MAFUNDISHO -- MAJI NA UZIMA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 59

  • @sophykedogo9738
    @sophykedogo9738 2 года назад

    Amen Amen Amen Nabarikiwa na mafundisho yako Apostle Ubarikiwe ,

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 5 лет назад +4

    ECG raha sana, Mafundisho kama haya niyapate wapi kama sio ECG. God bless you Rabbi Chief

  • @تركي6-ض3ق
    @تركي6-ض3ق 5 лет назад +2

    Wow as father major 1 as son Bushiri. Glory to God mtumishi barikiwa kwa mafundisho haya

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 5 лет назад +1

    haleluya jamani nabarikiwa sana na mafundisho ya ECG kweli we are prophetic kwa sababu ikitokea makanisa ya kawaida pastor ajimwagie maji itakua gumzo , asante yesu kwa kuniweka ECG asante mungu kwa kunipa neema hii ,nafurahia sanaaaaa

  • @christianhall4725
    @christianhall4725 5 лет назад +4

    Mafundisho yako yanaifanya Bible iwe Tamu zaidi na Practical.
    God bless so much.

  • @Devothakimei
    @Devothakimei 5 лет назад +2

    Nimerudia hili somo tena, Mungu akutunze Mtume. Hakika kwa mafundisho haya tusipoelewa hutadaiwa kamweeeee. Yani napata mambo mapya kila siku.

  • @edinajoseph445
    @edinajoseph445 Год назад

    Kaka nakufuatilia Sana mm nilikuwa namawazo Hadi nilitaka kujiuwa lakin kwa maneno yako mungu kaniponya

  • @deborahdelly4532
    @deborahdelly4532 4 года назад

    God bless you hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako nikiwa Shinyanga Hallelujah

  • @nuhukihegulo1323
    @nuhukihegulo1323 5 лет назад +1

    Nuhu Kihegulo theologian kutoka njombe, tunashukuru kwa mafundisho SPIRITUAL FATHER.

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 4 года назад

    Nimejifunza kitu barikiwa saana baba

  • @happyyppah4266
    @happyyppah4266 3 года назад

    Nimejifunza kitu barikiwa Apostle mtelemwa

  • @obedphilipo3940
    @obedphilipo3940 5 лет назад

    Uko juu sana bwana apostle mtalemwa nishike mkono na Mimi hadi nifikie destiny yangu kama Mungu apendavyo....

  • @edressifute476
    @edressifute476 4 года назад

    Hongera unanibariki sana.namafundisho yako uko wapi mtumishi.

  • @stellamkude4563
    @stellamkude4563 4 года назад

    najiunganisha na ibada hiyo ya maji na uzima. nguvu za giza nimeoshwa na kutakaswa na maji yaliyotibuliwa hakuna tena mikosi kwangu, Ameeeen.

  • @juniourmvungi3965
    @juniourmvungi3965 5 лет назад +1

    Una mafundisho mazuri sana maana wengne huwa tunayadharau maji

  • @katamabada3839
    @katamabada3839 4 года назад

    waaah kenya nakubaliana nawe mtumishi...pokea ufunuo zaidi utulishe nasi

  • @theblessedoneone4866
    @theblessedoneone4866 3 года назад

    God bless you man of God

  • @jemimahjamilay.m6239
    @jemimahjamilay.m6239 5 лет назад +1

    Ahsante chief kwa mafunuo makubwa....

  • @davidbashite5303
    @davidbashite5303 5 лет назад +1

    Balikiwa sana mtu Mishi wa mungu

  • @hoglawawuda8145
    @hoglawawuda8145 4 года назад

    Nakufwatilia Pastor Amen

  • @robertlyimo640
    @robertlyimo640 5 лет назад

    Njoo na Somo la Mafuta tuelewe maana yamekuwa na upinzani sana skuiz

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 5 лет назад +1

    Ameeeen....nimefunguliwa

    • @sarambuba8197
      @sarambuba8197 5 лет назад +1

      Sarah Wawuda ubarikiwe Mtumishi hadi raha asante ssna.

