Mheshimiwa Masauni, Hatua za kisheria zichukuliwe haraka Sana.Hamna cha uchunguzi hapo.Hao Askari wapigwe viboko 40 huyo Mama akishuhudia. Huo ni udhalilishaji wa haki Ya Mama na Mtoto..Naiomba serikali imlipe fidia Mama Kwa mkasa huo uliompata..
Joseph Materu ..Alafu haya Mambo yanajirudia rudia Alafu watu wamenyaymaza.. Kuna yule wa Kanda ya Ziwa Nae walimuweka Mahabusu na Kichanga..hadi kikafariki..Duuuh..! Yaani ni shidaa Uchunguzi wa nini kwanza wanamuwekaje Mahabusu na Pia Kama ni Kumshikilia Ingetafutwa namna nzuri Hasa kwa mtu ambae hali yake ya kiafya au chochote kilee...Kuna vitu havitaki hata elimu Ya Shule kufanya.. Polisi ni Wanyama tu wakati mwingine na Shida ya Serikali Hii Kukiri Makosa Ni Shida saana na hata kujitetea kwenye Shaka tupu.. Umekosea umekosea tu Hamna namna..
Manen tu unajing'ata hapo mkiri makosa tu na jesh la polis ambalo kila siku linapigiwa kelele sasa uchunguzi gan wakat mtu drtails za watu waliomkata wanajulikana mama kajifungua kituon na polic wenyewe wanashuhudia uchunguzi gan, huo siasa had kwa maisha ya watu jaman
wamemuonea sana huyo mtoto. jamani akina mama tumlilie Mungu wetu attuhurumie
good mhe nasary
Mheshimiwa Masauni, Hatua za kisheria zichukuliwe haraka Sana.Hamna cha uchunguzi hapo.Hao Askari wapigwe viboko 40 huyo Mama akishuhudia. Huo ni udhalilishaji wa haki Ya Mama na Mtoto..Naiomba serikali imlipe fidia Mama Kwa mkasa huo uliompata..
Inaruhusiwa kusoma katiba kwenye simu
kesi ya mume mke inamuhusu nini?
huyu mpuuz unasoma katbu bungen kwenye smartphone upuuuz huooo
daaaaaah
Yan Mambo Yanavyo Kwenda Cku Hiz Unyama Unyama tu Watu Hawafanyi Kazi Kwa Weredi Nisifa tuu
Joseph Materu ..Alafu haya Mambo yanajirudia rudia Alafu watu wamenyaymaza.. Kuna yule wa Kanda ya Ziwa Nae walimuweka Mahabusu na Kichanga..hadi kikafariki..Duuuh..! Yaani ni shidaa Uchunguzi wa nini kwanza wanamuwekaje Mahabusu na Pia Kama ni Kumshikilia Ingetafutwa namna nzuri Hasa kwa mtu ambae hali yake ya kiafya au chochote kilee...Kuna vitu havitaki hata elimu Ya Shule kufanya.. Polisi ni Wanyama tu wakati mwingine na Shida ya Serikali Hii Kukiri Makosa Ni Shida saana na hata kujitetea kwenye Shaka tupu.. Umekosea umekosea tu Hamna namna..
Mmmmmmh napita tu ndoo mumkamate mama mjamzito wakat ali yake mnaijua hebu achan unyama huo
Sasa uchunguzi wa nn wakati kituvkishatokea kinachotakiwa ni askari walio husika wachukukiwe hatua na kupewa retraining against unyanyasaji
Anaeleza upuuzi mtupu munachunguza nin wakati jambo linaeleweka
Mh 😭😭😭

Duuuuu