Utarudi Kwenu 😱//I'll Never Do This To My Girlfriend Again

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 1 тыс.

  • @nancykingori3756
    @nancykingori3756 Год назад +12

    I think keshi has good heart, ingekua Mimi ningekua na zote Kwa sahani yangu Moja Niki kula zote

  • @modestawakhu
    @modestawakhu Год назад +33

    When it comes kwa story na prank mr jembetile never disappoints😂and by the way congratulations our chibu for 1million views kwa habibi ❤

  • @luciendegwa1313
    @luciendegwa1313 Год назад +17

    Napenda Gee. She's Soo humble and such a peacemaker❤❤❤

  • @Ngiks9588
    @Ngiks9588 Год назад +14

    Keshi our girl umepatikana😂😂😂😂😂 mr Jembetle padisha kabisa💙💙💙💙💙💙💙

  • @dianaatieno1564
    @dianaatieno1564 Год назад +12

    Manze Gotea Davy saana .,mtu akimuona hivyo huwezi sema ni dancer 😂...can't believe sai ni Director c ni God manze hee was my favourite dancer alitufunza TD hapo gaffe catho team lameck and best soloist Eng.......to more love keshi and Niko.....Vinny muko best mbaya

  • @otaigomwita3643
    @otaigomwita3643 Год назад +23

    Vinny anakula too ata akisemanga ni mbaya😂😂😂💙💙💙💙💙

  • @Isaro_16
    @Isaro_16 Год назад +16

    Gee is a supportive friend, she kept eating food despite the argument ❤❤

  • @shelmithkinyua254
    @shelmithkinyua254 Год назад +19

    When vinny and biko seen together something is about to happen and its big,loving the unity

  • @fsi-kiza9920
    @fsi-kiza9920 Год назад +43

    When you are hungry like Davy, it doesn't matter what the food smells like🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣....Davy you rock!!!!!👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👊🏿

  • @bridgetkaindi3482
    @bridgetkaindi3482 Год назад +139

    I can't imagine how much, Keshi amejitolea kupika alaf mnaongea ivo magunia nyinyi😂😂❤❤❤

    • @keshibiko
      @keshibiko  Год назад +8

      Aki imagine🤦‍♀️🥺

    • @joanne_idewah
      @joanne_idewah Год назад +3

      Magunia kabisa😂🤣🤣🤣🤣

    • @leatimoth3611
      @leatimoth3611 Год назад +4

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂magunia watawachana na keshi 😂😂

    • @bridgetkaindi3482
      @bridgetkaindi3482 Год назад +2

      @@leatimoth3611🤣🤣🤣

    • @bridgetkaindi3482
      @bridgetkaindi3482 Год назад +2

      @@joanne_idewah eeh kabisa 🤣🤣

  • @reginawangu1482
    @reginawangu1482 Год назад +8

    Yani Keshi anapika Biko unamuanza aty hajui kupika tunakukujia tu ...much love Keshi unajua kupika na team Keshi hatutishwangwi

  • @Mellan-kendi
    @Mellan-kendi Год назад +93

    When i grow up i want to mind my own business like davy😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @frolencemwangi5639
    @frolencemwangi5639 Год назад +21

    Bikoless na msaa💙💙how can you hurt our charming gal 😡😡😡we are coming Biko hautapenda coz utachange laughing style anyway keshi pole nawapenda
    Still nikungonja Hadi matumbo iumie ok my eyes on you❤❤❤❤❤

  • @TreezerAyugi
    @TreezerAyugi 8 месяцев назад +2

    Ati hiyo ni ulafi inaongea😂😂😂

  • @phyllismunee9366
    @phyllismunee9366 Год назад +34

    Davie got me weak 😂😂😂he is just enjoying as they complain 😂😂

  • @ubetiwashairi4913
    @ubetiwashairi4913 Год назад +32

    When Biko and Vinny meet 🔥🔥🔥🔥 you always know it's about to go down 😅😅😁😁😆😆

  • @fridahwayua9393
    @fridahwayua9393 Год назад +6

    Gee is very humble I like her,,ona mahali amekaa

  • @jemmynanah9577
    @jemmynanah9577 Год назад +12

    Davy mtoto mzuri ni tumbo ebu kula wachana na walio shiba😂😂

    • @Reborn_rock
      @Reborn_rock Год назад +2

      Hukosi wewe ni mkikuyu 😅😅😅 direct translation

    • @davidmusuku2282
      @davidmusuku2282 Год назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @vee-nillah..
    @vee-nillah.. Год назад +4

