba6961
    @salamakasumba6961 6 лет назад +1

    Usiogope wala kisikiliza ngurumo za kukukatisha tamaa maana alikokutoa ni siri ya moyo yako matopeni topeni akakuketisha na wakuu ataendelea kukupa heshima na kukufuta machozi.usichoke kusikiliza Mungu anakwambia nini.keep it up mdogo wangu.

  • @melekipoipo950
    @melekipoipo950 4 года назад

    Amen amen... courage à toi ma soeur Alvine Furaha. C'est une grande surprise pour nous. Toutes nos félicitations

  • @nrecords7222
    @nrecords7222 6 лет назад +5

    we dada nantazidi kukupenda hadi mwixho wa uhai wangu nakupenda sana dada angu na mungu akubariki katika kazi zako.

  • @denakafi5835
    @denakafi5835 6 лет назад +1

    natasha miye ni ndugu ya tresor lisimo, na sema mungu aku bariki una imba lingala muzuri saana

    • @mlingajr2071
      @mlingajr2071 5 лет назад

      dena kafi vraiment Dada yake tresor lisimo Natasha amebarikiwa sana na Yesu Kristo

  • @olivinefuraha3489
    @olivinefuraha3489 6 лет назад +8

    yesu kristo hakuna mwingine nahatakuepo ni wewe mushindi mungu wa kweli tena mungu wa haki.

  • @rvgcompany3798
    @rvgcompany3798 3 года назад

    Kwa mahitaji ya video nzuri za viwango karibu sana RVG COMPANY LTD.

  • @maryraphael7810
    @maryraphael7810 6 лет назад +1

    Mungu azidi kukushikilia Natasha,usirudi nyuma uendeleee kwenda mbelee,iko vizuriii Sana'a

  • @tugesyegemwakatumbula8125
    @tugesyegemwakatumbula8125 6 лет назад +4

    dada Natasha nakosa neno la kusema, ila ubarikiwe zaidi

  • @goodluckkakingo6347
    @goodluckkakingo6347 5 лет назад

    Mungu kakupa karama yakuimba mtumikie hivyo mpaka mwisho

  • @augustinkamate1663
    @augustinkamate1663 2 года назад

    Muziki mwema inayo ni gusa. Nayebi Kaka yeeeee yesu

  • @alicemwamini2008
    @alicemwamini2008 6 лет назад +7

    Zambe bolamu, Que Dieu vous benisses👏

  • @catherinechuma3596
    @catherinechuma3596 3 года назад

    Dada zangu mnanifariji Sana napenda wimbo huu

  • @yohanalukasimundo3544
    @yohanalukasimundo3544 6 лет назад +1

    hii ni fire, napenda hpo obima le champion

  • @betrecmkwasa9891
    @betrecmkwasa9891 6 лет назад +1

    Uko vzri ukoseagi Dada

  • @emmanuelnaiman4228
    @emmanuelnaiman4228 4 года назад

    EVEN YOUR DRESS BLESS ME.
    be blessed da natasha

  • @mcmwasha9668
    @mcmwasha9668 6 лет назад

    Kazi nzur sn,hongera

  • @bijouakatch6847
    @bijouakatch6847 6 лет назад

    Abima le champion

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 6 лет назад +6

    Dada Natasha huuu moto naona unatoka kwa yesu mwenyewe, Barikiwa sana Dada Yangu,

  • @happydulla4768
    @happydulla4768 6 лет назад +7

    Nice song dada MUNGU azidi kukuinua Hakika nyimbo zako zote zina nibariki

  • @matridampiluka4637
    @matridampiluka4637 6 лет назад +2

    Hongera sana Natasha nyimbo zako zinanibariki sana

  • @elyzerdeshow1441
    @elyzerdeshow1441 5 лет назад +1

    fantastic,,,

  • @naomigodwin6232
    @naomigodwin6232 6 лет назад +3

    Dada kaz nzur madhal nzur ila badil mazngira ya baharn uje na flavour mpya na rang nyeupe japo yawakilisha usaf Mungu aendelee kukuinua cku hadi cku

  • @violtimoth770
    @violtimoth770 6 лет назад

    Tumepewa Jila laYesu tu👌👌

  • @sandrakitcha1122
    @sandrakitcha1122 6 лет назад +1

    Jésus est le Champion

  • @dedebukasa716
    @dedebukasa716 6 лет назад

    Jesus le champion.
    Beautiful song.
    Nzambe a pambola bino my sisters.

