@@abelambutsi5749 Aah, ata heri kutwerk. Wazee ni kujifanya ati hawalike tuschana tunatwerk but wakienda kwa bedroom zile mathambi wanafanya joh. Ata unawez faint.
Show mrazi pigwa rwai Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai Ikifika biz, ni warazi tunachai Yo, sitambui bloody fucking Niko hustling, nifike njati ya cafling Niko jabling, nashikisha tu na wabling Med ziko peak juu sinanga time ya idling Yo, look safi, ni manganya nasetoka Mawikendi, mashashola na mogoka Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii) Ati sisi ndio kunyamba ka itoka
Majanje wanikumbusha enzi ya kuchafua nilikua morio ngori mbaya lakini nimepoteza mandugu kuruka r.i.p ma Arif na family advise kwa makajana na mayouth hustle na utambue jasho kupona na ku umizana ni kifo jasho ni tamu
Sisi Wa Ras Hadi tukienda Bash Ras.. Tuna seti shii hata nutaseti Shada.. Tunatafash Mpaka wadai Ni Hash. Na see Waresh wamepimp kwenye Bash....InI Seh..Elder Amegurumia Mbogi Ngeje ! Gwan na Mo fayahhh.. Ndo hiyo..
At 1:10 min . kuna jamaa anawagota ata wao wenyewe hawajaamini...you can see how militan smiles,smady anatuonyesha the real genjeman na guzu anakua eager kugotewa...in short huyo jamaa i think ni yeye real Genje
[Intro: Smady Tings] Smady Tings Ah wah do dem Ah bie baga waganis Eh, whatcha know [Chorus: Smady Tings] Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) [Verse 1: Smady Tings] Show mrazi pigwa rwai Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai Ikifika biz, ni warazi tunachai Yo, sitambui bloody fucking Niko hustling, nifike njati ya cafling Niko jabling, nashikisha tu na wabling Med ziko peak juu sinanga time ya idling Yo, look safi, ni manganya nasetoka Mawikendi, mashashola na mogoka Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii) Ati sisi ndio kunyamba ka itoka [Chorus: Smady Tings] Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) [Verse 2: Guzman] Juu si waras, yaani tukienda bash (Ras) Tunaseti shash, tuna-tunaseti shada (Shada) Tunatafash mpaka wanadai ni hush (Hush) Na si waresh wame-pin kwenye bash (Mbogi) Juu ni makeki, ni mangeus ndio watatoa cash (Aii) Na wakitoa cash, nazundua shash Tunaseti hadi zitu-catch Na zikishika sana, piga ata ngasha Na ukitupa staple, mi ndio nitaku-catch (Catch) Vidole zangu sticky, ni kama nitaku-pinch Juu niko mboka, man, acha nitaku-link Usi-tense, usiogope, nitaku-link (Oh) [Chorus: Smady Tings] Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) [Verse 3: Militan] Tukimuok warazi wanabuya Govana, wakidigi ni lagunya (Militan) Dong'a gota nikuliet mashashola Senke ikiriet ni kihuti Kuwachai, kuwakata tukizied Smady, Militan kuwabugda (Bugda) Wakimuok, hatunauwo kusafisha (Hatunawuo) Wakimuok, hatunauwo kusafisha [Outro: Smady Tings] Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
look safi ni manganya na setoka,mawikendi mashashola na mogoka,mtatii mbogi genje ikimochoka...ati sisi ndo kunyamba ka itoka.......iyo verse ni mbaya kwanza vile imeendanisha na riddim
The fact that madem hawako kwa Vida yahawa maboi na twerking shit ...inamaanisha hi ndo the real mbogi my friend
Walai
This is that real street music
Sasa we ndio umenena
@@TheTmrazz street za ke zinakaa ivi... Hii upoko ingine wajiekee
Fact
Brian Leila..walai umeongea fact
Ghai nimeona viatu zangu walai😩
Wacha ujinga
Wcha ujinga
Uuuwi..hiyo jacko ya adidas ya blue manze inakaa familiar
mrazi pigwa ruai blody fukin
@@victorkamau1100 kwani mnataka kulia
It seems I’m the only one here in 2024😭❤️
Tuko fully locked
