Kwa mara ya kwanza BABA YAKE OMMY DIMPOZ Amjibu baada ya kumkataa nimechukizwa na kauli yake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 359

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 2 года назад +12

    Mzee endelea na maisha yako. Chapa kazi. Wachana na ommy! Kila mtu na kazi yake

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 года назад +26

    Watangazaji nyiye ndiyo wachochezi na family zawatu

  • @neemaromward7495
    @neemaromward7495 2 года назад

    Yani wanaume mungu awasamehe bure kama leo ommy angekua choka mbaya mwehu wewe baba ungesema ni mwanao kwanza ningekua karibu ningekutia konzi

  • @joymafur1935
    @joymafur1935 2 года назад +2

    Yaani hawa watu ninawachukia sana nitawachukia siku zote za maisha yangu sijui kipindi uzazi wake unahitajika alikuwa wapi alafu saivi anaongea kwa kupaniki mzee fanya mambo yako ommy achana naye si ulimtelekeza

  • @Graceyust
    @Graceyust 2 года назад +2

    Tunao wazee wengi wa hivi mtoto anapokua na maisha mazuri wanajifanya ni wanyenyekevu sasa tangu 2008 ommy kapitia mangapi hapo katikati kaugua nusula kufa hata hakuonekana huyu mzee saiz anatuletea mbwela upuuzi sana alf na nyie waandishi mjitambue kuna mda mnatumalizia mb kwa kulefusha mazungumzo kwa maswali yasiyo na tija

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 2 года назад +1

      Yaan mm siungi mkono kabisa.....apambane na hali yake af huyu baba bishoo mnooo anaonekana alkuwa mwehu kwel ..mungu atusamehe kwakwel

    • @Graceyust
      @Graceyust 2 года назад +1

      @@jeniferemmanuel4251 kweli anazingua

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 2 года назад +1

      @@Graceyust sna yaan ...ila tu bc watu kama hayajawakuta wawawez kujua

    • @Graceyust
      @Graceyust 2 года назад

      @@jeniferemmanuel4251 kabisa wataona mzee kama anaonewa ila anastahili, tunafundishwa kusamehe ila kuna mda inakua ni ngumu sana, inakuwaje nihusike katika kumtafuta mtoto alf akishapatikana nimtelekeze alf anafanikiwa natia huruma,

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 2 года назад

      @@Graceyust na mbaya zaid mzaz mwenzie alifarik jmn hata kuhudhuria wala salam za Pole hakuna ...hapo hamna lolote

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 2 года назад +2

    Nimemkubali mzee kaongea vizuri kabisa

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 2 года назад

    Mzee umenena..umemaanish kauli 👏🏻

  • @dyanamotz
    @dyanamotz 2 года назад +25

    Mzee anajalibu kutumia Busara kweli lkn dunia inamuhelemea any way Mungu akupe wepesi mzee uzuri hauna ulemavu hauna njaa hata magonjwa yakukufanya ushindwe kazi hauna ko Endelea Mzee wote tunakosea but makosa yetu yasitufanye tusiwe na busara kwamba tusiwe watenda wema

    • @svt3
      @svt3 2 года назад +1

      Tinho_tz: mzee dunia ilimlemea mpaka akakimbia majukumu mtoto akapoteza mpaka mama yake wala hakukuja hata kumpa pole mtoto, hajawai munalia hata daftari,.. .. huyo baba gani? Ana watoto 15 ambao ali jihushisha nao apambane na hao

    • @rehanijuma1421
      @rehanijuma1421 2 года назад +2

      Kabisa

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 года назад +1

      Busara yake ya kiujanja anataka kitu huyo ndo mana akawa mpole hivo

    • @dyanamotz
      @dyanamotz 2 года назад

      @@fatmamansour676 ndivyo alivyo sema ??

    • @alexmwashifungwe5174
      @alexmwashifungwe5174 2 года назад +1

      Mzee pw sana

  • @mu9tz639
    @mu9tz639 2 года назад

    Muzee unabusala San🥰🥰

  • @lisaozokalonji7655
    @lisaozokalonji7655 2 года назад +8

    Mzee unaongeya sana acha mtoto haishi maisha yake ulikula bata aukujuwa una mtoto? Ulisaau kama dunia ni mvirigo leo kwako na kesho kwangu! My dear Ommy enjoy your life and don't forget to help people was close to you when you was little boy!