    Iko na taste fulani inanuka battery,,Mara sabuni,,,Mara sewage unga ni ya animal feed,,,davy unakula tu Ata hujihurumii,,ni chakula ya ngurue😂😂😂😂

  • @carolynzshiro-gz5uk
    @carolynzshiro-gz5uk Год назад +7

    Aki I felt for keshi vle kaukua ka pole,alfu vinny kuchocha aty uku akuna pusi ,mara food ya ngurue mara Davy ako njaa woiiye sa Davy amedoo nini 😂😂😂,mnaconfuse Davy na yy ako njaa 😂😂😂😂

  • @annastasianyaguthii6664
    @annastasianyaguthii6664 Год назад +38

    We need to see Davie more 😂😂all this video I was just looking at his facial expressions 😂😂

  • @romeodavid238
    @romeodavid238 Год назад +28

    You guys you might noy actually realize what you have made together,but you are and will be big always stick together your chemistry is the secret.

  • @ericgichuru7782
    @ericgichuru7782 Год назад +8

    I love how Vinny n biko get along n the way keshi n gee huwa mature

  • @margaretnjoki3836
    @margaretnjoki3836 Год назад +16

    Team keshi let's gather here vile tutakufanyia Niko you will cry Vinny chocha tu😂😂 humble gal 🌹 keshi pole

  • @GICHUKAS
    @GICHUKAS Год назад +18

    Huyo morio ako hapo kando hatambui maneno ya biko na vinny,,yeye anakula to😂😂

  • @anitahvivian7668
    @anitahvivian7668 Год назад +11

    😂😂😂😂This was a banger aki,,,Keshi we are waiting for a come back girl❤❤

  • @JuliahGathoni
    @JuliahGathoni Год назад +6

    Ghaaii vinny chakula ya nguruwe😂😂😂😂hiyo n kali

  • @Ronnie_254
    @Ronnie_254 Год назад +1

    Mr Jembetile kuchoma nayo uko na experience.. Waaah!!.ati matawi wamechuna??.. EMOTIONAL DAAAMAGE!! 😂😂😂😂😂😅

  • @mercykamau4360
    @mercykamau4360 Год назад +11

    Vinny ati inataste batery😅😅😅😅.Ati Davy hiyo ni ulafi inaongea.Aki Vinny upigwe na thunder 😂😂

  • @aliceogendo
    @aliceogendo Год назад +8

    Akii woishee Keshi😂😂😂😢.Finally Biko did it.❤❤💜🧡💜🧡🧡💜❤❤.5pm tunakungonja...

  • @luccieclarah1117
    @luccieclarah1117 Год назад +7

    Biko Mimi nimebaki hapo Vinny alisema food inanuka battery...I felt for keshi😢

  • @philiskadenyi6252
    @philiskadenyi6252 Год назад +13

    Vinny anasema kimoyomoyo hii prank itaisha saa ngapi aendelee kula😂😂😂

    • @teizy8518
      @teizy8518 9 месяцев назад

      Walai tena woiyeee 😂😂😂😂

  • @freddiemike2905
    @freddiemike2905 Год назад +59

    I like the way Biko and Vinny value the almighty God.
    That He is limit-race.
    And sorry for the ladies,it was just a prank for entertainment.
    Otherwise thanks guys for that good entertainment.

  • @rebeccasammy2502
    @rebeccasammy2502 Год назад +19

    Chibu you always kill it ,wherever I see you I know is a banger banger you never disappoint

    • @marymwaura1901
      @marymwaura1901 Год назад +1

      Mwanzo hapo Kwa kutaste Betri na paka ikuje ikule😅😅😅

  • @njeringugi.
    @njeringugi. Год назад +22

    😂😂😂 but i love the way davi humind his business kila time😂😂😂❤

  • @OmbatiMelvin-ie1gq
    @OmbatiMelvin-ie1gq Год назад +3

    You've done keshi bad,aki woshe see how speechless she's at first,keshi itabidi umetoa one hot come back for biko and Vinny, team keshi coming 🔥🔥🔥 much love to you all ❤