😂tuko ndani. shit never gets old
tuko🔥🔥
Tuko wengi 😂
Here in 2025
Kama haujaelewa sheng ya mbogi genje piga like hapa 😂😂😂
Aah kartell😂😂
Sema my guy
Sasa unatutangaza 😂😂😂😂😂😂😹😹🙄🙄🙄🚼🚼🚼🚼
@@Josephineomosa254 kamafi mambo 😂
Hivi ndo utaongeleshwa alafu ukikubali unapigwa coz hujui ni nini imesemwa
Wapi likes za Militan...huyo rapper wa mwisho
Militan anaweza and he seems the most descipline one
Ni smaddy...not millitan
ruclips.net/video/VViWvion6i0/видео.html
'Tukimuok warazi wanabuya, govana wakidigi ni lagunya, dong'a gota ni kuliet mashashola
Senke ikiriet ni kihuti, kuwachai kuwakata tukizied, smadi militan kuwabugda' mbogi genje
WAAAH nimetii hahahhaa
What are those?😂
Translation priss😂😂😂
@@johnmangwelo3735 Tukimwok warazi wanabuya
( tukikam watiaji wanahepa) mwok is kwom interchanged
Gova na wakidigi ninagunya
( cops wakikuja ninapace/ninakimbia)
Donga gota nikurieng mashashola
(Donga(a person) gota nikueke na rada ya mashash)
Senkee ikiriet ni kihutii
Shukran bazeng👊💯💥💥
Hii sasa ndio real mbogi.... Hakuna tule tuschana twa kutingiza tumatako..... Kazi Safi majamaa
ata heri tuschana tunatwerk, hii ni worse 'cuz wanaongelea murder na uchochezi, hatred etc
Enyewe hii ngoma iko sawa huto tuschana hamna hii ngoma unaeza watch na wazee
@@abelambutsi5749 Aah, ata heri kutwerk. Wazee ni kujifanya ati hawalike tuschana tunatwerk but wakienda kwa bedroom zile mathambi wanafanya joh. Ata unawez faint.
@@davemwangi05 what I mean unaeza share hii ngoma kwa what's up na Fb haina nudity ngoma iko sawa
@@abelambutsi5749 message ni mbaya, Its about robbing and bad things
nmerudi apa 2024 bado naimba ii wimbo word by word😂
Nimeskiza hii ngoma kwa simu yangu ikajifuliza
Thank you Jesus,
Mbogi Genje taught me to speak in tongues,.
Underrated comment. 😂😂
Pale thuku room b bladi f@@@in
Hahaaa muhigh mazee
Lol the video director Niko sure hakulipwa
huh
Aliibiwa 😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂
Walai militan ni noma wah.....nimetii
💯%
Mbogi imenyurisha game joh,,,
Mbogi genje wanafaa kupin hii comment yako bana.
Militan mkali wao kabisa he understands art
whenever you meet a gang of thugs weka hii ngoma kwa simu. watapotea wenyewe
ruclips.net/video/VViWvion6i0/видео.html
Tukimuok warzi wanabuya
😂😂😂
"vidole zangu sticky ni kama ntakupinch"...I truly felt that.
Mbogi genje ...when they come to your house you are the guest 😂
😂😂😂
Aaahh😹😹😹😹😹😹😹🚼🚼🚼🚼🚼
😂😂
Manze.. We ni mgeni kwako..
😂😂😂
Mum : Visit your cousins in Nairobi, ni wazuri Sana
My cousins in Nairobi :...
Underrated comment 🤣🤣🤣😂😂😂
Baana its underrated
🤣🤣🤣🤣🤣
Yoooh people are sleeping on this comment😂😂😂
Can't understand anything here from US 😔 but mnipige likes😅
Hit like kwa look safi #mbogigenje more love dave@
I showed this to my dog,
It's now my dawg
now your dawg has a bling bling, and it berks, "Bow wow" LOL
@@davemwangi05 tf😂
Got that from NWA
Na wako humble i think john Baptist alibatiza hii mbogi yote Kenya wamebarikiwa kweli
Show mrazi pigwa rwai
Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai
Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai
Ikifika biz, ni warazi tunachai
Yo, sitambui bloody fucking
Niko hustling, nifike njati ya cafling
Niko jabling, nashikisha tu na wabling
Med ziko peak juu sinanga time ya idling
Yo, look safi, ni manganya nasetoka
Mawikendi, mashashola na mogoka
Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii)
Ati sisi ndio kunyamba ka itoka
Now this is theeeee *sheng* ya wajanja wa Nai ....hizo sheng zingine za genge tone laced with ufala zinyambishwe na itoka...braryfoo!