  • @amoschisaka9482
    @amoschisaka9482 5 лет назад

    Apo sasa duh umekua tena uko safi sana baraka tele ata kama sielewe ile na barikiwa tu

  • @neyney390
    @neyney390 6 лет назад

    hata mimi nina hakuna jina lingine isipokuwa jina YESU

  • @pendondosy5817
    @pendondosy5817 6 лет назад +8

    kazi nzuri Dada mungu aendelee kukuinua zaidi

  • @heavykingdomworship
    @heavykingdomworship 6 лет назад +3

    Only the name of LORD JESUS,,,,,UBARIKIWEE KWA NYIMBO NZURI DADA Yangu katika Jina lenye ushindi dhidi ya vyoteee

  • @irenembise1618
    @irenembise1618 6 лет назад

    Zuri sana tena zaidi sana

  • @irenembise1618
    @irenembise1618 6 лет назад

    Ameni

  • @sukumatanzania8778
    @sukumatanzania8778 5 лет назад

    Wimbo ume nitowa machozi

  • @catherinechuma3596
    @catherinechuma3596 3 года назад

    Loving this song to the fullest ningeependa kufanya cover ya huu wimbo

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 лет назад

    Kazi nzuri sana.ila video sijui ni rangi au simu yangu.mama siwaoni vizur

  • @lucybhujo6774
    @lucybhujo6774 6 лет назад

    Barikiwa sana

  • @farajacharles193
    @farajacharles193 5 лет назад

    Good song my cc

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 2 года назад

    HALLELUJAH

  • @mandyall5851
    @mandyall5851 6 лет назад +1

    Am pound to be Congolese God bless you sisters

  • @justinendondi7185
    @justinendondi7185 4 года назад

    Kitoko makasi

  • @benytweve8392
    @benytweve8392 6 лет назад

    👏👏👏👏 nyimbo zako zina nibarika sana dada

  • @neemamasaoe2077
    @neemamasaoe2077 6 лет назад +2

    Mbarikiwe na Bwana Yesu

  • @officialallysonchalz4714
    @officialallysonchalz4714 6 лет назад +2

    balikiwa na yesu

  • @tresorlisimo3917
    @tresorlisimo3917 6 лет назад

    Amen Amen que le Seigneur vous bénisse a tous égard au nom puissant de notre Sauveur JESUS CHRIST de Nazareth 100 ans de pouvoir Succès ful 🎼🔊🎼🎤🎻🎷🎺📯🎶📯

  • @hjklhjkl4108
    @hjklhjkl4108 6 лет назад +3

    Mungu aendelee kukuinua siku Hadi siku

  • @beatricepascal2119
    @beatricepascal2119 6 лет назад +1

    Mungu azidi kukubariki utimize malengo yako,usahau maumivu yote,barikiwa sana

  • @exaveryngonji8761
    @exaveryngonji8761 6 лет назад

    Yesu Ndo kimbirio retu

  • @janekigosi6418
    @janekigosi6418 6 лет назад

    Yesu wanitosha!

  • @horebbulambo3644
    @horebbulambo3644 2 года назад

    Blessings sister Olivine

  • @WandigaKalambwada
    @WandigaKalambwada 6 лет назад +1

    Hallelujah. I love this

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 5 лет назад

    Asante Dada.