  • @honeyline09
    @honeyline09 Год назад +11

    The way keshi is so calm about the whole issue and the patience heeh😍😂ningekua nimekupiga na hio ugali😂😂

    • @faithgillian2093
      @faithgillian2093 9 месяцев назад

      She already knows it's a prank so she plays along Ili asichome

  • @janetwanjiru6558
    @janetwanjiru6558 Год назад +3

    😂😂aky Keshi aty ka Biko anataka aekewe food kwa sufuria😂😂.....You and Gee are so calm 😊😊😊love you sana, Team Biko we coming for you , Keshi do your thing 😅😅😅😅

  • @Shylashanny
    @Shylashanny Год назад +24

    Always ready to watch your amazing videos .. waiting 😊❤❤

  • @teizy8518
    @teizy8518 9 месяцев назад +1

    Vinny kumbe ulikuwa tuun unapretend n unataka.aty wengine wanakula kama fundi,ulafi inaongea ,,, na vinny anadondosa tuuh mate 😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂

  • @florencendirangu4999
    @florencendirangu4999 Год назад +23

    Vinny makes everything fun😂😂,,

  • @moureenkagema7981
    @moureenkagema7981 Год назад +1

    Mm cjapenda vile walai i couldn't hold my tears aky keshi si rahisi afike hiyo point ya kulia😢😢😢 biko team keshi we are coming for you hautapenda..anyway you got her good but usikue unafanta hadi kalie kanafanya kakua emoshono😢😢😂😂😂😂😂

  • @veemunyoki
    @veemunyoki Год назад +10

    Hadi Biko amefunguanisha dred ju ya mashakura!!!!!!
    Can't wait

  • @graciouskembz9756
    @graciouskembz9756 Год назад +11

    Vinny "Kuna taste ingine kama battery, hebu niskie".. nimeisha 😂😂😂😂

  • @galtoto3827
    @galtoto3827 Год назад +12

    Davie ako like "ama ni combine hizi mboga na mayai ya Biko na Vinny hii story iishe tu"😂😂😂😂

  • @Poppinpac11
    @Poppinpac11 Год назад +1

    Hiyo dredi iko fine ivi Sasa si ka imefungwa😂✌️🔥

  • @OtirnoGito
    @OtirnoGito Год назад +28

    The part inanuka battery got me😂😂

  • @gracenjeri9527
    @gracenjeri9527 Год назад +3

    Davie for me😂Gee enda upange hii food ugali apa ma mayai pale

  • @brendakagendo5670
    @brendakagendo5670 Год назад +11

    Vinny anauliza mwingine kama anakula tu 😂😂😂😂😂na pia yeye anauliza ni saa gapi hii prank inaisha nimalizane na yangu😂😂😂

  • @ImmaCulate-u8k
    @ImmaCulate-u8k Год назад +5

    The ending for me 😂😂😂😂 table turned 😂😂😂keshi na gee pamoja ni kunoma 😂

  • @shikudaphne_
    @shikudaphne_ Год назад +7

    Not Davy taking biko's plate😂😂😂

  • @shayannshaillan1801
    @shayannshaillan1801 Год назад +53

    I laughed my lungs out when Vinny was telling gee eti wewe unakula tu hapa kama fundi😂😂

  • @anthonyanthonius8757
    @anthonyanthonius8757 Год назад +3

    "Mnakula ka fundi" its a banger

  • @KatelineAtieno
    @KatelineAtieno Год назад +1

    😂😂😂😂😂Davie we kula tu hata waseme aje we kula😂😂😂I love you @keshi &Biko❤

  • @sasharajab1228
    @sasharajab1228 Год назад +3

    Vinny got me on the floor ati inataste battery 😂😂😂

  • @faithwanja1785
    @faithwanja1785 10 месяцев назад

    Davyie your presence kwa hii channel muhimu,you always contributes and looks like a real comedian. 😂

  • @africanqueen9139
    @africanqueen9139 Год назад +6

    I feel for Davie more than kina keshi.... Hakuna feeling mbaya kama kujishuku, unashangaa kwani wewe uko dunia gani,, worst feeling ever

  • @sharlynephill
    @sharlynephill Год назад +1

    Keshi I thought you won't cry ,,,come back biko alie

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Год назад +7

    It's Davy taking all of the food🤔🤔🤣🤣🤣🤣
    Pitieni kwangu

  • @Ronnie_254
    @Ronnie_254 Год назад +1

    Ati Mr Jembetile unataka kuskia taste inataste ajy.. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HafsaOuro-koura
    @HafsaOuro-koura Год назад +14