  • @noelsanga6853
    @noelsanga6853 2 года назад +1

    Elimu sio pesaaa angalizo hilo

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 года назад +21

    Madeleva wa maloli malaya sana sana na wanatelekeza sana watto kila mkoa wanawatto

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 2 года назад +3

      Pamoja Na ilo Wanawake hawajali Hilo wanaendelea kudate nao

    • @suzanetilito8194
      @suzanetilito8194 2 года назад

      Ni madereva wa mlori...

    • @ramadhanikibenga4284
      @ramadhanikibenga4284 2 года назад +1

      Sio wote

    • @athumanhamidu9050
      @athumanhamidu9050 2 года назад +2

      Hakuna dereva Malaya ila kuna malaya wameamua kua madereva so ishi humo.

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 года назад +2

      Kwahiyo watu wote wanaotelekeza watoto n madereva malory. Umalaya ni tabia bhana

  • @Worldcup613
    @Worldcup613 2 года назад +20

    Usijali mzee wangu. Kumbuka damu ni nzito kuliko maji na ikiwa ni hivyo basi amini mtoto wako kunasiku atajishauri mwenyewe. Mimi naona mzee huyu ni mtu wa busara sana kwasababu angalia hii video yote wala hajamtukana mwanae ila anamshauri na kumshukuru kwa yale mazuri ambayo ameisha ya fanya. Mzee usijali kama 0mmy dimpoz ni mwanao basi amini atajishauri na kujipa jibu mwenyewe pia atakutafuta tu. Hayo ndo maoni yangu. (Jax boy.)

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 года назад +5

      Huyu mzee mjanja hawezi kutukana 7bu kuna kitu anakitaka ka ommy lazima atie busara anajifanya mzee asiejali lkn kilichpmuuliza omyh jua kwamba kifo cha mamake kwanni hakuja kwanni hakumtafuta mwanawe kipindi cha msiba ndo anachoumia ommy

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 года назад +1

      hana lolote c hakumjali sasa kelele za nn

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong 2 года назад +4

      Jax boy na ukumbuke mzazi ni ulezi nasio kurusha sperm na kuhepa,,, alafu mbona maji ni safi kuliko hyo tamu

    • @jefferasto4160
      @jefferasto4160 2 года назад

      Kwel ndugu yang mzaz ni mzaz

    • @fawzalbusayid7232
      @fawzalbusayid7232 2 года назад +3

      Anajiosha tu apo

  • @alexmwashifungwe5174
    @alexmwashifungwe5174 2 года назад

    Uko sawa mzee

  • @estermahenge5972
    @estermahenge5972 2 года назад

    Uyu baba nyie eti abadilishe jina 😀😀😀kazi ipo jamaniii khaa

  • @nathankihiyo6194
    @nathankihiyo6194 2 года назад +7

    Inawezekana Omy haja play sana na wanawake huenda angejua sababu za babaake kuwa mbali nae na huenda angesamehe

    • @amanabdallah2823
      @amanabdallah2823 2 года назад

      Ommy hanaga mwanamke umesahau ngoma ya Ney wa mitego

    • @mwanjinzara8009
      @mwanjinzara8009 2 года назад +1

      Ni ujeuli tu wa baba hakuna sababu ya mama na baba ingekuwwpo baada ya mama yake kufariki basi baba angejisogeza kwa mwanae lkn wapi baba jeuri tuu yamemkuta

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Ndo maana ataki kuoa

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Usipocheza na wanawake lazima uwe na problems

    • @halimamvungi1
      @halimamvungi1 2 года назад

      Ila hadi mama alifariki pale ndio ilikua mda wa kua na mwanae maana Omy alikua namuhitaji

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 года назад +1

    Dah mtihani sana 😢

  • @Worldcup613
    @Worldcup613 2 года назад +7

    Watu awatawaonganisha ila kwa upendo wenu wakifamilia utatuma muna kuwa pamoja nyinyi wote. Napenda haya maneno anayo ya ongea mzee huyu. Na wala 0mmy dimpoz sio mtoto wa kwanza kuachwa ki namna hiyo. Kuna ambao wanatafuta ma baba zao wenyewe sasa kwa bahati yako Baba yako kaja kwako furahi kuna wanao itafuta iyo bahati mpaka sasa awaipati mpaka wanachukua atua ya kuwatafuta wazee wao wenyewe. Napenda nikisikia tena 0mmy dimpoz na baba yake wanaishi pamoja tena kwa upendo. Asante Mungu awabariki na amuonganishe kwa kifamilia . Asante .

