MC JESSY UNEXPECTED REACTION ON WILLY PAUL AND DIAMOND PLATNUMZ ALTERCATIONS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 247

  • @buyoywa
    @buyoywa 3 дня назад +21

    thank you jesse
    willy is a beast

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 3 дня назад +4

    Napenda MTU mkweli kama uyu ..bro ubarikiwe sana ,let's support our artist full stop.

  • @felixnyaga3197
    @felixnyaga3197 2 дня назад +3

    Ashanteni sana Wakenya Mmeanza kujielewa,👍🔥

  • @bossej1212
    @bossej1212 2 дня назад +5

    Mc Jesse, ushabonga. Umebonga poa. Congratulations

  • @ProJays
    @ProJays 3 дня назад +6

    Kweli bro nasikia wakenya wakisema cjui diamond c waenda Tanzania basi... Tuko Kenya tu support wakenya wenzetu

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 3 дня назад +8

    Good Talk everybody need to support their own

  • @ShishishiMohammed
    @ShishishiMohammed 3 дня назад +10

    Unasema kweli broo

  • @motherlandtv254
    @motherlandtv254 3 дня назад +10

    Hii nayo itachanua wakenya

  • @Princescynth
    @Princescynth 3 дня назад +26

    Watanzania wanapenda kuchijocha sana wanatakanga kujifanya hao ndio wanajua kila kitu watukome

    • @Mina.15
      @Mina.15 3 дня назад +1

      Nikweli tunajua kila kitu mama fuafua nyinyi 😂

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 3 дня назад +1

      Unatumia akili ama makamasi kufikiria...😂😂😂 mnadanganyana sana..... mko na wivu akuna kitu mko nayo😂😂.....Muzik mzur unajiuza ..utaona atalipwa pesa kubwa kulko aje tena na akuna kitu utafanya..lia😂

    • @RishDonn
      @RishDonn 2 дня назад +1

      we ulitaka tusijuwe kila kitu

    • @DorcasMukhebi-gx7mk
      @DorcasMukhebi-gx7mk 2 дня назад

      @@jeniferemmanuel4251 mziki mzuri but tulikataa tukasema tupewe pozzeh si kisimba chenu kilikataa ni sisii ebu watch video vzri

    • @AbdulMajid-pb2sx
      @AbdulMajid-pb2sx 2 дня назад +1

      aujuwi kiswahili tuliya

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 2 дня назад +2

    Thank you mc Jessy let put out house together haki watanzania hawatuwezi kimuziki coz diamond si mbunifu ila ni muigizaji tuu na copy master of other people songs.

    • @AgiripinaNisiphory
      @AgiripinaNisiphory 12 часов назад

      Duh ufahamu wako huo au unaweza kwa kutumia tako😂😂😂😂😂😂

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 2 дня назад

    looking forward to attend bro. Asante sana

  • @peterkyalo4347
    @peterkyalo4347 3 дня назад +4

    Big up Jessy

  • @takwimutanzania
    @takwimutanzania 2 дня назад +1

    Not all but most Wakenya ni kama they cant think proper, they are easily manipulated simply by saying am from kenya. Its like ukabila vile, they became blind and deaf na kukaza ubongo, pale tu utakaposema "i am home and i love kenya". They protecting disrespectful people simply kwa kusema "charity beginning at home" what a shame, acheni hizo victim mentality and peer pressure. Fanyeni kazi nzuri tutawasapot not otherwise.