    La fin m'a trop plu😂😂😂 ça vous apprendra à faire ce genre de prank 😂😂😂😂. Si je vous dit que je ne comprends pas votre langue mais toujours la à vous regarder 😂😂😂 je vous aime trop ❤❤. C'est Ruih Family je regardais quand ils ont commencé le début avec le prank dans lequel Moh s'tait évanouie et depuis je suis calé nebz&nathira, gee et son chéri, the bulls family,the brodiesfamily,wambo Ashley, bref tous les amis des Ruih family, tout dernièrement King David family. Vraiment je vous aime trop. Des cœurs ❤❤❤ sur vous depuis mon petit pays le togo 🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬

    • @allanmwangoma4925
      @allanmwangoma4925 Год назад +1

      Bienvenu, même si tu ne comprends pas la langue vous êtes bien accueilli. Moi, je comprends😊 Amuses toi bien

    • @davidlyimo6002
      @davidlyimo6002 11 месяцев назад

      Il faut apprendre le swahile si tu as benson de profiler ces contenus

  • @agnesbarno3029
    @agnesbarno3029 Год назад

    Team jembetile haki nyinyi ,......Keshi our girl,we are going for them mpaka jembetile ikatae kazi

  • @saumuwakesho4717
    @saumuwakesho4717 Год назад +2

    Hahahhaha chibu ATI inatest beta biko, 🤣🤣🤣🤣 love u guys

  • @MarkLonny-zd2ps
    @MarkLonny-zd2ps Год назад +2

    Leo ni ile siku 2 premier video both keshi na biko in 🥰🥰 seems my lucky day

  • @Faith_K
    @Faith_K Год назад +3

    Eeeeeyy,Biko and Vinny's introduction part of the video manze😂😂😂😂

  • @bigmanvinnie2667
    @bigmanvinnie2667 Год назад +1

    Davie ametulia ni aji😅😅😅eti ni ulafi ianongea...manh kijana yetu

  • @georginangure007
    @georginangure007 Год назад +5

    "Siukule tropical "😂😂😂Davie akisema
    Na Vinny akiambia gee anakula kaa fundi😂😂😂😂😂😂😂

  • @shemilahbarasa8245
    @shemilahbarasa8245 Год назад +2

    Chakula ya nguruwe was just chilling then boom Mr jembetile akaitaja😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Keshi woiye pole😢Davy unakula tu hauskii food inakaa ya sewage😅😅😅😅😅😅

  • @annwanjira
    @annwanjira Год назад +16

    Vinny :. Nani akona paka Kwa hii apartment niipe hii food🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shemilahbarasa8245
    @shemilahbarasa8245 Год назад +1

    Davy ati unakula kama mtu wa mjengo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @perpetualmutinda3754
    @perpetualmutinda3754 Год назад +35

    Like seriously Vinny ety ni food ya nguruwe I felt for keshi 😢😢

  • @agneskanai2359
    @agneskanai2359 Год назад +4

    It's Davy for me😍😍😍😍ama Ako njaa😍😍😍

  • @qeziDenMich
    @qeziDenMich Год назад +8

    vinny telling biko hiyo ni ulafi inaongea it got me on the floor 😂😂😂

  • @abukiisaac3976
    @abukiisaac3976 Год назад +2

    😂😂😂😂 munafanya devvy anajishuku😂😂😂 walai hii si poa 💔 vinny will kill me one day ety food ya nini...😂😂

  • @emmanuelkibet6197
    @emmanuelkibet6197 Год назад +17

    Vinny Flava is one good comedian😂

  • @juanitahkieti9609
    @juanitahkieti9609 Год назад +2

    Niongezee yangu imeisha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @gentrixkhasiro
    @gentrixkhasiro Год назад +9

    Davie don't want to know either the food is bad or good 😂😂😂

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Год назад +3

    Davie's minding his business🤔🤔
    Mr jembetile💙💙💙💙💙💙💙chakula ya nguruwe ni gani🤣🤣🤣🤣
    Hugs keshi❤
    Pitieni kwangu

  • @daglouskaranja5648
    @daglouskaranja5648 Год назад +6

    Vinnie amepandisha 🤣😂

  • @lynnI130
    @lynnI130 Год назад +2

    From Vinny and Gee's channel. Great content!

