Uchambuzi wa penati la Simba ikiichapa JKT Tanzania 1-0 NBC Premier League 24/12/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 305

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 20 дней назад +2

    Hongera sana wachambuzi. Mnatuelimisha vema.

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 20 дней назад +13

    Kama unaona wachambuzi waongo mlete baba Yako achambue familia yanu,simba nguvu moja.😊

  • @shijasalaganda7798
    @shijasalaganda7798 9 дней назад

    Kiemba mchambuzi wa in favour Simba always. Hovyo sana

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 20 дней назад +3

    Jean Sha Ahoua hatari sana

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 20 дней назад +1

    UBAYA UBWELA 🔥🦁

  • @2ndkingdom05
    @2ndkingdom05 19 дней назад +7

    MIMI NI YANGA ILA MTANI LEO KAPEWA PENATI YA HALALI KABISA , NA ALISTAHILI PENATI MBILI

  • @ProsperKimaro-t2g
    @ProsperKimaro-t2g 20 дней назад +3

    Refa ulikosea ulitakiwa uweke storia duniani Kwa kutoa pernat 2,Kwa wakati mmoja. 🎉🎉🎉😊

    • @Angelwithjamevicjr
      @Angelwithjamevicjr 20 дней назад

      Daah

    • @2ndkingdom05
      @2ndkingdom05 19 дней назад +1

      @@ProsperKimaro-t2g refa kachelewa sana kutoa penati mda wa penati ulishafika kitambo, kikubwa hajatoka kwenye kauli mbiu ubayaubwela

  • @BernardLuanga
    @BernardLuanga 20 дней назад +3

    Kosa limeanza mapema kabla ball aijafika kwa defender kwa Jkt clear penalty ⚽️ wanapinga shauri yaho

  • @SalamaBakari-p2o
    @SalamaBakari-p2o 20 дней назад +2

    Magoli ya mkono unabisha nn ubayaaaa ubwelaaaa❤❤❤❤

  • @ezekielmateru7635
    @ezekielmateru7635 20 дней назад +2

    Waliofungwa JKT wanaolalamika Utop

  • @ShafiiAmisi-h3w
    @ShafiiAmisi-h3w 20 дней назад +4

    Simba bingwa 😂😂

  • @ishimweerice-q2y
    @ishimweerice-q2y 20 дней назад

    ❤Simiyoni Holle

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 19 дней назад +6

    mimi ni yanga nasema simba kwa penalty hii ni sahihi kwanini Sasa amshike na anajuwa mtu wa mwisho

    • @danielpeter8085
      @danielpeter8085 19 дней назад

      Unajua mpira ndugu

    • @GolyoFrancis
      @GolyoFrancis 19 дней назад

      Hujaulizwa kuwa ww nitim gani
      Acha kropoka mpira mtauharibu

    • @issataslima9846
      @issataslima9846 19 дней назад

      @@GolyoFrancis kosa langu liko wapi hapa sasa kusema ukweli

  • @AshaMhando-g2l
    @AshaMhando-g2l 20 дней назад +5

    Hahahah duh wadau kelele nyingi sana kila mech mtaona maajabu,kwasababu hamjui Sheria za mpira mnaishia tu kusikia watu wanasema,na mtawachukia sana waamuzi wahapa Tanzania ila ligi yetu inaendelea

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 20 дней назад +7

    Zipigwe penalty mbili naunga mkono hoja

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 20 дней назад +2

    Penati mbili hizo sio moja

  • @zuberimusamazari7003
    @zuberimusamazari7003 19 дней назад

    Muro na amri kiemba ni wachambuzi wazuri sema shida azam tv

  • @michaelmathias1640
    @michaelmathias1640 19 дней назад +2

    😂😂😂😂zipigwe tu mbili, ya mkono na ya kapombe🎉🏆

  • @LemburisMaama
    @LemburisMaama 20 дней назад

    Mko sahihi wachambuzi

  • @solomonkitonka6904
    @solomonkitonka6904 20 дней назад +5

    Rejea mach ya Simba vs Platnam,Pasi ilitoka kwa chama,kamponbe akaganyiwa foul,ikawa penalt,so this was clear penalty

  • @manambavideoproduction8394
    @manambavideoproduction8394 20 дней назад +35

    Zipigwe penart mbili 😂😂😂😂

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 20 дней назад +5

    Yaani hii simba sc unainyimaje penalty hata mechi dhidi ya malofa kayoko alijitahidi sana kuwabeba malofa kwa kuwanyima simba sc penalty 2 😂😂😂😂