  • @20daily23tasks
    @20daily23tasks День назад

    Wow wow wow Asante Kaka Ukweli Kbsa

  • @hevizymatho7853
    @hevizymatho7853 2 дня назад +1

    Well said bro Jessey

  • @ROSE-m1f4s
    @ROSE-m1f4s 3 дня назад +10

    Huyo baby mama wa p diddy asiwape stress

  • @MercyChebet-o8o
    @MercyChebet-o8o 3 дня назад +2

    You speak facts now puts on action

  • @faithfay7106
    @faithfay7106 День назад

    We love our nation ❤❤

  • @bamdogomusic
    @bamdogomusic 3 дня назад +2

    Very true 💯

  • @utukufugloria8393
    @utukufugloria8393 2 дня назад +1

    Very true jessy🎉🎉🎉

  • @rihkaa6289
    @rihkaa6289 3 дня назад +2

    This couldn't be an issue if willy didn't make an issue,, I salute him

  • @user-cm8co9fq5p
    @user-cm8co9fq5p 3 дня назад +3

    let us support our own and we need respect

  • @EwalanWambui
    @EwalanWambui 3 дня назад +1

    💯👍🏾👌🏾fact & true

  • @hassanjalikazi6754
    @hassanjalikazi6754 День назад

    Uko sawa kaka

  • @HassanOpondo
    @HassanOpondo 3 дня назад +7

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯❤️❤ ambia maina kageni willy mtuva wa wache ujinga na Ngoma za bongo

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 3 дня назад +1

      Mna roho mbaya nyie wakenya wenyewe kwa wenyewe hampendani ndio mtatupenda ssi watz wakenya mnajurikana Dunia nizima wivu tu na hamjui kuimba wara kuongea..watu tunataka mziki mzuri

    • @JohnAwinda
      @JohnAwinda 3 дня назад +2

      Hehe ATI roho mbaya this is Kenya the capital city of Africa ask wazungu they know

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 2 дня назад

      Wara ni nini😂😂😂

    • @christine4072
      @christine4072 2 дня назад

      Kenya mzima tumekua wana mziki sindio people are talented differently there those are for gospel and those of cecullar na kuna wenye hawapendi mziki soo muache kubeba nchi yoote mi hadi sipendi nyimbo za diamond coz ni za umalaya na tabia mbaya za kishetani though si watu woote upenda mziki msitubebeshe misalaba ​@MsNajma-j7e

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      Willy Tuva is the greatest idiot!! We have to fix Kenya to work for Kenyans!!

  • @BenardOruko
    @BenardOruko 3 дня назад +1

    Absolutely right

  • @Beridav-Africanboy
    @Beridav-Africanboy 3 дня назад +2

    One love for Africa we are one people let's blame event's organizer we are being divided by white imperialist one love Africa 🌍. Especially we kenyans we aspiring to unite Africa as Muhammad Gaddafi said let unite as we need Rail to lead AU we Kenyans should Unity and love of one Africa let live in peace one love Africa 🌍.

  • @AnneNyambura-m8l
    @AnneNyambura-m8l 2 дня назад

    Thank you Jessy👏👏👏👏

  • @conslateodhiambo8897
    @conslateodhiambo8897 2 дня назад +1

    But honestly Willy Paul ...was Wrong forcing him Self on Stage... Willy Paul tafuta proper management wakuguide ....am a Kenyan and all always support Kenya but kama tumekosa ..tumekosa..... Truth be Told... My honest opinion is that the organizers of the event ndio walikosa na ni wakenya....

  • @maxwellsanga3662
    @maxwellsanga3662 2 дня назад

    Its clout time hii wave itaisha tu na diamond atabaki kua diamond, every one is using this opportunity to push his project, i won't be surprised if willy releases a new song right now

  • @SunnyMutesi
    @SunnyMutesi 2 дня назад

    Exactly that’s how it is supposed to be family comes fast and Kenyans your one person .

  • @jpaultuyishime4214
    @jpaultuyishime4214 2 дня назад

    Nawakenya munashangaza sana mnatukana prezo wenu na bado mnaccpect asaidie laia 😂😂

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 3 дня назад +3

    🔥

  • @eugeneokwiri8438
    @eugeneokwiri8438 2 дня назад +1

    True story

  • @Reginah-yc5kt
    @Reginah-yc5kt 2 дня назад

    Ongeza volume bro

  • @ZibiahLotiang
    @ZibiahLotiang 3 дня назад +1

    The event organizers are the one to be blamed,The artists do as they say
    So stop this and be ONE Africa

  • @Dcreature-b4m
    @Dcreature-b4m 2 дня назад +2

    Wakenya wanamchukia DIAMOND BAADA YA KUACHANA NA TANNASHA DONA HAPO NDIO BEEF ILIANZIA😂😂😂

    • @anneopero8617
      @anneopero8617 2 дня назад

      Kwani ulikuwa unataka tumpende huyo malaya?