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 года назад +2

      Kaenda kufata kitu tu huyo sahv kaona kishaishiwa

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 года назад +2

      Kafata hela tu han lolotee kaishiwaaa

  • @anawa4326
    @anawa4326 2 года назад

    Pole mzee 😢😢😢

  • @lannemwenda
    @lannemwenda 2 года назад

    😂😂😂😂 huyu baba anatapatapa sasa! Hivi kwanini hamuangaliagi mbele.

  • @saodashabani2652
    @saodashabani2652 2 года назад +4

    Omary aliumwa sanaa kila mtu analijua ilo mbona atukuona kuongea chochote jamani hivi vitu uvisikie tu kwa mwenzio mie pia ni muhanga wanangu nalea mwenyewe Baba anakula bata tuwaombe watoto wetu wawe watoto wema waje kutulea na sisi tunaowalea kwa shidah

    • @vradmirlenin8290
      @vradmirlenin8290 2 года назад

      Sasa mtu hakutaki unakwambia mzee anataka kuteleza na ganda la ndizi hata mm sji kukuona

    • @stevenbushiri2291
      @stevenbushiri2291 2 года назад

      Kama unalea mwenyewe jichunguze unakosea wapi

  • @sabrinamsabaha2905
    @sabrinamsabaha2905 2 года назад +1

    Baba ni yule anaemlea mtoto wake na sio unajiita baba alafu huna huduma yoyote kwa mwanao nikiwa kama mama nasema hivi kama hujamlea mwanao na hujamtunza mwanao akifanikiwa we kula kwa macho tuu nyie ma baba mnao tia mimba na kukataa kutunza watoto wenu wakifanikiwa na wakishindwa kuwatunza msilalamike kwangu baba ni yule mwenye matunzo na sio baba jina

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 года назад +1

    Alhamdulillah 🙏 unachukizwa nini?hawa wa Toto wa sasa hivi si wale wa Enzi zako wewe mzee,hii ndo faida usipomjali mwanawe ukizeeka ndo matokeo yake hayooo, na siku zote usipomlea mtoto, mtoto ndo huwa anamafanikio wazazi wakilemewa ndo wanatafuta watoto,

  • @stonetown578
    @stonetown578 2 года назад

    Nchi ngumu hii 😎

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 2 года назад

    Ila nanyie waandishi wahabari niwagombanishi mwee kwanini iwe hivyo😂😂😂

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 года назад +12

    As tutishe Kwan yey ndio wa kwanza kuzariwa out of marriage wapo wakina Ishmael mtoto wa Baba wa iman. Piga Kaz Mzee kwanza hatu juwi kama tafikisha umri Wako bado na pesa for sure ana ata mtoto. So final uzeen

  • @najimahgomez3334
    @najimahgomez3334 2 года назад

    Mmmmmmm baba shikamo

  • @danielmwita2136
    @danielmwita2136 2 года назад

    Daah kumbe media ndio imeamsha kichonganishi, huyu mzee japo mtata ila ana staha na itifaki, mambo yao waende wamalize wenyewe. Father alikuwa speed, kashindwa ku balance time tu.

  • @otrich30
    @otrich30 2 года назад

    Sema mzee 😬🤣🤣

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 2 года назад +7

    Ompy kamwaga Mchele Mzee Dimpoz anamwaga mboga

  • @justinekashililika6329
    @justinekashililika6329 2 года назад

    Mzee nimependa kujiamini kwake yeye Ni dereva wa magari makubwa pia nae kaenda Congo Rwanda na kwengineko kwaio kwenda ulaya hakumtishi pia yeye Ni maarufuku Kuliko ommy Hakika sikio halizid kichwa

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 года назад

    Mwache amkatae t kwanza kisheria sio baba ake,kisha kaona ommy kapata mas lahi ndo kamfata na kama anagekua hana kitu asingemfata

  • @aayanmaroba6056
    @aayanmaroba6056 2 года назад

    MZEE MI NIMEKUELEWA SANA PIA WANAWAKE WANA MADHAIFU YAO PALE AMBAPO UNAKUA UMEKOSANA NAE AFU ANA MTOTO WAKO MDOGO

  • @najmamimi5007
    @najmamimi5007 2 года назад +23

    Ninachompendea huyu mzee hamzungumzii.vibaya mwanae hata kidogo na bado anaweza kujikim harafu kumbe wanamjua watu kitambo wala simgeni masikioni mwa watu

    • @lucykristensen7145
      @lucykristensen7145 2 года назад +1

      Atamzunguziaje kibaya wakati haumfahamu?