  • @mosesndiwu2680
    @mosesndiwu2680 20 дней назад +5

    Nyuma mwiko tunateseka

  • @AberiChares
    @AberiChares 20 дней назад +1

    Nibebe fc

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 20 дней назад +2

    Penalty halali iyo 😂😂😂😂

  • @danielmwandenga5369
    @danielmwandenga5369 19 дней назад +3

    Msichambue kwa hisia jamani sheria n mpira ndo kitu cha kwanz ayo mengine yanafuata

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 20 дней назад

    uchanbuzi au Uchambuzi

  • @JamesPaulochako
    @JamesPaulochako 19 дней назад +1

    Simba iendelee kuwapa presha upande wa pili

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 19 дней назад +1

    Iyo sio penati 🤫

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 20 дней назад +2

    Penalty ile hain mjadala

  • @SelemaniMhozya
    @SelemaniMhozya 20 дней назад +2

    Mpo vzur sana wachambuzi mungu awaongoze sana amri kiemba godlisen muro pamoj namuendesha matangazo Kennedy Moses mpo vzur

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 20 дней назад +2

    Wamefanya makosa mawili

  • @ErastoHarmalos
    @ErastoHarmalos 20 дней назад +2

    Kumbe hata wachambuzi nao ni mashabiki ndo maana hawasemi ukweli

  • @Raulesiamlindimura
    @Raulesiamlindimura 19 дней назад +1

    Wamuwezi kusema sio penati Tunajuwa Mtafungiwa kuchambuwa maana mtakuwa mmeingilia Mamlaka ya soka😅😅😅😅

  • @HabibuSaidySaidy
    @HabibuSaidySaidy 20 дней назад +2

    Ubaya ubwela 🦁 mnyama simba piga kelele 😂 penalti zingepigwa benallt

  • @footballbasketball7246
    @footballbasketball7246 20 дней назад +3

    Refa ndie anae control mechi kutokana na matukio lakin ikifika muda hatarishi kama huu anabid aongeze umakini, na hapo alitumia hisia tu kufanya maamuzi. Akil haikutimika maana penalty inatokea kama mchezaji alikuwa na uwezo mkubwa wa kuupata mpira. Naweza ita (unsportman foul), ila kuita tuta ni upendeleo tu.

    • @GeofreySemadinga-l2z
      @GeofreySemadinga-l2z 20 дней назад

      Chokowee una umia ukiwa wapi

    • @2ndkingdom05
      @2ndkingdom05 20 дней назад

      ila kayoko ndo yuko sahihi au sio?

    • @footballbasketball7246
      @footballbasketball7246 20 дней назад +1

      @2ndkingdom05 matukio yanajirudia Kwa muda mfupi Sana, tunaumiza wadau wa soka

    • @Regan_Venance
      @Regan_Venance 19 дней назад

      kapigwa mwanajeshi ila mwananchi ndo anaumia😅😅😂😂

  • @talhasuleiman5217
    @talhasuleiman5217 20 дней назад +1

    Azam acheni double standard kwenye matangazo mechi ya kesho hajaitangaza sehemu yeyote. Machoni kama watu mioni hamna utu

  • @AshaMhando-g2l
    @AshaMhando-g2l 20 дней назад +1

    Mashabiki twapiga kelele lakini kukipigwa msako tutaje Sheria za mpira hatujui, wingi tutaishia kupepesa macho tu,tutaishia kupiga kelele,

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 20 дней назад

    Penalti FC

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 19 дней назад +2

    Jmn nyinyi vyura wa jngwan mmeelewa apo tusichanganyane apa hii tuta

    • @mussamlendela792
      @mussamlendela792 19 дней назад

      Vyura kila siku unakula kichapo kama mtoto nasubiri tukutane

  • @WaniaLameck
    @WaniaLameck 19 дней назад

    Kwa ufupi JKT walikuw wakicheza sana rough ila mwisho wakacheza rough had ndani ya box

  • @vuauvae8552
    @vuauvae8552 19 дней назад +2

    Mnaosema hiyo sio Penati hivi mnaangalia mpira kwa kutumia mk*ndu ama nin mbna inaonekana kabisa Clear Penalty!!! tena kuna faulo nyingne ya kushika mpira nilikuwa sijui mim ndo nimeona sahivi... Hii ndo maana halisi ya UBAYA UBWELA 😂😂😂😂 Amphibia tulieni dawa iingie vizur 😅

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 19 дней назад

      😂😂😂, hiv watakua mphibia ama reptile 😂😂😂😂

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 20 дней назад +3

    Kwel😂

  • @frankkihamo8208
    @frankkihamo8208 20 дней назад +7

    Baada ya kuangalia kwa makini ni penati sahihi kabisa ila wasiwasi ni kwamba kama hivo hivo ingetokea kwenye goli la simba refa angeweka tuta?