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      We are not stupid like you Tanzanians!! That is none of our business. Just the same way Diamond means nothing to us!!

    • @HadijaMmwaro
      @HadijaMmwaro День назад

      Hatuezi penda mtu mwenye anakuliwa na p ddy 😂😂

  • @MildredLujina
    @MildredLujina 3 дня назад

    👌👌👌♥️♥️

  • @Mkurungwe
    @Mkurungwe 2 дня назад

    Kitumbili was just chilling 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 День назад +2

    Chuki,ubaguzi na roho mbaya

  • @lynnoluk2945
    @lynnoluk2945 2 дня назад +11

    Here in UG we can even go upto 3months without seeing diamond songs on tv 😂😂😂it's you kenyans who worship diamond 🚮🚮🚮

    • @attentivegal5258
      @attentivegal5258 2 дня назад +1

      By the way the way he feels he's known all over the world. What a shame😂😂😂😂. I really like Ugandans so peaceful

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад +1

      Kenyans don't worship him!! Kenyans have been supporting other Sfrucans who don't give the support back. Not anymore. It is a new dawn!! Kenay first!!

  • @nassororashidi33
    @nassororashidi33 3 дня назад +1

    😂😂😂 Kenya kenya Kenya muacheni diamond wetu

    • @HalimaWeyimi
      @HalimaWeyimi 3 дня назад

      Hatuna haja na bibi ya p diddy

    • @attentivegal5258
      @attentivegal5258 2 дня назад

      P.ddidy anamdai kwa jela😂😂

    • @joycelivoi6
      @joycelivoi6 2 дня назад

      Nani kamshika jameni

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      😂😂 Alikija Kenya kwa nini? Si angekataa kuja Kenya kama Kenya si kitu kwake?

  • @DennisBwire-vn3uc
    @DennisBwire-vn3uc 2 дня назад

    Umenene ukweli... Kenya to the world

  • @stormgenerationke
    @stormgenerationke 3 дня назад +2

    Wenye mko karibu na pozee si mumushow aingie studio atafute a good team they write a good music and ensure production is at its best

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 2 дня назад

      @@stormgenerationke hii kali 💓

    • @shairohShindemmm9127
      @shairohShindemmm9127 2 дня назад

      Have you listened to his music or watched his performance. Huyu Msanii ni mnoma

    • @stormgenerationke
      @stormgenerationke 2 дня назад

      @@shairohShindemmm9127 yea go to sabato sauti ya ground then you will see sense

  • @DanielAshiangi-ly6mg
    @DanielAshiangi-ly6mg День назад

    That's true guys

  • @alexmuli1681
    @alexmuli1681 2 дня назад

    Apo umeongea❤

  • @mercyme3841
    @mercyme3841 3 дня назад +6

    Can 🇰🇪 just ban these 'outsider' celebs causing chaos in Kenya?

    • @Robynbangz
      @Robynbangz 3 дня назад

      😂😂ndo maana wasanii wetu hawaendi mbali😂

    • @rutihindakiuyajibu2918
      @rutihindakiuyajibu2918 2 дня назад

      Kenyans are chaotic.. The chaos was caused by Kenyans mazee

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      ​@@RobynbangzBecause of your type!! You prefer foreigners over Kenyans!! Glad other Kenyans don't have your kind of brain!

  • @HamisiKiyeye-j9t
    @HamisiKiyeye-j9t 2 дня назад

    Iekwe ikue Sheria Kwa Hizi media zote za Kenya waache kucheza Bongo, ..wakikataa wapeleke Radio zao, Kwan n kesho!!