    • @isaacleonard2774
      @isaacleonard2774 2 года назад +1

      Ndo hapo Sasa ommy na mzee ndo wanajua ukweli

    • @lannemwenda
      @lannemwenda 2 года назад +2

      😂😂😂saa hizi hawezi kumzungumzia vibaya, si anataka hela. Alimfanyia mabaya kumzungumzià mabaya alipokuwa mdogo

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 года назад

      Anachofanya niunafiki mtupu

  • @makamekhamisi7337
    @makamekhamisi7337 2 года назад +6

    Hapna Kuna Siri kubwa katika baba na mama usijaribu kumchukia baba au mama kisa kakuacha mzeee kaongea kweli kabisa

    • @bakarimwamaovu8143
      @bakarimwamaovu8143 2 года назад +1

      Kweli kabisa ndugu yangu on point💯☑️

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 2 года назад

      Ni hatari sana mkuu daahh

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 2 года назад

      Kama kuna Siri iliyomfanya mzee asihudumie mtoto wake, Leo hiyo Siri imeondoka Hadi mzee anataka mtoto amtambue yeye Kama baba yake? Wapo wanaume wanaojielewa hawezi kuacha mtoto wake akose matunzo kisa ugomvi wake na mwanamke, anafanya kila njia ili mtoto wake apate huduma. Mimi ni mmoja wa watoto waliopata bahati hiyo. Baba yangu hakujali maneno ya mama yangu, alihakikisha ananisomesha, ananipa matumizi ya kila mwezi na ananitembelea, alikuwa radhi amtume hata mtu kuja kuleta vitu vya kila mwezi. Kama mama alikuwa mbaya akasababisha na mtoto akose huduma basi ubaya wa mama uendelee amuache mtoto aendelee na maisha yake

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 года назад

      Hakuna Siri yeyote kwani alimuoa? Alitoa mimba akasepa. Na hata kama iko ndio usitunze Mtoto?

  • @michaelbennady223
    @michaelbennady223 2 года назад

    Mzee nimekuelewa Sana mwanao ustaa ndoo unamsumbuwa

  • @ifrahrashid8695
    @ifrahrashid8695 2 года назад +1

    watu mmeshikilia Ni baba Ake Lakini siyo baba Ake katika Dini ya kislam mtoto wowote aliyezaliwa nje ya ndoa Ni WA mama Sio WA mwanamme ommy anahiyari yake kumsaidia Sio lazima kama alivyosema ommy huyo Mzee mwenyewe kamjua ukubwani tu tangu utoto wake alikua wapi mpaka Leo kapata jina ndo amekua mtoto wako

    • @majotv3405
      @majotv3405 2 года назад

      Kumanyoko alijitomba mwenyewe

    • @ashangalawa9492
      @ashangalawa9492 2 года назад

      Angekuwa Tajiri msingesema hayo tena mngesema ampe ulithi wake kabisa

  • @jastinboyjastin4073
    @jastinboyjastin4073 2 года назад +1

    Hakuna mkamilifu duniani ommy amsameehe tu Mzee wake, tupo Duniani mitihani lazma kama ukijiona wewe huna mtihani hapa duniani jitafakari sana

  • @otrich30
    @otrich30 2 года назад

    Parent talk

  • @jumannesui9264
    @jumannesui9264 2 года назад +2

    Hata hivyo mzee sio mkweli unawezaje kukaa kimya na mwanao Toka 2008 mpaka 2022? Kuna nn hapo🙏🙏🙏🙏

    • @fredrickjohn5969
      @fredrickjohn5969 2 года назад

      Ommy kamla block dingi hadi aamue kumpigia yeye mwenyewe 🤣

  • @evergeorge3269
    @evergeorge3269 2 года назад

    muache ommy na maisha yake acha kum hafua kijana wawatu, pumbavuzako na Bado utaona mengi sana Kwa ommy na iwe funzo Kwa watelekeza watoto wote

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 года назад +3

    Kwel Baba kigoma atok Boyi

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 2 года назад

    Mzee anawatoto 17 kwani Dimpoz ananini cha kumtisha. Shida unapozaa katoto kamoja au viwili taaabu ndio huanzia hapo ...