  • @lavendarandisi6196
    @lavendarandisi6196 Год назад +4

    Aki this Davie guy made it funnier 😂😂😂

  • @SylviaMacharia-e7w
    @SylviaMacharia-e7w Год назад +2

    Vinny is like tuitieni chakula ka ni tamu😂

  • @rachealgichenga2797
    @rachealgichenga2797 Год назад +18

    Its Davy for me “mnanifanya nijushuku ama ni mm nko njaa” alafu anarudisha ka ugali😂😂😂😂😂😂😂

  • @aicypeshy
    @aicypeshy Год назад +2

    😢😢😢😢😢really this was so bad ,,team Gee,and team keshi we coming for you,,,😂😂😂😂😂alafu it's how Vinny alibakii na ugaliinkwa mkono,,😂😂😂woiyee chukuenii key muende😂😂😂

  • @wanguii_ruth
    @wanguii_ruth Год назад +8

    Me looking at Davie enjoying the meal😂😂😂😂Davie anashindwa iko na shida gani😂

  • @shayannshaillan1801
    @shayannshaillan1801 Год назад

    Biko tunakukamia na fujo,,you made our cutie to shade tear's 😢,makosa hio,comeback lazima,its high time ujue vile tunapenda our ghal

  • @Easy-d9k
    @Easy-d9k Год назад +3

    Aki c you gift me with one bed nalala chini ndo nmeanza life 😢you would be a blessing to me just as moreen and commentator was to yours God bless you

    • @CHEMABIRR
      @CHEMABIRR Год назад +3

      Hata uwezi ngoja kitanda mpya imalize mwezi ushanza kuomba.......

    • @Shirovenny
      @Shirovenny Год назад

      😂😂😂

    • @phyllismaina1155
      @phyllismaina1155 Год назад

      ​@@CHEMABIRR😂😂😂😂😂😂kill me

    • @tracyhatipher239
      @tracyhatipher239 Год назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @Joytotheworld599
    @Joytotheworld599 Год назад +2

    This made my night walai. Me to nakumbuka niliambiwa sijapika vizuri food nalia mpaka hiyo food sili but sai nishazoea napika mashakura kwangu or odder 😂😂😂

  • @Makena3010
    @Makena3010 Год назад +6

    😂😂😂 Vinnie hii chakula ya nguruwe😂😂

  • @faycheps7193
    @faycheps7193 Год назад +1

    😂😂😂😂unga Niya animal feed😂😂😂aki Vinny ,paka tenah kwa apartment 😅😅😅Biko nae amekazana heri angekula injee😂😂😂😂😂

  • @stellahpedoo7488
    @stellahpedoo7488 Год назад +4

    I felt for you keshi😢😢 ungewanyang'anya hiyo food 😂😂😂

  • @lucywanjira5481
    @lucywanjira5481 Год назад +2

    KESHI ketu hakajui kujitetea pole baby gal we're coming back with a hot one

  • @Kambi-jm2uu
    @Kambi-jm2uu Год назад +9

    Team Kesho all thru 💕

  • @nancygitonga4860
    @nancygitonga4860 Год назад +2

    Hey, nlikuwa nmemiss vinny flava ak 💙💙

  • @katiewaruinge
    @katiewaruinge Год назад +6

    Woooiieee keshii wangeshii😢😢❤❤

  • @eunicemukethi567
    @eunicemukethi567 Год назад +2

    Its Davie reaction for me 😂😂😂😂the ending imekua tamuu❤

  • @SylviaWaruguru-w4z
    @SylviaWaruguru-w4z Год назад +5

    apo kwa Vinny aty hii food inakaa ya nguruwe surely 😂😂😂

  • @velmakalui1431
    @velmakalui1431 Год назад

    Aki Vinny ati 😂😂😂😂😂hii chakula Iko na shida ,, chakula ya ngurue for real 😂😂😂😂😂,, more love guys

  • @loiceanyona3490
    @loiceanyona3490 Год назад +32

    When u see Biko and Vinny together we just prepare our ribs

  • @bethkariuki6441
    @bethkariuki6441 Год назад +1

    Aki huwezi Fanya keshi hivyo mkiwa na Mr jembetilee😂😂😂