  • @janenandi4095
    @janenandi4095 3 дня назад +1

    PROPHETIC Team Members Fearless Preacher UK 🇬🇧 THIS UPDATE Uplifting SHALL BE PERMANENT ; LORD IS SPEAKING Louder LISTEN 👂 💯 GOD BLESS LET US SUPPORT OUR OWN ; FOR THE MOUTH 👄 OF THE LORD HAS SPOKEN NO Otherwise 🙏🏼❤️BIG MY BROTHER 🙏🏼❤️💯💯

  • @CatherineBuleti
    @CatherineBuleti День назад

    Thanks MC Jesse, tell them the truth,

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 2 дня назад +2

    Willy Paul did wrong hakuna Kenya Vs Tanzania huyu jamaa ni mtu wa drama always. Kwanini tusiwe wakweli 😢

  • @joseliamson2168
    @joseliamson2168 2 дня назад

    Kabisa bro

  • @Newsfid
    @Newsfid 3 дня назад +5

    Whay are we supporting here..... Huezi tu force kuskiza matope wewe mdomo kubwa

  • @SaidKasomo
    @SaidKasomo 2 дня назад

    Mko hapa support our own but simu zenu zimejaa nyimbo za Tz na Naija.
    Supporting your own only makes sense when your own puts in the effort to actually produce something valuable. Supporting your own should start with you showing up to their shows.

  • @ActiveMedia-j9y
    @ActiveMedia-j9y 2 дня назад

    EGO itawatoka matakoni WAKENYA kuimba hamjui NONSENSE TU 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      Nani aliwadanganya tunategeme mziki waTZ!! Vile mnatudharua si waimbe TZ!! Mnafikiria Kenya itasimama kwa sababu yenu?? 😂

  • @rankinbazu7054
    @rankinbazu7054 2 дня назад

    Government yetu inajua kuibia raia tu😂😂😂😂😂😂

  • @PlickaChacha
    @PlickaChacha 3 дня назад +1

    Huyu jamaa macho yake sijayaelewa

  • @EmmanuelLundindi
    @EmmanuelLundindi 2 дня назад +1

    Fanyeni yenu kenya, diamond platinum is a king of jungle

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      Diamond is nothing. He needs fans. He can gert them elsewhere if he wants to despise Kenyans. Kenya doesn't need him!!

  • @kimanifrancis1456
    @kimanifrancis1456 3 дня назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @bonirodi6301
    @bonirodi6301 5 часов назад

    Tumechoka na hii Kiki Sasa

  • @michaelmuyala9177
    @michaelmuyala9177 День назад

    Kenyans for kenya,,,,

  • @SimonOchieng-pr7uw
    @SimonOchieng-pr7uw 3 дня назад

    True

  • @Susan-po7ky
    @Susan-po7ky День назад

    Casspol na kibee ni mafala they are the fools telling Willy to fear and respect Diamond Malaya Yao Willy POZZE our own Simbaaaaaaaaaaa

  • @vitukovyasilvernamtaawake4024
    @vitukovyasilvernamtaawake4024 День назад

    Mimi niliacha kuskiza ngoma za hao watu

  • @RichardWambura-w9o
    @RichardWambura-w9o 3 дня назад +2

    Hivi nyie akili mnazo kweli? Mond ni chapa kubwa

  • @wilfredlosuru3511
    @wilfredlosuru3511 2 дня назад

    Its good but tz wamama akina baba levo na mabibi akina diamond wako wengi

  • @TonyMureithi
    @TonyMureithi 2 дня назад

    It's time other EAC countries have some respect for Kenya! Hawa watu wanadharau wakenya sana. We need to show them that we run the show...not them!

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      Glad Kenyans are seeing them for who they are. Kenya first!!