Ni Moto 🔥ruclips.net/video/1CH-JxXZVQM/видео.html
They killed this Jamaican beat !!!! 🇯🇲
Majanje wanikumbusha enzi ya kuchafua nilikua morio ngori mbaya lakini nimepoteza mandugu kuruka r.i.p ma Arif na family advise kwa makajana na mayouth hustle na utambue jasho kupona na ku umizana ni kifo jasho ni tamu
The HARDEST and REALEST Kenyan gangster song EVER
Drop fav line yako kwa hii song...Ygu ni med ziko peak juu sinanga time ya idling 🫡..
Mbogi Ni Genje Gadheee 😁🙌🏾🔥🔥🔥💣💥💯
Big Tune 💯
🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥😁🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾
Me : Najua Sheng vizii
Mbogi genje : Hold my beer
🤣🤣🤣🤣🤣
Hold my mogoka
waaah ok
Mbogi 👊👊
This song makes me feel like robbing my own house.
Mark ongaya 😂
😂
😂😂😂😂😂Acha ujinga mahn 😂
😂😂😂
Utapigwa na kidi!!!..coment liet like mach!!!
Naenda kutupa hio kamusi niko nayo home sasa😆 hainisaidiangi...huku ndio real deal😀😀
I actually find myself here everytime I am on RUclips... I love this song
Yes sire
Great 👍👍
It's a goody wan
Me too. I like the song. Reminds me of my hood
They look like some well behaved gentlemen 🤭
😂😂😂😂😂😂😂
comment of the year
Quite distinguished, i say
They r in good groups too wearing matching outfits how cute😂😂
Copied
Hawa watu wako ahead of their time 🤣🤣 hii ndo new language ya 2050 but wameianza sai
THESE GUYS SHOULD BE MADE ROLE MODELS TO OUR YOUTH,very composed and decent
Ati people talking of drug use should be role models? Boss, go home and grow up. You dont know what you are talking about.
@@Kittygacha_playzwe unajua sarcasm fala ii
@@Kittygacha_playzg😂
@@Kittygacha_playzyou didn't get the joke by a mile
.
@@koscocosco5309 No one gets your village jokes boss. Only your grandmother perhaps🤣🤣
Beat qally sana... 2na saka picha ya Kenyatta kwa walenje
"Sitambui bladifakin" is all I need to hear!!❤️❤️😂😂😂
sitambui bloody fucking niko hustling..., kali saaaaana..., big up madova
..., mbogi genje
This are the role models i was telling you about!
Only real music is going to last all these other bulshit ☝is here today and gone tomorrow...
No wreckless twerking in the vid
@@brittlesw9137 when it means business
Atari kubwa😂😂😂
New music genre coming up... watch this space
Lost my phone when hanging out with these gentlemen and they even traced where I live and brought it back.
My kind of humour😂😂😂
you got me in the first half then finished me in the second
😂😂😂😂😂😂😂
Uko sure c hoa walikuibia???😂😂
A group of well-behaved gentlemen.
You sir can eat a giant bag of dxxx
That's true
ATI senke aki riut ni kihuti😂😅
Wangapi tunanyamba kaa itoka 😂✔🔥💪💯
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Just went out and back again, locked myself from inside to finish this video. Mabugda part scared the hell out of me.