    • @IssamAbass-t7m
      @IssamAbass-t7m 20 дней назад +1

      Ndo bado hakijatokea tusubiri litokee

    • @AdamMkoba
      @AdamMkoba 19 дней назад

      We unaonaje?tupe mtazamo wako tafadhali!!

    • @zedekiahmagwega8044
      @zedekiahmagwega8044 19 дней назад

      subiri itokee sasa

    • @rukaiyakondo5265
      @rukaiyakondo5265 19 дней назад

      Punguza wasiwasi, Simba haiwezi Fanya makosa y kizembe hvyo

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 19 дней назад

      Subiri itokee ndo tujadili

  • @aikaM74
    @aikaM74 20 дней назад

    Penati mbili

  • @MusaStephano-s9c
    @MusaStephano-s9c 20 дней назад +1

    Wachezaji wengine wananunuliwa, mpira unazuiliwa, faulo ya nn.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 18 дней назад

    Simba ni timu mbovu sana. Na ubovu wa simba unatokana na kocha hana mbinu za kusuka forwardline ya timu. Kila striker anayekuja simba anafeli.

  • @josephwanda8904
    @josephwanda8904 20 дней назад +3

    Ni refa Wachache makini kama huyu ! Bravo!

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 20 дней назад +2

    WANAUMIA WAKIWA WAPI?😀😀

  • @sharifshaban8817
    @sharifshaban8817 20 дней назад +2

    Uchunguzi ufanywe kwa wachezaji wanaopokea rushwa kuipa timu pinzani nafasi ya ushindi katika mazingira yasiyostahili, hili pia lifanyiwe kazi.

    • @AdamMkoba
      @AdamMkoba 19 дней назад +1

      Pia uchunguzi ufanyike juu ya matajiri wanao ahadi zidi ya timu zichezazo na simba.

  • @BwiseleloMkoni-vp2fs
    @BwiseleloMkoni-vp2fs 20 дней назад

    Mume someya nime lia Sana 😢😢😢😢😢😢

  • @nurdinblesh3115
    @nurdinblesh3115 19 дней назад

    😂😂😂😂😂 kwnza ncheke wachambuzi au wachambudhi😅😅😂😂

  • @HancyMathayo-t7r
    @HancyMathayo-t7r 19 дней назад +2

    Kama simba wamebebwa bac hata yanga mbona goli la mkono limeandikwa na hamsemi acheni maneno mpil uwanjan xhinda mechi zako

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 20 дней назад +1

    Penalty ni mbili mbona refa katoa moja???

  • @AllyMohamed-w5x
    @AllyMohamed-w5x 19 дней назад +3

    Utopoloo kimyaaas

  • @AlfaMwasofu
    @AlfaMwasofu 20 дней назад

    Ubaya ubwege
    Ubaya ubolo
    Penalty fc

  • @OsmaniSiame
    @OsmaniSiame 19 дней назад

    Haonyau wanabebwa sana

    • @issackwaikama4299
      @issackwaikama4299 19 дней назад

      Nyau na wewe ulibebebwa kwa gor la baka alilo funga kwa mkono

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 20 дней назад

    Penalti zilitakiwa ziwe mbili.

  • @MajuvaBakari-m7h
    @MajuvaBakari-m7h 19 дней назад

    Simba mbovu mpira wao unachezwa na wamuzi

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 20 дней назад +1

    Ukikamia tunakukamuua jiooniiii

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 20 дней назад +1

    P ya wazi wala haina hata ubishi

  • @YollamMllayoWaVailet
    @YollamMllayoWaVailet 19 дней назад +1

    Wote wanaosema Simba imebebwa wakamatwe wapelekwe kwa P Diddy

  • @ayubumwakabana2137
    @ayubumwakabana2137 20 дней назад +1

    Kuku wa jangwani mmeskia hiyo!? Hii ilikuwa penati msianze mjadala

  • @johnjoseph9596
    @johnjoseph9596 20 дней назад +3

    Naona wazee wa goli la mkono, wanateseka baraaaaaaa.
    Kila mmoja ashinde mechi zake. Tukutane mwisho wa msimu