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 2 дня назад

    Sasa kwan nani kawakatza kujisappt .msanii kabla asapotiwe kwanz ajitafute mwenyw

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 3 дня назад +1

    Wa Kenya mpo mnaroho mbaya sana mbona ssi tunawapa nafasi uku tz hacheni usenge uyo msani wenu ni bado mdgo sana uku kwetu kama andarigaundi..so kaeni kwa kuturia hamna mziki mzuri na hamna mashabiki wa tz tunapendwa sana bado mpo chin

    • @FreeDocumentary35
      @FreeDocumentary35 2 дня назад

      Kuliko venye mnamchukia pricy wa jux

    • @anneopero8617
      @anneopero8617 2 дня назад

      Kindly go to school and learn how to write well in swahili

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад +1

      Nyinyi warsnzania ndio roho chafu!! Mtukome!!

  • @wangitv
    @wangitv 3 дня назад +1

    Mimi nasikia music ya kenya ama Reggae music

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 2 дня назад

    Huyu jamaa nlikua namkubali Ila kwa upuuzi huu nimemshusha kabisa

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      Vile tumeshusha Diamond!! Aura for aura!!

  • @manstiko5890
    @manstiko5890 3 дня назад +1

    Nilijua ako na akili leo nimemuona uyu ni fala

  • @shebbylovemsafi903
    @shebbylovemsafi903 3 дня назад +1

    Msha zoea fujo nyie wasenge mimi hata huo mavi sijui Paul si jui hata nyimbo zake wacha nende RUclips nikaangalie utopolo wake 😂😂

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 3 дня назад +1

      Mbona unalia sasa😂😂😂

    • @Ychebet
      @Ychebet 3 дня назад

      Get well soon

    • @rhinoriders6060
      @rhinoriders6060 3 дня назад

      Kinyesi cha kuku wewe....

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      😂😂 Imewachuna wakenya wakikatta hicho kipaka chenu mnaita simba!!

  • @HalimaWeyimi
    @HalimaWeyimi 3 дня назад +1

    Kuna mjinga mwingine huku anaitwa cassipul anatukana Willy paul mbaya sana,sijui ni mkenya au ni mtanzania?

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      He i, a Kenyan who I think is paid to trash Kenya in praise of anything TZ!! Very stupid loud mouth. Kenyans should stop giving him audience.

  • @zablonmutisya2525
    @zablonmutisya2525 3 дня назад

    Ile kiburi wasanii wakenya mko nayo Wacha tu😊

    • @musiccaentertainment100k8
      @musiccaentertainment100k8 3 дня назад +1

      Hyo ndio maana ya jina Kenya..

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      You are the people making TZians disrespect us!! Those people, are cry babies. They offend and make themselves victims.

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 12 часов назад

    KUMFANANISHA DAIMOND NA POSEE NI SAWA NA KUMFANANISHA RAIS NA MJUMBE WA NYUMBA KUMI KUMI HEBU ACHENI KUJITOA UFAHAMU POSEEE ALIKUA AMELEWA SANA BANGE NA MIRAAAA

  • @peterkyalo4347
    @peterkyalo4347 3 дня назад

    Big Jesssy

  • @stephenmelita3493
    @stephenmelita3493 3 дня назад

    Kweli jessy

  • @VishKhan-u8e
    @VishKhan-u8e День назад

    Wakenya hamjui chochote

  • @FathilieMutai
    @FathilieMutai 2 дня назад

    Jessy akona shaw yake coming soon , that anachangia

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 3 дня назад

    Uyo jamaaa ni kichwa maji ama nae Ana Tafuta kiki acha utobwe ww African is one Diamond ajausika na pozee uyo ni tobwe😂😂😂

    • @ROSE-m1f4s
      @ROSE-m1f4s 3 дня назад

      Kwanza nini umeandika koz ata hueleweki

    • @attentivegal5258
      @attentivegal5258 2 дня назад

      Sio kila MTU anapakwa mafuta kama huyo miss p.diddy

    • @esem135
      @esem135 2 дня назад

      Kenaybs don't care about you Tanzanians!!