Manze hii kitu ni ya 2019, kama unasikia 2020 chapa like msee.... halafu ka unapenda hiyo sound ya kiriddim hivi fanya mambo...
mbog niyae mimi ni msani nataka tupige kolabu youtube mavo cheza na maneno🤛🤛
Kuna jackoo inakaaa yangu
After watching this...I just feel like robbing my own house...hahahah I can't believe I fell in love with the vibes 100%.... Acha nkol peddy wangu
Leo ntadoz nikijiskia kama mkenya... K. E to the world, izi ndio ngoma tunafaa kuwa tunacheki kw a teli jo 👌
nimeibiwa simu na bundles hapa
Haha umenijengea siku
😂😂😂😂😂😂
Larrie tafathali spare my lungs Waaa umenmaliza! pwahahaaaa
Larrie mayodi simu ata nishaficha wanaka kupita nayo, ,
@@tiffanyjal223 🤣🤣🤣😊 good girl
nimeskiza ii ngoma na kabla iishe nlikuwa nimekunja ngumi na nkaanza kubounce
Mirimo na popi nawaona
Mimi nataka tu lyrics ju waaaaah
Ha lyrics nk2mia👊👊
Cheryl ushasema, lyrics ziko wapi tukune vichwa vizuri wacha hapa vile tunapitwa na maneno magumu!
@@jeffkauchape5903 znkam
Kuna translation video
@@drew48 link?
finally some good Christian music
Hmmm these young men are quite articulate I completely understood each verse in the song
They are articulate in Sheng
Whichever place this duo disappeared to we need them...we don't need militan, we need MBOGI GENJE back bana...
Apo sawa jeshiii. . . Tuwai wai hii maziwa. Lazma tutaftane tukule mashashola kimoja. Mshamochoka jo
Waki muok hatu nawo kusafisha,👊👊
Ngumi mbwegze
Legend is....Once Mbogi Genje were late for school,
Principal punished everyone for coming early 😭😞
😂😂😂
😂😂😂
Ni Moto 🔥ruclips.net/video/1CH-JxXZVQM/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Still sounding fresh as ever!
Kenyan Talents Rock!!!1
Sisi Wa Ras Hadi tukienda Bash Ras.. Tuna seti shii hata nutaseti Shada.. Tunatafash Mpaka wadai Ni Hash. Na see Waresh wamepimp kwenye Bash....InI Seh..Elder Amegurumia Mbogi Ngeje ! Gwan na Mo fayahhh.. Ndo hiyo..
Watu wanaenjoy sheng ya militan ... the 3rd guy. so much wanakosa ku acknowledge ile talent iko na the first guy... smady
2:20 kidogo govana agotee GUSTAV kwa uso
Vida mlishoot i was there pale UMO ROUNDAA mkanifukuzaaaaa😭😭😭😭
Hahah wewe ndio mrazi ulibuya?
Labda ulifkuzwa juu we ni kivedi mrazi mkubwa wewe
mbogi ni genje
honestly, i dont know why i love this song
si ndio mbogi genje wenye tunatafuta sura ya kenyatta kwa ....... big men
Lagunya zangu walahi !!!!! Miltan ,,,lakini likes za genje mko juu
Continue being this hardcore,. Take it to another level,. Make Kenyans proud
2 years down the line and DAMN! this song still slaps AF🤩
😂 Uongo buana
After watching this Had to check if I still have my phone and wallet. Mbogi Genje
Noma man 😂😂
Naskia hii wimbo naconfirm Kama Bado viatu zangu ziko NJee ya mlango.... Love this song so much
Mbogi wako lit walahi... lyrics 🔥 📛
Nani ameona Madocho hapo na guzman kwa klabu😂 Na siku hizi anajifanya ati ngumi ni jamo na alikua team mbwegze
When mbogi genje comes to class late everone apologizes for coming early
Iyo shoegame imeweza lakini🔥
Bana😎
Si walipora mahali.. 😂
Wah naeza dai nikue kwa vida yao moja bna natambua mbogi genje bna
Smady tings omera 🎉
team 35/60 representing umoja jamaica
Wagwan hii🔥ruclips.net/video/1CH-JxXZVQM/видео.html
Mad respect kwa MAVADO na TEDDY asapo 3560
When he said " Senke ikiriet ni keuti" I really felt that.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwanza Wat's keuti 😲😲🤣🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣😆😆😆
Inamaanisha nini
🤣🤣🤣🤣
Leo tunapiga 1million strong.....wangapi tumekuwa hapa tangu last year....