  • @naomilukani2279
    @naomilukani2279 2 года назад +3

    🤣🤣dah! Dunia ina mambo hii, sasa hivi mwandishi anasema watu ndio tunawagombanisha! Alafu watu hao hao vigeugeu sasa hivi watu wako upande wa baba.

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 года назад

    Ommy Funga mdomo achana na malumbano na mzee maana wako wengi km huyo mzee walikimbia majukumu Sasa wajisogeza ili wale.

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 2 года назад

    Huyu mzee mpuuzi sanaaaaaaaa

  • @tinkiboniface3342
    @tinkiboniface3342 2 года назад +1

    Waendesha malori wana mdomo apo kashindwa tu kusema kumamake mm najulikana kuliko yeye🤣

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 2 года назад +1

    😏fanda kuna papa mokonzi

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 года назад

    Sasa we unawatoto 17 si uende kwa hao 17 Ommy mmoja anakupigisha kelele mtumzima

  • @cathbertmpepo5587
    @cathbertmpepo5587 2 года назад +6

    Baba ni Chanzo, Baba ni Asili
    Baba ni Baba!! No matter what

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 2 года назад

      Una akili nyingi sana wew bin adam niwachache wanao elewa hilo

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 года назад

      Kumbuk mam ni mara 3 af ya 4 ni baba

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 года назад

      Mbona Paulo naye hakua na baba, kama unamjua babake Paulo ntajie jina la babake. Hata Firauni hana baba.
      Ommy huyo si babake, mamake hukumuowa, mtoto si wake kiimani.

  • @rajabufarahani1418
    @rajabufarahani1418 2 года назад

    Ukiwa baba utamuelewa huyu mzee

  • @juliethfrancis7799
    @juliethfrancis7799 2 года назад +1

    Acha kelele Mzee,ulikojoa ukajisahaulisha wajibu wako. Leo ndo unajitapa ubabaa lol tulia ulinde heshima yako. Ulikuwa sehemu ya maumivu kwa mwanao hujui maumivu ya kujua bba upo lakini hujigusi hata salaam tu kwa kizazi chako.

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 года назад

      Unamchukia nan ss ww yafamilia ya wat umeyajuaje ww mzee mbon kasem vizur tuh ss ttz lipo wap apo

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 года назад

    Mmmmh

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 2 года назад +5

    Jamani na awa wanahabari wachonganishi sana. Fitna sana. Wanafatilia sana familia za watu. Wanaoji nini.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    HALAFU WEWE MZEEE NAKUPENDA SANA KWA MAJIBU YAKO. NAONA UKO NGANGALI. HUBABAIKI KABISA. NI WALE WAZEE NJAA NDO WANAHANGAIKAGA.

  • @Michaeldanny_214
    @Michaeldanny_214 2 года назад +1

    Bajaji ngapi kwani unazo.Si una bajaji moja tu

  • @joycekunyanja1027
    @joycekunyanja1027 2 года назад

    Mzee hana shida sema tu Omy amepaniki.ila Baba ni baba tu Kuna haka Gani humpendi baba yako halafu unaendelea kutumia jina lake

  • @anuarymzee9898
    @anuarymzee9898 2 года назад

    Myangazaji hujui kabisa kumuhoji mtu

  • @mspwjjjso6261
    @mspwjjjso6261 2 года назад

    Wewe Mzee Yani niwalewale Bola TU umebahatika ommy atoa fundisho Kwa wababa wote waliotelekeza watoto zao wakitokeza wajipange na sababu maalum maan Hata Mimi kunandugu yangu tulipoteana maan Hata Mimi nilikua nimetelekezwa ,daah ACHA TU imauma

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 2 года назад

    Mtoto sio rizk yule

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 2 года назад

    Note BAJAJ..POZY KWA POZY.

  • @violetoloo445
    @violetoloo445 2 года назад +8

    Waandishi wa habari nao wachochezi kwelikweli..... Haya yote kayalete Mwijaku.

