TANZANIA:TUNA DAWA ZA KUTOSHA ZA ARV/WATUMIAJI WATAPEWA BURE BILA MALIPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 21

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Час назад +2

    Jmn uzinzi ni dhambi!! Tena huzaa balaa kama hili la ARV!! Biblia inasema hivi ikimbieni zinaa 1Wakorintho 6:18., mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalo mwangamiza nafsi yake, Mithali 6:32, kamwe uasherati usitajwe kwenu wala uchafu wowote kama iwastahilivyo watakatifu, Waefeso 5:3. !!!!! Bwana Yesu Kristo asifiwe sana!! Kaeni mbali na uzinzi. Kumbuka!! Dhambi isiwatawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti!!! Warumi 6:12. Amen!!!

  • @AsiaAsi-s3u
    @AsiaAsi-s3u 2 часа назад +3

    Sasa wambieni wananchi waache zinaa ,ndoo chanzo kikubwa cha kuenea ukimwi

  • @annamathias-t5g
    @annamathias-t5g Час назад

    Mungu ni mwema

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 56 минут назад +1

    Hizo ni siasa . Eti wana dawa kutosha wananchi waulizeni wana kiwanda cha kutengeneza dawa? Hata kama serikari ina dawa za kutosha lazima zitaisha.

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 3 часа назад +1

    Msizizuie jamani tutawakosa wapendwa wetu wengi,maana kama siyo hizo dawa wengine ata wazazi wetu tusingewakumbuka sura zao,maana ungekuta wamekufa kitambo mnoo,ila kwa sababu ya hizo dawa leo hii tunajivunia uwepo wao na sasa tumekuwa watu wazima n asisi tukijivunia uwepo wa wapendwa wetu🥰

  • @issajuma910
    @issajuma910 4 часа назад

    Safi sana mama

  • @MirliamSiryvester-j2q
    @MirliamSiryvester-j2q 3 часа назад +3

    Pokea maua yako mama🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 4 часа назад +1

    Marekani wasitishe t, maana imefika mpaka maradhi kutengenezewa NGOs ili tupate misaada. Now is a time for multipolar world

  • @muhamedmsomally4175
    @muhamedmsomally4175 Час назад

    Mama ndio ashasema
    Njio majoya kafeni mbele

  • @victornselu517
    @victornselu517 Час назад

    tuandae misiba

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 Час назад

    Time never be trusted