  • @nessa4899
    @nessa4899 6 лет назад +2

    Nice one

  • @majengostudio2031
    @majengostudio2031 5 лет назад

    ubarikiwe natasha karibu kigoma pia usiache kufika katika studio zetu za power music zilizopo hapa mkoani kigoma kwa huduma za music recoding

  • @zachariaglory9625
    @zachariaglory9625 6 лет назад

    Nakupenda Natasha, Mungu aendelee kukuinua

  • @glorytwanga1611
    @glorytwanga1611 6 лет назад

    Kax nzur hongera dada

  • @alicemwamini2008
    @alicemwamini2008 6 лет назад +3

    Yesu ni mshindi❤👏

  • @hamidankata2590
    @hamidankata2590 6 лет назад

    Dah, burudani saana, God bless

  • @noelpaul934
    @noelpaul934 6 лет назад +1

    Hongera sanaaa nyimbo nzuri

  • @jescamwihava2550
    @jescamwihava2550 6 лет назад

    Amen amen

  • @jeanmatendoGem
    @jeanmatendoGem 4 года назад

    Congratulations

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 лет назад

    Amen amen barikiwe wote two I love you guys, you are blessings my soul

  • @aimerancenaliahamwabo4831
    @aimerancenaliahamwabo4831 2 года назад

    Bien sn

  • @elizabethmyula982
    @elizabethmyula982 6 лет назад +2

    mungu ni mwema akupiganie ck zote

  • @marychallo843
    @marychallo843 6 лет назад +3

    Mbarikiwe

  • @middleyoung4116
    @middleyoung4116 6 лет назад +2

    hiko guda guda sana

  • @allymwamkamba5559
    @allymwamkamba5559 6 лет назад

    Hongera dadaangu

  • @rosedavid7600
    @rosedavid7600 6 лет назад

    Uzidi kubarikiwa nakupenda sana

  • @berthamatayo1915
    @berthamatayo1915 6 лет назад

    Barikiwa zaidi

  • @queenm1875
    @queenm1875 6 лет назад

    Nyimbo nzuri ubarikiwe dada

  • @izzodauden958
    @izzodauden958 6 лет назад +3

    Barikiwa sana dada

  • @jenambarikiwa4554
    @jenambarikiwa4554 6 лет назад

    Amen

  • @berthampandagoya7143
    @berthampandagoya7143 6 лет назад +1

    Awesome mum

  • @elizabethjackson5497
    @elizabethjackson5497 6 лет назад

    ameni ameni akunajinajingine isipokuajinalayesu

  • @gloriajulius8721
    @gloriajulius8721 6 лет назад

    ❤❤❤

  • @jeannedon8832
    @jeannedon8832 6 лет назад

    ❤️❤️🙏

  • @maggymgoma891
    @maggymgoma891 6 лет назад +1

    💃💃💃💃💃💃💃

  • @bantononemmasy7862
    @bantononemmasy7862 6 лет назад

    nimotooo

  • @clementsapanjo9159
    @clementsapanjo9159 6 лет назад

    nice

  • @rev.johnsonpokeaeli5871
    @rev.johnsonpokeaeli5871 6 лет назад

    Make up imezidi hiyo

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 6 лет назад

    kulikuwa na ulazima gani wa kutoa video hii, video moja nyimbo tatu!!?
    wimbo wa "nimeupata ufunguo" umerekodi video hapo, "mfariji" nao hapohapo na huu ni wimbo wa tatu sasa,unaimba wimbo ukiisha unaendelea mwingine hapohapo kwa style hii hutoboi utarudi kulekule mitaroni

    • @georgegasto3982
      @georgegasto3982 6 лет назад +1

      Hayo ni mawazo yako tu ndugu huku hatutegemei video ndo zinamtoa mtu bali kibali kutoka kwa Mungu kupitia Yesu Kristo

    • @natashalisimo2075
      @natashalisimo2075  6 лет назад +6

      baltzr luus angalia unachokiandika kisije mkwaza Mungu . Anaejua hatma ya mtu ni Mungu pekee ... Mungu atatenda kwa Utukufu wake juu ya huduma alioweka ndani yangu

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 6 лет назад

      Hujajua ukuu wa MUNGU ndo maana unasema hivyo.siyo kosa lako

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 6 лет назад

      Kibali kinatoka kwa MUNGU video nzuri ni nyongeza ti

    • @petronilaholo2561
      @petronilaholo2561 6 лет назад

      Sikiza ujumbe si kumchamba mwenzio hatima yake iko kwa Mungu. Natasha I love your songs zinainua moyo wangu na kunifajiri. More love from Kenya