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 года назад +1

    Mzee, hananjaa uyooo halafu hamchukii jamaaa,,

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 года назад

    Kumbe ommy ni wa kwetu mwanga kigoma

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 года назад +2

    Ommy amesema sababu yy ni mtoto wa nje,kiislam sio mtoto wa huyu baba...
    Swali,kwa nn anajiita Omary Nyambo na asibadilishe na kujiita jina la ukoo wa mama yake...anejua anieleweshe plz

    • @svt3
      @svt3 2 года назад +4

      Vincent Mushi: inawezekana mama Omy alipo zaa alikuwa anampenda saana baba omy basi aka mpatia mwanae jina la baba yake ila siku zilipo zidi kuenda baba hakuonesha kujali mwanae mpaka mama akafariki omy ilo jina lilikuwa limesha bana kuenda nalo shule.... kosa sio ya Omy yeye ni jina tu kama jina zingine alikomaa ameisha lipewa, labda mama omy alikuwa na fikiria baba kama baba atamjali mwanae ila haikuwa hivyo

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 года назад +3

      #Vincent Mushi.
      Hilo jina nani kakwambia alijiita mwenyewe na tangu lini mtoto anajiita jina? Kazaliwa wakampa jina akiwa bado mtoto akawa enrolled in School na jina likaendelea kutumia kuwa official ila hakujipa yeye from word go pia majina ni majina tu hayatoi rizki na jina hilo la nyembo huyo baba yake Omari si binadamu wa kwanza kulitumia na wala hana hati miliki nalo, ni uzuzu kumwambaia asitumie jina ambalo hakuna mwenye hati miliki nalo.

    • @svt3
      @svt3 2 года назад +1

      @@unclepwechnov1381 : yaani nakubaliana na wewe jina hilo ma million ya watu wanalo na sio hata wa kizazi moja na huyo baba kwa hiyo hilo jina halina mumiliki mtu yeyote anaweza kuliita mwanae,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 года назад

      .point ya mtoto wa nje alisema Kua kwakua yeye ni mtoto wa nje kiimani yake kunamfanya asirithi wala kurithiwa na mzee hapo tu ila si kwenye matumizi ya jina ilibase hapo

    • @svt3
      @svt3 2 года назад +1

      @@fahadfaraj6474 hilo jina halina miliki millioni ya watu wanalo, wamuache Omy na Amani mzee anao watoo 15 ashugulike na hao

  • @abrahmanabdallah8479
    @abrahmanabdallah8479 2 года назад +11

    Mzeee pambana na hali yako hujalea umekimbia majukumu wapumbavu kweli nyie watu nakuchikia sana hawa watu

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 2 года назад +2

    Mwijaku ujuaji kuna siku atapuyanga tu ,,, mambo ya familia ni vyema yaka tatuliwa katika ngazi ya familia,,, maumivu wanayajua wao wenyewe

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 2 года назад

    Kidume huyo. Watoto 17

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 2 года назад

    Duh...watoto 17 bonge la Ukoo

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 2 года назад

    Wandishi wa habari wachonganishi sana Leo yamefika na ya kupiga picha na Lonardo ulaya daaah!!

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 2 года назад

    Mavii

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 года назад

    Uyu mzee Ujana wake Hakua Panya road kweli??🥴🥴

  • @work4lifenews276
    @work4lifenews276 2 года назад +1

    Kumbe mzee ni dereva wama gari makubwa duh 🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️ awa watu wana zaa sehemu zote ........mzee amepanic 😂😂😂😂😂😂😂

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 2 года назад

    Mjeuri

  • @amiria.mustafa9859
    @amiria.mustafa9859 2 года назад

    Hiz nyambu hiz, mmh, 😂😂😂

  • @elianaevarsty2325
    @elianaevarsty2325 2 года назад +3

    Mzee anaongea saana mtavuna mrichopanda,

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 2 года назад +2

    Mzee amefeli 😂

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Mimi nasema wanaume wengine mumezoea kutelekeza watoto

  • @nurudogoli4010
    @nurudogoli4010 2 года назад +1

    Mimi namtaka uyo mbuzi aje kumdai mtoto yaani siku iyo naondoka na pumbu zake namtaka kwa hamu halete izi ngoko zake alete nimuoneshe aone leo naangaik na mtoto wangu alafu aje We MUNGU niweke nije kuuon uyo nguluwe Poli aje kujilet