    • @sarahwawuda7638
      @sarahwawuda7638 5 лет назад

      @@sarambuba8197 Ameeen

  • @singifridrutatina8373
    @singifridrutatina8373 5 лет назад +1

    the powerful service. mentor we love you

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 5 лет назад

    Namimi nijiunganisha kwa vitendo, power chief wangu

  • @joycemaige8683
    @joycemaige8683 3 года назад

    Ubalikiwe Sana

  • @juniourmvungi3965
    @juniourmvungi3965 5 лет назад +1

    Hongera sana Baba Major One
    Oooooh yes

  • @monicakatabi4306
    @monicakatabi4306 5 лет назад +1

    Amen chief
    Nimekuona pastor Casius
    Tumekumis Arusha

  • @saidimulengima367
    @saidimulengima367 3 года назад

    I feel like Niko kwenye church

  • @priscajackson7085
    @priscajackson7085 5 лет назад +1

    Hata sisi wa You tube upper hall tunakuelewa sana Chief, iyeeeeeeeh.!

    • @marysuka7363
      @marysuka7363 5 лет назад

      Thank you Apostle for the word of water son of major one.....

  • @annekangaikathuni9523
    @annekangaikathuni9523 3 года назад

    Amen!

  • @Devothakimei
    @Devothakimei 5 лет назад

    Ukweli utabaki pale pale, mafundisho yako yameniinua sana kiroho. Na yamenipa picha ya tofauti kuhusu neno la Mungu, nilikua nasoma kwa tafsiri sisisi. But sasa nasoma kwa kutamani kujua mafunuo ya neno.

  • @fortunataandengenye8704
    @fortunataandengenye8704 5 лет назад +1

    somo zuri sana

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 4 года назад

    Hahahaha yilampekenya ! Umeniacha hoi

  • @lilianluholela278
    @lilianluholela278 5 лет назад +1

    Amen

  • @naomizablonbiz
    @naomizablonbiz 5 лет назад

    I understand you Chief Apostle

  • @erickhonest1651
    @erickhonest1651 5 лет назад +1

    Power power

  • @munyanachanty9167
    @munyanachanty9167 4 года назад

    bado tuna comments. unajyua wewe mucungagi umemeza bibilia sijyawahi wona kweli ubalikie sana

  • @pascalwakokaya4248
    @pascalwakokaya4248 5 лет назад +1

    Amina

  • @happyobeth8599
    @happyobeth8599 4 года назад

    Nimeelewa

  • @festoneto8879
    @festoneto8879 4 года назад

    🙏🏿 amen

  • @kabulakinanda5002
    @kabulakinanda5002 4 года назад

    Asante kwa kuniponya

  • @Mo_classic_Bland
    @Mo_classic_Bland 5 лет назад +1

    Greatest lesson

  • @samsonmgonja4014
    @samsonmgonja4014 5 лет назад

    Thanks chief now I know

  • @evelynjohn2706
    @evelynjohn2706 5 лет назад +1

    I love the lesson Chief unanifunua kila leo

    • @fortunataandengenye8704
      @fortunataandengenye8704 5 лет назад

      Akani sijajua ni sehemu gani imekukwaza, bali somo limeeleweka Sana. Sikiliza kwanza na kila mtu anapewa ufunuo aliyo jaliwa na Mungu

    • @maggieolomi3650
      @maggieolomi3650 5 лет назад

      Oooh man Of God deliver Ene my family

  • @holyspiritembassychanneltz8599
    @holyspiritembassychanneltz8599 5 лет назад +1

    It's teaching season ,tupe maarifa my CHIEF

  • @esaiehakizimana5783
    @esaiehakizimana5783 4 года назад

    Mutumishi wa Mungu nashukuru kukujuwa kwa mahubili Yako nimebalikiwa nikiwa Burundi nimejiunga n'a wewe kwa Safari ya kwenda mbinguni CV na kumtumikiya Mungu nisaidiye zaidi nimba ya simu yangu wathsapp ni +25768215385 Niko pamoja na nyinyi balikiwa zaidi

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 года назад

    Amen