    • @leeobite2507
      @leeobite2507 20 дней назад

      kmmk singda tarh28 atawashenyeta

    • @johnjoseph9596
      @johnjoseph9596 20 дней назад

      @leeobite2507 28/12/2024 ndo siku utaumia zaidi kuliko leo

    • @KELVINSHAWEJI
      @KELVINSHAWEJI 20 дней назад

      ​@leeobit😂😂😂 pole sana

  • @AzizMserembwe
    @AzizMserembwe 20 дней назад +1

    😱🥱😭🤣😃😀😅😝😛🤭 ubaya ubwela

  • @abednego1042
    @abednego1042 20 дней назад

    Mmmh!!! 😂😂😂😂😂

  • @AJUUHASSAN
    @AJUUHASSAN 20 дней назад +2

    Wao goli la mkono

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 18 дней назад

    WATATANZANIA TUMEACHA KUSEMA UKWELI

  • @AJUUHASSAN
    @AJUUHASSAN 20 дней назад +2

    Utopolo wanatesek sana nimeamini maneno ya waswahili nyani haoni kundule hahahahahaaaaa goli la penant

  • @AdaBolod
    @AdaBolod 20 дней назад +2

    Kwenda uko mbona mnachambuwa kama sisi atujaona

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 20 дней назад

    Kiemba umechemsha, kwa hiyo ulitaka David Bryson asicheze mpira.

  • @Faridagongo
    @Faridagongo 20 дней назад +1

    Waongo nyie penat gani ile bn msije mkauza maneno ikitokea mahali pengine

  • @AmadeusNgarama
    @AmadeusNgarama 19 дней назад +1

    Hiyo ni penat kabisa

  • @JosephinaTemba-f4j
    @JosephinaTemba-f4j 20 дней назад +1

    Uchambuzi wenu Bure kabisa mm si shabiki watimu yoyote lakini amjui kuchambua kitu si penati

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 20 дней назад

      Kama si shabiki wa team yoyote ikowazi kwamba hujui mpira Sasa una kipi cha kutuambia??😂😂😂

    • @jullymkongwe4380
      @jullymkongwe4380 20 дней назад +2

      Njoo uchambue wew ww utopolo unaumia ukiwa wap

    • @kassimali4212
      @kassimali4212 20 дней назад

      Ball kick

    • @mohamedlema9952
      @mohamedlema9952 19 дней назад

      Na bora huna timu maan ungetutia aibu yaosha ni jnc gan umezoea kuanglia tu mechi za simba na yanga

  • @Mineralham
    @Mineralham 20 дней назад

    Acheni uwongo wanabebwa simba

  • @AbdulShemweta-db8mf
    @AbdulShemweta-db8mf 16 дней назад

    kiemba usimba unakuzalilisha mzeze ukumbuke fazila

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 19 дней назад

    Hatuna wachambuzi kumbe kweli apa 😂😂😂😂 bado endeleeni kujifunza IPO siku mkua makini

    • @HOTGOSPELSONGS-gy9ug
      @HOTGOSPELSONGS-gy9ug 18 дней назад

      yaan hapo palikua na makosa mawili kuna la Davis brison na Mudy beka sasa wewe uko upande gan

  • @chittamileissa1650
    @chittamileissa1650 19 дней назад

    Afadhali wabebwe hivi hivi ili GSM asitajwetajwe, baadae Yanga tuanze kufanya yetu

  • @muznarahim
    @muznarahim 20 дней назад +1

    Nyie mlioumia penaty hamjawahi kupata mkakosa ?? .jkt hata hajaumia mmeumia utopwax

  • @AUGUSTINEMABARAZA
    @AUGUSTINEMABARAZA 20 дней назад +1

    Mapenzi kitandani kikubwa ni kukojao...tu

  • @Braykhan
    @Braykhan 18 дней назад

    acheni kujifanya nyinyi niyanga nawachambuzi inabidi mseme ukweri iyo siopenati ss kama mpira ungekuwa unatoka kurenje upande wakona je angeweka penati pasi yenyewe haikumrenga kapombe wara nn acheni unafiki ingekuwa niyanga mngesema sana 2