    • @bosssalum1037
      @bosssalum1037 2 года назад

      Nuru usiseme hivo binadamu tumeumbiwa makosa ujana unamambo mengi

    • @mwajumahamisi2006
      @mwajumahamisi2006 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @ramadhanmaisa788
      @ramadhanmaisa788 2 года назад

      @@bosssalum1037 hakun cha ujana

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 2 года назад

      @@bosssalum1037 hayo Mambo mengi ndo yaendelee msitake kula matunda ya mti msiojua ulitunzwa na nani

  • @mariamdaudi2315
    @mariamdaudi2315 2 года назад

    Wanachonga waliolelewa nawazazi wao wote hawajuwi uchungu wakulelewa namzazi mmoja

  • @annastanciagati6800
    @annastanciagati6800 2 года назад +1

    Baba achana na polojo nyingi mtoto hujamlea Wala kumtunza lazima uelewe kuwa yy mtt ana moyo wa nyama na uchungu moyoni ww kama hujamtafuta miaka yote unategemea akutafute dilli na hao kumi na sita waliobaki

  • @artsononadilolo7474
    @artsononadilolo7474 2 года назад +8

    This reporter wasn't prepared on this interview or lack professionalism.

  • @naomilukani2279
    @naomilukani2279 2 года назад

    🤣🤣🤣Huyu mzee sio watoto 17 bado unaendesha bajaji.

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 года назад

    Uyu mzee pamparira nyinqiii
    Af parara.

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад +1

    ATUONYESHEE PICHA ALIZO PIGA NAE KAMA DIAMOND NA BABAKE ALIE MKATAA

  • @Hahaha-yf4ug
    @Hahaha-yf4ug 2 года назад

    Nimekwenda Congo Rwanda Zambia 🤣🤣🤣🤣

  • @heriethmichael6138
    @heriethmichael6138 2 года назад

    Hovyooooooooo

  • @emmanuelemmanuel3047
    @emmanuelemmanuel3047 2 года назад

    mm baba atakama alininikataa lla nitaendelea kumpenda mana bila yeye nisinge kuwepo kila jambo linakusudi

  • @kareraasouman4260
    @kareraasouman4260 2 года назад +3

    Dimpoz kuwa makini sana! huyu mzee atakuroga!

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Bas hata kumzika mama yake?

  • @Boaz22
    @Boaz22 2 года назад +4

    Maskini, mzee tayari kapata psychology problem 😔

    • @ramadhanmaisa788
      @ramadhanmaisa788 2 года назад

      😂😂

    • @aoman5214
      @aoman5214 2 года назад

      Kweli kabisa tatizo wao wamekwenda Sana Kweny upande wa dini Ila angelinda Heshima ya mzazi wake Mzee kaumia Sana

  • @kilimonachangamotozake6652
    @kilimonachangamotozake6652 2 года назад

    Mtangazaji unabooa

  • @fatmashija5637
    @fatmashija5637 2 года назад

    Una umarufu gani kama sio dimpos kuwa msani angekuona nani get lost tushachoka na wanaume kama nyinyi

  • @sulemeki2827
    @sulemeki2827 2 года назад +3

    Ingawa nixiku nyingi haujaonana namtoto wako yy atabaki kua mtt naww nimuhimu kweke mzee tuliaa akijisjia yy sw usjal we mzee

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 2 года назад

    Shida jamani ni sio Ommy ni Mwijaku jmn anataka kumshushia Ommy brand yake.dah. yy ndo chanzo cha yote. Yaaani huyu mwijaku!!!!!

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 года назад

    Mzee nimekuelewa!!

  • @annastanciagati6800
    @annastanciagati6800 2 года назад

    Achana na ommy ale maisha yake

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 2 года назад

    Nyie wanaume mnajiona wanaume imara watt wakeshakuwa tuu watt wakiwa wadogo nnajifanya kama mashoga mko bizi kutia wanja na kubeba vipochi hawana time na watt wakisha kukuwa ndio wanajifanya marijali wanabowa mpaka kichefu chefu

  • @otrich30
    @otrich30 2 года назад

    OG

  • @Michaeldanny_214
    @Michaeldanny_214 2 года назад +1

    Umefuck up afu unapanick 😅😅