  • @oketchjames4391
    @oketchjames4391 3 дня назад

    Wisdom

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 3 дня назад +10

    Huyo Bibi YA pididy asiwai kanyanga Kenya Tena akae na mbongo zake uko,sisi tutaskiza zetu

  • @rohkydskyler209
    @rohkydskyler209 2 дня назад

    Hizi ni kasumba....even the government haina mpango na wasanii wetu

  • @CatherineLekule-l7z
    @CatherineLekule-l7z 3 дня назад

    Huyo nae kafeli comedy anaingilia shida

  • @Gaelabby
    @Gaelabby 3 дня назад

    Mc Jessy simama kiti 2027 ya president

  • @Fakemu
    @Fakemu 2 дня назад

    Kenyans we should stop supporting diamond's songs tuone atafika wapi, nkt!

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 3 дня назад

    Milaa nayo shida sawa sawa na bangi tu!

  • @OdenialoniNgusi
    @OdenialoniNgusi 3 дня назад +2

    Akili ni Mali brother ss Kuku ni kuku Yule diamond ni Simba hanaga ujinga yule ni mwamba kwer kwer Simba lamasimba hyo wenu hta Namanga hajulikan

    • @RayanStevens
      @RayanStevens 3 дня назад +1

      Ambia mamako shenzi wewe .....nyinyi wa tz ni washenzi sana

    • @mercyme3841
      @mercyme3841 3 дня назад

      @@OdenialoniNgusi Kiswahili imekuaribu akili, kumbuka kuna language barrier huko TZ. Ni bongo tu akili yenu umo. Explore the world 🌎✨️, Kiswahili music imejaa tu hapo kwenu

    • @mathewmutuku7342
      @mathewmutuku7342 3 дня назад

      Kuku wewe

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 3 дня назад

      wewe Ni umbwa makende YA siafi, hiyo daimond asiwai kanyanga Kenya Tena tutamfira matako Tena

  • @snagolden
    @snagolden 3 дня назад +2

    YOU SPEACK VERY NANSENSE HUWEZI SHINDANISHA BENZ NA ROS ROYCE HATA KWA VALUE , RUDI SHULE KASOME.🤣

    • @malaikajabali-oj2fh
      @malaikajabali-oj2fh 2 дня назад

      Toka hapa fudaaa wewe na MC Jessy nani famous 1+1 is 11 hivi ndio unafikiria 😂

    • @attentivegal5258
      @attentivegal5258 2 дня назад

      Na wewe ndio akili kuliko wote

  • @Mwarabukoko-s4t
    @Mwarabukoko-s4t День назад

    Wewe umezeeka achia vijana wadogo industry wacha kupiga kelele 😂😂skiza story pande zote

  • @JanoEvra
    @JanoEvra 2 дня назад

    Diamond ni mkubwa kwa p diddy sio wakenya

  • @Africana255
    @Africana255 3 дня назад

    Tufanye kazii.

  • @DelphinusBenedicto
    @DelphinusBenedicto 3 дня назад

    Acheni kumchocha ngoja hii Kiki iishe tutaona ataenda wapi

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 2 дня назад

    Kama diamond sio msanii mkubwa njoo ufanye show hata mochurwa kama hata maiti zitanuka uondoke huwezi mbeza diamond nigeria wenyewe wanamjua nyie kenya zaman akina nyashiski ,prezoo walikuwa wanakuja na ndege kwetu wanachota pesa wanasepa leo wtz tumetumia mda pesa mziki mzuri mnaleta porojo

  • @AlfosoJakufu
    @AlfosoJakufu 2 дня назад

    Wamejaaa gikombaaa....

  • @JeffNyabuto
    @JeffNyabuto 2 дня назад

    I personaly unfollowed anything reffering to the p diddy's slay queen....Kenya simba ni simiti bwana

  • @Nihadshighadi
    @Nihadshighadi 3 дня назад

    Tafteni babu owino mpeleke hio kitu bunge

  • @theafricanphilosopherqueen3032
    @theafricanphilosopherqueen3032 3 дня назад

    Football is where you draw the line....AFCON has gone to Rwanda....shame

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 2 дня назад

    Wacha kuwalisha matango Pori wenzako,,, kichwa tikiti maji icho