tulipiga💪
Mbogi ni Genje
motooo nitafuteni sowe niwapeleke na mutaratara
I came here for the sheng, I stayed for the comments. The comment section is lit af!! I haven't laughed this hard in a long while 😂😂😂😂😂
Ni Moto 🔥ruclips.net/video/1CH-JxXZVQM/видео.html
This song makes me feel like sending my dad to the shop
Mtume na muambia afanye araka umempea dakika 5
Ni Moto 🔥ruclips.net/video/1CH-JxXZVQM/видео.html
Jajajajajaja
😂
At 1:10 min . kuna jamaa anawagota ata wao wenyewe hawajaamini...you can see how militan smiles,smady anatuonyesha the real genjeman na guzu anakua eager kugotewa...in short huyo jamaa i think ni yeye real Genje
Tuko na beef na tz
From here 2024❤❤😂😂
Mavado Badest ... genje 👊👊 imeweza napenda tusana 🤙 Sana
Big up mbogi genje
Hiyo no big tune
@gengetone music promotion
Bigtune machaji ivo ivo mbogi genje :#militan umekill it aty haunauo kusafisha 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kama uko hapa 2020 Dec piga like kwali mungu c kamau look at mbogi genje sai waaaaah!!!
That moment when you spot Madocho wa Kanairo at the 1:31 minute of the video!! Alaaa!!
Who else notices madocho is in the video as from minute 1:31-1:38
Mimi 😂
mm
Hiyo ndio nini😂😂😂
First time listening to this song nkapoteza app ya Tala na Okash😥
Kuna siku nimeingia mat nikapata Militan ndio conda na nilikuwa na tao pekee ilipiti nimesare change roho safi
*Mbogi Genje Lazima Tuomoke inshallah*
Mbogi genje mko Sawa man. Your songs are fine.. You will make it
[Intro: Smady Tings]
Smady Tings
Ah wah do dem
Ah bie baga waganis
Eh, whatcha know
[Chorus: Smady Tings]
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
[Verse 1: Smady Tings]
Show mrazi pigwa rwai
Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai
Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai
Ikifika biz, ni warazi tunachai
Yo, sitambui bloody fucking
Niko hustling, nifike njati ya cafling
Niko jabling, nashikisha tu na wabling
Med ziko peak juu sinanga time ya idling
Yo, look safi, ni manganya nasetoka
Mawikendi, mashashola na mogoka
Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii)
Ati sisi ndio kunyamba ka itoka
[Chorus: Smady Tings]
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
[Verse 2: Guzman]
Juu si waras, yaani tukienda bash (Ras)
Tunaseti shash, tuna-tunaseti shada (Shada)
Tunatafash mpaka wanadai ni hush (Hush)
Na si waresh wame-pin kwenye bash (Mbogi)
Juu ni makeki, ni mangeus ndio watatoa cash (Aii)
Na wakitoa cash, nazundua shash
Tunaseti hadi zitu-catch
Na zikishika sana, piga ata ngasha
Na ukitupa staple, mi ndio nitaku-catch (Catch)
Vidole zangu sticky, ni kama nitaku-pinch
Juu niko mboka, man, acha nitaku-link
Usi-tense, usiogope, nitaku-link (Oh)
[Chorus: Smady Tings]
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
[Verse 3: Militan]
Tukimuok warazi wanabuya
Govana, wakidigi ni lagunya (Militan)
Dong'a gota nikuliet mashashola
Senke ikiriet ni kihuti
Kuwachai, kuwakata tukizied
Smady, Militan kuwabugda (Bugda)
Wakimuok, hatunauwo kusafisha (Hatunawuo)
Wakimuok, hatunauwo kusafisha
[Outro: Smady Tings]
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
Ahaaa. 💥Wagenge... Lazima hio picha tupate
Now you know😀😀😀
Lzm 2kwrie
Sim toolkit ime potea kwa phone (pun intended)
Tf😂😂😂
😂😂😂😂😂 ateeeee what?!
Lmao 😂😂😂
Not funny at all
pun intended
LOL, kutaka picha ya Kenyatta Kwa walenje,hawa ndio the real hustlers!!mashashola na mughuuka Mbogi genje kabisaaa!! Mbogi ya kimonyoski LOL
look safi ni manganya na setoka,mawikendi mashashola na mogoka,mtatii mbogi genje ikimochoka...ati sisi ndo kunyamba ka itoka.......iyo verse ni mbaya kwanza vile imeendanisha na riddim