  • @hajially4527
    @hajially4527 20 дней назад +1

    Kabebwa mtu😂😂😂😂😂

  • @JuliusSinda
    @JuliusSinda 20 дней назад +3

    Clear penalty hio, refa yuko vzuri

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 19 дней назад

    Penenti ya wazi kabisa haina ubishi

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 20 дней назад

    Jana manara alienda uanjan basi sisi simba tuwe makin

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi 19 дней назад

    Hakuna wachambuzi hapa ni walewale tu

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 19 дней назад

    Kiemba hujui mpira wala kuchambua ,ni upepo tu

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 19 дней назад

      Nenda ww ukachambue, unadhani ni mchele wanachambua hapo😮

  • @PhillipoSame-xy3db
    @PhillipoSame-xy3db 19 дней назад +1

    Mimi ni Yanga but hata Yanga wakipewa gori la Ivo binafsi nachukia Sana.....we MTU umesjiri prayers Kwa GHARAMA kubwa afu bado unahonga ili upate matokeo inamaana gani SASA kujaza machezaji unayalipa mshahara mkubwa afu uwanjani yanajinyenyea Tu?Bora tutumie wachezaji wetu WA ndani afu tufanye izo fitina.....

    • @HashmHashkelle-yv1wd
      @HashmHashkelle-yv1wd 19 дней назад

      wew mjinga saana wew

    • @2ndkingdom05
      @2ndkingdom05 19 дней назад +2

      @@PhillipoSame-xy3db Mimi ni yanga dam dam ila leo simba kapewa penati halal kabisa na kiukweli penati zilitakiwa ziwe mbili lakini kwakuwa kapewa moja ni sahihi nilipenda simba apoteze mechi lakini siwezi kukataa ukweli kwamba ameshinda kwa penati halili .
      tusubiri mechi yetu ya yanga kesho

    • @marwawilliam3648
      @marwawilliam3648 19 дней назад

      Yaani mtu unaandika maneno meengi halafu prayers 😂

    • @Regan_Venance
      @Regan_Venance 19 дней назад

      ​@@2ndkingdom05uo ndo uanaume sasa

    • @ezekielmanyesela5425
      @ezekielmanyesela5425 19 дней назад +1

      Punguza hasira Kaka mpira hauhitaji watu wenye mihemko mikal

  • @zuberimusamazari7003
    @zuberimusamazari7003 19 дней назад

    Hakuna siku wachambuzi wa azam watasema ukweli kuhusu makosa ya simba ni kama ni wasemaje wa simba angalieni wachambuzi wa ulaya wanasemaga ukweli

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 19 дней назад

      We huna akili, kichwani ni kikopo tu.

  • @SudiAbdallah-h9y
    @SudiAbdallah-h9y 20 дней назад

    Msitudanganye kama ni braison nakubali lkn sy kwa tukio la kapombe

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 20 дней назад +1

    Hakuna penalty kwa mtu asiye husika na mpira waongo wamekuta wanadanganya watu

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 20 дней назад

      Waliosomea wamesema ni penat halali sasa ww hujasomea utabaki kulalamika mtandaoni na hautasikilizwa😂😂😂

    • @mohamedlema9952
      @mohamedlema9952 19 дней назад

      Mpira unaangliaga kwny tv ya mbao ama😂

    • @2ndkingdom05
      @2ndkingdom05 19 дней назад

      @@chrysanthushakaunga6560 we unajua sheria kuwazidi hao wachambuzi waliosomea?

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 19 дней назад

    Ndani ya box iyo pia chura Wana lalamika goli la mkono la jana

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 19 дней назад

    Tuache ushabiki HIYO NI PENALTI.

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 20 дней назад +2

    braison si kauzuia wachambuzi apa hamna njaa tupuu mkalime nyie wajinga

  • @ElishaLaulent
    @ElishaLaulent 20 дней назад

    Wewe mwana Simba atutaki uongo wako hapo kwenye tv

  • @muhajirjey8217
    @muhajirjey8217 20 дней назад

    Wachambuze fanyeni kazi yenu acheni kuendelea kuzikandamiza team ndogo. Na wao wana haki kama wengine kuweni wa kweli tu mpira ni mchezo wa wazi

  • @NicholausNgendwa
    @NicholausNgendwa 20 дней назад

    Haya utata umeisha sasa na mkae kimya ni penalty

  • @EliaMatonya-d7e
    @EliaMatonya-d7e 20 дней назад +2

    Hawa wachambuzi cja wahi ona wampinge refa kwanza ndo Wana fanya marefa tuna magarasa

  • @VeronicaJohn-l5s
    @VeronicaJohn-l5s 20 дней назад

    Mtoto kautaka😂😂😂

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 20 дней назад

    Tuwe wanamichezo ili tukuze michezo nchini badala ya kuwa mashabiki ndindi na kukuza ushabiki wa hovyo